×

Habari

NIC Waja na Tahadhari Ya Linda Mjengo Wako

 Shirika la Bima la Taifa nchini (NIC) katika msimu huu wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba wamekuja na...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Viongozi Aliowateua

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango,...

READ MORE

Rais Samia na Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi Walivyotembelea Banda la Vodacom

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake, Filipe Nyusi, Rais wa Msumbiji Julai 4, 2024 walitembelea Banda la Vodacom...

READ MORE

VETA Waja Na Ubunifu Wa Saluni Ya Vipodozi Vya Matunda Halisi

Dar es Salaam 5 Julai 2024: Chuo Cha Ufundi VETA Shinyanga kimekuja na ubunifu wa vipodozi vya matunda ya asili...

READ MORE

Makalla Afichua Siri za Mbowe, Sababu za Yeye Kutaka Kujiuzuru

. Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu. Amos Makalla ambaye pia ni mlezi wa...

READ MORE

TAWA Yanadi Fursa za Uwekezaji Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba)

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Dar Yazizima Ikimpokea Mwenezi Makalla

Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Leo tarehe 06 Julai,2024 katika Viwanja na Ukumbi wa Diamond Jubilee wanafanya...

READ MORE

CPA. Makalla ” CCM Haiwezi Kujitenga na Matatizo ya Wananchi”

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha mapinduzi (CCM) komredi Amos Makalla, amesisitiza kwamba Chama hicho hakiwezi...

READ MORE

Benki ya NBC Yakutana na Wateja Wake Wakubwa wa Jijini Mwanza

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekutana na wateja wake wakubwa yaani makampuni na taasisi mbali mbali (Corporates) wa jijini...

READ MORE

Katibu Mkuu wa Utalii Atembelea Nyumba ya Kwanza ya Mwalimu Nyerere – Picha

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, Julai 5, 2024 amefika Magomeni ilipo nyumba ya kwanza...

READ MORE

Ruto apunguza matumizi ya serikali kwa Shilingi Bilioni 177, aahidi mabadiliko

Rais wa Kenya William Ruto, alisema Ijumaa kwamba hivi karibuni atafanya mabadiliko katika serikali yake, kufuatia wiki kadhaa za maandamano...

READ MORE

Rais Samia: Biashara Zifanyike saa 24 Kariakoo Dar Jafo Kafanikishe Hilo – Video

RAIS wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo asiwe Waziri wa kukaa...

READ MORE

Gerson Msigwa Afichua Za Ndani Kabisa, “Rais Samia Ametoa Milioni 100 Kwa Taifa Stars – Video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa @gersonmsigwa amesema kama taarifa kwamba Ligi Kuu ya Tanzania...

READ MORE

Serikali Yaitaka Idara ya Uhamiaji Kuimarisha Misako na Doria

Tuendelee kuitumikia nchi yetu kwa nguvu zetu zote, weledi na kujituma kwani Serikali yetu imetuamini na tuna wajibu mkubwa wa...

READ MORE

Katibu Mwenezi CCM Kutikisa Kesho Diamond Jubilee

Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Mafunzo CPA. Amos Makalla  kesho Jumamosi Julai 6,2024 ananasa ziara ya siku saba mkoani...

READ MORE

Angalia Ubunifu Wa UDSM Kutengeneza Nguo Na Nishati Ya Kupikia Kwa Kutumia Mabaki Ya Plastiki

Dar es Salaam 5 Julai 2024: Kutokana Jitihada Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kuhamasisha matumizi...

READ MORE

UDOM Kuendeleza Tafiti Zenye Kutatua Matatizo Katika Jamii Ili Kuleta Tija

Dar es Salaam 7 Julai 2024: Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimesema kitaendelea kufanya tafiti zenye lengo la kutatua matatizo...

READ MORE

Utalii Tanzania Kuchangia Robo Tatu ya Bajeti ya Sasa Ifikapo 2034

Ripoti mpya ya Baraza la Utalii Duniani (Travel & Tourism Council, WTTC) iitwayo “ Travel and Tourism: Economic Impact Research...

READ MORE

Chama cha Labour chashinda uchaguzi mkuu wa Uingereza

Chama cha Labour kimeshinda rasmi uchaguzi mkuu wa Uingereza 2024 baada ya kufikisha viti 326 vinavyohitajika. Waziri Mkuu mteule wa...

READ MORE

Tamasha la Utamaduni na Utalii Laanza Kwa Kishindo Bariadi

Tamasha la Utamaduni na Utalii Kanda ya Ziwa-Lake Zone Cultural and Tourism Festival limeanza Mjini Bariadi kwa kishindo huku Wizara...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Brazil Afunguliwa Mashtaka ya Utakatishaji wa Fedha

  Polisi wa serikali kuu ya Brazil wamemfungulia mashtaka Rais wa zamani Jair Bolsonaro kwa utakatishaji wa fedha na ushirika...

READ MORE

Waziri wa Madini Mavunde Atoa zuio kwa raia kigeni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo bila kufuata taratibu

Waziri wa Madini Anthony Mavunde ametoa zuio kwa raia wote wa kigeni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo (PML) bila...

READ MORE

Jinsi Mrembo Alivyotoboa Kimaisha Kutoka Chini Mpaka Kuwa Mfanyabiashara wa Kimataifa

Mwanamke mmoja aitwaye Vanessa Malema alifungua kibanda chake kando ya barabara ya Moi Avenue Nairobi nchini Kenya miaka mitatu iliyopita...

READ MORE

Riba Ya Benki Kuu Yasalia Asilimia 6, Naibu Gavana wa Benki Kuu Afunguka

Riba ya Benki Kuu katika robo ya tatu ya mwaka huu itaendelea kuwa asilimia 6 kama ilivyokuwa katika robo ya...

READ MORE

#EXCLUSIVE: Bibi Mjane Alia Kuporwa Eneo na Serikali ya Mtaa

Bibi huyu anaitwa Isabela Kigae, Mkazi wa Isakalilo Manispaa na Mkoa wa Iringa. Bibi Isabella anautuhumu uongozi wa mtaa huo...

READ MORE

Mrembo Awagiwa Tindikali Arusha Alazwa katika Hospitali ya Mount Meru

Mwanadada Jackline Lauo anayefanya kazi ya kuuza duka la nguo katika Mtaa wa Nazi, jirani na Stendi Kuu ya Arusha...

READ MORE

Waziri Mkuu Azungumza na Wakazi wa kijiji cha Mmawa kilichopo Ruangwa, Lindi

Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa Julai 03, 2024 amezungumza na wakazi wa kijiji cha Mmawa...

READ MORE

Tanzania,Qatar Kushirikiana Sekta ya Utalii

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU)...

READ MORE

Serikali Yawatoa Hofu Watanzania Kuhusu Ubora na Usalama wa Sukari

Serikali kupitia Bodi ya Sukari Tanzania (SBT), imewatoa hofu Watanzania juu ya ubora na usalama wa sukari inayoingizwa nchini kutokana...

READ MORE

Msimu wa Tano NBC Dodoma Marathon, Zawadi za Mil 80 Kukabidhiwa Washindi

  Jumla ya washindi 60 wa mbio za NBC Dodoma Marathon msimu huu wanatarajiwa kuondoka na zawadi zenye jumla ya...

READ MORE

Polisi Handeni Wahitaji Kuendelea Kuwapa Mafunzo Madereva wa Bodaboda Kuepusha Ajali

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, limesema ipo haja kwa waendesha bodaboda wilayani humo...

READ MORE

Shilole ‘Siyo Mwenzetu Tena’, Alamba Shavu Kupitia Mama Lishe

Shilole ‘Siyo mwenzetu tena, baada ya kutangazwa na Kampuni ya Gesi ya Oryx imemtangaza Mama Lishe Zuwena Mohamed maarufu Shilole...

READ MORE

Tamasha la Utamaduni na Utalii Kutimua Vumbi Bariadi

Hatimaye Tamasha la Utamaduni na Utalii Kanda ya Ziwa – Lake Zone Cultural and Tourism Festival lililokuwa linasubiriwa kwa hamu...

READ MORE

Aliyechoma Picha ya Rais Jela Miaka Miwili Wilaya ya Rungwe 

Mahakama ya wilaya ya Rungwe leo Julai 4, 2024 imemtia hatiani Bw. Shedrack Yusuph Chaula mwenye umri wa miaka 24...

READ MORE

Ibadilisheni Dawasa Ifanye Kazi Kama Sekta Binafsi – Waziri Aweso

Waziri wa Maji, Mhe.Jumaa Aweso(Mb) amewataka watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kubadilisha...

READ MORE

Aweso Amkaanga Meneja DAWASA Kigamboni “Kwa Nini Wananchi wanakosa Maji? Tukutane Ofisini Kwangu”

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso leo tar. 04 Julai 2024 amefika Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar Es Salaam kutembelea...

READ MORE

JWTZ Kufanya Maadhimisho ya Miaka 60 Tangu Kuanzishwa Kwake

Jeshi la Wananchi Tanzania( JWTZ) linatarajiwa kufanya maadhimisho ya miaka 60 tangu kuasisiwa kwake Septemba 1, 1964 na Hayati Mwalimu...

READ MORE

Uingereza Kufanyika Uchaguzi Mkuu Leo, Chama cha Labour Wapewa nafasi

UCHAGUZI Mkuu nchini Uingereza unafanyika leo huku mtazamo ukionyesha Chama cha Labour kupewa nafasi kubwa ya ushindi. Kura za maoni...

READ MORE

Biden aapa kuendelea na kampeni licha ya shinikizo la kumtaka kujiondoa kwenye kinyang’anyiro

Rais wa Marekani Joe Biden Jumatano ameapa kuendelea kuwania muhula wa pili, akipuuza hisia zinazozidi kuongezeka kwamba kushindwa kufanya vizuri...

READ MORE

Mshomba Afichua Siri Mafanikio ya NSSF

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba amefichua siri ya mafanikio makubwa ambayo...

READ MORE