×

Featured Stories

Muundo Mpya Wa CCM Wasomi, Maaskofu Wamsifu Magufuli

Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais John Magufuli akiongea jambo. WASOMI, wanasiasa wakongwe, wachambuzi wa kisiasa na viongozi...

READ MORE

Aliyetobolewa Macho na ‘Scorpioni’ Aanza Kutoa Ushahidi Mahakamani

NA DENIS MTIMA | GPL; Dar es Salaam: KESI ambayo imekuwa ikivuta hisia za watu wengi jijini Dar na maeneo...

READ MORE

Mwanachuo Aliyejifanya Shilole Apandishwa Kizimbani

  Thomas Lucas Magula ‘Shilolekiuno_official’ (katikati), akiwa ameshikiliwa na polisi wakati wa kupandishwa kizimbani. Na Musa Mateja HATIMAYE lile sakata...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumatano Desemba 14, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 14, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Jide Akiri Kutoka Kimapenzi na Mnigeria Spicy ‘Rasta’

Jide akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Global TV Online leo. Kushoto ni mpenzi wake Spicy ‘Rasta’. Mpenzi wa Jide,...

READ MORE

Kesi ya Pedeshee Ndama ya Kugushi Nyaraka Yaahirishwa Kisutu

Ndama Shaaban Hussein almaarufu Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng’ombe (katikati) akiwa Mahakama ya Kisutu leo. Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng’ombe...

READ MORE

Mapya Yaibuka Kufuatia Miili 6 Kufungwa Kwenye Viroba na Kutupwa Mto Ruvu (Picha+Video)

Mto Ruvu ambapo miili sita ya watu ilikutwa ikielea mnamo Desemba 6, 2016. Mojawapo ya kaburi ilipozikwa baadhi ya miili....

READ MORE

Maneno Tata ya Mzee wa Upako kwa Wandishi wa Habari, Jeshi la Polisi Kutoa Tamko Leo

DAR ES SALAAM: Siku moja baada ya Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu Mzee wa Upako kusema...

READ MORE

Darassa, Roma Kuchuana Kwenye Mpambano wa Nichane Nikuchane Mwaka Mpya Dar Live

Darassa akisaini mkataba wa mpambano wa Nichane Nikuchane utakaofanyika Mkesha wa Mwaka Mpya (Desemba 31, mwaka huu) ndani ya Uwanja...

READ MORE

Mzee wa Upako: Wote Walionichafua Watakufa Mwakani, Wasipokufa Nitaanza Kuuza Gongo

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako jana amesema waandishi wote wa...

READ MORE

CCM Yakanusha Taarifa Inayosambazwa Kwenye Mitandao Kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa Sekretarieti

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia page yake ya Twitter ...

READ MORE

Historia Imeandikwa Kwenye Tuzo za EATV Mlimani City

 Host wa tuzo za EATV 2016, Salama Jabir akifanya yake usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar....

READ MORE

Washindi Wa Tuzo Za EATV 2016 Hawa Hapa, King Kiba Noma, Atwaa Tuzo 3 (Video)

Mshindi wa tuzo tatu za EATV 2016 katika vipengele vya Video Bora ya Mwaka, Wimbo Bora wa Mwaka na Mwanamuziki...

READ MORE

Zimebaki Saa Chache Historia Mpya Kuandikwa Tuzo Za EATV Mlimani City

Ukumbi utakaofanyika hafla ya utoaji tuzo wa Mlimani City kama unavyoonekana. Siti maalum kwa watakaowania tuzo hizo. Host wa tuzo...

READ MORE

Mastaa Wa Bongo Washinda Tuzo Za Abryanz Style & Fashion Awards 2016, Kampala Uganda

Mwanamitindo Hamisa Mobeto akiwa na tuzo ya Fashionista Of The Year East Africa baada ya kushinda.Msanii wa Nigeria, Waje. Akosua...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Desemba 10, 2016 Yako Hapa

  Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 1o, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Darassa Atembelea Global, Anavutiwa Na Msuva Wa Yanga

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (kulia) akisalimiana na Rapa Shariff Thabeet maarufu kwa jina la Darassa alipotembelea leo...

READ MORE

LIVE: Kutoka Uwanja wa Uhuru Dar, Sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania

UHURU: Rais Magufuli amemaliza kuzungumza na Taifa, amesalimiana viongozi mbalimbali wa serikali na siasa na kuondoka kwenye Uwanja vya Uhuru...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Desemba 9, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 09, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Rais JPM Akutana na Ujumbe wa Sudan Kusini, Yumo Mtoto wa Rais Aliyetikisa Mitandaoni Kwa Mavazi Yake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe...

READ MORE

Manispaa ya China Kushiriki Maendeleo ya Wilaya ya Ilala, Dar

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, akiwa kwenye mkutano na wawakilishi kutoka China. Kushoto ni Meya wa Manispaa ya...

READ MORE

Yanga Kumuaga Mbuyu Twite kwa Mechi Dhidi ya JKU J’mosi

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC keshokutwa Jumamosi watamuaga beki wao kiraka ambaye ni raia wa...

READ MORE

JKT Yawataka Wahitimu Kidato cha Sita Ambao Hawakujiunga na Vyuo Kuripoti Des 13

JESHI la Kujenga Taifa kwa mara nyingine tena, linawatangazia wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita mwezi Mei 2016, ambao hawakuchaguliwa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Tanzania Leo Desemba 8, 2016 Yako Hapa

     Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 08, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Mongela Atinga Mitaani Kuhimiza Usafi wa Jiji la Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela akikatiza katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Mwanza kuhimiza usafi. Mhe. John Mongela...

READ MORE

Trump Kusitisha Uagizwaji wa Ndege Mpya za Air Force One

Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump amesema anataka kufuta ombi la ununuzi wa ndege mpya za Air Force One ambazo...

READ MORE

Diamond na Zari Wamepata Mtoto wa Kiume Leo Des. 6, Bofya Hapa Kuona Pichaz

Pretoria, Afrika Kusini: TAARIFA njema kwa mashabiki wa msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond Platnumz” ambaye leo...

READ MORE

Ajali ya Lori na Hiace Yaua Watu 9 na Kujeruhi 18, Iringa

IRINGA: Watu tisa wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea eneo la Ifunda mkoani Iringa...

READ MORE

Mchezaji wa Mbao FC Agongana na Mchezaji wa Mwadui FC, Afariki Uwanjani!

Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Mbao FC U-20 ya mkoani Mwanza, Ismail Mrisho Khalfan anayevalia jezi nambari 4 amefariki...

READ MORE

Shehe Mkuu Dar: Nipo Tayari Kuwafungisha Ndoa Diamond & Zari Bure! (Video)

Stori: AMRANI KAIMA, RISASI JUMAMOSI SHEHE Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ameweka wazi kutopendezwa na...

READ MORE

Soyinka Aichana Green Card Yake, Ni Baada ya Kutoa Ahadi Hiyo Iwapo Trump Angeshinda Uchaguzi

MWAFRIKA wa kwanza kupata Tuzo la Nobel ambaye ni raia wa Nigeria anayeishi nchini Marekani, Wole Soyinka (pichani juu), ametimiza...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa Desemba 2, 2016 Yako Hapa

  Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 2, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Kesi ya Vijana 7 wa Chadema ya Ukusanyaji Matokeo ya Uchaguzi 2015 Yafutwa

DAR ES SALAAM: Kesi ya ukusanyaji matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 iliyokuwa ikiwakabili vijana saba wa Chama Cha...

READ MORE

Mambo Yazidi Kuwa Magumu kwa Wadaiwa Bodi ya Mikopo, Sasa Kukatwa 15% ya Kipato Chao kwa Mwezi

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mhandisi Stella Manyanya. MAMBO yanazidi kuwa magumu kwa wadaiwa wa mikopo ya...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi Desemba 1, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 1, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Kisa Kukana Ujauzito, Nisha Amchana Nay wa Mitego

  MSANII wa filamu za vichekesho nchini, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kumchana staa wa Hip hop, Nay wa Mitego...

READ MORE

Taasisi za Serikali, Dini na Kiraia Zatakiwa Kufuata Maadili

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Suzan Mlawi, akizungumza jambo kwenye hafla...

READ MORE

Scorpion Aongezewa Shtaka la Kujeruhi, Arudishwa Rumande Hadi Desemba 14

DAR ES SALAAM: Mtuhumiwa anayedaiwa kumtoboa macho Said Ally, Salum Njwete (34) maarufu kama Scorpion leo ameongezewa shtaka lingine la...

READ MORE

Ngome ya Wanawake ACT Yamshitaki RC Makonda kwa Kumdhalilisha Afisa Ardhi Kinondoni

  Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo imeitaka Tume ya Maadili na Utawala Bora kufanya uchunguzi na kuchukua hatua dhidi ya...

READ MORE