×

Habari

Kassim Majaliwa: Baraza La Mawaziri Sasa Kidijitali kupunguza Kuchelewa kwa Taarifa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa matumizi ya mfumo wa kielektroniki wa Baraza la Mawaziri utasaidia kuboresha utendaji kazi na...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na wajumbe wa Tume ya Mipango Ikulu Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na wajumbe wa Tume ya Mipango  Novemba 11,...

READ MORE

Wakili Mkuu wa Serikali Akutana na Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Arusha

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama...

READ MORE

Watahiniwa 557,731 Waanza Mtihani wa Kidato Cha Nne Nchini

JUMLA ya watahiniwa 557,731 leo Jumatatu Novemba 11 wameanza kufanya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne   ambapo kati yao...

READ MORE

Rais Samia Aipa TANROADS Zaidi ya Bil 500 Ujenzi Miundombinu Dar es Salaam

Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Kongamano La Jumuiya Ya Waislamu Wa Shia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 10, 2024 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu na Kongamano la...

READ MORE

Waziri Chana Awataka Watanzania Kuwaenzi Mashujaa

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Watanzania kuwaenzi mashujaa kwa kuendeleza utu, amani na...

READ MORE

Wafanyakazi Tanesco Watakiwa Kujiunga na Tanesco Saccos Kwa Kujiwekea Akiba

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO)Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga akizungumza Novemba 9,2024 wakati kufungua Mkutano Mkuu wa 56 wa...

READ MORE

Makamanda TFS Watakiwa Kutumia Tehama Kuboresha Utendaji Kazi

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka Makamanda wa Kanda na Wahifadhi Wakuu wa Mashamba na...

READ MORE

Makamu wa Rais Azungumza Baada ya Kuwasili Baku nchini Azerbaijan 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango azungumza na Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Shule za Mkoa wa Mbeya Zakabidhiwa Madawati 100 na Miche 200 ya Miti na Stanbic

Mbeya, Tanzania, Jumatano, 6 Novemba 2024 – Stanbic Bank Tanzania inaendelea kuwekeza katika elimu na uhifadhi wa mazingira kwa kutoa...

READ MORE

DCB Kuongeza Mtaji wa Tsh Bilioni 10.7

BENKI ya Biashara ya DCB, imezindua zoezi ya uuzaji wa Hisa za Upendeleo, ikitarajia kupata zaidi ya sh bilioni 10.7...

READ MORE

RC Chalamila Azindua Upandaji wa Miti Mabwepande

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila Leo Novemba 9,2024 amezindua mpango maalum wa upandaji wa miti...

READ MORE

Kamati ya Bunge Yapongeza Serikali Uwekezaji Kiwanda Cha Chai Mponde

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe.Dkt....

READ MORE

NMB yatenga Mil. 450/- Kuzawadia Wateja Kampeni ya MastaBata ‘La Kibabe’

BENKI ya NMB imezindua msimu wa sita wa kampeni maalum ya kuhamasisha matumizi na malipo kwa njia ya kadi ‘NMB...

READ MORE

Kilomita 33 za Lami Kuwanufaisha Wananchi Inga Kupitia Mradi wa Rise

Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) inaendelea na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika barabara ya...

READ MORE

PDF, Jenga Hub Wazindua Mradi wa ‘Mitandao Salama Kwa Watoto’

Peoples Development Forum (PDF), kwa kushirikiana na Jenga Hub, imezindua Mradi wa Mitandao Salama kwa Watoto ambao utakelezwa katika shule...

READ MORE

Amos Makalla: Chadema Wanavurugana Hawajajipa – Video

Katibu uenezi walichama Chama cha Mapinduzi (CCM) taifa, Amos Makalla, amewashauri viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kumaliza...

READ MORE

UVCCM Shanghai Wampongeza Rais Mwinyi Kwa Mafanikio

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi,...

READ MORE

Abbas Tarimba Ajivunia Kumaliza Mafuriko Kinondoni – Video

Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba amefunguka na kueleza kwamba moja kati ya matatizo sugu yaliyopatiwa ufumbuzi Kinondoni katika kipindi chake...

READ MORE

Rais Biden awasihi Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi wa rais

Rais Joe Biden amewasihi Wamarekani kukubali matokeo ya uchaguzi wa rais wa Jumanne, ambapo Rais wa zamani Donald Trump alimshinda...

READ MORE

Diamond Platnumz Aonekana ‘Lokesheni’ na Dairekta Mkubwa wa Movie

Habari za chinichini zinasema kwamba baada ya kufanya poa kwenye reality show huko Afrika Kusini, Diamond Platnumz ameamua kuingia kwenye...

READ MORE

Mchengerwa, Awataka Wagombea Ambao Hawajaridhishwa Kuweka Pingamizi

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa, amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa...

READ MORE

Dkt. Abbasi: Rais Samia Ameanza Kuipa Thamani Sekta ya Ufugaji Nyuki

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe....

READ MORE

Makamu wa Rais Kuondoka leo kuelekea Baku Azerbaijan, Kumwakilisha Rais Samia

Makamu wa Rais,  Dkt. Philip Mpango anaondoka nchini leo Novemba 08, 2024 kuelekea Baku nchini Azerbaijan, kumwakilisha Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Dkt. Biteko Ashiriki Uapisho Wa Rais Duma Boko Botswana

Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo Novemba 8, 2024...

READ MORE

Kwenye Warsha ya Takukuru, DC Kinondoni Ataja Idadi ya Watoto Wanaobakwa kwa Siku, Idadi Inatisha!

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Manispaa ya Kinondoni leo imetoa taarifa miezi mitatu ya harakati zake za...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Wito Kwa Watendaji Serikalini – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote Serikalini wahakikishe vipaumbele vilivyoanishwa kwenye Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/2026...

READ MORE

Shombo za Ahmed Ally “Yanga Wamefungashwa, Kule Siyo Kufungwa -Video

Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ahmed Ally  leo Novemba 8, 2024 ameamkia kwenye kijiwe cha Kahawa Posta baada...

READ MORE

Waziri Mkuu Azitaka Taasisi za Umma na Binafsi Kuacha Kutumia Kuni na Mkaa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amezitaka Taasisi za Umma na Binafsi zinazo andaa...

READ MORE

Rasmi Chatsoko Mdhami Mkuu wa Goba Hills Marathon 2025

Chatsoko, programu maarufu ya FastHub inayotegemea WhatsApp, huwasaidia watumiaji kununua bidhaa kwa urahisi, kufanikisha usajili, na kurahisisha mawasiliano na malipo...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Nchini Botswana

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia...

READ MORE

Injinia Afunguka Kutembea Na Risasi Mwilini “Aliyenipiga Amepigwa Faini Ya Mil. 2 Tu” – Video

Februari 18, 2023, ni siku iliyobadilisha kabisa maisha ya kijana Gerdat Mfyoa. Yeye na ndugu zake, walikuwa wametoka ‘out’, wakati...

READ MORE

Serikali Kuiwezesha CBE Kuwa Kituo Mahili Afrika Mashariki na Kati

SERIKALI imeahidi kuendelea kukiwezesha Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili kiwe chuo bora kituo cha umahiri kwa nchi za...

READ MORE

Trump Amteua Mkuu wa Wafanyakazi White House

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua Susie Wiles, aliyekuwa meneja wa kampeni yake ya ushindi, kuwa mkuu wa wafanyikazi...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akutana Na Waziri Mkuu Wa Canada Justin Trudeau Jijini Toronto

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani...

READ MORE

FFC Kwaya Kufanya Tamasha JNICC, Kuikaribisha Sikukuu ya Krismas kwa Uimbaji wa Kipekee

DESEMBA 25 kila mwaka, Wakristo ulimwenguni kote usheherekea maadhimisho ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Sherehe...

READ MORE

Tuzo za Rais: Uunganishaji Bora wa Magari 2024 Yaenda GF Vehicle Assemblers

  Kiwanda cha kwanza cha kutengeneza na kuunganisha magari nchini Tanzania GF cha Vehicles Assemblers (GFA) kilichopo Kibaha mkoani Pwani...

READ MORE

Wakazi wa Kijiji cha Pongwe Msungura Walishukuru Jeshi la JWTZ

Pwani, 7 Novemba 2024: Wakazi wa Kijiji cha Pongwe Msungura kilichoko Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani jana  wamelishukuru Jeshi la Ulinzi...

READ MORE

Wakaguzi Kata Arusha Wapatiwa Mafunzo Ya Namna Ya Kuzuia Vitendo Vya Ukatili Katika Jamii

Katika kuhakikisha matukio ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia yanapungUa kama sio kuisha kabisa, Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha...

READ MORE