×

Global TV Online

Video: Inaumai! Ma’Mdogo, Bibi Wa Anna Zambi Wasimulia

 Ikiwa ni siku moja tangu habari za mtoto Anna Zambi kushika hatamu katika vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini...

READ MORE

Mwakyembe Amzungumzia Idris – “Rais Hajasema Akamatwe” – Video

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusiana na mchekeshaji, Idriss Sultan.

READ MORE

VIDEO: Mwakyembe Azungumzia Wimbo Wa Roma – “Kuufungia, Unataka Siasa, Ni Msomi”

 WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amesema wimbo wa Roma hajapata nafasi ya kuusikiliza zaidi...

READ MORE

Global Habari Nov 16: Mwanamke Mmoja Auawa Geita, RPC Aeleza Tukio Zima – Video

Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Naomi Mshera mwenye umri wa miaka 40 mkazi wa kijiji cha Ntinaji Wilayani Geita...

READ MORE

Makonda: ‘Waliandaa Mkakati Nitumbuliwe’ – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameamua kuvunja ukimya na kuanika namna alivyotengenezewa mkakati ili afukuzwe katika...

READ MORE

Jerry Muro Atoa Ushuhuda wa Maisha Yake – Video

MKUU wa Wilaya ya Arumeru, Jerry Muro amewataka vijana kujitambua na kuachana na wale wanaowabeza kwani ni Mungu pekee ndiye...

READ MORE

Tamasha la Campus Night Lafunika Dar – Video

MCHUNGAJI wa Kanisa la Victory Christian Center Tabernacle (VCCT), lenye makao makuu, Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam, Dkt. Huruma...

READ MORE

Hotuba ya Waziri Mkuu… Spika Aahirisha Bunge Hadi 2020 – Video

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameahirisha mkutano wa 17 wa bunge hilo na shughuli...

READ MORE

Rais Magufuli Awapigia Simu Wasanii, Awapa Milioni 100 – Video

Rais Dkt. John Magufuli amempigia simu Rais wa Chama cha Muziki Tanzania, Ado Novemba na kumweleza kuwa kuwa anafuatilia shughuli...

READ MORE

Video: Kamati ya Hamasa Yawaita Mashabiki Taifa Kesho

Kamati ya hamasa ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars  leo Novemba 14, 2019 ikiongozwa na Mwenyekiti wake Haji...

READ MORE

Serikali Kumwaga Ajira 16,000 za Walimu – Video

SERIKALI imesema hivi karibuni itatangaza ajira mpya za walimu 16000 wa Sekondari na Shule za msingi ili kupunguza tatizo la...

READ MORE

Aliyevimba Mguu Kimaajabu Apelekwa India – Video

Hatimaye kijana, Goodluck Frank Minja, ambaye anasumbuliwa na uvimbe mkubwa katika mguu wake wa kulia amefanikiwa kwenda nchini India kwa...

READ MORE

JPM Kununua Ndege Nyingine ya Mizigo – Video

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema serikali imeshaanza mazungumzo ya namna ya kupata ndege ya mizigo kwaajili...

READ MORE

Mkapa Alivyolishwa Keki na Mkewe kwa Mahaba – Video

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe Benjamin Mkapa, jana Novemba 12, 2019 amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza umri...

READ MORE

Lipumba Alipuka Tena, Asusia Uchaguzi S/Mitaa – Video

Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amesema Chama chake hakitoshiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa na hakiutambui...

READ MORE

Global Habari Nov 11: Serikali Kuboresha Mfumo wa RITA

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga amesema Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya usajili vizazi, vifo na Ufilisi....

READ MORE

DIAMOND Aweka Historia Wasafi FESTIVAL Dar (Picha +Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’  usiku wa kuamkia leo Novemba 10, 2019 amefanya shoo ya aina yake...

READ MORE

Video: PROF JAY, FEROOZ Walivyowasha MOTO WASAFI FESTIVAL DSM

 Tamasha la Wasafi Festival linafanyika usiku wa Novemba 09, 2019 katika Viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.. Ktazama...

READ MORE

Video: Wizkid Na Tiwa Savage Wakifanya Sound Check Viwanja Vya Posta

 Wanamuziki Wizkid na Tiwa Savage, kutoka Nigeria wamewasili Bongo mchana wa Novemba 09, kwa ajili ya kufanya shoo kwenye...

READ MORE

VIDEO: ALIKIBA ATOA TAMKO RASMI MBELE YA WAANDISHI DAR

MSANII wa Bongo Fleva, AliKiba leo Novemba 8, 2019 amezungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Ramada Posta jijini...

READ MORE

Global Habari Nov 8: JPM Awataka Viongozi Afrika Wasitegemee Misaada – Video

Rais Dkt. John Magufuli amewataka viongozi Barani Afrika kujenga mfumo wa kujitegemea kiuchumi ili kuondokana na fikra tegemezi katika kujikwamua...

READ MORE

Rais JPM: Urafiki wa Misaada Haufai – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 8, 2019 amefungua Mkutano wa Mawaziri...

READ MORE

Global Habari Nov 7: Makamu wa Rais Afungua Mkutano wa Mawaziri SADC

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zimejipanga kikamilifu kutekeleza program za kikanda katika sekta...

READ MORE

VIDEO: Diamond Atua eneo la shoo Kijitonyama

 Mwanamuziki Diamond Platnumz, akiwa na baadhi ya wasanii wa Watakaopafomu shoo ya Wasafi Festival katika viwanja vya Posta Kijitonyama,...

READ MORE

Hukumu ya Malinzi Yakwama, Hakimu Ahamishwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kusoma hukumu ya aliyekuwa Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na...

READ MORE

Baada ya Seth Kupooza, Baba Kanumba Naye Hoi – Video

IKIWA ni siku chache tangu kuugua ghafla na kupooza kwa Seth Bosco ambaye ni mdogo wa aliyekuwa nyota wa filamu...

READ MORE