×

Habari

Waziri Mkuu wa Niger alivyotua Tanzania Kushiriki Mkutano wa Nishati

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Niger, Ali Mahaman Lamine Zeine, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uganda, Robinah Nabbanja Atua Dar Kushiriki Mkutano wa Nishati

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Uganda, Robinah Nabbanja, amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano wa Wakuu wa...

READ MORE

Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu Alivyotua Dar Kushiriki Mkutano wa Nishati – Video

Rais wa Jamhuri ya Nigeria, Bola Ahmed Tinubu , amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa...

READ MORE

Rais Samia Apongezwa Kwa Mazingira Mazuri ya Uwekezaji, Puma Yang’ara Tuzo TRA

Kampuni ya Puma Energy Tanzania imempongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira bora na wezeshi kwa wawekezaji nchini,...

READ MORE

Serikali Yaipongeza NMB kwa Bil. 100/- Za Kukopesha Wasambazaji Nishati Safi

SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua Mfuko Maalum uliotengewa Sh. Bilioni 100 za kukopesha wasambazaji na wauzaji wa Nishati...

READ MORE

Majaliwa Awasili Mpanda Kuwa Mgeni Rasmi Katika Mkutano wa CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo...

READ MORE

Mmiliki wa Timu Ya Alliance FC na Alliance Girls James Bwire Afariki dunia

Mmiliki wa Timu za Alliance FC na Alliance Girls za jijini Mwanza, James Bwire amefariki dunia usiku wa jana, Januari...

READ MORE

Rais wa Benki ya AfDB Awasili nchini Kuhudhuria Mkutano wa Nishati

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, amewasili nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu...

READ MORE

Barabara Ya Usagara – Mwanza Mjini Km 25 Kujengwa Kwa Njia Nne

  Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inachukua hatua za haraka kushughulikia msongamano wa magari...

READ MORE

Daraja La Kigongo-Busisi Lafikia Asilimia 96.3, Kukamilika Februari 2025

UJENZI wa daraja la kimkakati la Kigongo Busisi mkoani Mwanza unatarajiwa kukamilika mwezi ujao huku likitarajiwa kubadili hali ya kimaisha...

READ MORE

Barabara 9 Dar Zafungwa kwa Siku Sita Kupisha Mkutano wa Nishati Afrika

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 26, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Msama Awaonya Wanaotaka Kumchafua Nabii Mkuu Geor Davie

Mkurugenzi wa Msama Promotions na Dira TV Tanzania ALEX MSAMA, amewataka watu wote wenye lengo la kumchafua na kuharibu jina...

READ MORE

Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu Nishati Yakamilika, Marais 25 Kuhudhuria-Balozi Kombo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali: Tutaanza Kuuza Umeme Nje ya Nchi, ‘Kasongo’ hayuko hatarini kutoweka – Video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, leo Januari 25,...

READ MORE

Ulega Aitaka Temesa Kuja Na Tathmini Chanya Ujenzi Vivuko Vipya

Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), kufanya tathmini ili kujua athari chanya zitakazopatikana...

READ MORE

Eric Mandala Akamatwa Na Kilo 200 Za Cocaine

Kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki wa Rhumba hasa kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, bila shaka utakuwa umewahi...

READ MORE

Goodluck Gozbert Kuchoma Gari Mchungaji Mashimo Afichua Siri Nzito – Video

Video inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, Goodluck Gozbert akiwa anachoma gari aina ya...

READ MORE

Meridianbet Yaipatia Magomeni Makuti Tabasamu

Je unajua kuwa siku ya leo wakazi wa Magomeni Makuti wametabasamu baada ya kufikiwa na Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania?....

READ MORE

Trump Ajibizana Vikali Na Meya Kuhusu Janga La Moto Kwa Staili Ya Magufuli

Rais Donald Trump, usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Januari 25, aliingia kwenye mjadala mkali na Meya wa Los Angeles, Bi....

READ MORE

Waziri Mkuu Kuzindua Kanzidata Na Mfumo Wa Taarifa Za Wenye Ulemavu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 25 2025 atazindua Kanzidata na Mfumo wa Taarifa za Watu Wenye Ulemavu Unaotokana Matokeo...

READ MORE

RC Chalamila Aongoza Wananchi Kufanya Usafi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Januari 25, 2025 ameongoza mamia ya wananchi wa Wilaya...

READ MORE

Trump Amtimua Mkuu wa Jeshi Kitengo cha Ulinzi wa Fukwe

Rais Donald Trump amemtimua aliyekuwa Mkuu wa Jeshi Kitengo cha Ulinzi wa Fukwe, Linda Fagan katika namna inayotajwa kuwa ya...

READ MORE

Vilio Vyatawala Mtoto Aliyetekwa Akirudishwa, Mama Yake Afunguka – Video

Vilio vizito vilitawala hapo jana, Januari 24, 2025 baada ya mtoto Merysiana Melkzedeck aliyekuwa ametekwa na wahalifu waliovamia nyumbani kwa...

READ MORE

Jaji Mkuu wa Kenya Aondolewa Ulinzi, Mawakili Walaani

Jaji Mkuu wa Kenya, Martha Koome, ameituhumu Serikali kwa kuondoa kikosi cha ulinzi wake, hatua aliyoiita kuwa shambulio kwa uhuru...

READ MORE

Asia Anayeishi Bila Figo Miaka 20 Atamani Kuonana Na Rais Samia – Video

Asia Mustapha ni binti ambaye ameishi kwa takribani miaka 20 bila figo zote mbili, akitegemea huduma ya kusafisha damu kwa...

READ MORE

Trump aahidi kuzungumza na Putin hivi karibuni kuhusu vita vya Ukraine

Rais wa Marekani Donald Trump amesema Alhamisi kwamba hivi karibuni atazungumza na mwezake wa Russia Vladimir Putin ili kujaribu kumshinikiza...

READ MORE

Rais Samia Afanya uteuzi na uhamisho na mabadiliko ya viongozi mbalimbali

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho na mabadiliko ya viongozi mbalimbali kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu...

READ MORE

Matokeo Ya Kidato Cha Nne 2024 Yapo Hapa – Video

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Said Mohamed ametangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka...

READ MORE

ACT Yajibu Kuhusu Kuwa CCM B, Ushindi Wa Lissu Ni Ngumu – Video

Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema chama hicho kiliundwa kutokana na minyukano iliyotokea kwenye vyama vingine vya...

READ MORE

Jaji Mahakama Kuu Kutoa Uamuzi Dhidi ya Kesi ya Dkt. Slaa Jumatatu

Jumatatu Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi mdogo juu ya kesi ya Dk. Slaa aliyewahi kuwa...

READ MORE

Polisi Yatoa taarifa kuhusu kupatikana kwa mtoto Merysiana Melkzedeck

Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa taarifa kuhusu kupatikana kwa mtoto Merysiana Melkzedeck mwenye umri wa miezi saba, ambaye...

READ MORE

Jokate Mwegelo Apongeza Ufaulu wa Shule Jina Lake

Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amepongeza wanafunzi, walimu, na uongozi wa Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, kufuatia mafanikio...

READ MORE

Lissu Atoa Masharti Kwa Mdee na Wenzake Kurejea Chadema

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, ameweka wazi kuwa yuko tayari kuwapokea wabunge 19 wa...

READ MORE

Mtoto Aliyechukuliwa na Wasiojulikana Apatikana – Video

Habari zilizotufikia hii leo Januari 24, 2025 zinadai kuwa presha waliyokuwa nayo familia ya wanandoa Sosthenesi Melkizedeki Mrema na Joana...

READ MORE

NMB Mlipa Kodi Mkubwa Zaidi na Bora Zaidi Tanzania

Katika kuendelea kuwa mshirika mkubwa wa maendeleo nchini, Benki ya NMB imetunukiwa tuzo 3 na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...

READ MORE

Mambo Yazidi Kunoga, Fundi Gereji wa Madale Naye Aibuka na Mil. 5 ya Magift ya Kugift

Dar es Salaam 24 Januari 2025: Kampuni ya mtandao wa simu ya Yas Tanzania leo, imekabidhi zawadi kwa washindi wa...

READ MORE

AU Yatoa wito kwa Trump Kufikria tena Uamuzi wake wa Kuiondoa Marekani WHO

Umoja wa Afrika (AU) jana Jumatano Januari 23, 2025 umetoa wito kwa Rais mpya wa Marekani, Donald Trump, kufikria tena...

READ MORE

Meridianbet Mikakati Kibao 2025 Baada Ya Kufanikiwa 2024

Katika mkutano mkubwa uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2024 jijini Orlando mkurugenzi wa Meridianbet bwana Zoran Milosevic kupitia makampuni ya GMGI...

READ MORE

Jeshi la Polisi Kuendelea Kusimamia Usalama Shughuli za Vyama Vya Siasa Bila Kujali Itikadi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba...

READ MORE