×

Celebrities

Tunakosea Kumlinganisha Young Killer na Young Lunya

IMEKUWA ni jambo jema sasa kwa mashabiki wengi na vyombo vya habari hususan redio na televisheni huwa wanajaribu kuwalinganisha wasanii...

READ MORE

Tanasha kuwakutanisha Diamond, Harmonize!

  Mwanamuziki anayekuja resi kwenye muziki wa Kizazi Kipya; Tanasha Donna Oketch, anadaiwa kupanga kuwakutanisha mastaa kibao wa muziki huo...

READ MORE

Kuhamia Nyumba Mpya… Mobeto Yamkuta

DAR ES SALAAM: Baada ya picha za mjengo wake mpya uliopo maeneo ya Mbezi Beach, Dar kuvuja, mrembo Hamisa Mobeto...

READ MORE

MAMA: Sitaki Kuhusishwa na Wema

  MZAZI anaposema hataki kuhusishwa na mambo ya mwanaye, Kibongobongo anakuwa anamaanisha nini; kwamba amemchoka au ametoa uhuru wa mtoto...

READ MORE

Lulu diva ataja siri kuvaa nusu utupu

KUTOKANA na hivi karibuni kuonekana kucharuka kwa kuvaa nusu utupu, staa wa muziki wa Bongo Fleva; Lulu Abasi ‘Lulu Diva’...

READ MORE

HARMO wimbo wake mpya… Matatani tena!

AMKENIII! Wimbo wake wa Hainistui umemtia matatani tena msanii maarufu Bongo, Rajabu Abdul Kahali a.k.a Harmonize au Harmo.  Dishi la...

READ MORE

MBIVU, MBICHI PENZI LA MARIOO, MIMI MARS

MARIOO jina lake halisi ni Omary Ally Mwanga. Huyu jamaa anatajwa kuwa ndiye mfalme ajaye wa muziki wa Bongo Fleva. ...

READ MORE

Video ya wema , Lulu diva yazua utata

VIDEO iliyosambaa kwenye Mtandao wa kijamii wa Instagram ya msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu na mwanamuziki, Lulu Abbasi ‘Lulu...

READ MORE

MUNA akana kutumia ulokole kuibia watu

BAADA ya madai kuzagaa kuwa anatapeli, msanii wa filamu Bongo, Rose Alphonce ‘Muna Love’ amekana kuwa hatumii kivuli cha ulokole...

READ MORE

Mbosso Amwagana na ‘Mkewe’, Amkumbuka Marehemu Martha

  HABARI zinazosambaa kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii zinadai kwamba msanii wa Bongo Fleva, Mbosso,  ameachana na mzazi mwenzake...

READ MORE

MAUA SAMA THT ILINIONDOA UOGA!

MAUA Sama ni miongoni mwa warembo ambao Kibongobongo wanafanya vizuri.  Amezungumza na Gazeti la Risasi Mchanganyiko mambo mengi yanayohusiana na...

READ MORE

Marioo Aibua Vita Mpya Mondi, Harmo

BWA’MDOGO anayefanya poa kwa sasa kwenye anga la Bongo Fleva, Omari Mwanga ‘Marioo’, ametajwa kuwaingiza kwenye vita mpya, mastaa wa...

READ MORE

Lyyn: Sina tatizo na Tanasha

MREMBO anayefanya poa kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, Irene Godfrey ‘Lyyn’ amefunguka kuwa yupo tayari kufanya ngoma na mzazi mwenzake...

READ MORE

Diana atamani kuwa Mama 2020!

  MSANII wa Bongo Muvi, Diana Kimari ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani, amesema anatamani sana mwaka huu aitwe mama...

READ MORE

Mauno Yasimamisha Ujenzi wa Barabara

DUNIA Uwanja wa Fujo ni riwaya iliyoandikwa na Euphrase Kezilahabi, ikielezea jinsi maisha ya duniani ni sawasawa na fujo! Ndivyo...

READ MORE

Huddah: Nimetembea na Kila Aina ya Wanaume

MSANII wa muziki, mwanamitindo na mfanyabiashara kutoka Kenya, Huddah Monroe, amefunguka na kusema kwamba ameshatembea na kila aina ya wanaume,...

READ MORE

Shilole Atangaza Nia Kugombea Ubunge Igunga 2020

MSANII wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameendelea kuwekea msisitizo kauli yake ya kugombea ubunge huko kwao Igunga...

READ MORE

Vanessa Ale Bata, Asisahau Muziki!

PENZI jipya lina raha yake wewe! Unaweza ukasahau hata kula au kuwaona na kuwasalimia wazazi wako kwa sababu tu unafurahia...

READ MORE

Darleen: Hee! Ndoa yangu imevunjika!?

“NILIJUA tu hawezi kudumu kwenye ndoa!” Ni maneno yaliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii wikiendi iliyopita ikidaiwa kuwa, ndoa ya msanii...

READ MORE

Baba Levo Akerwa na Diamond, ‘Ameleta Udini’

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na diwani wa kata ya Mwanga kaskazini Baba Levo amefunguka na kuonyeshwa kukerwa na...

READ MORE

Gigy Money na Tetesi za Kumpa Penzi Patrick Kanumba

BAADA ya kusambaa kwa tetesi mitandaoni kwamba msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anaminya kimalovee na mwigizaji wa...

READ MORE

Official Lyyn: Ntafanya Kolabo na Tanasha – Video

Msanii wa Bongo Fleva na Video Vixen maarufu Bongo, Official Lyyn, leo Jumatatu, januari 20, 2020, amefanya Exclusive interview na...

READ MORE

Ndoa Nyingine ya Fey Yanukia

BAADA ya kutengana na aliyekuwa mumewe, Holly Star na kuripotiwa kuvishwa pete ya uchumba na jamaa aliyetajwa kwa jina moja...

READ MORE

40 ya Seth: Mama Kanumba ‘Afukua Makaburi’ – Video

FLORA MUTEGOA, mama wa aliyekuwa mwigizaji Steven Kanumba,  jana amehitimisha siku ya 40 ya kifo cha mwanaye Seth Bosco ambaye...

READ MORE

Ishu ya Ubunge… CCM Kumweka Harmonize Kikaangoni

DAR: Wakati wimbi la wasanii kujitosa kwenye siasa likiendelea, staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ huenda akakwaa kisiki baada...

READ MORE

Penzi la Rihanna na Bilionea wa Kiarabu Chali

TAARIFA za watu wa karibu na msanii Rihanna zinaeleza kuwa penzi lake na bilionea wa kiarabu Hassan Jameel, limefikia ukomo...

READ MORE

MONDI AONYWA REKODI YA KUCHEZEA WANAWKE

WAKATI lile penzi shatashata la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mzazi mwenzake, Tanasha Donna Oketch, likidaiwa...

READ MORE

Tanzia: Baba wa Mabeste Afariki Dunia

MSANII wa Bongo Flava, William Ngowi, maarufu kwa jina la ‘Mabeste‘ amepata pigo baada ya kuondokewa na baba yake mkubwa...

READ MORE

Will smith afichua wivu wake kwa Tupac !

  MWIGIZAJI mkubwa duniani kutoka pande za kwa Trump, Will Smith amefunguka kwamba alikuwa na wivu mno pale alipomuona mkewe...

READ MORE

Mwijaku Aibuka na Tausi Kuzaa Nje ya Ndoa “Kwani Hana Hisia?” – Video

MTANGAZAJI na msanii ambaye amejizolea umaarufu kwa kukosoa mahusiano ya wasanii wa Bongo, Mwijaku amevunja ukimya na kuwafungukia wote waliokuwa...

READ MORE

AUNT aapa kufa na urafiki wa Wema

STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ameapa kufa na urafiki na Wema Isaac Sepetu kwani anaamini kwake ni rafiki wa...

READ MORE

Gadner Asisitiza Mwanaye Kutembea na ‘Sugar Dady’ – Video

BABA mzazi wa mwanamuziki Malkia Karen, Gadner Habash ‘Captain‘, amesisitiza msimamo wake kuwa angependa mwanaye huyo aolewe na mwanaume aliyemzidi...

READ MORE

Mimi Mars: Natamani Sana Kuolewa – Video

Usiku wa kuamkia leo Mimi Mars alizindua wimbo mpya, Mars akiongea na Global TV Online amefunguka mambo mbalimbali kuhusiana na...

READ MORE

Tessy: Mondi amenibadilisha

ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ afanye shoo ya miaka 10 ya muziki...

READ MORE

Fahyma ajibu mimba ya ‘mchepuko’ wa Rayvanny

MKE wa staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Faima Msenga ‘Fahyma’ amejibu tetesi kuhusu mimba ya mwanadada anayedaiwa kuchepuka...

READ MORE