×

Habari

Katibu Mkuu Luhemeja Awataka Madiwani Kuwa Mabalozi wa Usalama Na Afya

Katibu Mkuu – Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhandisi, Cyprian Luhemeja amewataka madiwani wa Mkoa...

READ MORE

Afrika Kusini: Wabunge Wapinga Trevor Noah Kulipwa Bilioni 4.2 Kutangaza Utalii

Pendekezo la kumlipa Mchekeshaji na mtangazaji maarufu nchini Marekani, Trevor Noah, Randi Milioni 33 (takriban Tsh. Bilioni 4.2) kwa Video...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko – “Badilisha Santuri Ya Hii Wizara, Isiwe Wizara Ya Migogoro” – Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufanyia kwa...

READ MORE

Tetemeko la Morocco lauwa zaidi ya watu 2,000, huku Algeria yafungua anga yake

Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Morocco imeeleza Watu 2,012 wamefariki Dunia huku wengine 2,059 wakijeruhiwa na 1,404...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akutana na Profesa J nyumbani kwake Kawe

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Septemba 09, 2023 ametembelewa na aliyekuwa Mbunge wa Mikumi ambaye pia ni msanii mkongwe...

READ MORE

Waziri Ummy Mwalimu Akabidhi Mitungi Ya Gesi Ya Oryx 150 Na Majiko Yake Bure Kwa Wanawake Wajasiriamali

WAZIRI wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Ummy Mwalimu amekabidhi mitungi mikubwa ya gesi ya...

READ MORE

Wamiliki Wa Malori Walia Na Bei Ya Mafuta Kupanda, Waomba Serikali Iwasaidie

Dar es Salaam, 8 Septemba 2023: Chama cha Wamiliki wa Malori nchini (TAMSTOA) kimelia na kupanda kwa gharama za mafuta...

READ MORE

Kilichonikuta Baada ya Kumega Tunda la Mke wa Jirani Yangu Sitasahau

  Hapo Januari mwaka huu, kuna familia ilihamia karibu na mahali nilipokuwa naishi, ghafla nikagundua mke wa jirani yangu yule...

READ MORE

Muigizaji na Muongozaji wa Filamu G Marimuthu Afariki

Tasnia ya Filamu nchini India inaomboleza kifo cha Muigizaji na Muongozaji maarufu wa Filamu G Marimuthu, aliyefariki dunia Septemba 8,...

READ MORE

NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

Benki ya NMB imeshika nafasi ya tatu kwa ukubwa wa faida katika ukanda wa Afrika Mashariki, hii ni kutokana na...

READ MORE

Serikali Yaondoa Zuio la Uchimbaji wa Mawe Unguja, Mkuu wa Mkoa Afunguka

Mkuu wa Mkoa wa Unguja Kaskazini, Ayoub Mahmoud amesema serikali kupitia sekta ya nishati na madini imefanya uamuzi wa kuruhusu...

READ MORE

TMSA Kutoa Tuzo Bora Za Masoko Tanzania Za Mwaka 2023

Dar es Salaam, 7 Septemba. Katika nia ya kuhamasisha weledi zaidi katika sekta ya masoko nchini Tanzania, Chama cha wataalamu...

READ MORE

Serikali Yakanusha Madai GGML Ku-blacklist Vijana Nchini

SERIKALI imekanusha uvumi kwamba Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imewa-blacklist vijana ambao wamesitishiwa ajira zao na mgodi huo...

READ MORE

Sitasahau Jinsi Nilivyojiingiza Kwenye Maovu Ili Niwalee Watoto Wangu

Naitwa Asha ni Mama wa watoto wanne, mmoja wa kiume na watatu wa kike, dua yangu siku zote kama mzazi...

READ MORE

Huu Ndio Upekee Wa TECNO CAMON 20 Ya Doodle

TECNO imeachia matoleo mawili ya CAMON 20 Series kwa Mwaka huu ambapo sanaa ya Bw Doodle imetumika katika kuleta utofauti...

READ MORE

Barabara za Mawe Mwanza zageuka Kivutio, TARURA kilimanjaro waja kujifunza

Wafanyakazi 25 kutoka Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Kilimanjaro wamewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Maelekezo Kwa Doto Biteko Sakata la Mafuta – (Picha + Video)

Maagizo ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko kwenye sekta ya...

READ MORE

Basata: Tumezuia Shoo Ya Nay Wa Mitego Kwa Sababu Amekataa Wito Wito Mara 2 – Video

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limetoa wito mara mbili kwa Msanii wa Bongo Fleva, Nay Wa Mitego kufika...

READ MORE

Lalji Foundation Yatoa Msaada wa Viungo Bandia kwa Watoto 11 CCBRT

  TAASISI isiyo ya kiserikali ya LALJI FOUNDATION imetoa msaada wa viungo bandia kwa watoto 11 waliopo katika hospitali CCBRT...

READ MORE

Ali Bongo yuko Huru na Anaweza Kuondoka Gabon, Atangaza Jenerali Oligui

Rais wa Gabon aliyeondolewa madarakani, Ali Bongo Ondimba, yuko huru kufanya anachokitaka na anaweza kwenda nje ya nchi, ikiwa anataka,...

READ MORE

Mahakama ya Nigeria yatupilia mbali ombi la chama cha upinzani la kubatilisha matokeo ya uchaguzi wa rais

Mahakama ya rufaa ya Nigeria leo Jumatano imetupilia mbali ombi la moja kati ya vyama viwili vya upinzani kubatilisha matokeo...

READ MORE

Nay Wa Mitego Baada Ya Kuachiwa Na Jeshi La Polisi Afunguka – Video

Baada ya taarifa kusambaa zikimhusisha Msanii wa BongFleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ kufunguliwa madai ya Uchochezi, Wakili wake, Jebra...

READ MORE

NMB Yabainisha Mikakati ya Kuwakwamua Wakulima Wadogo

Wakulima wadogo wana mchango mkubwa katika kuhakikisha utoshelevu na uhakika wa chakula nchini jambo ambalo Benki ya NMB imeahidi kuendelea...

READ MORE

Bei Mpya ya Dizeli, Petroli Zapanda Kutumika kuanzia leo Jumatano Septemba 06

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya...

READ MORE

Aliyetoroka jela kwa helikopta afunguliwa mashitaka Ufaransa

Mfungwa aliyeishangaza Ufaransa, ambaye alitoroka gerezani mwaka 2018 akiwa kwenye helikopta iliyotekwa nyara amefunguliwa mashitaka Jumanne mjini Paris, huenda akakabiliwa...

READ MORE

Prof.Nombo: Serikali Inafanya Uwekezaji Mkubwa Kwenye Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam DIT

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema Serikali inafanya uwekezaji mkubwa kwenye Taasisi ya Teknolojia...

READ MORE

Waziri Silaa Ataka Siku Mia Moja Kutumika Kutatua Migogoro ya Ardhi

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ameelekeza  watendaji wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha ndani...

READ MORE

Mr Eazi Aachia Advice Ikiwa ni Ujio wa Albamu Mpya

  STAA wa muziki, Mr.Eazi ni gwiji linapokuja suala la kuachia rekodi tamu yenye burudani ya kipekee kwa jamii na sasa...

READ MORE

Kitengo Cha Usalama Barabarani, BETPAWA Watoa Mafunzo Kwa Bodaboda 250 Dar

Dar es Salaam, 5 Septemba 2023: Madereva 250 wa pikipiki maarufu kama bodaboda wamepata mafunzo maalumu ya kuwakumbusha sheria na...

READ MORE

Mbinu Inayoweza Kukusaidia Kupanda Cheo Kazini Haraka

  Hakuna mfanyakazi asiyependa kupanda cheo kazini kwake, hiyo ni kwa sababu mara unapopanda cheo na mshahara moja kwa moja...

READ MORE

Wananchi wa Igalula Sengerema waanza kulipwa fidia kupisha shughuli za Mgodi

Zaidi ya Shilingi Bilioni 60 zinatarajiwa kulipwa kwa wanufaika 853 kwenye Vijiji vya Sotta na Nyabila kata ya Igalula- Sengerema...

READ MORE

Mchezaji Wa Timu Ya Taifa Ya Panama Auawa Kwa Kupigwa Risasi

Mchezaji wa timu ya Taifa ya Panama Gilberto Hernandez, ameuawa kwa kupigwa risasi jana katika Mji wa Colon. Watu walio...

READ MORE

Wegovy: Kampuni Ya Dawa Za Kupunguza Uzito Ndio Yenye Thamani Kubwa Zaidi Barani Ulaya

Kampuni ya kuunda dawa za kupunguza uzito, Wegovy, imekuwa kampuni yenye thamani zaidi barani Ulayana kuondoa ufalme wa kampuni ya...

READ MORE

Mafundi Wakuta Mwili Wa Mwanamke Wakichimba Msingi, Mume Atuhumiwa Kuhusika – Video

Tukio la kustaajabisha limetokea katika Mtaa wa Nyamihimbi Kata ya Somanda Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, baada ya...

READ MORE

Waziri wa TAMISEMI Awataka Wakuu Wa Mikoa Na Wilaya Kusimamia Fedha Za Miradi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kote nchini kushuka chini kwa...

READ MORE

Watu 40,000 Wahudhuria Kuapishwa kwa Mnangagwa Zimbabwe

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameapishwa Jumatatu kuhudumu kwa muhula wa pili baada ya uchaguzi uliozua utata, ambapo aliibuka mshindi...

READ MORE

Prof. Makame mbarawa Asisitiza Ushirikiano Wizara Mpya

 Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame mbarawa  ametoa wito kwa menejimenti ya Wizara kushirikiana na wakuu wa taasisi  kuhakikisha kunakuwa na...

READ MORE

Waziri Silaa Ataka Ushirikiano Wizara ya Ardhi

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry William Silaa amewasili kwa mara ya kwanza ofisi za Wizara...

READ MORE

Mbinu Unazoweza Kuzitumia Kudhibiti Fedha Zako Zisipotee Kwa Wepesi

Hakuna mtu anayependa kuona fedha zake zinapotea bila ya yeye kuzifanyia shughuli yoyote ya kimaendeleo katika maisha yake, kila mtu...

READ MORE