×

Global TV Online

Makonda Azindua Ujenzi wa Barabara za Makongo, Madale – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo November 01 amezindua ujenzi wa barabara za Makongo Juu...

READ MORE

ACT Wazalendo Yalalamikia Zoezi la Fomu Uchaguzi S/Mitaa – Video

Siku tatu kabla ya kumalizika kwa muda wa uchukuaji fomu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha ACT-Wazalendo kimedai...

READ MORE

Harusi za Tandika, Baikoko, Mauno Kama YOTEE – Video

Kipindi cha Shughuli Pambe kimebisha hodi hadi Tandika ilikunusanusa zile shughuli za mitaani nakukutana na wanawake wa shughuli mjini, katika...

READ MORE

Wazee 3 Waliohukumiwa Kunyongwa Wakaachwiwa na JPM – Video

Ni simulizi ya maisha ya wazee watutu waliohukumiwa kwa pamoja kunyongwa na kukaa gerezani miaka 43 kabla ya kuachiwa kwa...

READ MORE

DC Mtatiro Awacharaza Viboko Wanafunzi Watoro – Video

MKUU wa Wilaya ya Tunduru Ndg. Julius Mtatiro ameendeleza kampeni ya kiwilaya ya kupambana na utoro sugu, nidhamu za wanafunzi...

READ MORE

Mataifa Sita ya Afrika Yaliyowahi Kubadilisha Majina! – Video

KAMA ulikuwa hujui bas daka hii! Zimbabwe ilijulikana kama Rhodesia kusini kati ya mwaka 1898-1964, ambalo ni jina la Mkoloni...

READ MORE

Mtuhumiwa Avurugwa Ataka Kuvunja Kamera za Waandishi – Video

  Bi. Salma Mtambo aliyehukumiwa miaka sita jela nusura avunje kamera za mapaparazi waliokuwa wakitekeleza majukumu yao ya kikazi Katika...

READ MORE

Miaka 20 Jela! Aingia Mzima, Atoka Amekatwa Mguu, Sikio – Video

Jumanne Hassan (55) alikumbwa na mkasa mzito uliosababisha kuhukumiwa kwenda gerezani miaka 20. Kilichompeleka Gerezani KINASIKITISHA! Ndani ya miaka hiyo ameingia...

READ MORE

Rais Masikini Zaidi Duniani, Amepigwa Risasi Mara 6, Ameishi Jela! – Video

NI kawaida kukuta maisha wanayoishi Wanasiasa ni tofauti na wapiga kura wao lakini sio hivyo kwa aliyekuwa Rais wa Uruguay,...

READ MORE

JPM Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi – Video

Rais Dk. John Magufuli leo Jumatatu, Oktoba 28, 2019 amepokea hati za utambulisho za Mabalozi, Riita Swan wa Finland, Manfredo...

READ MORE

RC Mwanri Azama Kuzima Moto Ukiteketeza Nyumba – Video

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri ameshirikiana na Wananchi wa eneo la Bachu Manispaa ya Tabora, Katika harakati za...

READ MORE

Vilio! Kitongoji Chafutwa, Wakazi Hawana Pa Kuishi Wala Kupigia Kura! – Video

  WAKAZI wa Kitongoji Cha Razaba Wilayani Bagamoyo Wameelezea masikitiko yao juu ya kufutwa kwa kitongoji hicho na uongozi wa...

READ MORE

‘Sasa Ndiyo mtamjua Pepe’

STRAIKA wa zamani wa Arsenal, Robin van Persie amemsifia Nicolas Pepe baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa mabao...

READ MORE

Makonda Awachana Mdee, Mnyika & Kubenea Amwomba JPM Bil 1.5

Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda amemuomba Rais Dk. John Magufuli ampatie Tsh Bilioni 1.5, kwa ajili ya...

READ MORE

Kununua Dreamliner Marekani, Rais Trump Ampongeza JPM – Video

RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaongoza Watanzania kupokea ndege mpya ya Shirika la Ndege...

READ MORE

“Nilikwenda Sauz Kutafuta Maisha Nikajiunga na Genge la Ukabaji”- Part 2

SIMULIZI ya maisha ya Majaliwa Omary inaendelea na sasa tayari yupo nchini Afrika Kusini baada ya kuchukuliwa na ndugu yake....

READ MORE

Vichambo vya Buza: Afanya Sherhe ya Kumvalisha Mtoto Hereni – Video

PAMBE ZA KITAA: Ni kipindi kipya cha Uswazi kupitia Global TV kinachotoka mjengoni na kutinga mtaani uswahilini kujionea yale yanayoendelea...

READ MORE

Aliyekaa Jela Miaka 43 Akakatwa Mguu, Asimulia Mazito! – Video

Ni SIMULIZI za wazee wafungwa wa maisha jela walioachiwa huru na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John...

READ MORE

Mama Kanumba: Seth Sasa ni Mlemavu, Nisaidieni – Video

HIVI karibuni kumekuwepo na taarifa za ugonjwa wa mdogo wa marehemu Steven Kanumba, aitwaye Seth Bosco, ambaye mpaka sasa amelazwa...

READ MORE

Hasheem: Nimeishi na Unga Tumboni Miezi 2 – Video

HUU ni Ushuhuda wa Hasheem Hasheem mzungu aliyeangukia kwenye dimbwi la usafirishaji wa dawa za kulevya na baadaye akawa teja....

READ MORE

RC Makonda Atangaza Kiama Kwa Wakandarasi DSM “Nitachukua Hatua”

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa onyo kwa wakandarasi wote wanaotekeleza miradi ya serikali mkoani kwake...

READ MORE

NISAIDIENI: Nimepasuliwa Mara Nne, Nimetolewa Kizazi, Tumbo Limeoza – Video

 Nisimulizi na mkasa wa kusikitisha uliompta mama wa watoto watatu baada ya kujifungua na kupata changamoto za kitabibu. ANAOMBA...

READ MORE

JPM Awaapisha Viongozi Aliowateua, Ikulu Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Bazi Kabunduguru kuwa Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Video: Shoo Ya Marioo Fiesta Dodoma

 MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo anayekuja kwa kasi usiku wa kuamkia leo Oktoba 20, 2019 ametoa burudani...

READ MORE