×

Celebrities

Mobeto Aamsha Yaliyolala Wasafi

DAR ES SALAAM: Mambo yametaradad! Unaambiwa mrembo Hamisa Mobeto amesababisha tukio baada ya kupostiwa kwenye ukarasa wa Wasafi TV, Instagram....

READ MORE

“Wameachana”….. Ben Pol: Narudi Nyumbani

JAMANI… jamani habari hizi zinashtua na kuhuzunisha wengi waliotamani kuiona kapo yao ikidumu miaka mia nane. Lakini habari mbaya zinazosambaa...

READ MORE

Steve: Mastaa Acheni Unafiki

MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve’ amewataka mastaa kuacha unafiki wa kuposti watu mitandaoni baada ya kufariki dunia huku kwenye...

READ MORE

Jux Agoma Kufuta Picha za Vanessa

  BAADA ya penzi lao kuvunjika na kila mmoja kuwa na uhusiano na mtu mwingine, msanii wa muziki wa RnB,...

READ MORE

‘Blauzi’ ya Kiba Gumzo

DUNIANI kuna vituko! ‘Blauzi’ ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ imezua gumzo la aina yake.   Gumzo...

READ MORE

Wanaoiua Singeli Ndiyo wa Kuiokoa

ZAIDI ya miaka miwili iliyopita, hali ya muziki wa Singeli ilikuwa njema sana kuliko ilivyo leo hapa nchini. Ni katika...

READ MORE

Enock Bella: Walionizushia Kifo Wamenipotezea Dili Nyingi

Baada ya hivi karibuni kuzushiwa kifo, hatimaye msanii wa Bongo Fleva, Enock Bella ameibuka na kueleza kuwa waliomzushia jambo hilo...

READ MORE

Saa ya Milioni 290 ya Mondi Yazua Gumzo

AMEVAA milioni 290 mkononi! Siku chache baada ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au Mondi kutupia picha...

READ MORE

AY Aiangukia Serikali, Aachia Dude na Rayvanny – Video

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessayah ‘AY’ ameiangukia Serikali, makampuni na watu binafsi akiwasihi kuwekeza zaidi kwenye tuzo...

READ MORE

Big; Baharia Aliyepotezwa na Dili za Magari

NAAM mpendwa msomaji wa kolamu hii ya Yupo Wapi, leo nimekuletea mkali wa Bongo Muvi, Lumole Matovolwa maarufu kama Big....

READ MORE

Johari: Nyerere Ametustiri Msiba wa Seth

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema anamshukuru mwigizaji mwenzake Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kwani ndiye aliyefanya mambo makubwa...

READ MORE

Tunda, Whozu Utamu wa Penzi Umefika Penyewe

VIDEO Vixen Bongo, Anna Kimario ‘Tunda’ amesema kuwa anamshukuru sana Mungu kwa kutimiza mwaka mmoja wa uhusiano wa kimapenzi na...

READ MORE

Queen Darleen: Mke wa Poli Naye Mke

FIRST Lady wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ amefunguka kuwa haoni tatizo kuolewa mke wa pili na...

READ MORE

Aunt, Wema wakiri kuvunja ndoa ya Petit

WAIGIZAJI Aunt Ezekiel na Wema Sepetu, wamekiri kuvunja ndoa ya meneja wa wasanii Petit Man na kumrejesha jamaa huyo kwenye...

READ MORE

Gigy: Kuzaa Siyo Kuzeeka

MSANII wa muziki Bongo ambaye pia ni ‘video vixen’, Gift Stanford maarufu kama ‘Gigy Money’ amewataka wasanii wenzake wazae na...

READ MORE

Patrick: Namkumbuka Sana Kanumba – Video

KIJANA Patrick ambaye aliwahi kutamba katika tasnia ya filamu akiwa na marehemu Steven Charles Kanumba na binti aitwaye Jennifer kwenye...

READ MORE

Lulu Atoa Povu la Mimba!

MUIGIZAJI mwenye vituko lukuki Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kwa kuwa watu wengi wamekuwa wakimuuliza kuhusiana na mimba yake basi...

READ MORE

Mwonekano Mpya wa Kanye West Gumzo

RAPA maarufu na nguli kutoka nchini Marekani, Kanye West ametengeneza headlines nyingine tena kama kawaida yake ya kufanya vitu visivyokuwa...

READ MORE

Amber Rutty Atangaza Kuwa Singo, “Jimbo Liko Wazi”

DAR: Msanii na video vixen matata asiyeishiwa vituko Bongo, Rutyfiya Abubakar ‘Amber Rutty’, ametangaza kuwa yupo ‘singo’ na kuibua gumzo...

READ MORE

Seth Umeondoka na Ndoto ya Kanumba

NIANZE makala haya kwa kumshukuru Mungu kwa hili. Tumeagizwa tushukuru kwa kila jambo. Ndugu na rafiki yangu, Seth Bosco, umekwenda!...

READ MORE

Ukitaka Kumuoa Kajala, Mpende Paula

KUNA usemi usemao kuwa ukipenda boga penda na ua lake, ndivyo ilivyo kwa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja ambaye...

READ MORE

MAI ZUMO AMEMWAJIRI BABA’KE

BABA wa msanii wa vichekesho mtandaoni, Anko Zumo analipwa kutokana na kazi kubwa ya kumkaririsha maneno ya kuigiza mwanaye Mai...

READ MORE

Waliomchafua Sanchi Watakufa

BAADA ya picha zake chafu kuzagaa mitandaoni, mrembo ambaye ni mwanamitindo ndani na nje ya nchi, Jane Rimoy ‘Sanchi’, ameibuka...

READ MORE

Mazishi ya Seth Bosco, Vilio na Majonzi Makaburi ya Kinondoni – Video

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala wakati mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mdogo wa marehemu Steven...

READ MORE

Mwili wa Seth Bosco Watolewa Muhimbili – Pichaz + Video

MWILI wa Seth Bosco ambaye alikuwa mdogo wa mwigizaji maarufu wa filamu,  marehemu Steven Kanumba,  umetolewa katika mochwari ya Hospitali...

READ MORE

Harmonize Kwenye Jukwaa la Fiesta, Agoma Kumtaja Mondi – Video

HIT MAKER wa ngoma ya UNO, Harmonize au Konde Boy amefanya shoo ya aina yake iliyoandika historia kwa mara ya...

READ MORE

Fiesta: Shoo ya Kibabe ya Alikiba, Acha Kabisa! – Video

STAA wa Bongo Fleva, Ali Kiba au King Kiba amefanya shoo ya kibabe iliyoandika historia na kuacha alama kubwa kwenye...

READ MORE

MUTRAH: Hata Iweje, Sivai Nguo ya Milioni!

MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii nzuri ya My Style, kama ilivyo ada hapa huwa tunakuletea mastaa mbalimbali Bongo...

READ MORE

Thea, Mike…. Mahaba Kama Yote

MAHABA kama yote! Mastaa wawili ambao waliokuwa wanandoa kabla hawajamwagana, Salome Urassa ‘Thea’ na Michael Sangu ‘Mike’ hivi sasa ni...

READ MORE

Meek Mill Awapa Makavu Wanaochochea Mabifu Ya Wasanii

MKALI wa Hip Hop wa mamtoni, Robert Rihmeek Williams ‘Meek Mill’ amewajia juu wanaochochea mabifu ya wasanii na kuwaambia wao...

READ MORE

Baada ya Manenomaneno… Meneja wa Kiba Apasua Jipu!

KUMEKUWA na minong’ono mingi kwenye mitandao ya kijamii kufuatia staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ kuonekana karibu...

READ MORE

Wema Humuambii Kitu Kwa Danzak, Aunt!

WEMA Isaac Sepetu ‘Madam’ kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, amefunguka kuwa, kwa sasa watu anaowahusudu kupita maelezo kwenye maisha yake...

READ MORE

Nay na Shamsa Mambo Safi!

BAADA ya penzi lao kufa na kuzikwa, imebainika kwamba, kumbe mwigizaji wa Bongo Muvi, Shamsa Ford na staa wa Bongo...

READ MORE

Chuchu: Hakuna Ndoa Bongo Muvi

MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Chuchu Hans amesema, ndoa za kweli hajaziona kwa mastaa hususan wanaotokea Bongo Muvi na ndiyo maana...

READ MORE