
Browsing Category
Celebrities
Mchezo Wa Kasino Unaokupa Mkwanja Ni Wildfire
Washindi wanaibuka kila siku kupitia mchezo wa kibabe wa kasino wa Wildfire, Mchezo ambao unatoa mamilionea kila siku hivo kazi kwako kutembelea tovuti ya Meridianbet ucheza mchezo huu.
Moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni…
Alikiba feat Jay Melody – Hatari (Track No.4)
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake 'Starter' ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay Melody, Nandy, Marioo.
Nyimbo ambazo zipo kwenye EP yake hiyo ya Starter ni Nahodha, Top Notch, Kheri,…
Alikiba – Nahodha (Track No.1)
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Alikiba amezindua EP yake 'Starter' ambayo ina nyimbo saba. Kwenye EP hiyo ameshirikisha Jay Melody, Nandy, Marioo.
Nyimbo ambazo zipo kwenye EP yake hiyo ya Starter ni Nahodha, Top Notch, Kheri,…
Mwanamuziki Mkongwe Diddy Akamatwa Katika jiji la New York
MWANAMUZIKI mkongwe wa miondoko ya Hip-Hop na R&B wa Marekani ambaye pia ni mtayarishaji na mwandishi wa muziki, Sean Combs 'Diddy' amekamatwa katika jiji la New York kwa mashtaka ambayo hayajabainishwa.
Kukamatwa kwa Diddy…
Kamati Ya Bunge: Wizara Ya Nishati Endeleeni Kuusimamia Mradi Wa JNHPP Ipasavyo
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Wizara ya Nishati kuendelea kuusimamia ipasavyo Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Julius Nyerere (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati.
Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati…
Mchezo wa Kutengeneza Maokoto Kasino, Sloti ya Fairy In Wonderland
Fairy in Wonderland ni mchezo wa sloti kutoka kasino ya mtandaoni inayotendeka katika msitu wa kusadikika, ambako kiumbe mzuri anaingia katika hekaheka na kukutana na Wonderland. Jisajili Meridianbet upige mamilioni kirahisi.
Ndani…
Exclusive: Binti Mtanzania Anayezungusha Biashara Hadi Afrika Kusini – Video
Mrembo Vicky Daniel ambaye amepata dili kubwa la kuendesha duka lenye bidhaa zote kutoka kampuni kubwa ya vipodozi ya nchini Afrika Kusini, Portia, @portiam_tz hapo jana ameudhihirishia umma kuwa kila kitu kinawezekana chini ya jua…
Marioo Atoa Onyo Kwa Mtu Anayetumia Jina Lake Kwenye Mtandao Wa X
Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayekimpiza kwa sasa na video ya Hakuna Matata, Marioo amesema kuwa hawahusiki na ukurasa wa Mtandao wa X (zamani Twitter) unaotumia jina la @tz_marioo ambao umekuwa unatumika kupotosha taarifa zisizo sahihi…
Dkt Cheni Afunguka Alivyochaguliwa na Rais wa Zanzibar Kusherehesha Harusi ya Mtoto Wao –…
MSHEREHESHAJI maarufu nchini na Staa wa filamu, Dkt Cheni amefunguka alivyochaguliwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na mkewe kusherehesha harusi ya mtoto wao iliyofanyika hivi karibuni Visiwani Zanzibar na kuhudhuriwa na…
Wiki Ya Maokoto Meridianbet, Atalanta Na Liverpool Wanahela Zako
Kombe la UEFA Europa League ni zito kuliko makombe yote ya UEFA yenye madini fedha licha ya kutokuwa na thamani kubwa sana, tofauti na vikombe vingine vinavyotolewa katika mashindano ya klabu barani Ulaya. Wiki hii kuna odds kubwa za…
Kila Ijumaa Meridianbet Inakurejeshea 10% Ukichezo Lucy6 na Keno
Ifanye Ijumaa kuwa ni siku ya bahati kwako, hata Cristiano Ronaldo anasema kwamba anaipenda namba 7 kwakuwa ni namba yake ya bahati tangu akiwa Manchester United. Meridianbet inaifanya pia Ijumaa kuwa yenye bahati kwa kurejesha 10% ya…
Mtanzania atunukiwa tuzo ya heshima ya malkia Elizabeth II
Mtanzania Prudencia Paul Kimiti ametunukiwa tuzo ya heshima ya malkia Elizabeth II kutokana na mchango wake mkubwa katika masuala ya jamii katika hafla iliyoongozwa na binti mfalme Anne katika kasri la Windsor nchini Uingereza.…
Ni Kweli Wanawake Wazuri Hawaoleki? Soma Hapa
TUNAFAHAMUkwamba hakuna mwanamke mbaya. Ila katika mazingira ya kawaida wapo ambao wanakuwa na umbo fulani la kuvutia zaidi. Wanawake ambao wana mwonekano wa kuwa kama vile pambo.
Kwa kawaida, wanawake wa aina hii huwa wanakuwa na…
Lulu Akutana Uso kwa Uso na Mama Kanumba, Flora Mtegoa jijini Arusha
Mwigizaji Elizabeth Michael almaarufu Lulu amekutana uso kwa uso na Mama Kanumba, Flora Mtegoa na kusalimiana ikiwa ni takribani miaka mitano ya kutosalimiana.
Mpango mzima ni kwenye maandalizi ya filamu ya Irene Uwoya itakayozinduliwa…
#Exclusive: Niffer Ataka Kujiua Kisa Mapenzi – “Nilisimama Katikati Ya Barabara Sinza…
Mfanyabiashara ambaye pia ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii Jenifer Jovin 'Niffer' amefunguka kupitia mahojiano aliyoyafanya na @globaltvonline alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wake @imeldamtema alisema kuwa alishawahi kusimama…
Exclusive: Anna Juakali Amkabidhi Mungu Ndoa Yake, Afichua Ya Uhusiano – Video
Staa wa Bongo Movie anayefanya vizuri kwenye tamthiliya ya Juakali Anna, amefanya mahojiano na Global Tv kupitia Exlusive za Imelda Mtema na kueleza kuwa yeye anapokutana na watu siyo muongeaji bali hukaa kimya na kuyasoma mazingira na…
Nical -“Video Vixen Ni Wezi, Wanadanga Kwa Wasanii, Wanakopwa, Marioo Na Paula…
VIDEO vixen matata Bongo, Monica Maulid 'Nical' ambaye ameshafanya kazi na wasanii mbalimbali kama vile Mbosso, Diamond Platnumz, Marioo, Rayvanny na wengineo.
Leo kwenye Exclusive interview ya Global TV amefunguka kwamba video vixen…
#Exclusive: Kwa Unyonge Dulla Makabila Akiri Bado Anampenda Zaylissa “Siwezi Msema Vibaya Ni…
Global Tv imefanya mahojiano na Dulla makabila @dullamakabila na kusema kuwa hawezi kumsema au kumchafua vibaya aliyekuwa mke wake Zaylissa @zaylissa_ kwani ni mwanamke mzuri na ana kila sifa ya kuitwa mke wa mtu ila kwa sasa…
Mishy – “Nilimzalia Mwanaume Ili Niachane Naye, Huwezi Kuamini, Lakini Huyo Ndiye…
Kwenye Exclusive ya Imelda Mtema leo tupo na Robinha almaarufu Mishy, mwigizaji mwenye jina lake town. Amesema eti alimzalia mpenzi wake ili abaki na 'copy'.
Aunty Ezekiel- “Mimi Ndiye Msanii Mwenye Ngozi Nzuri Zaidi, Ndoa Kwangu Hapana”- Video
Msanii wa Bongo Movie Aunt Ezikiel maarufu kama Mama Nono ameiambia Global Tv kuwa hakumsanii yeyote hapa Bongo anayemfikia kwa ngozi nzuri kwani ngozi yake inavutia na kuteleza vizuri.
Aunt ameweka wazi kuwa hakuna uchawi katika hilo…
#Exclusive: Nakaaya Sumari Afunguka Kichapo Cha Ndoa Kilivyomtesa Mpaka Kutuma Ujumbe Mitandaoni…
Mwanadada Nakaaya Sumari kupitia Exclusive Interview aliyofanya na Global TV, amefunguka kuwa wanawake wengi wanateseka sana katika ndoa na hata wanapopeleka kesi zao katika madawati husika hazifanyiwi kazi kama inavyotakiwa.
Nakaaya…
Harmonize – Dear X (Official Audio)… Upo Hapa, Kajala Atajwa
Mashabiki wa Mkurugenzi mkuu wa lebo ya muziki ya Konde Music Worldwide Harmonize wamepongeza wimbo wa Dear X, huku wakimtaja muigizaji mkongwe wa filamu nchini Tanzania, Kajala Masanja.
Harmonize - Hawaniwezi (Official Audio)
Yanga Yaichimba Biti Simba Yatamba Kufanya Makubwa Ligi ya Mabingwa
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga, ameweka wazi kuwa, kwa msimu mpya wa 2023/24, malengo yao ni kuendelea pale walipoishia msimu wa 2022/23.
Msimu wa 2022/23, Yanga ilikomba taji la Ligi Kuu Bara, Ngao ya Jamii na Kombe la Azam…
#Exclusive: Queen Masanja Afunguka Kutovaa Stara – ”Mwanamke Usiogope Kuanza Upya”…
Queen Masanja ni mwanamke ambaye amewahi kuwa mke wa Dokta Mwaka kabla ya ndoa yao haijapigwa na kimbunga na kusababisha mvurugano mkubwa.
Hapa anawashauri wanawake kwamba kuanza upya inawezekana kwenye kila kitu, iwe ni kwenye ndoa,…
Mapya! Kusah Afunguka Mahusiano Yake Na Moses Iyobo, Atoboa Siri Za Kufanya Kazi Na Maua Sama -Video
MSANII wa Bongo Fleva, Salmin Hoza almaarufu Kusah ambaye ni mpenzi wa muigizaji Aunty Ezekiel leo Julai 6, 2023 amefunguka juu ya manufaa ambayo ameyapata mara baada ya kutoa wimbo wake wa ‘I wish’ ambao ulifanya vizuri ndani na nje ya…
Niffer Afunguka Kumpigia Simu Mke Wa Kiba, Ugomvi Uliozuka Kisa Mtoto – Video
Mfanyabiashara maarufu wa vitu mbalimbali hapa Bongo Jenifer Jovin 'Niffer' ameweka wazi kuwa Ali Kiba ndiye mtu pekee ambaye humueleza matatizo yake kwani anamuelekeza namna ya kuyatatua.
Niffer ameongeza kuwa kwa sasa hajali maneno…
#Exclusive: Shamsa Ford Amejibu -“Mtoto Wa Mume Wangu Ni Wangu” -Video
Shamsa Ford mwanadada mrembo kwenye tasnia ya uigizaji na mfanyabiasha wa nguo za kike hasa madira na vijora, ameafunfuka mahusiano yake na mambo mbalimbali kupitia Global TV Online.
Yammi – Tiririka (Official Music Video)
Msanii, Yammi wa lebo ya msanii maarufu wa Bongo Fleva, Faustina Mfinanga ‘nandy’ leo Juni 27, 2023 ametambulisha rasmi video yake mpya ya Tiririka.
Caren Simba: Nawachukia Wanaume Ambao Hawawapi Fedha Wapenzi Wao
Msanii wa filamu ambaye kwa hivi sasa anafanya vizuri sana kupitia filamu za Kibongo na video vixen, Careen Simba amesema anawachukia wanaume ambao hawawapi fedha wapenzi wao wala hawawajali na kuwahudumia.
Ameongeza kuwa jukumu la…
#Exclusive: Shilole Afunguka -“Kuwa Na Range Bila Hela Ni Stress, Ndoa Yangu Inatimiza Miaka…
Msanii wa Bongo Muvi na mjasiriamali anayemiliki mgahawa maarufu wa Shishi Food, Zuwena Mohamed @officialshilole amelamba dili la kuwa balozi wa vipodozi vya Safron.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati akikabidhiwa ubalozi huo na…
Jaribu Zali Lako Leo Cheza Kasino Upate Bonasi za Kasino ya Mtandaoni
Expanse studio imekuja na michezo ya sloti inayokupa nafasi ya kushinda mgao wa TZS 500,000/= kila ukicheza kasino ya mtandaoni. Chimbo la kupiga hela kirahisi ni kasino ya mtandaoni Meridianbet.
Meridianbet wakali wa Kasino ya…
Tanzia: Mwanamuziki Tina Turner Afariki Dunia Nchini Uswisi
Nyota huyo mkongwe wa Muziki wa Rock 'n' Roll, Tina Turner amefariki nyumbani kwake huko Kusnacht Nchini Uswisi akiwa na umri wa miaka 83 baada ya kuugua kwa muda mrefu
Kwa mujibu wa familia, Turner aliyezaliwa Tennessee, Marekani…
#Exclusive Video: Esha Buheti Afichua Alivyotaka Kujiua Na Kuwaua Watoto Wake, Walivyokutana Na Mume…
Msanii na mjasiriamali maarufu Bongo, Esha Buheti amesema yeye na mjasiriamali mwenzake, Shilole wanashindwanishwa na kutajwa kuwa na 'bifu' kwa sababu wao wenyewe wameruhusu hali hiyo itokee na kueleza kuwa lisemwalo lipo.
Buheti…
Shinda Tsh Milioni 90,000,000/= za Meridianbet Kila Siku
Siku zote kwenye Maisha unaambiwa usipende sana kuomba hela ya kula bali omba kazi, huwa iko hivi hata uchawa una mwisho wake kama huwezi kujishughulisha na kufanya kazi. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet imekuja na promosheni kabambe…
Meridianbet Yazindua Duka la Kubashiri Posta Jijini Dar
Jijini Dar es salaam kunazidi kupambwa na rangi nyekundu ya Meridianbet ambapo maduka kibao yanazidi kuzinduliwa kila mwezi na sasa kampouni hiyo ya ubashiri imeona kuwa kuwa ulazima wa kufika maeneo ya Jamhuri Posta na kuwaletea duka…
Meridianbet Wapigwa Tsh 54m na Mwarabu Kupitia Kasino ya Mtandaoni
Sub-Heading: Jisajili Meridianbet leo upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo uupendao kuna Aviator, Poker, Titan Roulette na mingine mingi. Kujisajili bonyeza hapa https://a.meridianbet.co.tz/c/srILsF
Kuna watu wana bahati…
Georgina: Mimi Na Ronaldo Ni Wanandoa Machoni Pa Mungu… Adokeza Harusi Yao Hivi Karibuni
Georgina Rodriguez ametoa dokezo kubwa la harusi huku akidai yeye na Cristiano Ronaldo wamefunga ndoa mbele ya macho ya Mungu.
Inaaminika kuwa mwanamitindo huyo amekuwa akitoka kimapenzi na nyota huyo wa soka tangu mwaka 2016 na…
Tanasha Donna Afichua Ishu Ya Kuchumbiwa Baada Ya Kuondoka Nyumbani Kwa Diamond
Mwimbaji wa Kenya, Tanasha Donna amefichua kwamba ameombwa ndoa na mwanaume ambaye hajamuweka wazi.
Katika moja ya posti zake za hivi karibuni kwenye Mtandao wa Instagram, mpenzi huyo wa zamani wa staa wa muziki wa nchini Tanzania,…
Tanasha Donna na Diamond Platnumz ‘Mondi’ Wazua Gumzo, Zari Atajwa
ETI umewahi kusikia uhawara hauna talaka? Kwa mbaliiii sanaaaa inawezekana ikawa kweli! Maana ujio wa mwimbaji Tanasha Donna kutua jijini Dar es Salaam na kujiachia kimahaba nyumbani kwa mzazi mwenzake Diamond Platnumz ‘Mondi’ kumezua…
Duka La Nne Mwezi Huu La Kubetia Lazinduliwa Kariakoo Fire Na Meridianbet
Duka la kubetia la nne kwa mwezi huu Machi limezinduliwa hii leo na Meridianbet wababe wa masuala ya ubashiri Tanzania wakiwa na kile ambacho mteja unakihitaji kwa muda wowte ule. Lakini pia unaweza kuchagua machaguo si chini ya elfu…