×

Habari

SanlamAllianz Yazindua Mpango Wa “Salama Plan” Kuwahakikishia Wastaafu Kipato

Dar es Salaam, Tarehe 23 April 2026: Kampuni ya SanlamAllianz Life Insurance (Tanzania) Limited imezindua rasmi Salama Plan, mpango mpya...

READ MORE

Vodacom Yazindua “Afya Mkopo” Kwa Watoa Huduma Sekta ya Afya Kupitia Lipa Namba

Huduma mpya ya kifedha kwa sekta ya afya imezinduliwa rasmi wakati wa Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Sekta ya...

READ MORE

Trump Atoa Kauli Mpya Kuhusu Mazungumzo ya Amani na Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa kuna uwezekano wa kuanza kwa duru ya pili ya mazungumzo ya amani kati...

READ MORE

Serikali Yafanikiwa Kukusanya Zaidi ya Sh Trilioni 9.8 Kwa Mchango wa NMB

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Wawekezaji, Uendelevu na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Innocent Yonazi, akizungumzia mafanikio ya taasisi hiyo mbele...

READ MORE

Polisi Wamuita Hilda Newton Baada ya Madai Mazito Kumhusu Tundu Lissu

Jeshi la Polisi limesema linaendelea na uchunguzi baada ya kupokea taarifa zinazohusiana na chapisho la Hilda Newton alilolitoa na kulisambaza...

READ MORE

Trump Aongeza Muda wa Mapigano Kusitishwa, Pakistan Yatoa Shukrani

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itaendelea na usitishaji mapigano na Iran bila muda maalum wa kuisha, hatua...

READ MORE

CRDB Yazindua Msimu wa Pili wa Programu ya Graduate Trainees Kukuza Vipaji vya Vijana

Benki ya CRDB imezindua rasmi msimu wa pili wa programu ya Graduate Trainees, hatua inayolenga kukuza vipaji vya vijana na...

READ MORE

Airtel Yampa Mkazi wa Babati Bajaji Mpya Kupitia Kampeni ya “Mwaka Umenyooka”

Kampuni ya mtandao wa simu ya Airtel Tanzania imekabidhi zawadi ya bajaji mpya kwa mshindi wa kampeni ya Mwaka Umenyooka...

READ MORE

Rais Samia Akabidhi Mitungi ya Oryx kwa Mama na Baba Lishe Dar es Salaam

KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imetoa seti 200 za mitungi ya Oryx kwa Serikali kupitia Wizara ya Nishati ikiwa ni...

READ MORE

Stanbic Yazindua Kampeni ya Kupanda miti 50,000 Tanzania Kuadhimisha Siku ya Dunia

Benki ya Stanbic Tanzania imezindua kampeni ya upandaji miti itakayohusisha miti 50,000 nchini, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya...

READ MORE

Video ya CCTV Ikimuonesha Bodaboda Aliyeiba Mtoto Mwanza, Apatikana Akiwa Hai

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limefanikiwa kumpata mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu na miezi kumi aliyeripotiwa...

READ MORE

Amani Golugwa: Mazungumzo Yawe ya Kweli na Yenye Tija – Video

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amesema chama hicho kinaamini katika mazungumzo kama njia...

READ MORE

Operesheni ya Polisi Arusha Yaleta Matokeo, Dawa za Kulevya Zateketezwa

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limetoa taarifa ya mafanikio ya operesheni maalum iliyofanyika mwezi Aprili 2026, ikihusisha kukamata dawa za...

READ MORE

Samia Awapa Nguvu Mama na Baba Lishe, Asema Wanastahili Heshima Kubwa (Picha +Video)

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa kutambua na kuheshimu mchango wa Mama Lishe na Baba Lishe katika...

READ MORE

Spika Zungu Amuonya Mbunge Ado Shaibu

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Zungu amemuonya Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ado Shaibu Ado kwa...

READ MORE

Meridianbet Yaleta Burudani ya Kipekee Ndani ya Battle for the Throne

Kuna burudani, halafu kuna ile ya Meridianbet inayokuingiza ndani ya simulizi halisi ya ushindi. Hapa naizungumzia Battle for the Throne,...

READ MORE

Jesca Magufuli: Bila Misingi Imara, Mikopo Haitasaidia Vijana – Video

Mbunge wa Viti Maalum, Jesca Magufuli, ametoa mchango wake bungeni jijini Dodoma akizungumzia masuala ya vijana, ambapo amepongeza jitihada za...

READ MORE

Benki ya Exim Tanzania na Toyota Washirikiana Kurahisisha Upatikanaji wa Magari kwa Watanzania

Dar es Salaam, Tanzania, Aprili 21, 2026: Benki ya Exim Tanzania imeingia katika ushirikiano wa kimkakati na Toyota wenye lengo...

READ MORE

Trump Atishia Kushambulia Miundombinu ya Iran Tena Ikiwa Hakutakuwa na Makubaliano

Rais wa Marekani Donald Trump ameibua mjadala mkubwa wa kimataifa baada ya kutoa kauli kali akisema Marekani inaweza kuharibu kila...

READ MORE

TPLB Yatoa Adhabu Nzito kwa Simba, TRA United na Azam FC

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza adhabu kwa klabu kadhaa za...

READ MORE

Waziri wa Ujenzi Ajibu Kauli ya William Ruto Kuhusu Barabara

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Tanzania ina mtandao mkubwa zaidi wa barabara kulinganisha na nchi yoyote jirani huku akisifu...

READ MORE

Rangi Gallery Yaitangaza Tanzania Kimataifa Kupitia Sanaa

Jumba la sanaa la Rangi Gallery limeweka historia kwa kuwa la kwanza kutoka Tanzania kushiriki katika maonesho ya kimataifa ya...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo Aitaka Serikali Kuweka Kipaumbele kwa Vijana

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amefanya tathmini ya bajeti ya Wizara ya Vijana iliyowasilishwa leo Bungeni na Waziri Joel Nanauka....

READ MORE

Netanyahu Aagiza Uchunguzi Baada ya Mwanajeshi wa Israel Kuharibu Sanamu ya Yesu

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelaani vikali tukio lililosambaa mtandaoni likimuonesha mwanajeshi wa Israel akiharibu sanamu ya Yesu Kristo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 21, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

ALAT Yapokea Msukumo Mpya Baada ya NMB Kuchangia Sh Milioni 100

Benki ya NMB imetoa udhamini wa Sh milioni 100 kwa ajili ya kusaidia maandalizi na uendeshaji wa Mkutano Mkuu wa...

READ MORE

Makonda: Acheni Kubeza Nchi, Jengeni Taswira Chanya Kuvutia Fursa.

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, imesaini mkataba wa kuwa mwenyeji wa mashindano ya 74 ya Miss...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Fedha za Muungano Zisaidie Ukarabati wa Barabara Nchini

Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 62...

READ MORE

Waandishi Wamwashia Moto Madam Ritha Wataka Asusiwe na Vyombo vya Habari

Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) imelaani vikali kitendo kinachodaiwa kufanywa na Madam Rita dhidi ya chombo...

READ MORE

Polisi Yamkaribisha Kamishna Mkama kwa Ushindi

Kikosi cha Polisi Tanzania kimeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Transit Camp ya Dar es Salaam katika mchezo...

READ MORE

Trump Amzuia JD Vance Kuongoza Mazungumzo na Iran Kwa Sababu za Kiusalama

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa Makamu wa Rais, JD Vance, hataongoza ujumbe wa Marekani katika mazungumzo mapya na...

READ MORE

Yuvenali Shirima Kuitangaza Tanzania Kimataifa Kongamano Kubwa la Wahasibu Afrika Mashariki

Kongamano la 5 la Wahasibu wa Afrika Mashariki(EACOA2026) linatarajia kuanzia Aprili 22 hadi 24 Jijini Bujumbura Nchini Burundi ambalo litakutanisha...

READ MORE

Waziri Mkuu Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Bilioni 17 Chamwino

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 19, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28...

READ MORE

Waziri Ulega: Nyasanho ni Mfano wa Kuigwa

Waziri Ulega akiongoza Harambee kuchangia ujenzi wa shule na Zahanati Kijiji cha Musati Waziri wa Ujenzi, Abdalah Ulega ameongoza harambee...

READ MORE

Mnara wa 4G Wafungua Milango ya Maendeleo Daluni Kisiwani, Mkinga

Wananchi wa Kijiji cha Daluni Kisiwani na vijiji vya jirani, wilayani Mkinga mkoani Tanga, wameanza kunufaika na huduma bora za...

READ MORE

Trump: Iran Haiwezi Kutuogopesha Kwa Kufunga Mlango wa Hormuz

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa Marekani haitakubali kushinikizwa wala kuwekewa masharti na Iran, huku akisisitiza msimamo mkali wa...

READ MORE

Iran Yafunga Tena Mlango wa Hormuz, Yashambulia Meli Zinazojaribu Kupita

Mvutano kati ya Iran na Marekani umeongezeka tena baada ya Iran kutangaza kufunga upya Strait of Hormuz na kushambulia meli...

READ MORE

Kikwete Akutana na Ruto Nairobi Kujadili Amani ya Sudan Kusini

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwakilishi wa Ngazi ya Juu wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa...

READ MORE

Kafulila Aeleza Kwa Kina Dhana ya Ubia (PPP), Aondoa Mkanganyiko kwa Wananchi

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila, ametoa ufafanuzi wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Mwigulu Akagua Maendeleo Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu, Arusha

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba leo Aprili 17, 2026 amekagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu unaojengwa mkoani...

READ MORE