×

Global TV Online

Millard Ayo Afunguka kwa Uchungu Zuchy “Alikuwa Na Njaa ya Mafanikio” – Video

Aliyekuwa bosi wa Zuchy Millard Ayo amefanya mahojiano na Global Tv na kueleza kuwa kijana Zuchy alikuwa na njaa ya...

READ MORE

Waziri Silaa Afika Gerezani Kutatua Mgogoro Wa Mipaka- ”Rais Samia Amenituma Niwahudumie Wananchi” -Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ametatua mgogoro wa mipaka kati kampuni inayojulikana kwa majina ya...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Sherehe Za Maadhimisho Ya Miaka 60 Ya Muungano, Uwanja Wa Uhuru, Dar – (Picha +Video)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya kiaka 60 ya Muungano leo tarehe...

READ MORE

Watoto wawili wa familia moja Wafariki baada ya kutumbukia kwenye shimo – Video

Watoto wawili wa familia moja katika Mtaa wa Mindu mkoani Morogoro, wamefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye shimo lenye maji...

READ MORE

Waziri Silaa Amtoa Mtu Aliyeshikilia Nyumba Ambayo Siyo Yake Tanga – Video

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amemrejeshea nyumba yake Bi. ambaye ni Askari msataafu baada ya...

READ MORE

Maziko Ya Gardner G Habash Kijijini Kwao Rombo – Mwanaye Na X-Wife Wake Waishiwa Nguvu – Video

IBADA ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha...

READ MORE

Waziri Silaa Arejesha Kiwanja Kilichoporwa Na Tajiri Wa Mabasi Ya Tanga – Video

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amesema kazi yake yeye ni kama bishara ya utumbo na...

READ MORE

Mfahamu Mwami Ndeze; Mfalme Pekee Muhutu Aliyelinda Amani Ya Rutshuru Wakati Congo Yote Ikiwaka Moto – Video

Sikuwahi kujua kama ndani ya Congo DRC kuna mji watu wanaongea Kiha kabisa kama cha watu wa Kibondo Kigoma, sema...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo Awasha Moto Dhidi ya Serikali, Apinga Ufisadi – Video

Mbunge wa jimbo la Buchosa ambalo liko wilayani Sengerema, Eric Shigongo ndani ya Bunge la Bajeti katika Wizara ya Utumishi...

READ MORE

#Exclusive: Madam Rita Afunguka Kuhusu Mahusiano Yake na Watoto Wake

Mdau mkubwa wa sanaa hapa nchini na pia mwanamama ambaye ameibua vipaji vingi sana kupitia shindano lake la Bongo Star...

READ MORE

Mwigizaji Sasha Afunguka Kulipiwa Kodi Na Sponsa, Anaishi katika Jumba La Kifahari

Msanii wa Bongo movie merry Elias kushaba Maarufu kama Sasha amefanya kipindi na Global Tv, cha mpaka home na kuonesha...

READ MORE

Kumbuka Amlilia Irene Uwoya -“Irene Kama Bata Sijui Kama Anajua Mwambieni”- Video

Dkt. Kumbuka amefanya mahojiano na Global Tv na kusema kuwa kwa wasanii wa Bongo Muvi anampenda sana Irene Uwoya kwani...

READ MORE

Zuwena Wa Diamond Afichua Alivyomtongoza Juma Lokole – Awavaa Yanga – Video

Zuwena wa Mondi amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa anampenda sana Juma Lokole na yeye kama mwanamke shupavu...

READ MORE

Rais Samia Akishiriki Misa Maalum Ya Miaka 40 Ya Kumbukizi Ya Kifo Cha Hayati Sokoine (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Maalum ya miaka 40 ya Kumbukumbu ya Miaka...

READ MORE

Anti Lulu: Nimekaa Jela Nikiwa Na Miaka 14, Anjella Ashaferi – Video

Mwanadada anayesifika kwa kutingisha wowowo lake hasa awapo kwenye kundi la watu, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ amesema kuhusu urafiki wake...

READ MORE

Makonda Achafua Hali Ya Hewa Mbele Ya Rais Samia-Atishia Kuwataja Vigogo Wanaomtukana Rais Mtandaoni – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema anawafahamu wanaolipa watu ili kumtukana Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mitandao ya...

READ MORE

Video: Mtoto Wa Lowassa Ajilipua Makonda Kupelekwa Arusha – ”Yalitokea Yaliyotokea – Namtegemea Sana”…

Fredrick Lowassa Mbunge wa jimbo la Monduli, jijini Arusha amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kueleza kuwa Mkuu wa...

READ MORE

Dotto Magari Atembelea Mradi Wake Wa Nguruwe Alowekeza Mil 70 Dodoma – Video

Mfanyabiashara na Dalali wa magari Bongo, Dotto Keto @dotto_magari  ametembelea mradi wa ufugaji wa nguruwe wa Kijiji cha Nguruwe, uliopo...

READ MORE

Kidoa Wa ‘Huba’ Apewa Baraka Msikitini, Apeleka Sadaka Ya Futari Na Mazulia, Mwenyewe Afunguka – Video..

Msanii wa Bongo Muvi, Asha Salum ‘Kidoa’ @kidoasalum ambaye pia anafanya vizuri kwenye Tamthilia ya Huba akijulikana kama ‘Tima’, jana...

READ MORE

Walionaswa Kwenye V8 Wahukumiwa Mwaka Mmoja Jela – Video

Wahamiaji haramu raia wa Ethiopia wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela au kulipa faini ya Milioni moja kwa...

READ MORE

Waziri Silaa Awajibu Wanaosema Anaingilia Mahakama – Video

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ametoa ufafanuzi kuhusu watu wanaodhani anaingilia mahakama katika baadhi ya...

READ MORE

Video: Rais Samia Amuapisha Makonda Na Viongozi Wengine Aliowateua Ikulu, Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar...

READ MORE

Rais Samia Azindua Tume Ya Ulinzi Wa Taarifa Binafsi JNICC, Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan azindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo...

READ MORE

Jamaa Ataka Kumuua Mama’ke Na Kumtupa Buza, Mama Aokotwa Akiwa Hoi – Video

Mapya yanazidi kuibuka kufuatia tukio la kijana aliyefahamika kwa jina la Clemence Mahela mkazi wa Yombo Matangini kwa Mbembe jijini...

READ MORE

Video: Silaha Za Kivita Zilitumika Kumshambulia Mbunge Ole Sendeka /Mrithi Wa Makonda Ccm Huyu Hapa

Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka kwa mara ya kwanza amezungumza na wananchi wa jimbo lake baada ya kushambuliwa kwa...

READ MORE

Video: Mashabiki Simba ‘Wamwaga Machozi’, Walaumu Kosa Kosa Za Onana Na Saido

Mambo si mazuri kwa kwa mashabiki wa Simba, baada ya timu yao kukubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa AlAhly...

READ MORE

Mfanyabiashara Aokolewa Akitaka Kujichoma Moto Ndani Ya Ghorofa Lake Na Mwanaye Arusha – Video

Mfanyabiashara aokolewa akitaka kujichoma moto ndani ya Ghorofa lake na Mwanaye jijini Arusha. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️...

READ MORE

Wema Sepetu: Sipendi Misiba Wala Baby Shower, Najisikia Vibaya, Moyo Wangu Mwepesi – #Exclusive Video

Wema Sepetu ambaye ni nyota wa filamu hapa Bongo, ameweka wazi kuwa kamwe hawezi kuacha kumpenda Lola, mpaka mwisho wa...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti Ya CAG Na Taarifa Ya Utendaji Kazi Ya Takukuru 2022/2023 -(Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

READ MORE

Aggy Baby: Wanawake Wa Elfu 2 Hawana Akili, Makungwi Watoto Serikali Iwafungie

Msanii wa Bongo Muvi na muziki wa Bongo Fleva, Agness Suleiman @Aggybaby_ amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa...

READ MORE

Kassim Majaliwa Awaongoza Wananchi Kuipokea ndege mpya Boeng B737- 9 Max, Terminal 1, Dar (Picha +Video)

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kusimamia ipasavyo Shirika la Ndege Tanzania ili kuhakikisha uwekezaji mkubwa uliofanywa unaleta...

READ MORE

Makonda Achafua Hali Ya Hewa – ”Kuna Ujinga Unaendelea Wa Kumtofautisha Magufuli Na Rais Samia”- Video

Katibu wa NEC – Itikadi, na Uenezi Paul Makonda amesema kuwa kuna kasumba ya baadhi ya watu kumtofautisha Rais wa...

READ MORE

Mashindano ya Quran Afrika: Rais Mwinyi Ahimiza Kuhifadhi Quran Na Kufundisha, Mshindi ni Ibrahim Sow wa Ivory Coast (Picha +Video)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya kiislamu kuendelea kuhifadhi...

READ MORE

Kapteni Tyson – ”Baharini Ni Bustani Ya Majini, Ili Upate Lazima Uwape Kitu” – Video

Kapteni Tayson anayejishughulisha na uvuvi amefanya mahojiano na Global Tv kupitia kipindi cha kona ya mtaa na kueleza kuwa baharini...

READ MORE

Saleh Jembe: Simba Wakikosea Dar Wasitegemee Watapatia Cairo, Mamelodi Wanafungika – Video

 Mwandishi nguli wa michezo Saleh Jembe amefanya mahojiano na waandishi na kusema kuwa Simba Sc ina bahati kupangwa na...

READ MORE

Kamanda Muliro Awataja Matapeli Wanatumia Jina La Spika Tulia – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na...

READ MORE

#Exclussive: Mbwana Samatta Afanya Kufuru Kijijini Kwao – Afuata Nyao Za Sadio Mane – Video

WAKAZI wa Vikindu Kidubwa Mkoa wa Pwani, wameanza kuutumia msikiti uliojengwa na mshambuliaji wa Greece club PAOK, Mtanzania, Mbwana Samatta....

READ MORE

Rais Samia, Wizara ya Afya Waipongeza Global TV kwa kuibua habari Ya Mtoto Rama Anayeumwa Figo – “Akatibiwe Bure Muhimbili” – Video

Rais Samia Suluhu Hassan kupitia wizara ya afya @wizara_afyatz inayoongozwa na Waziri @ummymwalimu wameipongeza @globaltvonline kwa kuibua habari za kijana...

READ MORE

Kijana: Ajali Imekatisha Ndoto Zangu, Nisaidieni Nipo Kitandani Miaka 4 Mgongo, Nyonga Havifanyi Kazi- Video

Kijana Michael Charles Nyawanda (35), mkazi wa Mtaa wa Nyasula, Bunda mkoani Mara anasumbuliwa na tatizo la mgongo pamoja na...

READ MORE

Zari Amkataa Mtoto Wa Mobetto Kuwa Wa Diamond,’Namjua Zuchu Na Tanasha’-Video

Zari The Boss Lady ; ni mwanamama tajiri Afrika Mashariki na baby mama wa staa mkubwa wa muziki nchini Tanzania,...

READ MORE