×

Celebrities

Kusah: Mimi na Aunt Acha Lizame!

“WE umenikaa, umenikaa kwa roho… Nafsi mpaka akili yangu… We dada umenibamba mmmh mhh… Ooh darling, halafu tumetokaga mbali mmh…...

READ MORE

Nyoshi Aja Kivingine!

MKALI wa Dansi Bongo ambaye ni Prezidaa wa Bendi ya Bogoss Musica, Nyoshi El Saadat amekuja kivingine ambapo anatarajia kuzindua...

READ MORE

Yusuf Mzee Kumwaga Kila Kitu Dar Live

NI miezi kadhaa imepita tangu atangaze kurejea mjini, Mzee Yusuf ambaye pia awali alikuwa Mkurugenzi wa Jahazi Modern Taarab, hatimaye...

READ MORE

Tanasha Atangaza Balaa Zito!

MZAZI mwenza wa staa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna ametangaza balaa zito. Hivi karibuni Tanasha...

READ MORE

Kipigo cha Kanumba Chambadili Lulu!

WAKATI bado kukiwa na mjadala mzito juu ya kipigo alichokipata staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kutoka...

READ MORE

Kajala Afanyiwa Sapraizi Kubwa “Nitashika Mimba Soon” – Video

STAA wa Bongo Movies, Kajala Masanja amejikuta akiduwaa baada ya marafiki zake wakiongozwa na shosti yake, Lamatha kumfanyia sapraizi kwenye...

READ MORE

Hatimaye Jeuri ya Zuchu Yaanikwa!

WAKATI wadau wa burudani na Watanzania kwa ujumla wakipigwa butwaa na ‘memba’ mpya wa Lebo kubwa ya muziki Wasafi Classic...

READ MORE

Zari Afufua Uchawi wa Mobeto!

MAJIBIZANO ya mchekeshaji Idris Sultan na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ yameibua mazito, yamefukua makaburi. NI MWENDELEZO WA CHUKI...

READ MORE

Wolper Ajiweka kwa ‘Kitoto’

MLEZI wa wana? Ndivyo unavyoweza kujiuliza baada ya staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Masawe kujiweka kwa mara nyingine kwa...

READ MORE

Rayvanny Atisha Cuppy, Rema!

STAA mwingine wa Bongo Fleva kutoka Usafini WCB, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ ambaye anatesa Afrika Mashariki, sasa ametisha kule Afrika Magharibi...

READ MORE

Zair Atumia Watoto Kumvuta Mondi Geto!

ZARINAH Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ni mwanamama mrembo. Ni mfanyabiashara mwenye makazi yake pale Durban, Afrika Kusini. Zari ni...

READ MORE

Zuchu Amwaga Machozi Baada ya Kupewa Ndinga na Mondi

    Staa wa muziki nchini, diamond Platnumz amemzawadia Zuchu gari mpya aina ya Toyota Vanguard hapo jana katika show...

READ MORE

Mrembo Mpya wa Diamond, Mama Dangote Atoboa SIRI

Tukubali, tukatae!! Miongoni mwa mastaa bongo ambao wamefanikiwa kuteka hisia za mashabiki wengi wa burudani, Jina la Diamond Platnumz siku...

READ MORE

Harmonize Dizaini Flani Kama Kashauelewa Muziki

Ni miaka michache imepita tangu msanii Rajab Abdul “Harmonize” wengi wanamuita Konde Boy au Jeshi , atoke rasmi kundi la...

READ MORE

Zuchu: Bado Siamini Kama Nipo Wasafi!

  “KUKUHINI kusokwisha umeangukia pemani… Roho yanidadarika kanshatoka shetwani.. Nimeumbiwa makosa mwanadamu na mimi… Moyo umekunja ndita nakumis jamani.. Ngumu...

READ MORE

Mastaa Hawa Wamekwepa Mishale Mingi!

  KWENYE uwanda wa burudani Bongo hii, kumekuwa na wimbi la wasanii wengi na wanaofanya vizuri. Miaka ya nyuma waliibuka...

READ MORE

Maisha Mapya ya Kiba, Mondi!

  DAR: Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa wawili ndani ya Bongo Fleva; Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Siri Mastaa Kujitosa Ubunge Yafichuka!

DAR: Wakati mbio za Uchaguzi Mkuu mwaka huu zikizidi kushika kasi, nafasi ya ubunge imetia fora kwa kuvutia mastaa wengi...

READ MORE

Wasanuii wa Kike Wenye Pesa Ndefu Bongo

  KWA wasanii wa kiume, Nasibu Abdul ‘Dimaond Platnumz’ ndiye anayetajwa kuongoza kwa kuwa na mkwanja mrefu zaidi lakini hata...

READ MORE

Buti la Jeje Linavyotrendi Mjini!

KARIBU mpenzi msomaji wa safu hii pendwa ya FASHENI. Wiki hii ninakuletea fasheni ya viatu vikubwa ambavyo vinaweza kuwa ni...

READ MORE

Shilole Ageuziwa Kibao Kipigo cha Uchebe!

DAR: Sakata la staa wa filamu na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kuchezea kipigo kutoka kwa mumewe, Ashraf Uchebe linazidi...

READ MORE

Simba vs Yanga ‘Zinawatesa’ Mastaa Mitandaoni

SOKA ni moja kati ya michezo inayoongoza kwa kupendwa. Kuwa shabiki wa mpira ni kama vile kile kilevi, huachi kutaka...

READ MORE

Mjengo wa Naira Marley Hatari!

  RAPA anayekuja juu kunako muziki wa Afrika akitokea Nigeria, Azeez Adeshina Fashola ‘Naira Marley’, amedo ndosha balaa la mjengo...

READ MORE

Flavian Matata Anavyorudisha kwa Jamii!

  MWANAMITINDO wa kimataifa wa Bongo, Flaviana Matata ‘Flav’ anaendelea kuwa mfano wa mastaa wanaorudisha kwa jamii baada ya kuzindua...

READ MORE

Hush: Tapeli Hatari Duniani, Matukio na Utajiri Wake Usipime!

  JINA la Ray Hushpuppi ‘Hush’ limekuwa maarufu mno masikioni mwa wengi duniani. Likitajwa jina hili, baadhi ya mabilionea wanashtuka....

READ MORE

Esma Amfanyia Petit Kitu Mbaya!

IRINGA: Esma Khan ni dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye anadaiwa kumfanyia kitu mbaya aliyekuwa...

READ MORE

Lulu Diva Siwezi Kutoka na Vijana Marioo

Sexy lady kunako Bongo Fleva, Lulu Abas ‘Lulu Diva’, ameweka wazi kuwa anapenda sana hela na hivyo hawezi kutoka na...

READ MORE

Dogo Janja Ampa Heshima Madee

  Rapa  kutoka kiwanda cha Hip Hop Abdul Chande ‘Dogo Janja’, amempa heshima mwanamuziki Hamadi Ali ‘Madee’ kuwa ni mbali...

READ MORE

Young Killer Ammwagia Sifa Wolper

Rapa kunako kiwanda cha Hip Hop, Young Killer ammwagia sifa za kumkubali sana aliyekuwa mpenzi wake, mwanama kunako Bongo Muvi...

READ MORE

JB Amwaga Mil 400 Kwenye Tamthilia!

MUITE DJ Benny, Bonge la Bwana, Eric Ford na mengine mengi. Huyu ni muigizaji mkubwa na wa kitambo kunako Bongo...

READ MORE

Maua Amzima Nandy kwa Mjengo!

MWANADADA anayefanya poa kunako Bongo Fleva; Maua Sama, anadaiwa kumzima mwanamuziki mwenzake, Faustina Charles ‘Nandy’ kwa mjengo. Hii ni baada...

READ MORE

Ndinga jipya la Zari Lamtoa Povu Tanasha

JAMBO limezua jambo! Mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna, ametoa povu, kisa ndinga...

READ MORE

Mondi, Kiba Wameacha Simulizi Dodoma

WASHINDANI wawili kunako Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, wameacha gumzo jijini Dodoma walipohudhuria...

READ MORE

🔴#LIVE: Diamond Amwandalia Zuchu Bonge la Shoo DZM

LEBO ya muziki ya Wasafi Classic  Baby (WCB) inayomilikiwa na msanii Diamond Platnumz imetangaza kufanya shoo ya kuwashukuru Watanzania na...

READ MORE

Mondi Ampagawisha Zari ‘Ndinga’ la Mil. 300

DARESSAL AA M: KITENDO cha staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au Mondi kumnunulia mzazi mwenzake, Zarinah Hassan...

READ MORE

Kipigo cha Uchebe, Shilole Afukua Makaburi

KELELE nyingi zinasikika kila kona nchini Tanzania juu ya kipigo ‘hevi’ cha staa wa muziki na sinema za Kibongo, Zuwena...

READ MORE

Barakah: Sitaki Kusikia Rockstar

“WAKATI nalainisha moyo kupenda, siyo kama ninakosea… Ipo sababu ya mimi kurejesha namba ambayo ilipotea… Hali ya mtoto kumsusa mama...

READ MORE

Jamaa Wazidi Kumkazia Meek Mill

JAMAA wa Kampuni ya Dream Rich Entertainment wamezidi kumkazia kinoma staa wa muziki wa Marekani, Meek Mill kwa madai ya...

READ MORE

Kajala: Sitamsahau Wema Hadi Kaburini

DAR: Staa mwenye viwango vyake kunako Bongo Movies; Kajala Masanja, ametamka waziwazi kuwa; “Sitamsahau Wema hadi nakufa!” Kajala ameamua kuweka...

READ MORE

Trump: Kanye West Anaweza Kuwa Rais!

HARAKATI za mwanamuziki Kanye West wa Marekani kutaka kuwa Rais wa nchi hiyo zilianza siku nyingi kabla ya wikiendi iliyopita...

READ MORE