×

Celebrities

Cassper Nyovest Rapa Pekee Anayemiliki Ndege Afrika

HAKUNA ubishi kwamba Cassper Nyovest ni miongoni mwa marapa wakubwa zaidi Afrika Kusini kwa sasa kutokana na mafanikio aliyoyapata kwenye...

READ MORE

Maya Afunguka Kumchamba JB

STAA wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefu-ngikia maneno yake aliyoy-aweka mtandaoni na kuzua tafrani kuwa amemmchamba mwigizaji mkongwe,...

READ MORE

Shoo Nyepesi Kabisa Hii! Yanga vs Wolaitta Dicha Leo

YANGA ina saa moja na dakika 30 tu za kujenga heshima Afrika leo Jumatano saa 10:00 jioni watakaporudiana na Wolaitta...

READ MORE

DAZ BABA AFUNGUKA CHANGAMOTO ZA MAISHA ZILIVYOMPOTEZA

DAZ Baba ni miongoni mwa majina yaliyotikisa kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva mwanzoni mwa miaka ya 2000. Jina...

READ MORE

Wema, Riyama Wawaumbua Washakunaku!

WAKATI habari zikienea mitandaoni na mitaani kwamba mastaa wawili wa filamu, Wema Isaac Sepetu na Riyama Ally wako kwenye bifu,...

READ MORE

Moni Awaka Kisa Kiki

RAPA anayefanya vizuri kwa sasa kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop Bongo, Awadhi Mtezo ‘Moni Central Zone’, amewaka kisa...

READ MORE

SAUZ HAKUNA ‘KIBA WALA DIAMOND’ – 2

UNAPOZUNGUMZIA muziki kwa nchi ya Afrika Kusini upo tofauti, kila msanii anakubalika kutokana na jiji analotoka tofauti kabisa na Tanzania...

READ MORE

Country Boy: Bila Bifu Hakuna Muziki

RAPA Ibrahim Mandingo anayefahamika zaidi kwa jina la ‘Country Boy’, amefunguka kwamba bila wanamuziki kuwa na bifu hakuna msisimko kwenye...

READ MORE

Mke wa Rommy Afunguka Mumewe Kumtongoza Najma!

WIKIENDI iliyopita, mume wa mtu, Romeo Jones ‘Rommy’ ambaye ni kaka na DJ wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

SAUZ HAKUNA ‘KIBA WALA DIAMOND’

NDANI ya Jiji la Johan-nesburg, Afrika Kusini au Sauz hali ya hewa inasoma nyuzi joto 13, baridi ni kali sana...

READ MORE

‘KUFULI’ LA NANDY LILIVYOACHA GUMZO

KEJELI na vijembe vimetawala wikiendi iliyopita baada ya kuvuja kwa video ya wasanii wa Bongo Fleva, Faustine Charles ‘Nandy’ na...

READ MORE

IMEVUJA: VIDEO YA DIAMOND NA MOBETO WAKIJIACHIA KITANDANI

IMEVUJA! Video inayomuonyesha msanii maarufu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Paltnumz’ na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto imesambaa mitandaoni ikiwaonyesha...

READ MORE

MONALISA AREJEA NCHINI NA TUZO YAKE – VIDEO

MSANII wa Bono Movies, Monalisa amejea nchini alfajiri ya leo Jumatatu, Aprili 16, 2018 akitokea Ghana ambako ameshinda Tuzo ya...

READ MORE

Shamsa Afunguka kumpeleka X wake kwa Makonda

  MSANII wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amesema kuwa siku akitibuka atampeleka moja kwa moja mzazi mwenzie Dickson Matoke...

READ MORE

WOLPER: Harmonize Hapindui Kwangu, Sarah Atulie tu

STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper baada ya kudaiwa ‘kumendea’ penzi la mwanamuziki Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ na mpenzi wake...

READ MORE

Kwa Life Style Yake, Dimpoz Anaacha Maswali!

NI kijana flani hivi mtanashati, kipenzi cha kinadada, akicheka mashavuni anabonyea pia ana sauti nzuri anaposikika nyuma ya biti. Anamiliki...

READ MORE

Google Wamfanyia Party John Legend

MTANDAO wa Google kupitia wawakilishi wake nchini Marekani hivi karibuni umeamua kumfanyia sherehe mwanamuziki anayekimbiza kwenye gemu la Muziki wa...

READ MORE

Johari: Nitaenda kwa Makonda Kusema Nimeachwa

MUIGIZAJI mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ametoa kali ya mwaka baada kusema kuwa na yeye atakwenda...

READ MORE

LEBO 7 ZA KIBABE ZINAZOTIKISA AFRIKA

WCB ENZI zile wakati muziki wa Bongo Fleva unakua, miongoni mwa lebo zilizokuwa zinasimamia kazi za wanamuziki na kutengeneza kazi...

READ MORE

Katika Hili, Riyama Ulitakiwa Kuchutama

NI ukweli usiopingika kwamba utakapowataja wasanii wa kike Bongo wanaofanya vizuri, jina la mwanadada Riyama Ally haliwezi kukosekana. Binafsi namfahamu...

READ MORE

Mali za Jay Z ni Kufuru

KATIKA Tasnia ya Muziki anafahamika kwa jina la Jay Z, lakini mama yake mzazi Gloria Carter, alipomzaa alimuita Shawn Corey...

READ MORE

Kiben Ten Amchumbia Blac Chyna Instagram

MPENZI mpya wa mwanadada anayekimbiza kwenye ulimwengu wa mitindo, Blac Chyna, 29, anayefahamika kwa jina la YBN Almight Jay, mwenye...

READ MORE

Young Killer na Mkenya Kukinukisha Leo Dar

RAPA anayefanya vizuri Bongo, Young Killer na msanii Khaligraph Jones kutoka nchini Kenya wanatarajia kukinukisha kwa kusherekea Kumbukumbu ya siku...

READ MORE

Hackers Waondoa Wimbo wa Despacito YouTube!

HATARI sana! Mtandao wa YouTube umeingiliwa na wadukuzi ‘hackers’ walioondoa wimbo uliofanya vizuri zaidi kwa kutazamwa na zaidi ya watu...

READ MORE

Amtaka Mwakyembe Kuwashughulikia Nandy, Bill Nas

  MHADIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Mshauri wa Masuala ya M,ahusiano Dkt. Chris Mauki amefunguka...

READ MORE

EXCLUSIVE: Patoranking Ampa Shavu Msanii wa Bongo – Video

MSANII maarufu wa Nigeria, Patoranking ametua Bongo kwa ajili ya kumtambulisha msanii mpya wa Tanzania, Walid ambaye amemsainisha kwenye Record...

READ MORE

Lupita Nyong’o Asingeigiza Angefanya Kazi ya Masaji!

“NIKIWA binti mdogo mama yangu aliwahi kuniambia kwamba, uzuri hauliwi na hauwezi kumletea mtu yoyote mabadiliko katika maisha. “Kinachoweza kumletea...

READ MORE

Huddah Anasa kwa Njemba wa Kiarabu

MWANADADA mwenye jina kubwa kwenye mitandao ya kijamii, Hudah Monroe, ameweka wazi kwamba yupo kwenye uhusiano na mwanamume wa Kiarabu...

READ MORE

Neema wa Wema Hapigiwi Anacheza!

  MSIMAMIZI wa kazi za staa mkubwa wa Filamu Bongo, Wema Sepetu, Neema Ndepanya amesema kuwa yeye hana desturi za...

READ MORE

Rihanna kwa Utajiri Alionao, Analala Saa 4 tu Usiku

KUNA muda unaweza kufika ukajiuliza mwanadada Rihanna, ambaye ni mwanamuziki maarufu duniani, kutokana na umaarufu wake, mafanikio ya kifedha na...

READ MORE

ETI ROSA REE ANACHUKIA KUTONGOZWA

M WANAMUZIKI wa kike ambaye anafanya vizuri kwa sasa kupitia anga la muziki wa Bongo Flava, Rose Robart ‘Rose Ree’,...

READ MORE

Vee Money: Sasa Tunabanana Hapahapa Bongo!

MWANA-DADA anayekimbiza na albamu ya Money Mondays, Vanessa Mdee ‘Vee Money’, amefunguka kuwa kutokana na maprodyuza wa video za muziki...

READ MORE

RAY kwa Mwanaye Humwambii kitu!

LEGENDARI wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa tangu amekuwa baba, ratiba yake ya kurudi nyumbani imebadilika tofauti...

READ MORE

Aunt Ezekiel Inatosha kumlilia Kanumba!

STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa hakuna sababu ya kulia kila siku kuhusiana na kifo cha aliyekuwa...

READ MORE

DAVINA akiolewa tena, Maya anaandamana

MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa, siku mwigizaji mwenzake, Halima Yahya ‘Davina’...

READ MORE

Filamu ya Chemical vs Wema

THE Goethe Institut (Institute) ni taasisi iliyo chini ya Serikali ya Ujerumani. Ilianzishwa mwaka 1951. Makao makuu yake yapo jijini...

READ MORE

Kalio Lampatia Aunty Lulu Wachumba Watatu

KATIKA hali ya kushangaza, mwanadada ambaye ni mtangazaji wa zamani wa runingani na msanii wa filamu za Kibongo, Lulu Semagongo...

READ MORE

Masogange Sasa Chunga Sana Nyendo Zako!

KWAKO mrembo uliyechipukia kwenye kilinge cha u-video queen, Agness Gerald almaarufu Masogange. Mambo vipi? Habari za siku? Kitambo kidogo sijakutia...

READ MORE

Z Anto atamba kufuta vumbi ‘kiti’ chake

HIVI jifikirie duniani kusingekuwa na muziki wa aina yoyote ile maisha yangekuwaje? Kungekuwa na raha kweli? Watu wangewatumia nini wapenzi...

READ MORE