×

Habari

Maelfu Waandamana Kumuunga Mkono Mugabe

Na Leonard Msigwa/GPL Maelfu ya wafuasi wa chama tawala cha ZANU-PF nchini Zimbabwe wameandamana kwenye mji mkuu wa nchi hiyo...

READ MORE

Kinana Akagua Ukumbi wa Mkutano Mkuu Dodoma Leo

Katibu wa NEC, Itukadi na Uenezi, Nape Nnauye na Msemaji Mkuu wa CC, Christopher Ole Sendeka wakimkaribisha Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Picha chafu zavuja na kuvunja ndoa ya wiki moja!

Mwanamke huyo akijiachia ‘kimalovee’ na boyfriend wake wa zamani. DUNIA ina maajabu! Mwanamke mmoja (jina halijajulikana mara moja) amejikuta akivunja...

READ MORE

Maafisa wanne Kigoma Wasimamishwa Kazi kwa Tuhuma za Udanganyifu

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia General Mstaafu Emmnuel Maganga ameagiza kusimamishwa kazi kwa maafisa maendeleo wanne wa Halmashauri za...

READ MORE

Wakazi wa Tabata Bima, Dar wasogezewa karibu huduma za Vodacom

Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Domician Mkama (katikati) akikata utepe kuzindua duka jipya la kampuni hiyo lililoko Tabata...

READ MORE

Airtel yatoa msaada wa vifaa kuboresha usafi Dar

Wapili toka kulia ni Katibu tarafa wa Kinondoni Bw, Fortunatus Fulgence Isakafu akipokea mapipa yakukusanyia uchafu kwaajili ya mtaa wa...

READ MORE

Daktari feki amfanyia upasuaji wa tezi dume mgonjwa afariki!

Singida Mkazi mmoja mkoani Singida anayedaiwa kuwa daktari feki anatuhumiwa kusababisha kifo cha mgonjwa, Israel Shabani (68) baada ya kumfanyia...

READ MORE

Donald Trump Sasa Rasmi Kugombea Urais Marekani

Donald Trump ateuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican, uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Novembea mwaka huu. Trump...

READ MORE

NMB Yasaidia Ujenzi wa Duka Kubwa la Dawa Ruangwa

  NMB imesaidia ujenzi wa duka kubwa la dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kwa kuchangia kiasi...

READ MORE

Mikoa ya Dar na Dodoma yaongoza kwa mapenzi ya jinsia moja

Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia , watoto na wazee nchini zinaonyesha kuwa mkoa wa Dar...

READ MORE

Wanafunzi wa ualimu 382 kati ya 7805 ndiyo wenye vigezo kurudi UDOM

May 28 2016 Serikali iliwarejesha nyumbani wanafunzi 7,805 waliokuwa wanasoma Stashahada Maalum ya Ualimu wa Sayansi na Hisabati Chuo Kikuu...

READ MORE

Sababu 4 Matajiri CCM Kutompa Uenyekiti JPM

Rais Dk. John Pombe Magufuli. Na MWANDISHI WETU, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Wakati mkutano mkuu wa dharura wa Chama...

READ MORE

Wasomaji wa Magazeti Pedwa Wang’ara na Uwazi, Leo Jijini Dar

Timu ya masoko na usambazaji iliyoongozwa na Ofisa Masoko Jimmy Haroub, leo ilitembelea mitaa mbalimbali ya jijini Dar ikiwemo Makumbusho,...

READ MORE

Wanafunzi 7,800 waliofukuzwa UDOM ni 382 tu wenye sifa – Prof. Ndalichako

Serikali imetangaza orodha ya wanafunzi ambao watarejea kuendelea na masomo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya uchambuzi kumalizika...

READ MORE

Mke wa Trump Aigiza Hotuba ya Michelle Obama

Mke wa Donald Trump, Melania Trump. Na Leonard Msigwa/GPL MKE wa mgombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican, Donald...

READ MORE

Angalia Moto Ulivyoteketeza Kiwanda cha Nguo Morogoro

Kiwanda cha nguo cha 21st Century Polister kilichopo Kihonda mkoani Morogoro kinateketea kwa moto sasa hivi, chanzo cha moto huo...

READ MORE

Kijana Awashambulia Abiria Kwenye Treni Ujerumani

KIJANA mmoja aliyekuwa na kisu na shoka amewashambulia abiria waliokuwa kwenye treni huko Kusini mwa nchi ya Ujerumani jana usiku...

READ MORE

Mama akamatwa na mirungi ‘Airport’

Aziza Suleiman Ally Na Issa Mnally, UWAZI Jeshi la Polisi Viwanja vya Ndege Tanzania wakishirikiana na maafisa usalama wa Uwanja...

READ MORE

Mtoto akutwa amekufa kisimani

Mjumbe wa nyumba kumi wa eneo hilo, Ramadhani Urembo akionesha eneo la kisima ambapo mtoto huyo alikutwa amekufa. Richard Bukos...

READ MORE

Uwazi labaini ukweli hoteli Dar kufungwa!

Mkurugenzi wa Miradi, Uwekezaji na Mipango wa NSSF, Yakoub Kidula Na Hashim Aziz, UWAZI Dar es Salaam/Pwani: Kufuatia wimbi la...

READ MORE

JPM Hajambeba Augustino Mrema

Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa kuweza kunipa uhai leo pia kukuwezesha wewe msomaji kusoma makala haya. Nianze kwa kusema kwamba...

READ MORE

Ripoti Kamili… Ukweli Kuhusu Maiti Zinazozikwa na Manispaa-2

Na Hashim Aziz Wiki iliyopita, tulianza kukuletea ripoti kamili ya maiti zinazozikwa na manispaa ambapo mwandishi wetu alikuwa akifanya mahojiano...

READ MORE

RC: Fedha zilizotengeneza madawati mabovu zirejeshwe

Na Mwandishi Wetu, Uwazi IRINGA: Baada ya wananchi wa Wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa kutoa kero yao ya kutengenezewa madawi...

READ MORE

Mgawanyo wa mapato ya Muungano upatiwe ufumbuzi

Shamsi Vuai Nahodha Na Elvan Stambuli, UWAZI Waziri Kiongozi Mstaafu wa Awamu ya Sita wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)...

READ MORE

Shigongo awahimiza wanafunzi Muhimbili kuwa wabunifu

Na Hilaly Daudi MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers, Eric  Shigongo Jumamosi iliyopita alihutubia  wanafunzi wa Chuo Kikuu cha...

READ MORE

Tanzia: Raia wa Afrika Kusini afariki akipanda Mlima Kilimanjaro

 Raia wa Afrika Kusini waliopanda Mlima hivi karibuni kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kununua taulo za kusaidia...

READ MORE

RC Makonda Afafanua Mpango wa Kuiendeleza Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Na Mwandishi Wetu MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul...

READ MORE

Msajili Hazina Asema Twiga Bancorp Bado Imara

Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru, akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kwenye ofisi za benki hiyo zilizopo barabara ya Samora jijini...

READ MORE

Airtel na Veta, VSOMO zaidi ya vijana elfu 10 kusoma kwa simu

Meneja wa Mradi VSOMO  toka VETA kipawa Bw, Gosbert Kakiziba (wapili toka kulia) akimuonyesha Afisa Elimu wa mkoa wa Mbeya...

READ MORE

Rais Magufuli awaapisha Makamishina/Manaibu wa Polisi Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Naibu Makamishna wa Polisi (DCP) na  Makamishna...

READ MORE

Wafanyakazi wa Vodacom wapanda mlima Kilimanjaro

Katika kuchangia taulo za watoto wa kike Wafanyakazi  36 kutoka makampuni mbalimbali nchini  Afrika ya Kusini  ikiwemo kampuni ya mawasiliano...

READ MORE

Askofu Gwajima aanika kuhusu safari yake alikokuwa

KIONGOZI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, amefunguka kwa kuelezea safari yake aliyoifanya nje ya nchi hivi...

READ MORE

Mmarekani Mweusi awaua Polisi 3

Rais Barrack Obama wa Marekani amewasihi Wamerakani wajizue dhidi ya hisia kali baada ya Mmarekani Mweusi kuwapiga risasi na kuwaua...

READ MORE

Viongozi wa dini wakwepa kodi wasakwa

Mlowola Naibu Mkurugenzi Takukuru, Valentino Mlowola. Stori: Issa Mnally, Wikienda DAR ES SALAAM: Baadhi ya viongozi wa dini nchini wanadaiwa...

READ MORE

Hatimaye Rais Magufuli Ampa Kazi Mrema

Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP), Mhe. Augustino Lyatonga Mrema. RAIS wa Jamhuri ya...

READ MORE

Mbezi, Kiluvya na Kibaha… Gazeti Jipya la Ijumaa ndiyo habari ya mjini

Hasani Issa  wa kiluvya akinunua gazeti la Ijumaa kwa Tsh. 1000/= kutoka kwa muuzaji magazti ya Global Publishers, Khadija Rashid...

READ MORE

Muonekano Mpya wa Jiji la Makonda

Mnara wa Askari, Posta. Dar es Salam, Kamera yetu leo imenasa muonekano mpya wa baadhi ya barabara za Jiji la...

READ MORE