×

Habari

Rais Samia Atoa Msamaha kwa Wafungwa 3, 826 Maadhimisho ya Miaka 58 ya Muungano

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 3, 826 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 58 ya muungano...

READ MORE

Ratiba ya Kuaga Mwili wa Marehemu, Irene Alex Ndyamkama, Bungeni Dodoma

Kikao cha pamoja baina ya Tume ya Utumishi wa Bunge na Kamati ya Uongozi ya Bunge kimefanyika na kukubaliana kuwa...

READ MORE

Siku ya Malaria Duniani Imewakutanisha Meridianbet na Hospitali Ya Rufaa ya Mkoa Amana

Katika kuadhimisha siku ya Malaria Duniani kwa mwaka 2022, kampuni ya michezo ya kubashiri, Meridianbet, imeungana na watanzania na dunia...

READ MORE

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Guterres Kukutana na Rais wa Urusi Putin leo

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anatazamiwa kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin mjini Moscow baadaye leo...

READ MORE

OPPO Yaja na Reno 7 4G na 5G Hizo ni Kiboko

    Kampuni ya simu ya OPPO imezindua simu yake mpya hapa nchini ya Reno 7 4G na 5G. Akizungumza...

READ MORE

Nmb Waanda Futari, Spika Dkt. Tulia Ackson Awaongoza Wabunge, Wateja

  Katika mwendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Benki ya NMB iliandaa Futari iliyohudhuriwa na Waheshimiwa Wabunge, viongozi wa Dini...

READ MORE

Vodacom, Smart Lab Watoa Fursa Kwa Kampuni Chipukizi Za Kiteknolojia

KATIKA kuendelea kukuza uchumi na vipaji kwa vijana, kampuni ya Vodacom Tanzania PLC kwa kushirikiana na Smart Lab wamezindua msimu...

READ MORE

Kijana Achinjwa Kikatili Arusha, Mazishi Yake Yawaliza Wengi, Mchungaji Atoa Tamko Zito Msibani..

Kijana Godluck Tiveli Mkazi wa Arumeru Mkoani Arusha leo amezikwa katika nyumba yake ya milele baada ya kuuliwa kuwa kuchinjwa...

READ MORE

Watu 8 Wafariki na Wengine 19 Kujeruhiwa kwa Ajali Mkoani Njombe

Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamis Issah amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu 8 na 19 kujeruhiwa katika ajali...

READ MORE

Waziri Mkuu Atembelea Ujenzi wa Nyumba Kijiji cha Msomera Wilayani Handeni

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa amefanya ziara na kukagua nyumba 103 miongoni mwa nyumba...

READ MORE

Mama Maria Nyerere na Mama Janeth Magufuli Waadhimisha Miaka 100 ya Baba wa Taifa

Mjane wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Maria Nyerere pamoja na Mjane wa Rais wa...

READ MORE

Macron Amshinda Le Pen Kiti cha Urais, Aapa Kuiunganisha Ufaransa Iliyogawanyika

Emmanuel Macron ameshinda kiti cha urais atakachohudumu kwa miaka mitano zaidi akiwa rais wa Ufaransa baada ya ushindi mnono dhidi...

READ MORE

Wizara ya Kilimo, Taha Zasaini Makubalino Kuendeleza Sekta Ndogo ya Kilimo cha Matunda na Mbogamboga

KATIBU MKUU wa Wizara ya Kilimo, Bw. Andrew Massawe na Mtendaji Mkuu wa Tanzania Horticulture Association (TAHA), Dkt. Jacqueline Mkindi,...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Awataka Wafanyabiashara Watumie fursa ya Kibiashara Ndani ya Tanzania

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wafanyabiashara wa pande zote mbili za Muungano watumie vyema fursa ya kibiashara ndani ya Jamhuri...

READ MORE

Rais Samia Atoa Pole Kwa Spika wa Bunge Kufuatia Kifo Cha Mbunge Irene Ndyamkama

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa Spika...

READ MORE

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Aanza Ziara ya Kikazi Mkuranga Pwani -Video

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amepokelewa wilaya ya Mkuranga leo tarehe 24 Aprili, 2022 kwa...

READ MORE

Mbunge wa CCM Rukwa Ndyamkama Afariki Hospitali ya Tumbi, Spika Athibitisha

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt.Tulia Ackson ametangaza kifo cha Irene Alex Ndyamkama ambaye alikuwa Mbunge...

READ MORE

Kinana Aipongeza Silent Ocean kwa Kufungua Tawi Marekani

MAKAMU wa Mwenyekiti wa ChamaCha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana, amewataka wafanyabiashara kuorodhesha changamoto zinazowakabili na kumfikishia ofisini kwake ifikapo...

READ MORE

Exim Yafuturisha Wateja Wake Tanga

IKIWA ni muendelezo wa utaratibu wake wa kuandaa futari kwa ajili ya wateja na wadau wake katika mikoa mbalimbali nchini...

READ MORE

Mtangazaji wa Wasafi FM Diva na Mumewake Apata Ajali ya Gari Usiku wa Kuamkia Leo

MTANGAZAJI wa Wasafi FM, Diva amepata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo Aprili 24,2022 akiwa na mumewake, Sheikh Abdulrazak...

READ MORE

Wafaransa Wapiga Kura Katika Duru ya Pili ya Urais Kati ya Macron na Marine Le Pen

Raia wa Ufaransa leo Jumapili Aprili 24, 2022 wamepiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais. Rais aliye...

READ MORE

Bocco Amepona Majeraha Arudi Kuwavaa Orlando Pirates ya Nchini Afrika Kusini Leo

HABARI njema kwa mashabiki wa Simba kuwa nahodha na mshambuliaji wao, John Bocco amepona majeraha yake ya enka na huenda...

READ MORE

Gwajima Azuru Kaburi la Mtoto Aliyeuawa kwa Kipigo na Kumwagiwa Maji ya Moto

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amezuru na kusali katika kaburi la mtoto...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na CEO wa Woodrow Wilson, Marekani

RAIS Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais ambaye pia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Woodrow Wilson International Center...

READ MORE

Waziri Mkuu: Rcs, Dcs Nendeni Mkakague Masoko, Maduka Kupata Bei Halisi za Bidhaa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wafanye ziara kwenye masoko na maduka ili kupata...

READ MORE

Dr Mollel Aagiza Uchunguzi Ufanyike Juu ya Miradi ya Mkandarasi MUST

NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameitaka Ofisi ya Katibu Mkuu wa Wizara yake kufanya tathmini ya kina ndani...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu Za Pole Kwa Rais Uhuru Kenyatta Kufuatia Kifo Mwai Kibaki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa Rais...

READ MORE

Tanroads Yatoa Tamko, Daraja la Tanzanite Kufungwa Kupisha Matengenezo

WAKALA wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Dar es salaam umetoa taarifa kwa Watumiaji barabara inayokwenda moja kwa moja hadi Daraja...

READ MORE

Mpiga Debe Afariki kwa Kukanyagwa na Gari Akifukuzia Posho Yake

Mpiga debe mmoja wa eneo la Makambako mkoani Njombe amefariki dunia kwa kukanyagwa na gari katika kichwa chake kutokana na...

READ MORE

Lusinde Amchana Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe Kumnanga Magufuli

MBUNGE wa Mvumi (CCM), Livingstone Lusinde leo Ijumaa Aprili 22, 2022 amemshukia Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na watu...

READ MORE

Ndege Yaanguka Barabarani na Kuuwa Watu Sita Mji Mkuu wa Haiti, Port-au-Prince

Ndege ndogo imeanguka kwenye barabara kuu katika mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince na kusababisha vifo vya takriban watu sita. Ndege...

READ MORE

TRA Yatoa Ufafanuzi Baada ya Kukutana na Timu ya Wataalam wa Kampuni ya META

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia kwa Mkurugenzi wake wa huduma na elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo imetoa ufafanuzi...

READ MORE

Rais Samia Azindua kwa Mara ya Pili Filamu ya The Royal Tour Jijini Los Angeles

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uzinduzi mwingine wa awamu ya pili wa filamu ya...

READ MORE

Aweso Awasimamisha Kazi Wanne Bwawa la Milioni 600 Handeni

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua...

READ MORE

Picha za Satelaiti Zaonesha Makaburi ya Halaiki Yaliyochimbwa Mariupol

“Makaburi ya pamoja ya wakazi wa Mariupol yanadaiwa  kuwa waliouawa na jeshi la Urusi yanafanyika katika kijiji kilicho karibu na...

READ MORE

Vivo Y01 Yazinduliwa Nchini Tanzania

Dar es Salaam. Tarehe 22 Aprili, 2022. Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za  kidijitali nchini, Tigo Tanzania, imeshirikiana na...

READ MORE

Mbunifu wa Kuyeyusha Chuma Asiyejua Kusoma na Kuandika Aomba Kupelekwa China

  REUBEN Mtitu maarufu kwa jina la Mzee Kisangani ambaye ni mbunifu wa kuyeyusha chuma katika eneo la Mkiu wilaya...

READ MORE

Viongozi Waandamizi wa Vodacom Wamtembelea Mkuu wa Mkoa Dodoma

Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka, akisalimiana na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia,...

READ MORE

Mzee Wa Miaka 83 Apata Mtoto Wa Kwanza, Miaka 57 Ya Ndoa

Josiah Mwesigye mwenye miaka 83, raia wa Uganda amefanikiwa kupata mtoto wake wa kwanza baada ya kutafuta mtoto bila mafanikio...

READ MORE