×

Celebrities

CHUCHU ATOA POVU MIMBA KUCHOROPOKA

MWIGIZAJI wa kit­ambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Chu­chu Hans ametoa povu baada ya kudaiwa kuwa alinasa ujauzito ukachoropoka...

READ MORE

ASHA BARAKA: TWANGA WAMENITENDEA HAKI

Jana usiku ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka...

READ MORE

ESTER KIAMA ARUDI KIJIJINI KULIMA

MWIGIZAJI wa filamu za Ki­bongo, Ester Kiama ameamua kurudi kijijini kwao, Dumila mkoani Morogoro kuan­galia kama anaweza akajishughuli­sha zaidi na...

READ MORE

AIKA : MIAKA 10 YA MAPENZI YETU KAMA 2 TU !

Mwanamama kutoka Bongo Flevani, ambaye ni memba wa Kundi la Navy Kenzo, Aika Mariale amesema miaka 10 waliyoishi ya kimapenzi...

READ MORE

ODEMBA APORWA MUME MCHANA KWEUPE!

UBUYU ni miongoni mwa matunda ambayo hayachoshi hasa ukiwa unajua jinsi ya kuumun’gunya ili usichubuke ulimi! Ubuyu mtamu uliotua kwenye...

READ MORE

KISA LAANA QUEEN DARLEEN AMWANGUKIA BABA’KE

BAADA ya kuwa kwe­nye mgogoro kwa muda mrefu na baba yake mzazi, Abdul Juma ‘Baba D’, ili kukwepa laana ya...

READ MORE

Shaddy Boo AfungukIa Penzi la Diamond / Amtaja Wema – Video

Mrembo kutokea nchini Rwanda, Shaddy Boo amefunguka iwapo amewahi kutoka kimapenzi na Diamond Platnumz.   Jana kwenye Red Carpet ya...

READ MORE

WOLPER Afanya Maamuzi ya Kumsaka RIHANNA kwa Hili – Video

Muigizaji maarufu Bongo Movies ambaye pia ni fundi cherehani, Jacqueline Wolper, amedai yupo kwenye mipango ya kumsaka Staa wa muziki...

READ MORE

MAUA SAMA AFUNGUKA KUMWAGWA NA MZUNGU

KUNA wakati ukiufuatilia sana muziki wa Bongo Fleva utakuwa unaona unabadilika kwa kasi siku hadi siku. Kuna kipindi utaona unaenda...

READ MORE

UNDANI, UKWELI SUMU YA DIMPOZ DIAMOND, KIBA HATARINI !

Sumu anayodaiwa kunyweshwa staa wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kwenye kinywaji imeibua hatari iliyopo kwa mastaa wengine Bongo...

READ MORE

SIRI YA UKIMYA WA KIDOA NI HII

    WAFUATILIAJI wa maisha ya mastaa watakubaliana na ukweli kwamba, msanii aliyewahi kutingisha kwa vituko, mapicha ya nusu utupu...

READ MORE

SKENDO YA KUKODI WATUKANAJI MTANDAONI WASTARA, ESMA WATOA POVU!

BAADA ya hivi karibuni dada wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Khan na msanii wa filamu, Wastara Juma kuporomosha matusi...

READ MORE

ODEMBA AMVAA DIAMOND KUROGA KWA HAMISA

MWANAMITINDO aliyewahi kutamba miaka ya 2000, Miriam Odemba amemvaa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kumpa vipande vyake kuwa, hakustahili kumsema...

READ MORE

KAJALA AWEKA NGUMU KUMUANIKA BABY WAKE

STAA wa filamu Bongo, Kajala Masanja ameweka ngumu kumuanika mpenzi wake wa sasa huku akirusha dongo kwa kusema kuwa, wanaotamani...

READ MORE

UZUNGU WADAIWA KUMFELISHA BELLE 9

MWANAMUZIKI ambaye amefanya mambo mengi kwenye gemu la Bongo Fleva ikiwa ni pamoja na kutengeneza kolabo kali, Abedinego Damian, ‘Belle...

READ MORE

WEMA, MOBETO HAPATOSHI

VITA imekolea! Ni kati ya mwanadada Wema Isaac Sepetu na mwanamama Hamisa Hassan Mobeto ambapo hapatoshi kiasi cha baba wa...

READ MORE

HUKU AKIENDELEA NA MATIBABU, ALI CHOKI TUMUOMBEE

HALI ya staa wa muziki wa Dansi nchini, Ali Choki ambaye amelazwa katika Hospitali ya Bugando, Mwanza bado haijatengemaa ambapo...

READ MORE

LUNGI AMWASHIA MOTO GIGY , KISA ZARI

DAR ES SALAAM: Mwigizaji mkongwe wa filamu Bongo, Lungi Maulanga amemwashia moto msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford...

READ MORE

HUDDAH AKATAA KULINGANISHWA NA VERA SIDIKA

MJASIRIAMALI Alhuddah Njoroge, ‘Huddah Monroe’ amekataa kushiriki Tuzo za Black Entertainment Film Fashion Television and Arts (BEFFTA) ambapo yupo kipengele...

READ MORE

MACHOZI ya Baba: Diamond Aninunulie Nyumba, Gari ni Vitu Vidogo tu – Video

BABA mzazi wa Msanii wa Bondo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Plantnumz’, Mzee Abdul Juma amemuomba mwanaye huyo amnunulie nyumba ili...

READ MORE

TARAJI HENSON MIMBA NDII!

NANI alikwambia ukianza kuzeeka ngumu kuzaa? Sikia hii; Staa wa Tamthiliya ya Empire anayetumia jina la Cookie, Taraj P. Henson...

READ MORE

TEKNOLOJIA YA VAR KUFANYIWA MAJARIBIO MECHI 5 ZA EPL JUMAMOSI

Teknolojia ya kutumia video kuwasaidia waamuzi, maarufu kama VAR, itafanyiwa majaribio katika mechi kadha kwa pamoja Ligi Kuu ya England...

READ MORE

FLAVIANA MATATA ATAENDELEA KUWA MATATA KWELI

UKIFIKA katika Jiji la Los Angeles, Marekani kuna eneo linaitwa West Sunset amb-alo ndani yake kuna kampuni moja kubwa ya...

READ MORE

TOP 8 MISS AFRICA 2018

THULISA KEYI (SOUTH AFRIKA) Thulisa Keyi huyu ndiye namba moja kwenye lisiti hii. Ni mrembo aliyeshinda kinyang’anyiro hicho kilichofanyika mwishoni...

READ MORE

Mobeto Na Zari Nyota Zao Zinaendana

WIKI hii ilikuwa ‘busy’ sana na masuala mbalimbali yaliyotokea kwenye kinyan- g’anyiro cha Shindano la Miss Tanzania 2018, ambapo mrembo...

READ MORE

MZEE JENGUA VIFAA VYA MAITI, VILIOKOA UHAI WANGU !

MKONGWE wa Bongo Movies, Mohammed Fungafunga ‘Mzee Jengua’ amefunguka mengi kuhusu maisha yake binafsi na sanaa kwa jumla ikiwemo tukio...

READ MORE

EXCLUSIVE: BABA Diamond Afunguka Madai ya ‘Uchawi’ wa Mobeto – Video

  Baba wa Msanii wa Bondo Fleva Naseeb Abdul ‘Diamond’ Plantnumz amesema ishu ambayo inaendelea katika mitandao kuhusiana na mzazi...

READ MORE

JOHARI AWEKEWA ‘MADAWA YA KULEVYA’ BAA

STAA wa muda mrefu katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ hivi karibuni yamemkuta mazito akiwa baa baada ya...

READ MORE

KIVAZI CHA CALISAH CHAACHA GUMZO

Kivazi alichokivaa mwana-mitindo anayetamba Bongo, Calisah Abdulhamiid kwenye mashindano ya kumsaka Miss Tanzania 2018 yaliyofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa...

READ MORE

DIANA ATIA NENO GARI LA MISS TANZANIA

MWAKA 1994, ndipo rasmi mashindano ya Miss Tanzania yalianza Bongo na mshindi wa kinyang’anyiro hicho alikuwa ni Aina Maeda.  Miaka 14...

READ MORE

MAAJABU SKENDO MISS TZ 2018

  USIKU wa kuamkia Septemba 9, 2018 ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Posta jijini Dar historia katika...

READ MORE

Nicki Minaj, Mama’ke Wavutia Shoo ya Oscar De La Renta

                                Minaji na mama yake,...

READ MORE

MAIMARTHA AMKINGIA KIFUA WEMA

BAADA ya kuwa na mjadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nani anayependwa na kukubalika zaidi Tanzania kati ya mwanamitindo, Hamisa...

READ MORE

MGOMBA HAUCHANJWI KUNI

TEENAA na mtani-koma mwaka huu kama hujaishi mbona utaishi tu kwani ndiyo maisha yetu ya mjini, unachuma tembele huku umeinama,...

READ MORE

NDOA KUMBADILI DINI SISTER FEY

NI kama igizo! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kwamba licha ya mpenzi wake, Elias John ‘Holly Star’ kuwa mdogo kiumri...

READ MORE

JOKATE AMUELEZEA MISS TZ BALAA LA MITANDAO

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita baada ya kumalizika kwa Shindano...

READ MORE

BAADA YA KIFO CHA PATRICK… SIRI NZITO YA MUNA YAVUJA!

SIRI imefichuka kuwa mwigizaji wa filamu za Kibongo, Rose Alfonce Nungu almaarufu Muna Love ambaye hivi karibuni alifiwa na mwanaye,...

READ MORE