×

Habari

Mabula Ambwaga Wenje Kesi ya Ubunge Nyamagana

Mbunge wa jimbo la Nyamagama, Stanslaus Mabula pichani akifurahia mara baada ya kutangazwa mshindi wa jimbo hilo na Mahakama Kuu...

READ MORE

Mbwa Anunuliwa Miwani, Viatu na Headphone

MBWA mwenye umri wa miaka saba anayeitwa Scooby ni miongoni mwa mbwa 35 maarufu wanaotumiwa na Jeshi la Ulinzi la...

READ MORE

Rais Magufuli Alivyopokelewa Dar Akitokea Rwanda

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa mara...

READ MORE

Christina Mughwai Lissu afariki dunia

Christina Mughwai Lissu enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoani Singida, Christina Mughwai Lissu (CHADEMA) amefariki...

READ MORE

JPM katika kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari, Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na wenyeji...

READ MORE

Tamko la Serikali Kuhusu Walimu Kushonewa Sare

WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UFUNDI TAARIFA KWA UMMA YAH: TAARIFA ZA UZUSHI KUHUSU WALIMU KUSHONEWA SARE INAYOSAMBAZWA KATIKA...

READ MORE

Rais Magufuli Kagame Wazindua Daraja la Rusumo Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda, Paul Kagame wakifurahia mara...

READ MORE

Nyani Apandikizwa Moyo wa Nguruwe

Moyo wa Nguruwe. Maryland, Marekani WANASAYANSI kutoka Taasisi ya Kitaifa ya Moyo, Mapafu na Damu huko Maryland nchini Marekani wanasema...

READ MORE

Maajabu ya Mamba Kuruka Fensi!

 Mamba huyo akipanda uzio. Rajasthan, India HAYA ni maajabu ya dunia; Mamba mmoja amenaswa hivi karibuni akipanda fensi yenye urefu...

READ MORE

Mila za kufukua maiti, kuziosha na kuzivisha nguo mpya Indonesia

Mkazi wa Toraja, Sulawesi Kusini, nchini Indonesia akiwavisha nguo ndugu zake waliokufa siku za nyuma. UNAWEZA usiamini! Huko Toraja, Sulawesi Kusini,...

READ MORE

Watu 4 Wafariki kwa Kufukiwa na Kifusi Leo Kawe – Dar

Watu wanne wamepoteza maisha na wengine watano wajeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi asubuhi hii eneo la Ukwamani, Kawe –...

READ MORE

Wacheza Pool Wakaidi Agizo la Magufuli

Stori: Richard Bukos AGIZO la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli la kupiga marufuku mchezo wa...

READ MORE

Ted Cruz Amburuza Trump Mchujo Wisconsin

Ted Cruz ameshinda upande wa Chama cha Republican, naye Sanders akashinda Democratic. Wisconsin, Marekani MGOMBEA urais wa chama cha Republican...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chadema Iringa Vijijini, Apata Ajali na Kufariki

Ajali hiyo ilivyotokea.Sinkala Mwenda wakati wa uhai wake Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Iringa Vijijini, ...

READ MORE

Mhadhiri UDSM Ateketea kwa Moto Akiwa Kwenye Gari Lake

Mhadhiri  wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Sayansi na Uhandisi wa Kompyuta (CoICT), Dk Richard Mgaya...

READ MORE

Dwight Yorke Aomba Kibarua cha Ukocha Aston Villa

Dwight Yorke. MCHEZAJI wa zamani wa Aston Villa, Dwight Yorke ametangaza rasmi kuwa anahitaji kuwa kocha wa klabu hiyo. Dwight...

READ MORE

Hakutakuwa na serikali ya umoja wa kitaifa – Dk. Shein

Dk.Ali Mohamed Shein. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein amelihutubia Baraza la Wawakilishi leo...

READ MORE

TRA wavuka lengo kwa kukusanya Sh trilioni 1.31

Akizungumza na waandishi habari Jijini Dar es salaam kuhusu mwenendo wa makusanyo ya mapato, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata amesema...

READ MORE

Ndege Zagongana na Kuwaka Moto, Jakarta – Indonesia

Ndege ya kubeba abiria ya Shirika la Batik Air Jakarta – Indonesia UWANJA wa Ndege wa Mji wa Jakarta nchini...

READ MORE

Rais Magufuli amuaga Raila Odinga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuashiria kuagana na wageni wake, Raila Odinga...

READ MORE

Dkt. Shein Kuhutubia Baraza la Wawakilishi Kesho

Rais wa Serikali ya Mapinduzi (SMZ) Dk Ali Mohamed Shein. Rais wa Serikali ya Mapinduzi (SMZ) Dk Ali Mohamed Shein...

READ MORE

Tamko la CUF Kuhusu Serikali ya Zanzibar

MAAZIMIO YA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA LA CHAMA KATIKA KIKAO CHAKE CHA TAREHE 2 – 3 APRILI, 2016...

READ MORE

Mbatia ndiye mbunge halali wa Vunjo

Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mh.James Mbatia. Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mh. James Mbatia amethibitishwa na mahakama kuu kuwa...

READ MORE

Semina ya mimi ni nani? shtuka mapema yafana Dar

Mzungumzaji na mtangazaji Harris Kapiga, akiwasilisha mada wakati wa semina ya mimi ni nani? shtuka mapema iliyofanyika jana Mwenge jijini Dar....

READ MORE

Wafanyabiashara wafundwa na mjenga uwezo wa kimataifa

Mjenga Uwezo wa Kimataifa wa Masuala ya Kibiashara kutoka Singapore, Harish Babla (kushoto) akimfafanulia jambo Hamza Kasongo (katikati) kabla ya...

READ MORE

Rais Magufuli afanya uteuzi wa wenyeviti bodi ya wakurugenzi Mwika na TAWIRI

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Chuo cha Usimamizi...

READ MORE

Serikali Kupambana na Tatizo la Usonji

Naibu Waziri wa Sayansi na Tekinologia,  Injinia Ester Manyanya akihutubia. Manyanya akiendelea kuhutubia wanafunzi, na wadau kuhusu tatizo la usonji.…...

READ MORE

YouTube Waja na Teknolojia Mpya ya 360

Snoop Dogg. CHANELI maarufu ya Video, YouTube kwa kushirikiana na rapa maarufu duniani kutoka nchini Marekani, Snoop Dogg jana ilizindua...

READ MORE

Takukuru Yampandisha Kortini Aliyekuwa Kamishna Mkuu TRA

Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya (katikati) sambamba na waliokuwa wafanyakazi wa Benki ya StanBic...

READ MORE

Airtel Yazindua Duka Mbagala

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto) na Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Airtel Tanzania, Adriana Lyamba wakikata...

READ MORE

Tuhuma za Rushwa: Mbunge Ndassa Naye Afikishwa Kortini

Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa. MBUNGE wa Sumve, Richard Ndassa amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar, leo akituhumiwa...

READ MORE

Mtoto wa Besigye Awania Urais Oxford

Anselm Besigye. MTOTO wa Kiongozi wa Upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye aitwaye  Anselm Besigye ni miongoni mwa wanafunzi waliojitokeza kuwania...

READ MORE

EWURA Yashusha Bei za Umeme

Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushusha bei za umeme kuanzia leo kwa watumiaji wote...

READ MORE

Sasa Wakuu wa Wilaya Mguu Pande, Mguu Sawa

Na Mwandishi Wetu UTEUZI unaotarajiwa kufanywa wakati wowote wiki hii wa wakuu wa wilaya kote nchini, unawaweka viongozi hao mguu...

READ MORE

LAPF yatoa msaada wa mabati 300 ya ujenzi wa shule Geita

Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Generali Mstaafu Ezekiel Kyungu akishuhudia mabati yaliyotolewa ma Mfuko wa Pensheni LAPF kwa ajili...

READ MORE

Masoud Kipanya, Fina Mango warejea Clouds FM

Masoud Kipanya (wa kwanza kushoto), Fina Mango (wa pili kulia) na Fredwaa wakiwa katika pozi leo ndani ya studio za Clouds...

READ MORE

Apandishwa Kortini kwa Kutishia Kumuua JPM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Kondakta wa daladala, Hamim Seif (42) mkazi wa Mwananyamala Ujiji, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya...

READ MORE

Kifo cha Kijana Huyu Chazua Utata

Wakazi wa jirani wakielekea eneo la tukio. Maiti ya kijana Bocho ikichukuliwa na Jeshi la Polisi. ….Wakimiminika eneo la tukio....

READ MORE

Rushwa: Takukuru Imewapandisha Kortini Wabunge Hawa Leo

Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero Mh. Sadiq Murad pamoja na Mbunge...

READ MORE