×

Global TV Online

DC Magoti Ni Kazikazi! Anafungua Mradi Wa Treni Ya Mizigo Kisarawe – Video

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe DC Magoti amefunguka na kueleza kuwa watu watakaokwamisha maendeleo ndani ya Wilaya ya Kisarawe watashughulikiwa...

READ MORE

Aziz Ki: Nimebaki Yanga kwa Sababu Naipenda – Video

Mchezaji wa Yanga, Azizi Ki amesema aliamua kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo kwa sababu anaipenda Yanga. Ki ameyasema...

READ MORE

Exclusive: Mrembo Afunguka Baada ya kujizawadia Nyumba Ya Mamilioni Kwenye ‘Birthday’ Yake – Video

Mrembo amefunguka akifanya mahojiano na Global TV Onlibe  kuwa mejizawadia nyumba kwenye siku yake ya kuzaliwa.

READ MORE

Mwanasheria Wa Yanga Atoa Tamko Zito Kuhusu Magoma Na Wenzake – Video

Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga, Simon Patrick amesema wamegundua Walalamikaji Juma Ally na Geofrey Mwaipopo waliofungua kesi wakitaka Rais wa...

READ MORE

Mume Amfukuza Mkewe, Amnyang’anya Hati Ya Nyumba Na Gari – Mama Pili Asimulia – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji Khadija Omary maarufu kama Mama pili ameeleza kuwa kati ya Wasanii anaowapenda ni pamoja na...

READ MORE

Mtoto Aliyepotea Dar Aonekana Moro, Mama Aongea Kwa Furaha – Video

Mtoto Angel Kamugisha (6) mkazi wa Kinondoni Shamba, ambaye jana Global TV iliripoti habari zake akidaiwa kuchukuliwa shuleni alipokuwa akisoma,...

READ MORE

DC Magoti Alivyotatua Kero Za Wananchi Papo Hapo, Awapa Maagizo Watumishi Wa Umma – Video

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti amepigilia msumari kauli yake aliyoitoa hivi karibuni ya kupiga marufuku watoto wadogo wa...

READ MORE

Mapya Yaibuka! Aliyetoa Namba Ya Simu Ya Aslay Kwa Mrembo, Siri Yafichuka – Video

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Kundi la Madada Sita lililokuwa chini ya Lebo ya Mkubwa na Wanaye, Wegesa Richard @catrimah_richie...

READ MORE

Mgogoro wa Ardhi Tangu 1970, Mzee Atoa kilio Kwa Waziri Jerry Silaha – Video

Mzee Bahari Seif Mpendu ni mzaliwa wa eneo la Vijibweni-Kibada jijini Dar es Salaam tangu mwaka 1957 ambaye ametoa kilio...

READ MORE

Mtoto wa Faiza Ally Afunguka Mazito Juu ya Mama na Baba Yake – Video

 Mtoto wa mwanadada mjasiriamali na staa wa mitandaoni, Faiza Ally @iamfaizaally, aliyezaa na mkongwe wa Bongo Fleva na mwanasiasa...

READ MORE

Vijana Waliopotea Temeke Wafikia 4, Mochwari Na Polisi Hawapo – Video

Sakata la vijana wawili, Abdulrazack Salim na Ramadhan Sultan wakazi wa na Temeke Mikoroshini jijini Dar es Salaam kudaiwa kupotea...

READ MORE

DC Magoti Atoa Tamko Pikipiki Haziruhusiwi Kubeba Mkaa – Video

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti amepiga marufuku pikipiki (bodaboda) kutumika kusafirishia mkaa na kueleza kuwa sheria haziruhusu usafiri...

READ MORE

Mama Atapeliwa Shamba na Kibarua Wake Morogoro – Video

Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro Bi. Mary Florian Somba amedai kutapeliwa shamba na kibarua wake kwa kusainishwa fomu ya uthibitisho...

READ MORE

Kauli Ya Kwanza Ya Bosi Mpya Wa TRA – ”Mungu Ataniongoza, Nitazidi Matarajio Ya Rais” – Video..

Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda akiongea na watumishi wa TRA Zanzibar mara baada ya kupokelewa rasmi na watumishi...

READ MORE

#Exclusive: Mama Kanumba Atangaza Kumpa Duma Mikoba Ya Kanumba – Video

Mama mzazi wa aliyekuwa msanii wa bongo movie Marehemu Kanumba amesema mikoba ya mtoto wake amemkabidhi @Duma_actor kwa sababu anafanya...

READ MORE

Gerson Msigwa Afichua Za Ndani Kabisa, “Rais Samia Ametoa Milioni 100 Kwa Taifa Stars – Video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa @gersonmsigwa amesema kama taarifa kwamba Ligi Kuu ya Tanzania...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Tunguu Zanzibar – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar leo...

READ MORE

Sakata La Sukari: Bodi Haikuchelewa Kutoa Vibali vya Kuagiza Sukari, Mkurugenzi Mkuu Afunguka – Video

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari, Profesa Kenneth Bengesi amesema madai yaliyotolewa kwamba bodi hiyo ilichelewesha kutoa vibali va kuagiza...

READ MORE

Mrembo Awagiwa Tindikali Arusha Alazwa katika Hospitali ya Mount Meru

Mwanadada Jackline Lauo anayefanya kazi ya kuuza duka la nguo katika Mtaa wa Nazi, jirani na Stendi Kuu ya Arusha...

READ MORE

Bodaboda Asimulia Alivyotaka Kuuawa Na Vibaka Porini – Video

Kijana Hassan Michael mkazi wa Nungwi visiwani Unguja, ambaye ana kipaji cha kuwaigizia wanyama mbaliumbali wanavyotembea ikiwemo sokwe, amesema licha...

READ MORE

Ufunguzi Wa Maonesho Ya 48 Ya Bishara Ya Kimataifa Ya Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe...

READ MORE

DC Magoti Akasirishwa Na Mradi Kukwama Atoa Maelekezo Mazito Kwa Meneja Wa TARURA – Video

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti amefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali wilayani humo ikiwa ni pamoja na kutembelea...

READ MORE

Shigongo Ambana Meneja Wa Tarura Mbele Ya Wananchi, Ataka Majibu – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amembana Meneja wa TARURA kwa kumpigia simu na kumuweka ‘loud speaker’ mbele ya wananchi ili...

READ MORE

Msigwa Amlipua Vibaya Mbowe Baada Ya Kuhamia CCM, Afichua Madudu Ya Chadema – Video

Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini kupitia Chadema, Mchungaji Peter Msigwa ameeleza sababu mbalimbali zilizomfanya akachukua uamuzi wa kujiunga na...

READ MORE

Waziri Silaa Aingilia Kati Sakata La Mama Aliyedai Kiwanja Chake Kuchuliwa Mkopo Benki Bila Kujua – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameingilia kati sakata la kiwanja no. 141/40 kilichopo Ananasifu Kinondoni...

READ MORE

#Exclusive: Uke Wenza Ulivyomshinda Hanifa Apewa Talaka, Ajibu Bifu Lake Na Isha Mashauzi – Video

Wasanii wa muziki wa Taarab, Hanifa Jike la Chui @hanifajikelachui amefunguka kidogo kuhusu bifu lake na Isha Mashauzi na kukataa...

READ MORE

Mjue Robert Mugabe: Mwamba Aliyepania Kuwakomesha Mabeberu – Wakakoma Watu Wake – Video

 Ukisikia watu wanasema tuko nyuma yako ‘be careful’ maana ukigeuka unaweza usiwakute. Hii nimeiona ‘live’ kwa Robert Mugabe pale...

READ MORE

#Exclusive: Ex-Wife Wa Q Chief Afichua Kunyang’anywa Watoto 2 Uingereza, Jini Mahaba Lilivyomsumbua – Video

Mwanamama ambaye huko nyuma alikuwa akifanya kazi mbalimbali za kiburudani za kuwapeleka wasanii mbalimbali wa hapa nchini kufanya show nje...

READ MORE

Bodi ya Mikopo Yawataka Wadaiwa Kurejesha Fedha – Video

Mkurugenzi wa Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ameongoza uzinduzi wa kampeni ya fichua uliofanyika June 28, 2024 kwenye...

READ MORE

Tamko La Mawaziri Mwigulu Na Nape Mikopo Ya Kudhalilisha Mitandaoni – Video

Sakata la mikopo inayotolewa mitandaoni na baadaye waliokopeshwa wakishindwa kulipa kudhalilishwa kwa watu wao wa karibu kutumiwa meseji au kupigiwa...

READ MORE

Wabunge Wapitisha Kwa Kishindo Bajeti Kuu Ya Serikali – Video

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha kwa kishindo bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Msikilize Spika...

READ MORE

#Exclusive: Amina Vikoba Apigwa Na Kitu Kizito Na Mume Wake – Video

Msanii wa maigizo nchini, maarufu kama Amina Vikoba ambaye ni dada wa msanii wa Singeli, Dulla Makabila @Amina_vikoba amefunguka kuhusu...

READ MORE

Shigongo: Watanzania Wamechoka Kuwa Maskini, Ashauri Mabenki Kusaidia Wazawa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema sheria za udhibiti wa fedha za umma zinapaswa kusimamiwa kikamilifu ili kudhibiti wizi wa...

READ MORE

#Exclusive: Wastara Amwaga Machozi – Afichua Kuzushiwa Kifo, Miezi 5 Sijalala – Video

Mwigizaji wa filamu za Kibongo wa kitambo, Wastara Juma amemwaga machozi alipokuwa akihojiwa na mtangazaji  Global TV, Imeda Mtema.

READ MORE

#Exclusive Na Zee Cute Ajilipua – ”Sitaki Kuolewa Labda Nifosiwe, Mimi Siyo Mtu Wa Mapenzi”- Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zee Cute @zee_cuty ambaye kwa sasa anafanya poa kwenye Tamthiliya ya #Dosari inayoruka Dstv,...

READ MORE

Musukuma: Mpina Afanyiwe Uchunguzi wa Afya ya Akili Akisema Kwamba Haamini Kama Yuko Sawa

Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma ameshauri Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili akisema kwamba haamini...

READ MORE

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina Afungiwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge – Video

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Joelson Mpina, amefungiwa kuhudhuria vikao 15 vya Bunge kuanzia Juni 24, 2024 kwa kosa la kukiuka...

READ MORE

Makalla Afunguka Rais Zanzibar Kupewa Miaka Saba (Picha +Video)

KATIBU wa Itikadi na uenezi na mafunzo wa Halmashauri kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amosi Makalla amesema...

READ MORE

Mjue Mzee Wa Kispika Ahmed Ally, Semaji La CAF, Mashine Ya Kuongea – Video

Mfahamu kwa undani Msemaji wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally @ahmedally_ kupitia makala maalum yaliyoandaliwa na Global TV, kuanzia alikotokea,...

READ MORE

Mpaka Home: Sophie Amelowa Afumaniwa, Akimbia Bila Nguo, Bodaboda Amuokoa -Video

 Mpaka Home wiki hii imefika mpaka nyumbani anakoishi video vixen aliepata umaarufu mkubwa baada ya kuonekana kwenye video ya...

READ MORE