×

Habari

Vijana ACT-Wazalendo Dar Wampa Tano Rais Samia

NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuunda tume ya kuangalia namna ya kuboresha...

READ MORE

Sadiki: Najifunza Mengi kwa Madiwani na Viongozi wa CCM Wilayani Muheza

  Kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Muheza, Sadiki Rajabu amesema madiwani wa Wilaya ya Muheza mkoani...

READ MORE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Afanya Uteuzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- (1) Amemteua Bi Janet Zebedayo Mbene...

READ MORE

Pilsner Ya SBL Yarudi Na Kapu La Wana, Kanda ya Ziwa, Kaskazini Na Kusini

Dar es Salaam, Februari 2, 2023: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Pilsner Lager imetenga jumla...

READ MORE

Chongolo Awataka Wazazi Kuachana na Imani za Kishirikina

Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, akiwa Jimbo la Morogoro Kusini amewataka wakazi wa Kikola kuacha...

READ MORE

Hatimaye Wembe Uliosahaulika Tumboni Kwa Miaka 11 Watolewa

Madaktari nchini Kenya wamemfanyia upasuaji Bi. Felister Namfua (36) na kutoa wembe wa upasuaji uliosahaulika ndani ya tumbo kwa muda...

READ MORE

Waliopata Division one St. Anne Marie Academy, Kutembelea Mbuga za Wanyama

WANAFUNZI wa shule ya St. Anne Marie Academy waliofanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne wanaandaliwa ziara ya kutembelea...

READ MORE

Breaking: Ndege Ya Precision Air Yapata Hitilafu Ikiruka Dar Kwenda Dodoma, Nyingine Yatua Kwa Dharura

Ndege mbili za Shirika la Ndege la Precision Air zimeshindwa kufanya safari zake kama kawaida baada ya ndege moja kupata...

READ MORE

Polisi Ahukumiwa Adhabu ya Kifo kwa Mauaji ya Wakili nchini Kenya

Mahakama nchini Kenya imemhukumu adhabu ya kifo polisi kwa mauaji ya wakili maarufu wa masuala ya haki za binadamu na...

READ MORE

Meridianbet Wanakupatia Odds Nono Wikiendi Hii

Wiki imeisha kwa michezo mbalimbali Carabao, FA, Coppa Italia lakini sasa wikiendi hii ligi zinaendelea kuanzia leo Ijumaa, EPL na...

READ MORE

Rais wa Russia Putin adai Ukraine inaingia katika mtego wa kipindi cha Unazi

Rais wa Russia, Vladimir Putin, aliamsha ari ya jeshi la Sovieti ambalo lilivishinda vikosi vya Wanazi wa Ujerumani huko Stalingrad...

READ MORE

Kada NCCR-Mageuzi Aliyepotea Aokotwa Porini Akiwa Taabani, Hajitambua

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha NCCR-Mageuzi, Jovine Clinton, aliyepotea tangu tarehe 24 Januari 2023, amepatikana akiwa hajitambui...

READ MORE

Huyu Ndiye Dk Bashiru: Msomi Na Mfuasi ‘Mtata’ Wa Mwalimu Nyerere – Matamshi Yake Yazua Maneno Mengi-Video

Machi 31, 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko ya safu ya utawala...

READ MORE

Sheikh Mkuu Wa Dar Alhad Mussa Atumbuliwa, Mufti Amteua Sheikh Omar Kukaimu – Video

BARAZA la Ulamaa la Bakwata katika kikao kilichofanyika tarehe 1 Februari 2023 chini Mwenyekiti Mufti Abubakar Zubeir limetengeua uteuzi wa...

READ MORE

TRA na Assad Associates Waendesha Semina Juu Ya Mfumo Wa Kodi Wa Kielektroniki Ulioboreshwa-Video

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na ASSAD Associates wameboresha mfumo wa walipakodi kujihudumia wao wenyewe kupitia mfumo wa...

READ MORE

Machinga, Bodaboda Wapata Ufadhili Kutoka Nmb,Kupata Mafunzo Nchini Rwanda

BENKI ya NMB imefadhili ziara ya siku nne ya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama na Mashirikisho ya Wafanyabiashara Wadogo (Machinga)...

READ MORE

Wizara ya Sanaa Yaja na Tatu Kubwa za 2023, Kupokea Ripoti ya Kamati Kuhusu Vazi la Taifa

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kesho Ijumaa, Februari 03, 2023, inakwenda kuweka historia ya fungua mwaka kwa kufanya mambo...

READ MORE

DRC: Papa Francis Awasihi Waliodhulumiwa Kusamehe, Awataka Wamuige Yesu

Papa Francis amewasihi watu wa Kongo kuwasamehe wale walio wadhuru, alisema hayo alipokuwa akiongoza misa iliyohudhuriwa na watu takriban milioni...

READ MORE

FBI Haijakuta Nyaraka Mpya za siri katika Makazi ya Rais wa Marekani, Joe Biden

Maafisa wa idara ya upelelezi ya Marekani, FBI hawakupata nyaraka mpya za siri katika operesheni yake ya Jumatano. Oparesheni hiyo...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Awaalika Bungeni Wanafunzi Walioiwakilisha Nchi Uswizi Kuunda Roboti

MWALIKO BUNGENI: Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa amewaalika  timu ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali  Bungeni-Dodoma wanafunzi waliowakilisha Tanzania...

READ MORE

Baada ya Kuhangaika Sana, Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kupata Mchumba wa Kumuoa

  Vijana wengi huwa tunapitia changamoto mbalimbali katika kipindi cha kutafuta wenzi (mke au mume) maisha kutokea na baadhi ya...

READ MORE

DC Aipongeza Mahakama Utoaji Elimu kwa Wananchi

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva ameipongeza Mahakama ya Wilaya ya Ludewa kwa kutoa elimu ya Sheria kwa wananchi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Watanzania Kuadhimisha Siku Ya Sheria

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 1 Februari, 2023 amewaongoza Watanzania...

READ MORE

Chongolo Awaagiza Tanroads Kukamilisha Haraka Barabara ya Malinyi- Namtumbo

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameuagiza wakala wa barabara Tanzania TANROADS kuhakikisha ndani ya mwaka...

READ MORE

Kumbe Scorpion Aliyemtoboa Macho Said Siye Aliyefungwa? Samjet Atoka Gerezani, Afunguka -Video

Salum Njwete ambaye mitaa imembatiza jina la Scorpion, ametoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miaka saba, akidaiwa kumtoboa macho...

READ MORE

Waziri Nape na Mafanikio Aliyoyapata Kwenye Mwaka Mmoja wa Kuaminiwa

Mwaka Mmoja umepita tangu Rais Samia Suluhu Hassan, alipomteua Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari....

READ MORE

Mbrazil Atua na Mikwara Mizito Simba Awapa Makavu Wachezaji Wake

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira  ‘Robertinho’  amefunguka kuwa anataka kuona wachezaji wa timu hiyo  wanacheza kwa kujituma na...

READ MORE

Boomplay Kusherehekea Wasanii wa Afrika Waliochaguliwa Kwenye Tuzo Za Grammy

Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa...

READ MORE

Wanandoa Wahukumiwa Kifungo Cha Miaka 10 Jela Kwa Kusakata Densi Hadharani – Video

Wanandoa wa Iran walio na umri wa miaka 20 wamehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kuchapisha video yao...

READ MORE

Nmb Yashiriki Kilele Cha Wiki ya Sheria Dodoma

  Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika leo jijini Dodoma ambapo katika kilele hicho kimehitimishwa...

READ MORE

DCB Yaingia Kwenye Mizania ya Kati, Yajiimarisha Kuendelea Kupata Faida Zaidi 2022

Benki ya Biashara ya DCB imepata faida kwa kiwango kikubwa kwa mwaka wa fedha wa 2022 ukilinganisha na faida iliyopatikana...

READ MORE

GGML Kuwapatia Mafunzo Kazi Wahitimu 50 wa Vyuo Vikuu

  JUMLA ya wahitimu 50 wa vyuo vikuu nchini wamepata fursa ya kupata mafunzo yanayotolewa na Kampuni ya Geita Gold...

READ MORE

Kampuni Kutoka China, HAIER Yaidhamini Yanga Mashindano ya CAF, Yatoa Bil 1.5

  Kampuni mpya Tanzania ya bidhaa za umeme itokeayo China iitwayo HAIER imesaini mkataba na KLABU ya Yanga kuwa mdhamini...

READ MORE

Mo Dewji Atangazwa Kuwa Bilionea wa 13 Afrika, Apanda kwa Nafasi Mbili

  Bilionea na mfanyabiashara maarufu Tanzania na Afrika kwa ujumla, Mohammed Dewji, anazidi kupaa kwa utajiri duniani baada ya hivi...

READ MORE

Chongolo Ataka Kiwanda cha Kilombero Kitoe Elimu kwa Wakulima wa Miwa

  KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Fatuma Mwassa kukutana na...

READ MORE

Matokeo ya Kidato cha Nne 2022 Yatazame Hapa

  Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 29, 2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022...

READ MORE

Papa Francis Aelekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ziara ya Kihistoria

Papa Francis leo anatarajiwa kutua katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, nyumbani kwa jumuiya kubwa zaidi ya wakatoliki wa Roma...

READ MORE

Rais wa Liberia George Weah Kuwania Muhula wa pili Mwezi Oktoba

Rais wa Liberia na mchezaji nyota wa zamani wa soka ya kimataifa George Weah Jumatatu ametangaza kwamba atawania muhula wa...

READ MORE

NALA Yaungana na Vodacom M-Pesa Kuleta Urahisi wa Kutuma, Kupokea Pesa Nchi za Ulaya

Kampuni ya kimataifa iliyozaliwa Tanzania (NALA), inayoshughulika na mfumo wa malipo, duniani na kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano ya Vodacom...

READ MORE