×

Habari

Pipijojo Aachia Video ya “Siachiki” Kazi Yake Ya Kwanza Chini ya Nandy

Msanii Pipijojo ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa “Siachiki”, ikiwa ni kazi yake ya kwanza tangu kujiunga na lebo...

READ MORE

Askofu Barron Amtaka Trump Kumuomba Radhi Papa Leo XIV

Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Marekani, Robert Barron, amesema Rais wa Marekani Donald Trump anapaswa kumuomba radhi Kiongozi wa Kanisa...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Nchemba Aongoza Harambee ya Mei Mosi 2026 – Yachangwa Bilioni 1.105

Waziri Mkuu wa Mwigulu Nchemba ameongoza rasmi harambee ya kuchangia maandalizi ya sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi)...

READ MORE

Papa Amjibu Vikali Trump Baada ya Kauli Zake, Asema Haogopi Vitisho

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Pope Leo XIV, amemjibu vikali Rais wa Marekani Donald Trump kufuatia kauli kali zilizotolewa dhidi...

READ MORE

Marekani Yatoa Onyo Kali Kwa Meli Zitakazokiuka Zuio Dhidi ya Iran Zitakamatwa

Jeshi la Marekani kupitia U.S. Central Command (CENTCOM) limetoa onyo kali kwa meli zote zinazosafiri katika eneo la Ghuba ya...

READ MORE

Polisi Zanzibar Watoa Taarifa Rasmi Kuhusu Kifo cha Mtalii wa Marekani

Polisi Zanzibar wamethibitisha kuwa kifo cha mwanamke raia wa Marekani mwenye umri wa miaka 31, Ashly Robinson maarufu mtandaoni kama...

READ MORE

Rais Samia na Katibu Mkuu wa EAC Wajadili Ushirikiano wa Kikanda Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya...

READ MORE

Sababu Zilizofanya Mazungumzo ya Amani Iran na Marekani Kuyeyuka Islamabad – Video

Mazungumzo ya kihistoria kati ya Marekani na Iran yaliyofanyika mjini Islamabad, Pakistan, yamehitimishwa bila mafanikio, yakiacha taswira ya matumaini yaliyodumu...

READ MORE

Mtoto wa Miaka Miwili Afariki Baada ya Kula Nepi Marekani, Wazazi Wakamatwa

Tukio la kusikitisha limeripotiwa katika Jimbo la Indiana, Marekani, ambapo mtoto wa miaka miwili amefariki dunia kutokana na kile kinachoshukiwa...

READ MORE

DCEA Yakamata Kilo 1,983 Za Dawa Za Kulevya, Yabaini Mitandao Mipya

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema imefanikiwa kukamata jumla ya kilogramu 1,983.31 za dawa za...

READ MORE

Taharuki ya Mafuta: Meli Zakimbia Hormuz Baada ya Zuio la Marekani Kuanzia leo Jumatatu

Wasiwasi umeongezeka katika masoko ya nishati duniani baada ya meli kadhaa za mafuta kuanza kubadili njia na kuepuka kupita katika...

READ MORE

Burudani Mpya Mtandaoni: Leprechaun Wish Waja na Fursa Nyingi za Ushindi

Kama unatafuta raha ya kweli kwenye ubashiri, basi Meridianbet wamekuja na kitu kipya kinachowasha moto zaidi. Mchezo wa Leprechaun Wish...

READ MORE

Katibu Mkuu Migiro Awasilisha Salaam Za Dkt. Samia Kwa Rais wa Sahrawi

Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amekutana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sahara (SADR),...

READ MORE

Mboga 5 za Mizizi Zinazofanya Macho Yako Kuangalia Vizuri Kila Siku!

Vyakula vyenye antioxidants na vitamini vina mchango mkubwa katika kulinda afya ya macho. Kwa mujibu wa Dkt. Duong Minh Phuc...

READ MORE

Lalji Foundation Yaendesha Kambi Ya Matibabu Ya Macho Bure Kigoma

Taasisi ya Lalji Foundation, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo Kigoma Hilltop Hotel, Ahlulybayt Academic Center, Vision 4 All Eye...

READ MORE

Mwigulu Akagua Ujenzi wa Barabara Kubwa Chamwino, Atoa Maagizo

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekagua ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami ya Ntyuka–Mvumi–Kikombo yenye urefu wa kilomita 76...

READ MORE

NASA: Artemis II Yaleta Hamasa kwa Kizazi Kijacho cha Wanasayansi

Meneja wa Programu ya Orion katika NASA, Howard Hu, amesema anatumaini mafanikio ya misheni ya Artemis II yatahamasisha watoto wengi...

READ MORE

NASA Yaandika Historia: Artemis II Yamalizika Baada ya Safari ya Siku 10 Kuelekea Mwezi na Kurudi

Misheni ya Artemis II ya Shirika la anga la Marekani NASA imekamilika rasmi Aprili 11, 2026 baada ya wanaanga wanne...

READ MORE

Yas Yaongoza Mageuzi ya Kidijitali, Yachangia Asilimia 33 ya Mradi

Dar es Salaam, 10 Aprili 2026 – Muungano wa watoa huduma za mawasiliano nchini (Telco Operators Consortium) umekamilisha rasmi ujenzi...

READ MORE

Faida za Maji ya Nazi kwa Wagonjwa wa Gauti Unazopaswa Kujua

Gout ni ugonjwa wa kimetaboliki unaosababishwa na kuongezeka kwa kiwango cha asidi ya uric (uric acid) kwenye damu. Asidi hii...

READ MORE

Waziri Homera Akabidhi Magari Mawili TANESCO Kuboresha Huduma ya Umeme

Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Dk. Juma Zuberi Homera, Aprili 11, 2026, amekabidhi rasmi magari mawili kwa ofisi ya TANESCO...

READ MORE

Chalamila: Hakuna Tatizo la Mafuta, Mwenge wa Uhuru Kuwasili Dar Aprili 13 – Video

Serikali imetoa uhakika wa upatikanaji wa mafuta nchini kwa asilimia 100, ikisisitiza kuwa hakuna upungufu unaotarajiwa kwa sasa na kwamba...

READ MORE

Trump Awakaribisha Wanaanga wa Artemis II White House

Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatarajia kukutana na wafanyakazi wa misheni ya Artemis II katika Ikulu ya Marekani baada...

READ MORE

BAKITA Yamteua Hersi Said Kuwa Balozi wa Kiswahili Duniani

Bodi ya Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) imemteua rasmi Rais wa Klabu ya Yanga, Mhandisi Hersi Said, kuwa balozi wa...

READ MORE

NASA Yajipanga kwa Misheni ya Artemis III Baada ya Mafanikio ya Artemis II

Baada ya kufanikiwa kwa misheni ya Artemis II na kurejea salama kwa wanaanga wake, Shirika la anga la Marekani (NASA)...

READ MORE

Kikwete Aanza Rasmi Kazi ya AU, Aibua Matumaini Mapya ya Amani Sudan Kusini

Ziara ya Rais mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, mjini Juba imeashiria hatua mpya ya kidiplomasia katika kuhuisha mchakato wa...

READ MORE

Wanaanga wa Artemis II Warejea Salama Duniani, NASA Yathibitisha Wako na Afya Njema – Video

Shirika la anga la Marekani, NASA, limethibitisha kuwa wanaanga wanne wa misheni ya Artemis II wako katika hali nzuri kiafya...

READ MORE

Wanaanga Waonekana Wenye Afya Njema Baada ya Kutua kwa Mafanikio

Wanaanga wa misheni ya NASA ya Artemis II wamefanikiwa kurejea duniani baada ya safari ya kihistoria ya kuzunguka mwezi, ambapo...

READ MORE

Vita ya Iran Yatikisa Uhusiano wa Marekani na Ulaya, Waziri Mkuu wa Uingereza Afunguka

Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, amesema amechoshwa na athari za kiuchumi zinazotokana na maamuzi ya Rais wa Marekani, Donald...

READ MORE

China Yakanusha Tuhuma za Kusaidia Kijeshi Iran, Marekani Wafunguka

Ripoti mpya za kijasusi za Marekani zinaeleza kuwa China inadaiwa kujiandaa kupeleka mifumo mipya ya ulinzi wa anga kwa Iran...

READ MORE

JD Vance Aionya Iran Kabla ya Mazungumzo, Asisitiza “Wasijaribu Kutuchezea”

Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, ameionya Iran kutocheza michezo ya kisiasa wakati wa mazungumzo yajayo, akisisitiza kuwa Marekani...

READ MORE

NASA Yatangaza Dakika 13 za Hatari Kwa Wanaanga wa Artemis II Wakitua Duniani

Shirika la anga za juu la Marekani, NASA, limeeleza kuwa hatua ya mwisho ya ujumbe wa Artemis II ndiyo yenye...

READ MORE

RC Chalamila Awapatanisha Martha Mwaipaja na Upendo Nkone – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewakutanisha na kuwapatanisha waimbaji wa muziki wa injili, Martha Mwaipaja na...

READ MORE

Minara ya Mawasiliano Yazinduliwa, Rais Samia Ahimiza Ubunifu (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahimiza wadau mbalimbali nchini kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuimarisha...

READ MORE

Fahamu Majukumu ya Rais wa Iran na Kiongozi Mkuu Mojtaba Khamenei

Mfumo wa uongozi wa Iran ni wa kipekee ukilinganisha na nchi nyingi duniani. Nchi hiyo ina viongozi wawili wakuu wenye...

READ MORE

Waziri Mkuu Aongoza Kikao Kuhusu Utekelezaji wa Elimu Msingi Ya Lazima

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji,...

READ MORE

Watoto Watatu Wafariki kwa Moto Mbagala, Mama Asimulia Tukio la Kusikitisha – Video

Simanzi na huzuni imetanda miongoni mwa wakazi wa Mbagala Kilungule, wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, kufuatia tukio la kusikitisha...

READ MORE

Watu Wawili Wafariki, Wawili Wajeruhiwa Katika Ajali Morogoro (Picha +Video)

Watu wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha gari dogo aina ya Subaru lenye namba...

READ MORE

Airtel, Vodacom na wengine wang’ara baada ya kutunukiwa tuzo za mawasiliano

Tanzania yazidi kupanua miundombinu ya kidijitali, Samia azindua minara 758 ya mawasiliano, atoa tuzo kwa kampuni za simu Tanzania imepiga...

READ MORE

Trump Aionya Iran Kusitisha Ada kwa Meli za Mafuta Mlango wa Hormuz

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa uongozi wa Iran kufuatia taarifa kuwa nchi hiyo inaendelea kutoza ada...

READ MORE