×

Celebrities

Cristiano Ronaldo Amchumbia Georgina Rodriguez!

NYOTA wa soka duniani,  Cristiano Ronaldo, anayekipiga na klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Ureno amepata mchumba!  Vyombo vya...

READ MORE

Dili la Pesa Chafu Alilopata Iggy Azalea

Baada ya kuachana na Label yake ya Island Records, rapa wa kike, Iggy Azalea amepata bonge la dili ambalo linamuingizia...

READ MORE

KANYE ‘KUJENGA’ JUMUIA ISIYOTISHIKA NA JANGA LA MOTO

SIKU kadhaa baada ya ripoti kwamba rapa Kanye West na mkewe Kim, walikuwa wameajiri huduma ya zimamoto kujilinda dhidi ya...

READ MORE

QUICK ROCKA AFUNGUKIA KUDETI NA KIM NANA

MWANAMUZIKI wa Bongo Flava, Aboot Racka ‘Quick Rocka’ amefungukia madai ya kutoka kimapenzi na Video Queen Lilian Kessy ‘Kim Nana’,...

READ MORE

ZIJUE ALBAMU 10 BORA KWA MWAKA 2018

Gazeti maarufu nchini Marekani ‘TIME’ kwa kipindi cha mwisho wa mwaka 2018 wamefanya uchunguzi na kutoa orodha nzima ya Album...

READ MORE

TUNDA, ZARI ‘VITA NZITO’

WAKATI flani nikiwa likizo, nilikwenda kupumzika kijijini kwetu Mlalo- Lushoto mkoani Tanga. Lushoto ni kati ya maeneo ambayo watalii wengi...

READ MORE

WEMA: AUNT HAJAWAHI KUNICHOKA

STAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa pamoja na mambo mengi ambayo yamekuwa yakimtokea, rafiki yake...

READ MORE

Mzungu abambwa ‘akikonki konki’

DAR ES SALAAM: Raia wa kigeni (Mzungu) amenaswa laivu akionesha mahaba ya aina yake kwa dada yetu wa Kibongo aliyefamika...

READ MORE

Fahyma amkingia kifua Rayvanny

SIKU chache baada ya Basata kufungia wimbo wao wa Mwanza, muuza nyago kwenye video za Bongo, Fahyma ‘Mama Jaydan’ amemkingia...

READ MORE

MJUMBE AANIKA MAISHA YA LULU

DAR ES SALAAM: Msanii wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye kwa sasa yupo huru baada ya kumaliza kifungo chake...

READ MORE

Mama ampa masharti bwana wa Mobeto

DAR ES SALAAM: Msimamo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mama wa mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga kuonesha msimamo...

READ MORE

Bahati Bukuku akubali mumewe kuoa mke mwingine

DAR ES SALAAM: Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku ameridhia aliyekuwa mumewe Daniel Basila kuoa mwanamke mwingine kwani walishapeana...

READ MORE

Bifu la Iggy Azalea na Bhabie Lafikia Pabaya, Tazama Alichofanyiwa (VIDEO)

Rapaz wawili wa kike Iggy Azalea na Danielle Bregoli maarufu kama Bhad Bhabie limefikia pabaya baada ya Bhabie kumshambulia mwenzake kwa kumwagia...

READ MORE

Baada ya Kufuta Tattoo ya Big Sean, Jhené Aiko Achora Hii (PICHA)

Baada ya aliyekuwa mpenzi wa Big Sean, Jhené Aiko Efuru Chilombo kuifuta Tattoo ya rapa huyo ili kupigilia msumari maneno...

READ MORE

LULU AANDIKA UJUMBE MZITO, AMLILIA MUNGU!

Nyota wa Filamu za Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa mara ya kwanza ameandika ujumbe mzito wa shukrani kwa MUNGU...

READ MORE

EXCLUSIVE: Sapraizi ya AY na King Kikii ni Habari Nyingine – Video

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, nguli wa Bongo Fleva, Ambwene Allen Yessayah ‘AY’,  amesema tayari ameshaandaa video ya...

READ MORE

Rapa Diddy Apata Msiba Mzito, Mastaa Marekani Wampa Pole!

Rapa Sean Diddy Combs amepata msiba wa aliyekuwa mama wa watoto wake watatu, ‘Kim Porter’ ambaye ameaga dunia jana Alhamisi,...

READ MORE

Kocha wa Manny Pacquiao Kumsimamia Tyson Fury

KUELEKEA pambano lake dhidi ya Deontay Wilder, bondia Tyson Fury anatarajiwa kumtumia Freddie Roach kuwepo katika kona yake wakati wa...

READ MORE

Diamond hongera, wasanii wengine muige

KWAKO msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ habari za siku? Mambo yanasemaje mzee baba? Binafsi mimi ni mzima...

READ MORE

PILIPILI HAIONJWI

PAAAAAMBEEE shoga unaringia kujua kupika wali wa nazi wakati kuyatumia machicha yake huwezi, haloooo eeeeehhhh! Hebu usinikaushe uzazi miye na...

READ MORE

MASHABIKI WATAKA DUDU BAYA ACHUKULIWE HATUA

WIKI iliyopita kwenye safu hii tulimuweka mwanamuziki wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’ ambaye hivi karibuni baada ya Mkuu...

READ MORE

MAJANGA YA WEMA YAMKUTA SASHA!

UPEPO mbaya kwa mastaa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Video Queen Bongo, Sasha Kassim kukutwa na majanga ya kutapeliwa kama...

READ MORE

YUPO WAPI BADI BAKULE? MSIKIE AKIFUNGUKA AKLIVYOPOTEA

KAMA kawaida ya safu kila wiki inakuletea wasanii mbalimbali ambao walitamba kwa kipindi fulani na kuwa gumzo kila kona lakini...

READ MORE

Ijue Kauli Ya Kizz Daniel Kuhusiana Na Kuoa/Ndoa Yake

Hit Maker wa ‘One Ticket’ toka Nigeria amefunguka swala kubwa kuhusiana na ndoa kwasababu amekuwa akiona wenzake kila siku wanachukua...

READ MORE

Cardi B Aja Na Product Mpya Sokoni,Boys & Girls Kazi Kwenu!! (PICHA)

Kwa mara ya kwanza rapa Cardi B amezindua mavazi yake ambayo wameshirikiana na kampuni kubwa ya mavazi duniani, ‘Fashion Nova’....

READ MORE

Young Thug Aachiwa na Mahakama, Apewa Masharti – VIDEO)

BAADA ya rapa Young Thug kuwekwa ndani kwa siku sita kwa kosa la kutumia madawa ya kulevya, hatimaye mahakama imemwachia...

READ MORE

VIDEO | Juicy J Ft Travis Scott – Neighbor

Its Lit.Furahia kuitazama video mpya ya Rapper Juicy J akiwa na Travis Scott.Video imeongozwa na Rj Sanches na imeshutiwa Los...

READ MORE

Wiz Khalifa Atoa Video ya ‘Holyfield’ – VIDEO

RAPA Wiz Khalifa ametoa video ya mpya ya wimbo wake wa ‘Holyfield’ unaopatikana katika albam ya Rolling Paper 2 ambayo...

READ MORE

Meek Mill Kutoa Album Baada Ya Kutoka Jela

RAPA Meek Mill toka Philadelphia ametangaza kutoa albam yake ya kwanza tangu atoke gerezani Aprili mwaka huu ambayo itaongelea masuala ...

READ MORE

AUNTY LULU ASHEREHEKEA MAMA’KE KUCHUMBIWA

MUIGIZAJI Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amesherehekea mama yake mzazi kupata mchumba ambaye alimvalisha pete mwishoni mwa wiki iliyopita katika kanisani...

READ MORE

Ishu ya Diamond na Rayvanny…. Mwana FA Akinzana na BASATA

Mjumbe wa Bodi ya Baraza la Sanaa Tanzania (Basata), Hamis Mwinjuma aka ‘Mwana FA’, ameomba adhabu waliyopewa wanamuziki Rayvanny na...

READ MORE

Fahamu Ujio Mwingine wa Muvi ya ‘Game Of Throne’…. (VIDEO)

KWA wapenzi wa muvi na series za  ‘Game Of Throne’, wamiliki wake wamesema zitarejea tena hewani mnamo Aprili 2019  ambapo...

READ MORE

AY AUCHAMBUA MUZIKI WA BONGO WA SASA

MSANII wa Bongo Fleva, Ambwene Yesaya ‘AY’ leo Jumatano, Novemba 14, 2018 amefanya ziara ndani ya mjengo wa Global Group...

READ MORE

Gauni Lilivyomtesa Wolper

MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper, hivi karibuni alijikuta katika wakati mgumu kutokana na gauni lake kumwacha wazi...

READ MORE

Forbes Laorodhesha Vijana Wenye Vipaji Chini Ya Miaka 30 Kwa 2019

Jarida maarufu la kiiashara ‘Forbes’ limetoa orodha ya vijana 30 wenye chini ya umri wa miaka 30 wenye vipaji vikubwa...

READ MORE

Kanye West Asogeza Mbele Tarehe Ya Albam Yake, Zijue Sababu

RAPA Kanye West ametoa sababu za kuchelewa kwa kutoka kwa albam yake mpya  ya ‘Yadhi’ ambayo ilikuwa inategemewa kuingia sokoni...

READ MORE

Johari Akerwa Kuitwa Mlevi

STAA mkongwe wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameeleza kukerwa na baadhi ya wasanii wenzake kumpa jina la mlevi...

READ MORE

Penny Afungukia Kilichompoteza

BAADA ya kimya cha muda mrefu, mtangazaji wa Televisheni ya Magic Swahili, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kuanika sababu iliyomfanya...

READ MORE

Vee Money aanika ugumu alioupata kuimba Kihindi

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ ameanika ugumu alioupata wakati wa kuimba wimbo wa lugha ya...

READ MORE

Petit Man, Lynn wanaswa kwenye pozi tata

MENEJA wa wasanii Bongo, Hamad Manungwa ‘Petit Man’ na Video Queen, Irene Hilary ‘Lynn’ wamenaswa wakiwa kwenye pozi tata lililotawaliwa...

READ MORE