×

Global TV Online

Msafara wa Misaada Washambuliwa Kwa Drone, Mmoja Afariki

Shambulio la droni dhidi ya msafara wa misaada katika jimbo la Kordofan Kaskazini mwa Sudan limemuua mtu mmoja na kuwajeruhi...

READ MORE

Museveni Amtunuku Nishani Mwanaye CDF Muhoozi Kwa Ujasiri

Amiri Jeshi Mkuu na Rais Mteule wa Uganda, Jenerali Yoweri Kaguta Museveni, amemtunuku nishani Mkuu wa Majeshi (CDF), Jenerali Muhoozi...

READ MORE

Majambazi 3 Wahukumiwa Kifungo Miaka 30, Unyang’anyi Kwa Kutumia Silaha

  Mahakama ya Wilaya ya Kilindi imewahukumu Abdallah Ally Lusewa (31), Salehe Mohamed Lusewa (23) na Salehe Shaban Mngoya (43),...

READ MORE

Video: Makaburi Yanafukuliwa, Nyumba Zinajengwa, Wananchi Walia

Ni kutoka Kimani mtaa wa Kinyamwezi kata ya Pugu ambapo kuna mgogoro kati ya wananchi pamoja na wananchi ambao wanadai...

READ MORE

Museveni – ”Nchi Kubwa Zinaweza Kutaka Kutushinikiza, Tusirudie Makosa”

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, leo Februari 07, 2026 amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya siku moja, ikiwa ni...

READ MORE

Video: Basi la Maning Nice Lagonga Lori Lindi, Laua Wawili

Watu wawili wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya basi la Kampuni ya Maning Nice lililokuwa likitokea Dar...

READ MORE

Rais Samia Akaribisha Rais wa Uganda Museveni Ikulu Dar (Picha +Video)

Dar es Salaam, Tanzania – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkaribisha rasmi Rais wa...

READ MORE

Zuchu Aachia Video ya ‘Bado Nakupenda’ Wimbo wa Hisia Kali za Mapenzi

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Zuchu, ameachia rasmi video ya wimbo wake wa mapenzi wenye hisia nzito unaoitwa “Bado Nakupenda,”...

READ MORE

Video: Trump Afuta Video ya Sokwe ya Obama, Asema Hataomba Msamaha

Rais wa Marekani, Donald Trump, amefuta video yenye kipande cha ubaguzi wa rangi alichochapisha kwenye mitandao ya kijamii kilichomlinganisha Rais...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mabadiliko ya Uongozi, Atea Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa Wapya – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko kadhaa ya kiutendaji kwa kuwateua viongozi mbalimbali...

READ MORE

Mtangazaji wa Global TV Ang’ara Kwenye Tuzo za Wildaf – (Picha +Video)

Mwandishi mkongwe wa habari na mtangazaji wa Global TV, Imelda Mtema (@imeldamtema), ameendelea kuthibitisha ubora wake katika tasnia ya habari...

READ MORE

Serikali Yatoa Bilioni 200 Kuwezesha Vijana na Wanawake Kiuchumi

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amemkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Mhe. Joel Nanauka, hundi...

READ MORE

”Tuone Utu, Tukimung’unya Maneno CCM Itaondoka” – Nape – Video

Mbunge wa Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amechangia mjadala katika Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa...

READ MORE

Taska Mbogo Aibua Hoja Nzito za Kilimo na Utalii Bungeni – Video

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taska Restituta Mbogo, amechangia mjadala katika Bunge la...

READ MORE

Mtoto Darasa la 4 Afariki kwa Kuzama Mtoni Iringa – Video

Hali ya huzuni na simanzi imetanda miongoni mwa wakazi wa Mtaa wa Kitwiru, Manispaa ya Iringa, kufuatia kifo cha mtoto...

READ MORE

Wanawake 3 Waliokutwa na Bangi Wahukumiwa Miaka 30 Jela – Video

Mahakama ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Mhe. Kimaro, imewahukumu kifungo cha miaka 30 jela...

READ MORE

Mzee Tifutifu Anayedai Kuwatupia Majini Simba Afunguka – Video

Mzee Athuman Mshomari almaarufu Mzee Tifutifu, ambaye anadai kuwa ni mganga wa kienyeji, amedai kuwa yeye ndiye chanzo cha matokeo...

READ MORE

Pep Guardiola Azungumzia Mauaji Marekani, Israel, Ukrane – Video

Pep Guardiola amesema atatumia nafasi yake kama mmoja wa watu wanaosikilizwa zaidi duniani kuzungumzia “maumivu” anayohisi kuhusu waathiriwa wa migogoro...

READ MORE

Taarifa ya Polisi Kuhusu Kundi la Uasi Mwanza – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetoa wito kwa wananchi kuzipuuza taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii zenye kichwa cha...

READ MORE

Rais Samia Akizungumza Jambo na Makamu Rais wa UAE

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Fursa za Uwekezaji Tanzania Mbele ya Viongozi wa Dunia

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa hakikisho la miundombinu bora ya uwekezaji nchini kwa wawekezaji duniani, akisema Tanzania imewekeza vema...

READ MORE

Makamu Nchimbi Kwenye Mazishi ya Munde Tambwe Tabora

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, amewasili katika Kata ya Cheyo, Manispaa ya Tabora mkoani...

READ MORE

”Prof Mkumbo na Mimi Tulifukuzwa CHADEMA” – Baba Levo – Video

Msikilize Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Chipando almaarufu Baba Levo alivyowavunja mbavu wabunge wakati akisimulia jinsi yeye na Waziri Kitila...

READ MORE

Watanzania Watakiwa Kushiriki Kudhibiti Silaha – Video

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura amewataka watanzania wote kushiriki katika jukumu la udhibiti na usimamizi wa...

READ MORE

Moto Mkubwa Wazuka Iran, Mvutano na Marekani Ukiendelea – Video

Moto mkubwa umezuka katika soko la Jannat Abad lililopo magharibi mwa mji mkuu wa Iran, Tehran, na kusababisha hofu kubwa...

READ MORE

Rais Samia Aanza Ziara ya Kikazi Dubai, Afanya Mazungumzo na Viongozi

Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jumanne, Februari 3 ameanza ziara ya kikazi Nchini Dubai,...

READ MORE

Mahakama Kuu Yaiamuru Serikali Kumlipa Bilioni 3.22 Mmiliki wa Jengo Lililobomolewa Mbezi

Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi, imewaamuru aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halmashauri ya Manispaa...

READ MORE

Rais Samia Awasili Dubai, Azungumza na Waziri wa Sheria – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al...

READ MORE

Iran Yakubali Mapigo! Yaomba Mazungumzo na Marekani – Video

Iran imesema iko katika hatua ya kutathmini masharti ya kurejea kwenye mazungumzo ya nyuklia na Marekani, huku pande zote zikionyesha...

READ MORE

Madai Mazito Yafichuliwa Kati ya Familia Ya Trump na Mwanamfalme – Video

Ripoti mpya ya uchunguzi iliyochapishwa na gazeti la The Wall Street Journal imeibua mjadala mkubwa wa kisiasa na kiusalama, baada...

READ MORE

Dkt. Lazaro Bunungu Achukua Fomu Kuwania Ubunge Peramiho – Video

Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Lazaro Komba Bunungu, amechukua rasmi fomu...

READ MORE

Kimenuka Arusha, Wananchi Wafunga Barabara – Video

Wananchi wa Mtaa wa Migungani Kata ya Sokone One jijini Arusha wamefunga barabara ya kuelekea Mnara wa Voda Sombetini baada...

READ MORE

Shabiki Ampiga Ngumi Mangungu – Video

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu jioni ya leo ameingia kwenye ‘kashkash’ baada ya shabiki wa Simba kutaka kumshushia...

READ MORE

Simba Yachechemea Ligi ya Mabingwa Baada ya Sare ya 2 – 2

Dakika 90 za mchezo mkali wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC na Espérance Sportive de Tunis zimekamilika...

READ MORE

Video: Mbunge Shigongo Atoa Hoja Muhimu Bungeni, Apongeza Rais Samia

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo Alhamisi ya Januari 29, 2026 alipata nafasi ya kuchangia hoja bungeni ambapo alishauri mambo mengi...

READ MORE

Marekani, Israel Zakanusha Kuhusika na Milipuko Iran – Video

Marekani na Israel zimekanusha kuhusika kwao na mlolongo wa milipuko ya ajabu iliyotikisa maeneo tofauti nchini Iran mwishoni mwa wiki,...

READ MORE

Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2025, Ufaulu Wapanda Hadi 94.98% – Video

Dar es Salaam, Januari 31, 2026 — Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato...

READ MORE

Mwigulu Kumuwakilisha Rais Samia Hafla ya Utoaji Tuzo za Uhifadhi na Utalii

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 31, 2026 amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ambapo...

READ MORE

Matokeo ya Form 4 Yanatangazwa na NECTA – Video

  Dar es Salaam, Januari 31, 2026 — Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa...

READ MORE

Mke Wa Rais Wa Zamani Wa Korea Kusini Ahukumiwa Miezi 20 Jela

Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini, Kim Koen Hee, amehukumiwa kifungo cha miezi 20 jela kwa kupokea hongo...

READ MORE