×

Celebrities

Chuchu, Ray Kimenuka!

DAR ES SALAAM: MSANII wa filamu nchini Chuchu Hans, amezinguana na mzazi mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’ huku chanzo kikidaiwa ni...

READ MORE

 Chanzo Uwoya Kutembelea Magongo

SIKU chache baada ya kusambaa picha zinazomuonesha mrembo wa filamu nchini Irene Uwoya, akitembea kwa kutumia magongo, imebainika kuwa chanzo...

READ MORE

Haitham Akiri Kuishi kwa Kudanga, Asimulia Mazito!

HAITHAM Kim ni moja kati ya wasanii wanaokuja kwa kasi kunako anga la Bongo Fleva, amefanya vizuri kupitia ngoma zake...

READ MORE

Alikiba, Msaga Sumu Ndani ya Azam

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mashabiki wasikose kesho kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Azam Complex kwenye kilele cha Azam...

READ MORE

Hamisa Mobeto Afunguka Kumzalia Watoto Watano Diamond

Wakati ndoa ya staa mkubwa wa muziki barani afrika, Nasibu abdul ‘Diamond Platnumz’ ikinukia, habari mpya ni kwamba mzazi mwenzake,...

READ MORE

Mzee Yusuf Asimulia Walivyoanza Kula Wali

MFALME wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuf, amesema kuwa alipojiunga na Bendi ya East Africa Melody Taarab akiwa mpiga...

READ MORE

Kauli ya Makonda Baada ya Kukosa Ubunge

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi imetangaza wateule wa nafasi za Ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 huku jina...

READ MORE

Uchebe Afunguka Kurudiana na Shilole

l MUME wa msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe amefanya mahojiano maalum (exclusive) na IJUMAA WIKIENDA, ambapo...

READ MORE

Mondi, Kiba Watajwa Amani Kongo

  Mastaa wawili wa muziki kutoka nchini Tanzania wanaofanya vizuri zaidi katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Nasibu Abdul...

READ MORE

Jike Shupa Aapa Kumng’oa Linah kwa Morrison

Baada ya kusambaa kwa picha zikimuonesha mwanamama wa Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ akijiachia na mchezaji matata wa Simba, Benard...

READ MORE

Faiza Aibu Zangu Zimenifikisha Mbali

MREMBO ambaye alijiingiza pia kwenye uigizaji; Faiza Ally, amefunguka kuwa kila kitu alichopitia maishani pamoja na aibu zote alizokumbana nazo...

READ MORE

Mavoko Aibuka na Mapya ya Lulu Diva!

Dar: Msanii wa Bongo Fleva, Richard Martin ‘Rich Mavoko’ amesema siyo kweli kwamba ana uhusiano wa kimapenzi la mwenzake, Lulu...

READ MORE

Mzee Chilo Aomba Vifaa vya JWTZ!

Dar: Mkongwe wa filamu za Kibongo, Ahmed Ulotu ‘Mzee Chilo’ ameiomba Serikali kuwapatia wasanii majengo na vifaa vya Serikali ikiwemo...

READ MORE

Romy Jones Afunguka Msemo wa ‘Awoote’

Dar: DJ rasmi wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Romy Jones amefunguka, hawezi kuzuia watu kutumia msemo wake wa...

READ MORE

Nandy, Rayvanny Kitanuka Muda Wowote!

Dar: Sexy lady wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ na mkali mwezake, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, wako tayari kukinukisha muda wowote....

READ MORE

Harmo Akataa Malumbano ya Bangi na Wasafi

Dar: STAA wa muziki wa Bongo Fleva na bosi wa Lebo ya Konde Gang Music Worldwide, Rajab Abdul Khahali ‘Harmonize’...

READ MORE

Mchumba wa Mondi, Binti wa Tajiri Mkubwa Rwanda Aibuliwa!

Baada ya mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutangaza kufunga ndoa Oktoba 2, mwaka huu, kitendawili kikubwa kimekuwa...

READ MORE

Ukaribu wa Diamond, Zuchu Kuna Usalama Kweli?

MWAKA 1988, mwanamuziki nyota nchini Marekani, Mariah Carey, alikutana na bosi wa lebo ya Sony Music, Tommy Mottola, ndani ya...

READ MORE

R. Kelly Azidi Kuandamwa na Majanga

WATU watatu wamekamatwa na kushitakiwa kutokana na kuhusika kujaribu kuwapa rushwa  na kuwatishia maisha wanawake ambao walimshitaki R. KELLY kwenye...

READ MORE

Kanye West Akubali Yaishe na Jay-Z!

RAPA wa kiwango cha dunia kutoka ardhi ya Donald Trump, Marekani, Kanye Omari West ‘Kanye West’ amekubali yaishe kwa hasimu...

READ MORE

Jide Amekuwa Mlezi wa Wana!

JUDITH Wambura Mbibo almaarufu Lady Jaydee au Jide, ni mwanamuziki mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva. Kipaji chake kiligundulika akiwa...

READ MORE

Zari Atunukiwa Tuzo Kubwa Afrika

Mfanyabiashara na nyota wa mtandaoni ‘socialite’ kutoka Uganda, Zari ‘Boss Lady’ Hassan ndiye mshindi wa mwaka huu wa tuzo za...

READ MORE

Zari Amkata Maini Mobeto

MWANAMAMA mjasiriamali na mzazi mwenzake na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

Ben Pol, Mrembo Bilionea Kimenuka!

Mamb o sio mambo! Staa wa Bongo Fleva, Benard Paul ‘Ben Pol’ na yule mkewe bilionea wa Kenya, Anerlisa Muigai...

READ MORE

 Minu Aapa Kumuoa Snura!

MPENZI wa mwanamuziki wa Singeli nchini, Snura Mushi, Minhal Azad ‘Minu’ amesema kuwa, atakuwa mjinga aliyepitiliza kama hatamuoa mpenzi wake...

READ MORE

Shilole: Nimemalizana na Uchebe, Nikipata Mume Naolewa

MSANII wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ au ‘Shishibaby’ ameweka bayana kuhusu alivyomsaidia aliyekuwa mume wake, Uchebe ,...

READ MORE

Shilole: Ray Alikuwa Mteja Wangu, Nilimwambia Mi’ Mzuri Kuliko Uwoya

STAA wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ au ‘Shishibaby’ ametoboa siri namna ambavyo alisaidiwa na msanii wa Bongo...

READ MORE

Shilole: Uchebe Amenidunda Mara 26, Mpaka Mbwa Akaamka

STAA wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ au ‘Shishibaby’ ameamua kuvunja ukimya na kufunguka alivyokuwa akipigwa na kunyanyaswa...

READ MORE

Shilole: Simjui Baba Yangu, Nilikuwa na Ndoto ya Urubani

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ au ‘Shishibaby’ ameamua kuvunja ukimya na kuanika kwamba tangu akiwa mdogo...

READ MORE

Zuchu Amfunika Kiba

Msanii anayekuja kwa kasi kunako gemu la Bongo Fleva, Zuhura Othman Kopa ‘Zuchu’, amewafunika wasanii wengine wengi akiwemo Ali Saleh...

READ MORE

The Rock Awa Muigizaji Aliyelipwa Mkwanja Mkubwa 2019/20

Kwa mwaka wa pili mfululizo, Dwayne Johnsonanayefahamika zaidi kama The Rock ametajwa kuwa Muigizaji aliyelipwa zaidi kwa upande wa Wanaume....

READ MORE

Gigy Money Aongoza Mapokezi ya Mpinzani wa Mwakinyo – Video

BONDIA kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Tshibangu Kayembe usiku wa kuamkia leo Agosti 12, 2020 amewasili nchini kwaajili ya...

READ MORE

Cardi B Ammwagia Sifa Nicki Minaj

RAPA machachari wa kike nchini Marekani, Cardi B, amemwagia sifa hasimu wake kwenye rap, Nicki Minaj, kwa kutawala muziki katika...

READ MORE

Kesi ya Idris, Mwenzake Yakwama Kortini

KESI  inayomkabili mchekeshaji maarufu nchini, Idris Sultan, na mwenzake, Innocent Maiga, imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo...

READ MORE

Kisa Bangi, Harmonize Hajanisalimia Miaka 3 – Sallam SK

MENEJA wa kimataifa wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Sallam SK kutoka lebo ya WCB, ameamua kuweka wazi bifu...

READ MORE

Gigy: Nilishatoa la Moyoni

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema sasa hana tena kinyongo moyoni mwake na msanii mwenzake...

READ MORE

Mondi Amrudisha Aunt kwa Iyobo

  MSANII Nasib Abdul ‘Diamond’, ni kama amejipa kazi ya kuwapatanisha dansa wake Mose Iyobo na staa wa filamu Bongo,...

READ MORE

Johari Bado Hajampata Mtu Sahihi Maishani!

BLANDINA Chagula ‘Johari’ si jina geni kabisa kwa wapenzi wa filamu na wadau wa sanaa Bongo kutokana na kujihusisha na...

READ MORE

Ebitoke: Sina Wivu na Wachekeshaji Chipukizi

MSANII wa vichekesho Bongo, Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ amesema hana wivu hata kidogo na wasichana wanaochipukia katika uchekeshaji kwa sababu na...

READ MORE