×

Habari

Rais Samia Atunukiwa Udaktari Wa Heshima, kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameshiriki hafla ya kutunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu...

READ MORE

Miaka 20 Iliyopita Runinga Ilikuwa Ni Ishara ya Utajiri

Ukiniuliza nikutajie idadi ya vifaa vya umeme mashuhuri vilivyokuwa vinatumiwa na Watanzania wengi nyumbani kwa kipindi cha miongo miwili iliyopita...

READ MORE

Kilombero Sugar Yaguswa Na Athari za Mafuriko Yaliyotokea Kilombero Yatoa Mkono Wa Pole Milion 15

Morogoro-Kilombero, 17 April 2024. Kampuni ya sukari ya kilombero imetangaza ushiriki wake katika kutoa msaada wa kibinadamu kwa jamii inayoishi...

READ MORE

Maelfu Waendelea Kujinyakulia Tiketi Za Tamasha La Hadhi Ambalo Diamond Atapaform

Maelfu waendelea kujinyakulia tiketi za tamasha la vibe bites ambalo msanii mkali wa Bongo Fleva wa hapa nchini Diamoind Platniumz...

READ MORE

Rais Samia alivyowasili uwanja wa Ndege wa Ankara Esenboga Uturuki kwa ajili ya Ziara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Dkt Samia Suluhu Hassan yupo nchini Uturuki kwa ajili ya Ziara...

READ MORE

Video: Nyumba Zabomolewa Kimakosa Arusha, Rais Samia Aitwa, Kaya saba Zakosa Makazi

Mwanamama Frida Nicholaus, mkazi wa Arusha ameangua kilio akimuomba Rais Samia, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry...

READ MORE

Jeshi la Polisi Lasema Wadudu OG wa Arusha Siyo Wahalifu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linao wajibu wakisheria wa kuwalinda raia na mali zao huku likibainisha kuwa limepokea...

READ MORE

Balozi Dkt. Nchimbi Awatembelea Waathirika wa Mapolomoko Mlima Kawetele, Mbeya

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akimkabidhi mmoja wa waathirika na maporomoko fedha Tsh. Mil 10...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Athari Za Maafa Rufiji mkoani Pwani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wananchi waliokumbwa na adha ya mafuriko nchini waendelee kuwa watulivu wakati Serikali ikiendelea kuratibu utoaji...

READ MORE

Elimu Na Tamisemi Kuja Na Mikakati Wanafunzi Shule Zilizokumbwa Na Mafuriko Kuendelea Na Masomo

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Adolf Mkenda amesema Serikali itahakikisha inaweka mazingira ya wanafunzi wote ambao shule zao zimeathirika...

READ MORE

Waziri Makamba Awasili Uturuki Kuelekea Ziara Ya Kitaifa Ya Rais Samia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amewasili Ankara, Uturuki  Aprili 16, 2024 na kukutana...

READ MORE

Tajiri Aliyevamia Na Kujenga Eneo La Mjane Kukutana Na Waziri Silaa – Video

Mwanamke mjane, Marietha Kalonga mkazi wa jijini Mbeya, amemwaga machozi mbele ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...

READ MORE

Mchengerwa: Tumejipanga Vyema kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa (Mb) amesema ofisi yake imejipanga...

READ MORE

Zimamoto Wakumbushwa Kuzingatia Afya na Utimamu

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo (Mb) amewakumbusha Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto...

READ MORE

Baraza La Mawaziri Wa EAC Lapokea Mapendekezo Ya Katibu Mkuu Mteule Wa Jumuiya

Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Aprili 16, 2024 limepokea mapendekezo ya uteuzi wa Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Walawiti na Wabakaji Watoto Kukiona-Mhe. Sillo

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo (Mb) amewataka wale wote wanaotafuta utajiri kwa dhana potofu...

READ MORE

Isanzu, Kadio Watikisa Fainali Michuano ya Gofu Kumuenzi Lina

MCHEZA gofu wa ridhaa kutoka klabu ya TPC mkoani Kilimanjaro, Ally Isanzu na mcheza gofu wa  kulipwa kutoka Dar es...

READ MORE

TAMISEMI Yaomba Tril.10 kwa Mwaka 2024/25 – Video

OFISI ya Rais – TAMISEMI, taasisi zilizo chini yake, mikoa 26 ikijumuisha halmashauri 184 zimeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato...

READ MORE

Balozi Nchimbi Apokea na Kujibu Maswali ya Wananchi Mbozi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akisikiliza na kujibu maswali ya wananchi mbalimbali waliojitokeza...

READ MORE

Makonda, Chalamila Wapigiwa Shangwe Bungeni, Naibu Spika Akiwatambulisha Wakuu Wa Mikoa – Video

Wakuu mbalimbali wa mikoa, wakiwemo Paul Makonda wa Arusha, Albert Chalamila wa Dar es Salaam, Antony Mtaka wa Njombe na...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Atua Kilombero Kukagua Athari zilizosababishwa na mafuriko

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 16, 2024 amewasili Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro ambapo atakagua athari...

READ MORE

JK Ahutubia Viongozi Wa Chama Cha Vyuo Vya Elimu Ya Juu Uganda

Mkutano huo, uliojulikana kama ‘Guild Leaders Summit’ uliwaleta pamoja marais wa zamani na wa sasa wa chama hicho, wazungumzaji maalmu...

READ MORE

Samsung kujenga kiwanda kipya cha kutengeneza Chip za kompyuta Marekani

WIZARA ya biashara ya Marekani Jumatatu imetoa mkopo wa dola bilioni 6.4 kwa kampuni ya elektroniki ya Samsung yenye makao...

READ MORE

Waziri Kairuki Kumwakilisha Rais Samia Mkutano wa Kimataifa wa Miombo, Washington DC

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki anatarajia kumwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...

READ MORE

Tigo Yazindua Fiber Kwaajili Ya Intaneti Ya Nyumbani Na Ofisini

Dar es Salaam, 16 Aprili , 2024: Kampuni inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali nchini Tanzania, Tigo, leo imezindua...

READ MORE

Mbunge wa Kibiti Atoa Makazi Yake Kusaidia Waathirika wa Mafuriko

Mbunge wa Jimbo la Kibiti, mkoani Pwani, Mhe. Twaha Mpembenwe ametembelea na kukagua maeneo mbalimbali ya wakazi wa jimbo hilo...

READ MORE

Tunduma, Songwe Yaitika Ziara ya Dk. Nchimbi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano mkubwa wa...

READ MORE

Hizi Hapa Sababu za ATCL Kupata Hasara ya shilingi bilioni 56.64

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi uliofanywa na ofisi yake umebaini Shirika la...

READ MORE

Watumishi Watano Tanesco Walilipwa Dola 34,623 Kusafiri Bila Kibali

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi uliofanywa na ofisi yake umebaini kuwa watumishi...

READ MORE

White House yaipongeza Israel kuzuia mashambulizi ya Iran

Msemaji wa masuala ya usalama wa taifa wa White House, John Kirby, amesema Marekani na washirika wengine wanaona yalikuwa ni...

READ MORE

Amend Warudisha Mradi wa Mafunzo Ya Usalama Barabarani Kwa Bodaboda Jijini Dodoma

  BAADA ya kufanyika mafunzo ya elimu ya Usalama barabarani kwa awamu ya kwanza katika Jiji la Dodoma hatimaye mradi...

READ MORE

Parimatch Yamtambulisha Haji Manara ‘El Bugati’ Kuwa Balozi Mpya

Parimatch Tanzania ina furaha kubwa kuutangazia umma kuwa leo Aprili 15, 2024 kumtambulisha rasmi Haji Sunday Manara ‘El Bugati’ kuwa...

READ MORE

Nchimbi : Tutaweka Msukumo Kumaliza Kilio Cha Lami Kibaoni, Katavi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Nchimbi amesema ataongeza msukumo kwa serikali kuhakikisha mradi wa Barabara ya...

READ MORE

Balozi Nchimbi: CCM inaheshimu Utawala Bora

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema mojawapo ya sera muhimu za chama tawala...

READ MORE

Kasino Yenye Jackpot Kubwa Ndani Yake

Tunakuletea safari ya kasino mtandaoni ya kusisimua sana ambayo imejaa bonasi za kasini za kumwaga. Jukumu lako ni kukusanya ushindi...

READ MORE

Oryx Gas Na ASAS Wamkabidhi Mchengerwa Msaada Wa Vyakula Na Mitungi Ya Gesi Waathika Wa Mafuriko Ya Rufiji

KAMPUNI ya Oryx Gas Kwa kushirikiana na Kampuni ya ASAS wamekabidhi msaada wa vyakula na mitungi ya gesi ya Oryx...

READ MORE

Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi Atembelea Shina Namba 5, Tawi la Paradise, Majengo-Mpanda

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa ameongozana na Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu....

READ MORE

Dkt. Nchimbi Awasili Mkoani Katavi Kuanza Ziara

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk, Emmanuel John Nchimbi na ujumbe wake amewasili asubuhi hii mkoani Katavi kuanza ziara ya...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi VETA na Kamishna wa Petroli na Gesi Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua CPA Anthony Mzee Kasore kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...

READ MORE

Beatrice Munyenyezi ahukumiwa kifungo cha maisha kwa mauaji ya kimbari Rwanda

Mahakama kuu ya Huye kusini mwa Rwanda imemhukumu Beatrice Munyenyezi kifungo cha maisha jela baada ya kumkuta na hatia ya...

READ MORE