×

Championi

Kaze Awavaa Mastaa Yanga

LICHA ya mshambuliaji mpya wa Yanga, Fiston Abdoulrazack kushindwa kufunga bao katika mchezo wake wa kwanza dhidi ya African Sports...

READ MORE

GSM Yataja Faida za Kocha Mpya Yanga

YANGA MKURUGENZI Uwekezaji wa GSM na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Yanga, Injinia Hersi Said, amezitaja faida kuu mbili...

READ MORE

Saido Hali Yake Bado Tete Yanga

HALI bado ni tete kwa nyota wanne wa kikosi cha klabu ya Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’, Yacouba Sogne, Dikson Job...

READ MORE

Injinia Hersi Said: Aanika Njia Anazotumia Kusajili Majembe

  KWA misimu mitatu mfululizo mashabiki wa Yanga wamekosa furaha kutokana na kuukosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara pamoja na...

READ MORE

Kocha Simba Aitangazia Vita Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, amesema anaamini kikosi chake kitaibuka na ushindi Katika michezo yao miwili ya...

READ MORE

Msolla Ataja Kirusi Cha Mabadiliko Yanga

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa ugumu wa miundombinu ya kukutana na wanachama nchi nzima ni moja...

READ MORE

Didier Gomes Apata Mbinu za Kuwamaliza Dodoma, Azam

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, ametamba kwamba sasa wako tayari kwa ajili ya kutafuta matokeo mazuri kwenye mechi...

READ MORE

FIFA Yaifungia Yanga Kufanya Usajili kwa Miaka Mitatu

  Shirikisho la soka duniani ‘FIFA’ limeifungia klabu ya Yanga kutokufanya usajili kwa misimu mitatu mfululizo kufuatia sakata la aliyekuwa...

READ MORE

Dili la Gikanji Simba Layeyuka

DILI la Doxa Gikanji wa DC Motema Pembe ya nchini DR Congo kujiunga na Simba, limeyeyuka rasmi kutokana kiungo huyo...

READ MORE

Usingizi wa Kaze Yanga ni Milioni Nane

WAKATI Yanga ikiwa inaongoza ligi, kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi, Cedric Kaze amekuwa akitumia kiasi cha shilingi milioni nane...

READ MORE

Rweyemamu Aipeleka Simba SC mahakamani

ALIYEWAHI kuwa Meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu, anaripotiwa kuishitaki timu hiyo mahakamani.Inadaiwa kuwa, Rweyemanu ambaye aliondolewa Simba mwaka jana baada...

READ MORE

Simba SC Wampambania Chikwende CAF

MABOSI wa Simba wameanza taratibu za kumuombea kibali kiungo wao mshambuliaji Mzimbabwe Perfect Chikwende katika Shirikisho la Soka Afrika (Caf)...

READ MORE

Msolla Afungukia Mwambusi Kuondoka Yanga

MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Dk Mshindo Msolla, amefungukia sababu ya aliyekuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, Juma Mwambusi kujiweka...

READ MORE

Dortmund Kuwalaza Njaa Wenyeji Wake? Chagua wa Kushinda Naye!

Mchaka mchaka wa soka unaendelea kuleta burudani kwa wapenzi wa soka, ligi zote zimepamba moto huku mashabiki wakiendelea kutambiana mtaani....

READ MORE

AS Vita Waitumia Vitisho Simba

BENCHI la ufundi la AS Vita, limeweka wazi kuwa wamefurahia kupangwa tena na Simba katika makundi ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Pacha wa Saido Apelekwa Zenji Kwa Ndege

MAMBO yamenoga upya juu ya usajili wa straika mpya wa Yanga, raia wa Congo Ferebory Dore, anayetajwa kama pacha wa...

READ MORE

Sh Mil 150 Zampeleka Mkude Yanga

IMEFAHAMIKA kuwa mabosi wa Yanga wapo kwenye mazungumzo ya mwisho ya kuipata saini ya miaka miwili ya kiungo mkabaji wa...

READ MORE

Kaze: Tutafunga Sana Mzunguko wa Pili

KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amefunguka kuwa anahitaji kuona kikosi chake kinafunga mabao mengi kwenye michezo yao ya mzunguko...

READ MORE

Manula: Tunakwenda Makundi Afrika

KIPA wa Simba, Aishi Manula amefunguka kuwa kikosi chao kina nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao...

READ MORE

Chama Mikononi Mwa GSM, Siku Ya Kutua Yaandaliwa

MEFAHAMIKA kuwa, Yanga imemalizana kwa siri na kiungo mchezeshaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama huku ikimfanyia kufuru kubwa nyota huyo.Mzambia...

READ MORE

Umafia! Simba Yamtorosha Beki wa Polisi Tanzania

YANGA ilikuwa katika hatua za mwisho kabisa kumalizana na beki kisiki wa Polisi Tanzania, Iddi Mobby lakini ghafla bin vuuu...

READ MORE

Mchezo wa Arsenal vs Chelsea Kuteka Jiji la London

Msimu huu wa siku kuu kunogeshwa zaidi na michezo ya EPL. Kumekuwa na utamaduni wa muda mrefu kwenye msimamo wa...

READ MORE

Simba Yapiga Chini Bonge la Kiungo

BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba, imesitisha mipango ya kumsajili kiungo mkabaji wa Plateau United ya nchini Nigeria, Isah...

READ MORE

Dalali: Wanachama Wamenipa Milioni Nigombee Simba

ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali, amesema kuwa, wanachama zaidi ya 50 wamemfuata kumtaka kuwania nafasi ya uenyekiti ndani...

READ MORE

Yanga Yaifukuzia Rekodi Simba

BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 walioupata Yanga katika mchezo uliopita wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji, unaambiwa timu hiyo...

READ MORE

Kaze: Pointi 3 tu, Tunaanza Hesabu za Ubingwa

BAADA ya ushindi wa kibabe wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji Jumamosi iliyopita, Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze,...

READ MORE

Bosi Simba Afuata Vifaa Vipya Sauz

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba (C.E.O), Barbara Gonzalez, tayari ameanza maandalizi ya msimu wa 2021/2022 na juzi alikuwa kwenye...

READ MORE

Luis Agomea Mamilioni ya Waarabu

MEBAINIKA kuwa winga machachari wa Simba, Luis Miquissone ameuambia uongozi wa timu hiyo kuwa ana furaha na hana mpango wa...

READ MORE

Tuisila Ashusha Presha Yanga, Kuwavaa Dodoma Jiji

HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga ni kuwa kiungo wao kipenzi Mkongomani Tuisila Kisinda yupo fiti baada ya kupatiwa matibabu...

READ MORE

Mashabiki wa Simba Wawapa Presha FC Platinum

UONGOZI wa timu ya FC Platinum ya nchini, Zimbabwe umeweka wazi kuwa watakuwa na kazi kubwa katika mchezo wa marudiano...

READ MORE

Billion 1.5 Kumng’oa Luis Simba, Pyramid Yatua Bongo

IMEELEZWA kuwa matajiri wa timu ya Pyramid kutoka nchini Misri wapo tayari kuipa Simba Bilioni 1.5, kwa ajili ya kuvunja...

READ MORE

Jeshi La Yanga Lipo Shinyanga, Kaze Atoa Dozi Nzito

KIKOSI cha Yanga kilitarajiwa kuwasili Shinyanga jana kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Mwadui FC huku Kocha Mkuu Cedric...

READ MORE

Mugalu Ampa Matumaini Mapya Mbelgiji Simba

MAENDELEO mazuri ya straika wa Simba, Chris Mugalu, yamezidi kumpa matumaini kocha wa klabu hiyo Mbelgiji, Sven Vandenbroeck ambaye amesema...

READ MORE

Saido: Uzoefu Kimataifa Utanibeba Bongo

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, raia wa Burundi, Said Ntibazonkiza ‘Saido’, ametamba kuwa uzoefu alionao kutokana na kufanikiwa kucheza ligi...

READ MORE

Rekodi ya Caf Yawapa Kiburi Wazimbabwe Mbele ya Simba

MSHAMBULIAJI wa FC Platinum ya Zimbabwe, Mtanzania, Elias Maguli, amefunguka anaamini mchezo wao na Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

Bosi Awapigia Saluti Wachezaji Simba SC

MTENDAJI Mkuu wa Simba (C.E.O), Barbara Gonzalez, amekiri kuwa timu yao ilistahili kusonga mbele katika michuano ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Yanga SC ya Mabilioni Inakuja

YANGA sasa ipo siriaz na mfumo mpya wa mabadiliko ikishirikiana na La Liga, na inaelezwa mambo yakikamilika, Yanga itakuwa inajiendesha...

READ MORE

Wanigeria Wamuachia Ujumbe Mzito Sven Simba

ABDUL Maikaba, Kocha Mkuu wa Plateau United, amefichua kuwa Simba wana timu nzuri katika michuano hiyo lakini amemtaka kocha mkuu...

READ MORE

Mbelgiji Simba Aondoka na Majina Matatu ya Plateau

WAKATI dirisha dogo la usajili Tanzania Bara likikaribia, si ajabu kwa majembe matatu ya Plateau United kutua Simba baada ya...

READ MORE

Kisa Kagere, Mo Amvaa Sven

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na mwekezaji wa timu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’, amesema licha ya timu yake...

READ MORE