×

Global TV Online

Global Habari Nov 24: Magufuli Akasirishwa Na Mashirika 187, Atoa Siku 60 Tu..

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli ametoa siku 60 kwa kampuni, mashirika na taasisi 187 zilizoshindwa...

READ MORE

Video: Binti Mlemavu Anayeandikia Ulimi Akiri – “Nina Mpenzi, Anataka Kunioa

 Simulizi ya binti Wakonta Kapunda, mwenyeji wa Sumbawanga nchini Tanzania inaeleza mengi. Kwa kumbukumbu, ilikuwa ni Februari 3, 2012...

READ MORE

Aliyekatwa Ulimi Arudi Kutoka India, Hali Yake Bado Tete – Video

Hali ya Salim ambaye anasumbuliwa na kansa ya ulimi na koo hali iliyopelekea kukatwa ulimi wake, amerejea nchini akitokea India...

READ MORE

Akamatwa na Kadi 23 za Benki Tofauti, Azisokomezea Ukeni

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Bi Halima Juma (23) Mkazi wa Chalinze kwa tuhuma za...

READ MORE

JPM Aapisha Mabalozi 5, Wizi Wabainika Ubalozi Ethiopia – Video

RAIS  John Magufuli leo  Jumamosi, Novemba 23, 2019 amewaapisha mabalozi watano katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Mabalozi hao...

READ MORE

CCM Yamlipua Lema, Swahiba Wake Ajiunga CCM – Video

Kuelekea siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Arusha kimeendelea na kampeni za Uchaguzi...

READ MORE

‘Biblia’ ya Maajabu Iliyoandikwa na Shetani, Ukiisoma Hulali – Video

Ifahamu Biblia iliyoandikwa na Shetani, ikiwa ni kitabu kikubwa kuliko kitabu chochote kuwahi kutokea duniani, inaaminika kuwa kitabu hiki kiliandikwa...

READ MORE

JPM: Wakikusumbua Sweka Ndani – Video

LEO Ijumaa, Novemba 22, 2019 Rais Dkt John Magufuli ameanzan ziara yake ya kikazi kwa siku Tano Jijini Dodoma ambapo...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Katika Mahafali Ya Kumi Chuo Kikuu Cha Dodoma (Udom)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa...

READ MORE

Mama Amlilia JPM, Mume Aitwa “Mtarudiana” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali waliomsubiri njiani wakati akilekea...

READ MORE

Mil. 39 Zilizoyeyuka Kishirikina Zapatikana Laki 4 Kwenye ‘Kibubu’ – Video

FEDHA za kikundi cha kikoba cha kina mama cha Amani mkoani Arusha — Sh. milioni 39 — ambazo zinadaiwa kupotea...

READ MORE

Mfilipino Atakayechapana na Mwakinyo Atua Dar – Video

Bondia bora kabisa ambaye pia anashika namba mbili katika viwango vya ubora nchini Ufilipino, Arnel Tinampay baada ya kuzidiwa na...

READ MORE

Lugola: Wakileta Fujo Tutawatia Kwenye Tanki la Washawasha – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka Makamanda wa Polisi nchini kusimamia kampeni zilizoanza za Uchaguzi wa...

READ MORE

GLOBAL HABARI NOV 17: KAMPENI za UCHAGUZI ZAANZA Rasmi LEO, Waziri JAFO Athibitisha

 Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo amewataka wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa...

READ MORE

Video: Inaumai! Ma’Mdogo, Bibi Wa Anna Zambi Wasimulia

 Ikiwa ni siku moja tangu habari za mtoto Anna Zambi kushika hatamu katika vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini...

READ MORE

Mwakyembe Amzungumzia Idris – “Rais Hajasema Akamatwe” – Video

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusiana na mchekeshaji, Idriss Sultan.

READ MORE

VIDEO: Mwakyembe Azungumzia Wimbo Wa Roma – “Kuufungia, Unataka Siasa, Ni Msomi”

 WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amesema wimbo wa Roma hajapata nafasi ya kuusikiliza zaidi...

READ MORE

Global Habari Nov 16: Mwanamke Mmoja Auawa Geita, RPC Aeleza Tukio Zima – Video

Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Naomi Mshera mwenye umri wa miaka 40 mkazi wa kijiji cha Ntinaji Wilayani Geita...

READ MORE

Makonda: ‘Waliandaa Mkakati Nitumbuliwe’ – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameamua kuvunja ukimya na kuanika namna alivyotengenezewa mkakati ili afukuzwe katika...

READ MORE

Jerry Muro Atoa Ushuhuda wa Maisha Yake – Video

MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro amewataka vijana kujitambua na kuachana na wale wanaowabeza kwani ni Mungu pekee ndiye...

READ MORE

Tamasha la Campus Night Lafunika Dar – Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la Victory Christian Center Tabernacle (VCCT), lenye makao makuu, Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam, Dkt. Huruma...

READ MORE

Hotuba ya Waziri Mkuu… Spika Aahirisha Bunge Hadi 2020 – Video

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameahirisha mkutano wa 17 wa bunge hilo na shughuli...

READ MORE

Rais Magufuli Awapigia Simu Wasanii, Awapa Milioni 100 – Video

Rais Dkt. John Magufuli amempigia simu Rais wa Chama cha Muziki Tanzania, Ado Novemba na kumweleza kuwa kuwa anafuatilia shughuli...

READ MORE

Video: Kamati ya Hamasa Yawaita Mashabiki Taifa Kesho

Kamati ya hamasa ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars  leo Novemba 14, 2019 ikiongozwa na Mwenyekiti wake Haji...

READ MORE

Serikali Kumwaga Ajira 16,000 za Walimu – Video

SERIKALI imesema hivi karibuni itatangaza ajira mpya za walimu 16000 wa Sekondari na Shule za msingi ili kupunguza tatizo la...

READ MORE

Aliyevimba Mguu Kimaajabu Apelekwa India – Video

Hatimaye kijana, Goodluck Frank Minja, ambaye anasumbuliwa na uvimbe mkubwa katika mguu wake wa kulia amefanikiwa kwenda nchini India kwa...

READ MORE

JPM Kununua Ndege Nyingine ya Mizigo – Video

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili...

READ MORE