×

Global TV Online

Esma Platnumz Afunga Ndoa na Mpenzi wake Rashid Shaibu ‘Jembe One’ – Video

Mwanamama maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholati) na dada wa staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz, ESMA Khan au...

READ MORE

Bashe Atoa Kauli Nzito Sakata La Sukari – ”Wafanyabiashara 28 Tumewakamata -Tumeshawabeba Sana” – Video

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema licha ya tatizo la uhaba nchini lililosababishwa na changamoto mbalimbali ikiwemo kunyesha kwa mvua...

READ MORE

Sanamu La Nyerere Lavunja Mbavu Watu Ikulu – ”Madaraka Nyerere Amesema Yule Ni Baba Yake” – Video

Serikali ya Tanzania kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...

READ MORE

Mkurugenzi Wa Mawasiliano Ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus Azungumza Na Wahariri – (Video+Video)

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus pamoja na Viongozi wengine wakizungumza na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari...

READ MORE

Naibu Waziri Biteko Awalipua Tanesco Makao Makuu – ”Idara Ya Manunuzi Wawabadilishe” – Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JHNPP)...

READ MORE

Video: Kijana Afunguka Mazito, Apitia Maisha Magumu Hata Kula yake Imekuwa ya Shida

Global Tv imefanya mahojiano na officialvini2024 na kueleza namna alivyohaso kutoka mkoa wa Lindi mpaka jiji lenye hekaheka zake yaani...

READ MORE

#Part1 Video: Dokta Kumbuka – ”Siku Hizi Wanawake Wengi Wanawaroga Wanaume Zao”…| Hardtalk

Kwenye Hard Talk wiki hii na mtumishi wa Mungu na mwandishi wa vitabu, Lilian Mwasha yupo na mwigizaji, mtangazaji, mshereheshaji...

READ MORE

Rais Aongoza mazishi Ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Mkoani Arusha (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema, miongoni mwa vitu alivyojifunza kutoka kwa hayati Edward Ngoyai Lowassa...

READ MORE

Ibada Ya Mazishi Ya Aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ashiriki Ibada ya Mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa...

READ MORE

Msiba Wa Lowassa Monduli; Ng’ombe 100 Zachinjwa Na Viongozi Wa Mila – Video

Baadhi ya viongozi wa kimila wamesema kuwa wanayaenzi maisha ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kwa kuchinja ng’ombe 100 hivyo...

READ MORE

Mirathi Yazua Balaa Dar, Mwananchi Aibua Tuhuma Nzito ”Naomba Nionane Na Waziri Mkuu”…

Mohamed Soli, mkazi wa Gerezani, Kariakoo jijini Dar, ameomba nafasi ya kuonana na Waziri Mkuu kuhusiana na sakata lake la...

READ MORE

Mbunge Mpina Ajilipua Bungeni “Tufute Gharama za Matibabu ya Kansa” – Video

Mbunge wa Kisesa Luhagha Mpina, ametoa hoja bungeni kuhusu swala la kufuta matibabu ya gharama za kansa kwa wagonjwa kutokana...

READ MORE

Ibada Ya Kuuaga Mwili Wa Lowassa Kanisa La KKKT Azania Front

Mwili wa Waziri mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa ukiwa Katika Kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front Jijini Dar es...

READ MORE

Msibani Kwa Lowassa: Steve Nyerere Awararua Vibaya Wasanii – Video

Msanii wa Bongo Muvi Steve Nyerere mara baada ya kufika msibani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, amefanya mahojiano...

READ MORE

Hard Talk: Deo Sukambi : “Valentine Wanandoa Watalia, Michepuko Watafurahi”, Afichua Mazito – Video

 Mtaalamu wa mahusiano, Deo Sukambi amesema kuwa leo Februari 14, 2024 siku ya Valentine day baadhi ya watu huanza...

READ MORE

#Exclusive Video: “Mchumba Wangu Alifariki Muda Wangu Wa Kuomba” -Tunu Juakali

Muigizaji wa Tamthilia ya Jua Kali, @miriamrobert anayejulikana kwa jina la Tunu, ndani ya tamthilia hiyo ameongea kwa uchungu, ugonjwa...

READ MORE

Makamu wa Rais Aongoza waombelezaji kuuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa viwanja vya Karimjee (Picha +Video)

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza waombelezaji mbalimbali kutoka jijini Dar...

READ MORE

Mtoto Wa Lowassa Afichua Siri Nzito – ”Bila Rais Samia Baba Asingefika Hata Jana” – Video

MBUNGE wa Jimbo la Monduli, ambaye ni mtoto wa Edward Lowassa, Fredrick Lowassa amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupigania...

READ MORE

Maneno Mazito Ya Mstaafu Kikwete, Mzee Warioba Mwili wa Lowassa Ukiagwa – Video

 Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amesema Hayati Edward Lowassa ameacha alama katika...

READ MORE

Shigongo: “Maisha Ni Magumu Sana Huko Mtaani, Magonjwa Ya Akili Yanaongezeka”-Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosha, Eric Shigongo Februari 12, 2024 amezungumza Bungeni, jijini Dodoma. “Watanzania hawana pesa mfukoni, Watanzania hawana...

READ MORE

Makonda Msibani Kwa Lowassa Atupa Dongo – “Marafiki Zake Hamkwenda Kumpa Pole – Video

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda ametoa kauli hiyo akiwa katika msiba wa Waziri Mkuu wa zamani,...

READ MORE

Mbowe Atoa Machozi Akimzungumzia Mzee Lowassa Nyumbani Kwake – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefika kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kwa...

READ MORE

Hawa Wa Diamond Ana Hali Mbaya, Mama Yake Alia Kwa Uchungu – Video

Mama mzazi wa msanii wa muziki kipya, Hawa Nitarejea @hawanitarejea ameangua kilio mbele ya Global TV baada ya kuelezea kuwa...

READ MORE

#Exclusive Video: Femi Na Luka wa Jua Kali Wafunguka Wakiwa Na Vipara Vyao – ”Nililia Sana Siku Ya Kunyoa”

Mwigizaji wa Tamthilia ya Jua Kali, Mulky maarufu kama “Femi wa Juakali” amesema licha ya kuigiza sini za kimahaba na...

READ MORE

Mzee Miaka 76 Adai Alipigwa Risasi Na Polisi Aibua Mazito – Amuomba Rais Samia -Video

Mzee Abdallah Ngombo (76), mkazi wa Mkuranga mkoani Pwani ambaye anadai kupigwa risasi na kuvunjwa mguu na askari wa Jeshi...

READ MORE

Hard Talk: Deo Sukambi Afichua Wanandoa Kuishi Miaka Mingi Bila Tendo -“Wanawake Wamegeuka Wanaume”

Mtaalamu wa mahusiano, Deo Sukambi amesema wanaume wasiojiamini, hutumia kufanya mapenzi kama njia ya kuwacontrol wanawake hususan wale wanaoonekana kuwa...

READ MORE

#Exclusive: Sidi Wa Huba Afunguka Wanaosema Ameolewa Na Muhogo Mchungu – Video

Msanii ambaye ni zao la Tamthiliya ya Huba, Sidi amefunguka kuwa hana tabia kama ambazo anaziigiza, za kutembea na wachumba...

READ MORE

Mkurugenzi wa Bandari Afunguka “Hakuna Sukari iliyokwama Bandarini” – Video

MKURUGENZI wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho S. Mrisho ameweka wazi kuwa kama sehemu ya matokeo ya uchapakazi, nidhamu...

READ MORE

#Exclusive: Mke Wa Profesa Janabi Afichua Ratiba Ya Kula, Anavyowasaidi Wenye Shida Ya Afya Ya Akili – Video

Mtaalam wa afya ambaye pia ni miongoni mwa wakurugenzi wa Kliniki ya Doctor’s Plaza, Sofia Byanaku @sofiabyanaku ambaye pia ni...

READ MORE

Utata! Avunjika Mguu Kimauzauza – ”Mfupa Umesimama – Maumivu Makali – Naogeshwa Kwenye Kiti”..

Usikose kutazama kipindi cha Kona ya Mtaa kujua mazito anayopitia Anna Peter, mama mwenye jukumu la kulea watoto wawili peke...

READ MORE

Waitara: Wabunge Wa Vyama Vingine Njooni Chama Cha Mapinduzi – Video

Mbunge wa Tarime vijijini Waitara amewataka wabunge wa vyama vingine wahamie chama cha mapinduzi CCM kwani huko wanaenjoi na kufanya...

READ MORE

Mbunge Kilango: ”Nilimpeleka Polisi Mume Wangu – Alinichoma Pasi ” – Video

Mbunge wa Same Mashiriki, Anne Kilango Januari 30, 2024 amelalamikia baadhi ya matukio ya unyanyasaji wa kijinsia hasa dhidi ya...

READ MORE

#Exclusive: Aliyekuwa Mke Wa Madebe Lidai Aibua Mapya – ”Ni Mjeuri -Nimejuta – Ndoa Chungu”…

Msanii wa filamu za Kibongo, Chanuo ambaye alikuwa mke wa msanii mwenzake, Madebe Lidai amesema baada ya mtafaruku kutokea na...

READ MORE

Video: Mama Nandy Afunguka Baada Ya Kumzika Mwanaye Aliyeuawa Kinyama Na Wanaodaiwa Kuwa Sungusungu….

Mama wa kijana anayedaiwa kuuawa na sungusungu anayejulikana kwa jina maarufu la Mama Nandy, amezungumza tena na Global TV baada...

READ MORE

Video: Mama Afichua Ukweli Wa Mwanaye Aliyejitupa Baharini – ”Ameacha Mke – Aliniambia Anajisikia Vibaya”

MAMA wa Marehemu Mahmoud Mwalim aliyejirusha baharini kutoka kwenye boti akitokea Pemba kwenda Unguja amesema ingekua vigumu sana kwa mtu...

READ MORE

Tajiri Wa Ma-Range Ajibu Wanaomsema Kazidiwa Nyumba Kali Na Mwijaku – Video

Mfanyabiashara maarufu, Chris Lukosi amewajia juu watu wanaofananisha nyumba yake na nyumba ya mtangazaji na staa wa mitandaoni, Mwijaku na...

READ MORE

Makonda Amvaa Daktari Wa Mkoa -Ajiuma Kujibu ”Acha Kutoa Macho Mzee – Nijibu”

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amemjia mkurugenzi wa wilaya ya Kakola mkoani Shinyanga baada ya kushindwa...

READ MORE

Mrembo Aliyejibiwa Comment Na Rais Samia, Afunguka Ana Kiwanda – Video

Global Tv Imefanya mahojiano na Mbunifu wa mavazi Beatrice Mwalingo (28) ambaye amekuwa gumzo baada ya kujibiwa Comment yake na...

READ MORE

#Exclusive: “Nilipewa Taarifa Ana Pesa ZA Mbao -Kafara Zake Zilinichanganya Baba Yake ni Mchungaji”

Aliyekua mlinzi wa @chiefgodlove ila kwa sasa ni mnyanyua vyuma @damyachuma amefunguka mengi kwenye Exclusive interview Global Tv kuwa anashangazwa...

READ MORE

Mapokezi Rasmi Ya Rais Samia Katika Ikulu Ya Bogor Nchini Indonesia – Live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia...

READ MORE