×

Celebrities

Gigy Afunguka Video Akinanilii na Lavalava, “Kulambana ni…”

MWANAMITINDO na msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka baada ya video yake kusambaa akipapasana gizani na msanii...

READ MORE

SPIKA “Si Mlisema Kikwete Hafai, Mnapaka Matope Tu” – VIDEO

SPIKA wa Bunge Job Ndugai alionesha kutofurahishwa na mchango wa Mbunge wa Ndanda Secil Mwambe ambaye alilieleza Bunge kwa madai...

READ MORE

Kifahamu Kibinti Chenye Lundo Babkubwa la Nywele

KIBINTI cha miaka mitano kutoka jiji la Tel Aviv, Israel, kiitwacho  Mia Aflalo Shunem, ni kivutio kikubwa katika ulimwengu wa...

READ MORE

NAUNGA MKONO MWAKYEMBE KUPIGA CHINI ‘KIMOMBO’ MISS TANZANIA

MWAKA 1972, Mwanamitindo Julia Morley ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa shirika linaloratibu mashindano ya Miss Dunia alianzisha kitu kinaitwa...

READ MORE

ROMA AMUANIKA MWANAYE

BAADA ya kumficha kwa kipindi cha miezi sita, hatimaye staa wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa ‘Roma Mkatoliki’...

READ MORE

MASANJA: KANYE WEST ACHA KUVUTA BANGI

 UNAWEZA kujiuliza inawezekana kweli msanii wa vichekesho ambaye pia ni mchungaji, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ameweza ‘kumfyatukia’ rapa kutoka Marekani,...

READ MORE

MATOKEO STARS: JACK PEMBA AKODI BOTI, AKUSANYA KIJIJI KULA BATA UGANDA- VIDEO

IKIWA ni dakika chache baada ya mechi ya Jumamosi ya kufudhu Afcon, kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa...

READ MORE

WEMA APANGUA RATIBA TAMASHA LA TWANGA PEPETA

TAMASHA la kihistoria la kuadhimisha miaka 20 ya Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, lililopangwa kufanyika Septemba 29, mwaka...

READ MORE

SERENA WILLIAMS KULIPA FAINI MIL. 8 KWA KUVUNJA SHERIA

NYOTA wa mchezo wa tenisi, Mmarekani, Serena Williams, amepigwa faini ya Dola 17,000 kwa kukiuka sheria za mchezo huo wakati wa...

READ MORE

DRAKE, MEEK MILL WAMALIZA BIFU KATIKA SHOO YA DRAKE

Meek na Drake (kulia). BIFU kali lililowahi kutokea katika medani ya marapa wa Marekani — kati ya  Drake  na Meek Mill — lilimalizika...

READ MORE

JACK PEMBA “Mimi ni Tajiri Kweli Kweli, JPM Nakuja” – Video

EXCLUSIVE: Mfanyabiashara Maarufu nchini Uganda, Jack Pemba, amepiga stories na Global TV na kuzungumzia Utajiri wake pamoja na biashara anazozifanya...

READ MORE

MASTAA 10 WALIOFANYA UPASUAJI KUTENGENEZA SHEPU

MAKALA: OVER ZE WEEKEND WANAWAKE wengi wanapenda kuonekana warembo, wenye sura nzuri, maumbo yaliyogawanyika vizuri kiunoni, vifua vizuri na makalio.  Kwa...

READ MORE

IRENE PAUL NA BIFU LA ZAMARADI Vs MOBETO

STAA wa filamu Bongo, Irene Paul ameibuka na kutaja sababu za kutoingilia bifu la shoga yake kipenzi, Zamaradi Mketema na...

READ MORE

WEMA ADAI RAHA YA MWANAUME KIPIGO!

MREMBO wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ametoa kali ya aina yake kuwa, katika maisha ya uhusiano, anafurahia kuwa na...

READ MORE

WOLPER: MAISHA FEKI TUPA KULE

STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amebumburua kuwa, huu ni wakati wa mastaa na watu wenye majina makubwa...

READ MORE

UWOYA AFUNGUKIA KUWA NA BWANA DUBAI

WATU wengi wanajua ubuyu wenye ladha ni ule mwekundu tu, lakini siyo kweli kwani kuna ubuyu mwingine mweupe, blu na...

READ MORE

JUX AINGIZA MAISHA YA VEE MONEY KWENYE VIDEO

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’ hivi karibuni ameachia video yake mpya ya Ngoma ya Zaidi ambayo hadi gazeti...

READ MORE

Madai ya Uchawi: Esma Aanika Siri Nzito ya Mobeto

DADA wa staa wa Afro Pop ndani na nje ya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan amerusha bomu lingine...

READ MORE

Kuku Wamuokoa Timbulo

MSANII wa Bongo Fleva, Ally Timbulo ameweka wazi kwamba, kilichomuokoa kwenye maisha ukiachana na muziki ni ufugaji wa kuku ambao...

READ MORE

Lulu Arudi Kwa Kishindo Instagram na Mahaba kwa Majizzo

Mwigizaji wa filamu maarufu Bongo, Elizabeth Michael.   Mwigizaji wa filamu maarufu Bongo, Elizabeth Michael hatimaye leo amerudi rasmi kwa...

READ MORE

MADAI YA UCHAWI, MOBETO KUMBURUZA DIAMOND KORTINI!

UMESHASIKIA msemo wa: “Usipofanya utafiti huna haki ya kuzungumza?” Ukiwa bado, maana yake jifunze kupeleleza vitu kabla ya kuviongea kwa...

READ MORE

Kiroho Safi, Zari Amfariji Mobeto

DAR ES SALAAM: Kwa mara ya kwanza, mzazi mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amevunja ukimya...

READ MORE

WEMA AMTOSA RASMI BWANA’KE

KIMENUKA! Ule uhusiano wa kimapenzi ulioibuka kwa mbwembwe kati ya staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu na jamaa mmoja aliyefahamika...

READ MORE

MADAI NDOA YA DOGO JANJA KUVUNJIKA, OFM YATINGA KWA UWOYA

DAR ES SALAAM: Baada ya tetesi nyingi kuvuma mitandaoni, zikidai kuwa ndoa ya msanii wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chande ‘Dogo...

READ MORE

TOP 5 MASTAA WAKIKE WANAOKIMBIZA BONGO FLEVANI

BONGO kwa sasa kuna wanamuziki wa kike wengi ambao kazi zao zinafika mbali na wanafanya vizuri, hii chini ni Top...

READ MORE

NICKI MINAJ ‘AMBLOCK’ CARDI B

SI unakumbuka kale ka msemo ka mafahari wawili hawakai zizi moja? Basi unaambiwa siku chache baada ya staa wa kike...

READ MORE

AKOTHEE ATAMBA KUWA NA ‘MABODIGADI’ 20

  KAMA ulikuwa unajua msanii Eric Omondi haishiwi vituko nchini Kenya, basi jua ulikuwa ukijidanganya sana! Taarifa ikufikie kuwa, staa...

READ MORE

CHIN BEES ALIMVURUGA KALIGRAPH JONES, AKASHOBOKEA KOLABO!

MUZIKI ume-kuwa na ladha tofauti-tofauti, achana na ile ‘kubung-kubang’ iliyozo-eleka zamani, kwa sasa miongoni mwa staili zinazo-tamba zaidi ni ‘trap’.  Hapa...

READ MORE

VEE MONEY MWANASHERIA ANAYEKIMBIZA KWENYE MUZIKI

 ILE asubuhi wakati ulipoamka unakumbuka kwamba giza lililopita umeota ndoto nzuri inayokufanya utabasamu. Ni ndoto kuhusu mustakabali wa maisha yako ya...

READ MORE

USHUHUDA WA MUNA KUTIKISA DUNIA – VIDEO

Muigizaji maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love, amepanga kutoa ushuhuda wa maisha yake siku ya Jumamosi katika ukumbi...

READ MORE

Kanye Amwomba Radhi Drake Kumaliza Bifu Kati Yao

Kanye na Drake. Rapa Kanye West amemwomba radhi mwimbaji mwanzake, Drake,   kupitia mtandao wa Twitter akitaka wamalize bifu ya muda mrefu kati yao....

READ MORE

NUH MZIWANDA APOTEZWA NA LAANA

MWANAMUZIKI Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, ni mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye mbali na kazi nzuri anazofanya aliingia kwenye masikio, macho...

READ MORE

ZABIBU KIBA MJAMZITO?

DADA wa msanii wa Bongo Fleva, Ally Saleh Kiba ‘Alikiba’, Zabibu Kiba amedaiwa kunasa ujauzito na kwamba tayari kitumbo kimeanza...

READ MORE

RASTA ZA DIAMOND PLATNUMZ ZASHANGAZA

MUONE-KANO mpya wa mwana-muziki Nasibu Abdul ‘Diamond PlatnumZ’ umezua gumzo, baada ya picha zake mbalimbali kusambaa kwenye mitandao ya kijamii...

READ MORE

ROSE NDAUKA AFUNGUKA UKIMYA WAKE

MUIGIZAJI mwenye mvuto Bongo Movies, Rose Ndauka amefungukia ukimya wake wa muda mrefu na kusema kuwa majukumu yameongezeka na ndiyo...

READ MORE

AUNTY LULU AAPA KUMLOGA DIAMOND

MSANII wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza kuwa licha ya staa wa...

READ MORE

OMMY DIMPOZ AFANYIWA DUA NZITO NA MASHEHE

KUFUATIA hali yake ya kiafya kuwa mbaya, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefanyiwa dua ya nguvu na...

READ MORE

Kim Kardashian Apuuza Uvumi wa Kutembea na Drake

STAA mtangazaji wa televisheni wa Marekani,  Kim Kadarshian amepuuza  uvumi uliozagaa kwamba ana uhusiano wa siri wa kimapenzi na rapa Drake. Uvumi...

READ MORE

Diamond Afunguka: Unataka Uniloge Mimi na Mama Yangu? – Vodeo

STAA wa muziki Bongo, Diamond Platnumz amejibu kuhusu voice note inayosambaa mtandaoni ambayo inadaiwa kuwa ni ya Hamisa Mobetto akipanga...

READ MORE