×

Habari

Bibi wa Miaka 65 Auawa kwa Kung’atwa na Mbwa Watano

BIBI mwenye umri wa miaka 65, Ann Dunn ambaye ni raia wa Marekani ameshambuliwa na mbwa watano ambao walimng’ata na...

READ MORE

TRA Yaonya Waliyobandika Namba Kwenye Magari Yao Ambazo Hazijatolewa na TRA ama Taasisi za Serikali

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imebaini uwepo wa magari barabarani yaliyobandikwa na kutumia namba ambazo hazijatolewa na TRA ama...

READ MORE

Rombo Kutumia Soko la Kimataifa Kuuza Ndizi: Waziri Mkenda

  Ndizi ni zao kubwa la biashara na chakula hivyo likitumika vizuri litabadili uchumi wa wakulima na nchi kwa ujumla...

READ MORE

RPC Simiyu Apata Ajali, Maswali Yaibuka Baada ya Aliyemgonga Kufariki

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu ACP Blasius Chatanda amepata ajali akiwa na gari lake binafsi T 462 BBD Toyata...

READ MORE

Marekani Yatangaza Msaada wa Dola Milioni 625 kwa Ukraine

MAREKANI imetangaza msaada mwingine wa kiasi cha fedha cha Dola Milioni 625 kwa nchi ya Ukraine ili kiweze kuwasaidia katika...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Qatar leo – Picha

Rais Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 5, 2022 amekutana na kuzungumza na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni...

READ MORE

Live: Waziri Mkuu Anashiriki Mkutano wa 65 wa Shirika la Utalii Duniani Kamisheni ya Afrika -VIDEO

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amehudhuria ufunguzi wa mkutano wa Shirika la Utalii Duniani...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Watanzania Wanaoishi Nchini Qatar Doha – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  Oktoba, 2022 amezungumza na Watanzania wanaoishi Nchini Qatar (Diaspora) katika...

READ MORE

Akiba Commercial Bank Washerehekea Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

    5.Oktoba.2022: Dar es Salaam; Benki ya Akiba Commercial Bank washerekea wiki ya  huduma kwa wateja katika matawi yao mbalimbali toka kuanzishwa kwa benki hiyo miaka 25 iliyopita.   Akizungumza katika kusherekea wiki hiyo ya huduma kwa wateja Mkurungezi Mtendaji bwana Silvest Arumasi...

READ MORE

Waziri Ummy Mwalimu Awatoa Hofu Watanzania Kuhusu Ebola

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua...

READ MORE

Polisi Yafafanua Tukio la Mke wa Masanja na Katibu wa Kanisa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lisema uchunguzi wa awali wa Polisi kuhusu tukio la Katibu wa...

READ MORE

Zifahamu Nchi Zenye Watu Wengi Zaidi Duniani, Tanzania Imo

HAISHANGAZI sana kuona kuwa nchi kubwa zaidi ulimwenguni ndio nchi zinazoongoza kwa idadi ya watu wengi zaidi duniani, mataifa kama...

READ MORE

Mwenyekiti UVCCM Sengerema Kuja na Vipaumbele Vitano

Mwenyekiti wa Wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema Patric Mundeba amesema anakuja na vipaumbele vitano...

READ MORE

Waziri wa Madini Aridhishwa Kasi ya Ujenzi wa Kinu cha Kupoza Umeme GGML  

  NA MWANDISHI WETU WAZIRI wa Madini Dkt. Dotto Biteko ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kinu cha kupoza...

READ MORE

CMSA Kuadhimisha Wiki ya Wawekezaji Katika Masoko ya Mitaji

  Mamlaka ya Masoko Ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imeanzishwa chini ya Sheria ya Masoko ya Mitaji na Dhamana sura...

READ MORE

Jamaa Ang’olewa Ulimi Akiwa Kwenye Tendo la Ndoa, Polisi Wathibitisha Tukio

MWANAUME mmoja mwenye umri wa miaka 30, mkazi wa Kijiji cha Mwamakalanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, ameachwa akiwa...

READ MORE

Rubani Afariki kwa Mshituko wa Moyo Baada ya Kutua Tabora

RUBANI “Stephen Lohay” ambaye ni nahodha nyuma wa shirika la ndege la Air Excel amefariki dunia kwa mshtuko wa moyo...

READ MORE

Meridianbet Sloti, Sasa Kwenye Maduka Ya Meridianbet

Najua ulikuwa unawaza ni wapi utaipata Kasino karibu yako, basi Meridianbet wamejibu kuhusu mawazo yako, mchongo uko hivi ukiwa na...

READ MORE

Faini Milioni 2 Ukikaidi Kuvalisha Mifugo Yako Hereni za Kielektroniki Kabla ya Desemba 10

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi imewataka wafugaji wote nchini kuhakikisha mifugo yao inatambuliwa kwa kuvalishwa hereni za kieletronic kabla ya...

READ MORE

Ndaruke Kuiongoza CCM Kibiti Miaka Mitano Ijayo

    Kwenye nafasi hiyo ambayo wagombea walikuwa watatu, Ndaruke alishinda kwa kupata kura 428 dhidi ya 385 za Malombwa...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maagizo Matatu Muhimu kwa Mawaziri Aliowaapisha

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri kama Ifuatavyo.  ...

READ MORE

Joshua Achaguliwa Kuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa

Aliyewahi kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Sengerema kupita CCM Joshua Shimiyu nimiongoni mwa wajumbe watatu waliochaguliwa na mkutano mkuu...

READ MORE

Italia na Tanzania Zafanya Jukwaa la Biashara na Uwekezaji

KATIKA Jukwaa la Biashara na Uwekezaji kati ya Italia na Tanzania lililofanyika leo Zanzibar ambapo Mgeni Rasmi Alikuwa Makamo wa...

READ MORE

Tigo Yazindua Wiki ya Huduma kwa Wateja 2022 Jijini Mwanza

Tigo Tanzania yazindua Wiki ya Huduma kwa Wateja 2022 jijini Mwanza. Sherehe hizo zitajumuisha shughuli mbalimbali zitakazo wanufaisha wateja wa...

READ MORE

NBC Yaahidi Kuwekeza Katika Mifumo ya Kibenki ya Kidijitali ili Kuongeza Tajriba kwa Wateja

BENKI ya NBC imeahidi kuwekeza zaidi katika huduma za kibenki za kidijitali ili kuongeza urahisi wa upatikanaji wa huduma kwa...

READ MORE

Benki ya NCBA Kutumia Ubunifu wa Kidigitali Kuboresha Huduma Kwa Wateja

    Dar es Salaam, tarehe 3 Oktoba. Benkiya NCBA Tanzania Limited (NCBA) imeendelea kusisitiza juu ya uwekezaji wake katika...

READ MORE

Equity Bank (T) Imezindua Rasmi Wiki ya Huduma kwa Wateja

    Dar es Salaam, Jumatatu tarehe 3 Oktoba 2022. Benki ya Equity  (T) imezindua rasmi wiki ya huduma kwa...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Afanya Mabadiliko Bashungwa Ateuliwa Waziri wa Ulinzi, Kairuki Tamisemi

Rais Samia amefanya mabadiliko hayo kwa kumteua Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Pia,...

READ MORE

Waziri Mkenda Aongoza Harambee Ununuzi Kiwanja Cha Kanisa, Mil 82.8 Zapatikana

Mbunge wa Jimbo la Rombo Mkoani Kilimanjaro ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda...

READ MORE

Waziri Mkemda Aanza Ziara ya Siku Tatu Rombo

Mbunge wa Jimbo la Rombo ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda leo tarehe...

READ MORE

Daktari Raia wa Tanzania Afariki kwa Ebola Nchini Uganda, Waziri wa Afya Afunguka

Daktari raia wa Tanzania, Dkt. Mohamed Ali Hafidh anayefanya kazi nchini Uganda aliyeambukizwa Ebola amefariki dunia, mhudumu wa kwanza wa...

READ MORE

Waziri Madini: Mgodi wa GGML Mfano Bora Afrika Kuhudumia Jamii  

NA MWANDISHI WETU, GEITA WAZIRI wa Madini, Dk. Dotto Biteko amesema Kampuni ya Uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) ndiyo...

READ MORE

Kampuni ya Wentworth Gas Ltd Yawekeza Katika Jamii

KAMA sehemu ya mpango wa kuwekeza katika jamii Kampuni ya Wentwoth Gas Ltd ilikuwa kati ya wadhamini wa mashindano ya...

READ MORE

SPC Yakabidhi Rasmi Viwanja kwa Washindi Kili Marathon

    Septemba 30, 2022: Kampuni ya Surveyed Plots Company Ltd ya Jijini Dar es Salaam leo imekabidhi rasmi zawadi...

READ MORE

TAMISEMI na Wataalamu Sekta ya Ardhi Watakiwa Kujipanga

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kujipanga na kufanya kazi...

READ MORE

Mfanyabiashara Maarufu Nchini PCK, Aadhimisha Kifo cha Mama Yake kwa Kutoa Msaada kwa Jamii

MFANYABIASHARA maarufu nchini Patrick Christopher (PCK) katika kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kifo cha marehemu mama yake mzazi amerudisha tabasamu...

READ MORE

PM Majaliwa Akabidhi Mil 600 za Nmb Kusaidia Wanawake Wenye Tatizo la Fistula

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Afya iendelee kuhamasisha taasisi, na wadau kuchangia maeneo muhimu kama ya afya...

READ MORE

Wananchi Sengerema Wapendekeza Bwawa La Nhwiga Kutumika kuwa Kivutio Cha Utalii

Bwawa la ‘Nhwiga’ ( kiswahili  lango la Twiga) lililopo kijiji cha Kizungwangoma kata ya Misheni wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza...

READ MORE

Ofisi ya Zamani ya CCM Sengerema Kugeuzwa Kuwa Kitegauchumi

  Baada ya kumalizika kwa ofisi mpya ya CCM wilayani Sengerema imeleezwa kuwa ofisi ya zamani itakarabatiwa na kuwa kitegauchumi...

READ MORE