×

Global TV Online

Oscar: Masai Mzungu… Birthday na Nyama ya Mbuzi ‘Wananiita Boya’ – Video

Oscar ni kijana wa Kimasai mwenye asili ya Sweden anayeishi Tanzania ambaye ameamua kuishi maisha ya Kimasai, mapema wiki hii...

READ MORE

Jafo Awapa Mtihani Wakurugenzi, Ma-DC – Video

Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amewaagiza Wakurugenzi wote nchini wanaotekeleza miradi wa kulipa kulingana na matokeo (EP4R) kwa ajili ya...

READ MORE

Usiyoyajua Kuhusu Mashujaa Hawa, Ruge, Mufuruki, Mengi – Video

MIAKA michache iliyopita tulimpoteza Elvis Tables Musiba aliyekuwa Mwenyekiti wa TPSF (Tanzania Private Sector Foundation).   Mwaka jana tukampoteza Sir....

READ MORE

“Nimeingia Gerezani Nikiwa na Miaka 20, Nimetoka Mzee” – Video

TIMOTHEO SILAS aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la unyang’anyi mwaka 2,000 ameachiwa huru jana Jumanne Desemba 10,...

READ MORE

Majonzi! Bilionea Mufuruki Azikwa Makaburi ya Kisutu – Video

MWILI wa bilionea Mtanzania na Mwenyekiti mwanzilishi wa Jukwaa la Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni na Ofisa Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

LIVE: Mwili wa Bilionea Mufuruki Ukiagwa JNICC Dar

MWILI wa bilionea Mtanzania na Mwenyekiti mwanzilishi wa Jukwaa la Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni na Ofisa Mtendaji Mkuu wa...

READ MORE

Namba 7 Pigo kwa Mama Kanumba – Video

DAR: Kama ni kumbukumbu mbaya, hakika namba 7 itabaki kuwa pigo kila atakapokuwa anaikumbuka mama mzazi wa marehemu Steven Charles...

READ MORE

Mazishi ya Seth Bosco, Vilio na Majonzi Makaburi ya Kinondoni – Video

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala wakati mwili wa aliyekuwa msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mdogo wa marehemu Steven...

READ MORE

Mwili wa Seth Waagwa, Mama Kanumba Aishiwa Nguvu – Video

MWILI wa aliyekuwa msanii wa filamu nchini ambaye pia ni mdogo wa marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco umeagwa leo baada...

READ MORE

Miaka 58 ya Uhuru: JPM Asamehe Wafungwa 5,533 – Video

RAIS John Magufuli leo Desemba 9, 2019, amesamehe wafungwa 5,533 katika sherehe za kuadhimisha miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika...

READ MORE

JPM Apokelewa kwa Shangwe CCM Kirumba – Video

  RAIS  John Magufuli amepokelewa kwa shangwe na vifijo wakati akiingia katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza katika kusherehekea...

READ MORE

LIVE: Gwaride, Kwata, Ndege za Jeshi Mbele ya JPM – Video

MAADHIMISHO Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanafanyika leo katika...

READ MORE

Rais JPM Aongoza Maadhimisho ya Sherehe za Uhuru Mwanza – Video

Rais Dk. John Magufuli ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama amekagua gwaride la heshima...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Meli Mpya Mwanza

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Desemba 8, 2019 ameweka Jiwe la...

READ MORE

VIDEO: JOHARI Afunguka Kifo cha Mdogo wa Kanumba

 Msanii mkongwe wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari, amefika nyumabani kwa mama Kanumba Kimra – Temboni jijini...

READ MORE

Video: Mwanafunzi Amkuna JPM, Ampa Milioni 5 – Video

Rais John Pombe Magufuli akiwa na msichana Salma Yasini, Kiongozi wa wanafunzi wa Shule ya msingi ya Iseni B ambaye...

READ MORE

Mshtuko Dar! Vijana Wachinja, Wala Nyama Mbichi ya Paka

HUU ni zaidi ya mshtuko! Wakati watu wakiwa wamezoea kula nyama ya ng’ombe, mbuzi na wanyama wengine waliozoeleka tena ambayo...

READ MORE

Nguvu ya Global Group & V.O.A Yazidi Kuimarika Kimataifa

  MKURUGENZI  wa Masoko Joyce Ngoh, Mashariki na Kusini mwa Afrika kutoka wa Shirika la Habari la Amerika, Voice of...

READ MORE

Vijana Wanachinja na Kula Paka Mbichi, Wanabugia Minyoo – Video

UKISTAAJABU ya MUSA utayaona ya FIRAUNI! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia vijana hawa wawili wa makamu wasioweza kula chakula cha...

READ MORE

Jafo Ambana Mkurugenzi, Azirai Papo Hapo! – Video

MKURUGENZI wa kampuni ya Scol Building Contractors Limited ameanguka na kuzirai mbele ya Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo baada ya...

READ MORE

Tanga: Kijana Akatwa Jembe Shingoni, Auawa

MTU mmoja aliyekuwa akifanya kibarua cha kulima, Fadhili Rashidi (35), ameuawa kwa kukatwa na jembe shingoni.   Tukio hilo limetokea...

READ MORE

Breaking News: Sumaye Abwaga Manyanga, Ajiondoa Chadema – Video

WAZIRI mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.  leo Desemba 4, 2019 ametangaza rasmi kujitoa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).  ...

READ MORE

Mwijaku Amwaga Ubuyu Video za Menina, Amtaja Mobeto – Video

Msanii na mtangazaji, Mwijaku amefunguka kwa mara ya kwanza tangu sakata la picha za utupu za rafiki yake Menina kutokea,...

READ MORE

MISS TZ Asimulia MADAWA ya KULEVYA Yalivyotaka KUMUUA – Video

 Global TV imefunga safari mpaka kituo cha Mwananyamala kinacholea waathirika wa madawa ya kulevya na kuzungumza nao, ni vipi...

READ MORE

DC Sabaya Amsweka Ndani Kapteni wa Jeshi ”Unajifanya Kichaa?” – Video

MKUU wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, amerejesha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) eneo lenye ukubwa wa ekari mbili...

READ MORE

Mwakinyo Ahudhuria Mazishi ya Mashabiki Wake

BONDIA namba moja Tanzania, Hassan Mwakinyo amefika jijini Tanga na kuhudhuria mazishi ya mashabiki wake wawili waliofariki kwa ajali baada...

READ MORE

Sapraizi ya Askofu Gwajima Yaacha Gumzo – Video

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania, Dr.Josephat Gwajima Ameahidi Kumpatia Shilingi Milioni 100 Muimbaji Wa Muziki Wa...

READ MORE

Global Habari Dec 01: Waziri Lugola Akanusha Tuhuma Za Kufukuza Wakimbizi

 Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma zinazoelekezwa kwake kwamba imekua ikiwafukuza wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika Makambi na Makazi mbalimbali...

READ MORE

Vilio Upya Makaburini! Misa ya Wazazi wa Anna Zambi – Video

SIMANZI na majonzi vimeibuka tena leo Jumamosi, Novemba 30, 2019 katika familia ya Mwanafunzi Anna Zambi ambaye miezi michache iliyopita...

READ MORE

Mfaume Amchapa Keis Ally, Alia Kubebwa – Video

BONDIA Mfaume Mfaume amemtwanga bondia mwenzake Keis Ally, katika raundi ya nane na ya mwisho kwenye pambano la utangulizi kusindikiza...

READ MORE

Simanzi na Vilio! Mazishi ya Bi Cheka – Video

HATIMAYE mwili wa mwanamuziki wa bongo Fleva, Cheka Haji maarufu kama Bi Cheka umehifadhiwa kwenye Makaburi ya Kigofu Bunju, jijini...

READ MORE