×

Celebrities

Shilole Ageuziwa Kibao Kipigo cha Uchebe!

DAR: Sakata la staa wa filamu na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kuchezea kipigo kutoka kwa mumewe, Ashraf Uchebe linazidi...

READ MORE

Simba vs Yanga ‘Zinawatesa’ Mastaa Mitandaoni

SOKA ni moja kati ya michezo inayoongoza kwa kupendwa. Kuwa shabiki wa mpira ni kama vile kile kilevi, huachi kutaka...

READ MORE

Mjengo wa Naira Marley Hatari!

  RAPA anayekuja juu kunako muziki wa Afrika akitokea Nigeria, Azeez Adeshina Fashola ‘Naira Marley’, amedo ndosha balaa la mjengo...

READ MORE

Flavian Matata Anavyorudisha kwa Jamii!

  MWANAMITINDO wa kimataifa wa Bongo, Flaviana Matata ‘Flav’ anaendelea kuwa mfano wa mastaa wanaorudisha kwa jamii baada ya kuzindua...

READ MORE

Hush: Tapeli Hatari Duniani, Matukio na Utajiri Wake Usipime!

  JINA la Ray Hushpuppi ‘Hush’ limekuwa maarufu mno masikioni mwa wengi duniani. Likitajwa jina hili, baadhi ya mabilionea wanashtuka....

READ MORE

Esma Amfanyia Petit Kitu Mbaya!

IRINGA: Esma Khan ni dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye anadaiwa kumfanyia kitu mbaya aliyekuwa...

READ MORE

Lulu Diva Siwezi Kutoka na Vijana Marioo

Sexy lady kunako Bongo Fleva, Lulu Abas ‘Lulu Diva’, ameweka wazi kuwa anapenda sana hela na hivyo hawezi kutoka na...

READ MORE

Dogo Janja Ampa Heshima Madee

  Rapa  kutoka kiwanda cha Hip Hop Abdul Chande ‘Dogo Janja’, amempa heshima mwanamuziki Hamadi Ali ‘Madee’ kuwa ni mbali...

READ MORE

Young Killer Ammwagia Sifa Wolper

Rapa kunako kiwanda cha Hip Hop, Young Killer ammwagia sifa za kumkubali sana aliyekuwa mpenzi wake, mwanama kunako Bongo Muvi...

READ MORE

JB Amwaga Mil 400 Kwenye Tamthilia!

MUITE DJ Benny, Bonge la Bwana, Eric Ford na mengine mengi. Huyu ni muigizaji mkubwa na wa kitambo kunako Bongo...

READ MORE

Maua Amzima Nandy kwa Mjengo!

MWANADADA anayefanya poa kunako Bongo Fleva; Maua Sama, anadaiwa kumzima mwanamuziki mwenzake, Faustina Charles ‘Nandy’ kwa mjengo. Hii ni baada...

READ MORE

Ndinga jipya la Zari Lamtoa Povu Tanasha

JAMBO limezua jambo! Mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna, ametoa povu, kisa ndinga...

READ MORE

Mondi, Kiba Wameacha Simulizi Dodoma

WASHINDANI wawili kunako Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, wameacha gumzo jijini Dodoma walipohudhuria...

READ MORE

🔴#LIVE: Diamond Amwandalia Zuchu Bonge la Shoo DZM

LEBO ya muziki ya Wasafi Classic  Baby (WCB) inayomilikiwa na msanii Diamond Platnumz imetangaza kufanya shoo ya kuwashukuru Watanzania na...

READ MORE

Mondi Ampagawisha Zari ‘Ndinga’ la Mil. 300

DARESSAL AA M: KITENDO cha staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au Mondi kumnunulia mzazi mwenzake, Zarinah Hassan...

READ MORE

Kipigo cha Uchebe, Shilole Afukua Makaburi

KELELE nyingi zinasikika kila kona nchini Tanzania juu ya kipigo ‘hevi’ cha staa wa muziki na sinema za Kibongo, Zuwena...

READ MORE

Barakah: Sitaki Kusikia Rockstar

“WAKATI nalainisha moyo kupenda, siyo kama ninakosea… Ipo sababu ya mimi kurejesha namba ambayo ilipotea… Hali ya mtoto kumsusa mama...

READ MORE

Jamaa Wazidi Kumkazia Meek Mill

JAMAA wa Kampuni ya Dream Rich Entertainment wamezidi kumkazia kinoma staa wa muziki wa Marekani, Meek Mill kwa madai ya...

READ MORE

Kajala: Sitamsahau Wema Hadi Kaburini

DAR: Staa mwenye viwango vyake kunako Bongo Movies; Kajala Masanja, ametamka waziwazi kuwa; “Sitamsahau Wema hadi nakufa!” Kajala ameamua kuweka...

READ MORE

Trump: Kanye West Anaweza Kuwa Rais!

HARAKATI za mwanamuziki Kanye West wa Marekani kutaka kuwa Rais wa nchi hiyo zilianza siku nyingi kabla ya wikiendi iliyopita...

READ MORE

Wolper Amtuliza Sarah kwa Harmonize!

DAR: Kiroho safi! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe, amemtuliza mwandani wa staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul...

READ MORE

Alikiba, Diamond Wakutana CCM – Video

WASANII nguli wa Bongo Fleva, Alikiba na Diamond Platnumz, ni miongoni mwa wasanii walioalikwa na kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Taifa...

READ MORE

Gigy Awachefua Mashabiki

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ mapema wiki hii amewakera mashabiki zake mtandaoni baada ya kuposti...

READ MORE

Zari Alilia Mapenzi

MZAZI mwenziye Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ametoa kauli inayoashiria moja kwa moja, ana kiu...

READ MORE

Dayna: Siwezi ‘Kum-copy’ Zuchu

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Mwanaisha Nyange ‘Dayna’, amefunguka kuwa hawezi kuiga style ya uimbaji wa Zuchu. Akizungumza na Amani, Dayna...

READ MORE

Lulu Diva Akoshwa na Nyimbo za Marioo

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Lulu Abas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa anapenda kusikiliza nyimbo za msanii mwenzake Omary Mwanga...

READ MORE

Rachel Siwezi Ku-date na Msanii

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Winifrida Joseph ‘Rachel’ amesema katika maisha yake, hajawahi na wala hatarajii kutoka kimapenzi na...

READ MORE

Utata Mpya Watoto wa Diamond!

KWENYE familia ya mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ hakukauki mambo ambapo mjadala mkubwa kwa sasa ni utata...

READ MORE

Top 5 Wasanii Wenye Albamu Nyingi Bongo

KATIKA mafanikio ya kukuza kazi za msanii na kujivunia, kimoja wapo ni kuwa na album.  Album imekuwa ni kama utambulisho...

READ MORE

Rayvanny Anabebwa na Diamond?

RAYMOND Mwakyusa almaarufu kama Vanny Boy au Rayvanny, ni moja ya wasanii wakali Bongo Flevani kutoka kwenye lebo kali ya...

READ MORE

Bushoke Amrudisha K-Lynn Kwenye Game

KAMA ilivyokawaida mpendwa msomaji wa kolamu hii ya Yupo Wapi kukuletea waliowahi kuwa mastaa na kisha kupotea, ambapo leo nimekuletea...

READ MORE

Jide Ataka Uchebe Akamatwe, Apigwe!

STAA wa muziki nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’, ametaka Ashrafu Sadiki aliyekuwa mume wa msanii mwenzie Shilole akamatwe na kupigwa...

READ MORE

Zari Amshukuru Mondi kwa Kumnunulia Gari ‘Asante Baba T’

JE, Diamond na Zari wamerudiana? Wawili hao wamekuwa katika mahusiano mema hivi majuzi baada ya Diamond na Zari kukosana na...

READ MORE

Mama Kubwa Achumbiwa na Mdogo wa Uwoya

MSANII wa filamu za Kitanzania, Mariam Ismail ‘Mama Kubwa’ hivi karibuni ushosti wake na staa wa filamu Irene Uwoya umebadilika...

READ MORE

Gigy Money Kurudi Shule

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amesema kwamba, ameamua kurudi shule ili atimize malengo yake ambayo...

READ MORE

Wema Akiri Kuwa na Miguu Mibaya

STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema kuwa anajijua kuwa ana miguu mibaya, lakini hiyo isiwafanye watu kuwa ndiyo...

READ MORE

Shilole ‘Alia’ na Kipigo Kutoka kwa Mumewe

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohamed, maarufu kama Shilole, ameamua kuweka wazi matatizo ya ndoa yake...

READ MORE

Shilole Adundwa na Mumewe, Asimulia Mazito!

  Mwanamuziki Zena Mohammed maarufu Shilole ametangaza kuachana na mume wake, Uchebe, kwa sababu amekuwa akimpiga mara kwa mara bila...

READ MORE

Exclusive! Wema Aibuka na Kipigo cha Mondi

KWA walioimisi ile kapo ya kihistoria Bongo ya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mrembo mwenye nyota zake mjini, Wema...

READ MORE