×

Habari

Maisha Magic Movies Yatangaza Neema Kwa Filamu Tanzania

Chaneli maarufu ya Maisha magic Movies imetangaza neema kwa wazalishaji wa filamu hapa nchini baada ya kuongeza idadi ya filamu...

READ MORE

Vikwazo vyaipa wakati mgumu Urusi

“NINGEKUWA na uwezo ningehama Urusi sasa hivi. Ningefanya hivyo. Lakini siwezi kuacha kazi yangu,” anasema Andrey. Hataweza kumudu mpango wa...

READ MORE

Umoja wa Mataifa Waitaka Urusi Kuondoka Ukraine – Video

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) limepiga kura kwa wingi ya kuunga mkono azimio la kuitaka Urusi kusimamisha mara...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Viongozi wa Dini, Waomba kumaliza kesi ya Mbowe

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amezungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu maendeleo...

READ MORE

Pesa za Zawadi Nmb Mastabata Zabaki Mil 100

Msimu wa Tatu wa Kampeni ya NMB MastaBata inayoendeshwa na Benki ya NMB, umezidi kushika kasi kuelekea ukingoni baada ya...

READ MORE

Kikwete Ateuliwa SADC

RAIS Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Jopo Wazee wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...

READ MORE

Live: Urusi Yadai Kuuteka Mji wa Kherson

SERIKALI ya Urusi inadai kuwa imeudhibiti kabisa Mji wa Kherson uliopo Kusini mwa Ukraine, ukiwa ndiyo mji wa kwanza kudhibitiwa...

READ MORE

Mabomu Ya Vacuum Tishio Ukraine

  SIKU chache zilizopita, Balozi wa Ukraine katika Umoja wa Mataifa, Oksana Markarova aliilalamikia Urusi kuwa inatumia mabomu hatari ya...

READ MORE

Wanajeshi Urusi Waishiwa Mahitaji Muhimu

KAMPUNI ya kijasusi ya ShadowBreak ya nchini Uingereza, imedai kwamba imenasa mawasiliano kati ya wanajeshi wa Urusi waliopo uwanja wa...

READ MORE

Wakili: Makonda Hakupewa Taarifa Kuitwa Mahakamani

WAKILI wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Goodchance Reginald amesema mteja wake hakuwa amepewa wito...

READ MORE

Watu 21 Wauawa Katika Shambulizi la Makombora Kharkiv

Takriban watu 21 wameuawa na wengine 112 kujeruhiwa katika shambulio la makombora katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine,...

READ MORE

Meli Iliyobeba Magari Ya Kifahari 4,000 Yazama Ureno

Meli ya mizigo iliyokuwa imebeba magari ya kifahari takribani 4,000, imezama katika Visiwa vya Azores nchini Ureno, zikiwa zimepita wiki...

READ MORE

Baba Askofu Ludovic Minde Ahudhuria Mkutano wa Sinodi ya Maaskofu 2021-2023

    LEO Machi 2 katika nyumba ya mapadri lenguo Halmashauri ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro, Baba Askofu Ludovic Minde...

READ MORE

Urusi Yatoa Vitisho; Kimbieni Au Bakini Mfe

Maelfu ya wakazi wa Jiji la Kyiv ambalo ndiyo Mji Mkuu wa Ukraine, wanaendelea kuukimbia mji huo ikiwa ni muda...

READ MORE

Ajali ya Ndege Comoro: Hakuna Miili Iliyopatikana

Serikali ya Comoro imesema bado hakuna mwili wowote uliopatikana baada ya kuanguka kwa ndege inayofanya safari zake visiwani humo.  ...

READ MORE

Mazishi Ya Baba Wa GSM: Makamu Wa Pili Wa Rais, Mbunge Zungu, Washiriki -Video

 Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amezikwa leo jioni kwenye makaburi ya...

READ MORE

GGML yabeba tuzo kampuni bora ya madini 2021

  KAMPUNI ya uchimbaji madini ya dhahabu Geita (GGML) imetunukiwa tuzo ya kuwa kampuni bora inayoendesha shughuli za uchimbaji wa...

READ MORE

Video: Rais wa Ukraine Akataliwa Kujiunga Umoja wa Ulaya

 Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, mchana wa leo Jumanne Machi 01, 2022 amezungunza kwa hisia kali na Bunge la...

READ MORE

Itakuliza! Ujumbe Wa Mwanajeshi Wa Urusi Kwa Mama Yake – Video

 Balozi wa Ukraine katika Baraza la Umoja wa Mataifa (UN), Sergei Kyslytsya amesoma ujumbe wa mwanajeshi wa Urusi aliyeuawa...

READ MORE

Mtoto wa Museveni Aunga Mkono Uvamizi wa Urusi

Shirika la Habari la Uingereza, BBC limeripoti kuwa mtoto wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni aitwaye Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba,...

READ MORE

Belarus Waungana Na Urusi Kuishambulia Ukraine

Jeshi la Ukraine limedai kwamba wanajeshi wan chi jirani la Belarus, wamevuka mipaka wakiwa na vifaru na silaha nyingine nzito...

READ MORE

Taleban Yawazuia Wananchi Kusafiri Afghanistan

Serikali ya Taleban inayoongoza nchini Afghanistan, imewapiga marufuku wananchi wa nchi hiyo kusafiri kwenda nje ya nchi bila kuwa na...

READ MORE

Pele Aruhusiwa Kutoka Hospitali

Nguli wa soka ulimwenguni, Pele ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupata matibabu ya uvimbe na maambukizi ya mfumo wa mkojo....

READ MORE

Makombora ya Urusi Yaua Wanajeshi 70 Ukraine

SERIKALI ya Ukraine wamethibitisha kuwa wanajeshi wasiopungua 70 waliuawa katika shambulio la makombora ya Urusi katika kambi yao ya kijeshi...

READ MORE

Vita Ukrain Yaiweka Afrika Mtegoni

Vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine inayaweka mataifa ya Afrika katika msemo wa kimakonde ‘ukisimama nchale, ukikimbia nchale’.  ...

READ MORE

Jinsi Waukraine Wanavyolinda Nchi Yao – Picha

Vimiminika vinavyoweza kuwaka moto kama vile petroli na vilevi vinamwagwa ndani ya glasi na kuongezwa mafuta ya injini. Mchanganyiko huu...

READ MORE

Vita Ya Ukraine, Tozo Za Mafuta, Serikali Yapoteza Bil 30 Kwa Mwezi… Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Video Ya Sonia Ukraine..

  WAKATI Serikali ya Tanzania ikiwa imeanza kuchukua hatua za kuwarejesha nchini Watanzania takriban 300 waliopo nchini Ukraine kutokana na...

READ MORE

Ukraine: Mapigano Lazima Yakomeshwe- Katibu Mkuu wa UN

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anatarajiwa kutoa wito wa kusitisha mapigano nchini Ukraine. Mapigano yanavuma kote...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 1, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 1, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Droo ya Mwezi wa Pili wa MastaBata kuwazawadia Wateja wake Tsh Milioni 25

Benki ya NMB imechezesha Droo ya mwezi wa pili wa MastaBata kivyakovyako jijini Dodoma na kuwazawadia Wateja wao jumla la...

READ MORE

Rais Mwinyi Afunguka Watalii Wa Ukraine Waliokwama Zanzibar

Rais Mwinyi afunguka kuhusu watalii wa Ukraine waliokwama hotelini Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt....

READ MORE

Vivo Wazindua Rasmi Simu Mpya Vivo 23 5G

  HATIMAYE Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vivo Smartphones ya Tanzania, imefanikiwa  kuzindua rasmi simu mpya aina ya V23...

READ MORE

Redcross Mkoa wa Kilimanjaro Wamwagiwa Sifa kwa huduma Zao Kili Marathon 2022

    JANA Jumapili ilikuwa ni siku ya kipekee Moshi mkoani Kilimanjaro kutokana na tamasha kubwa la mbio za Kilimanjaro...

READ MORE

Ukraine: Tumeua wanajeshi 5,300 wa Urusi

Wizara ya ulinzi ya Kyiv inadai kuwa takribani wanajeshi 5,300 wa Urusi wameuawa katika siku nne za kwanza za mapigano...

READ MORE

Google Yazuia Matangazo Vyombo vya Habari Urusi

Google haitaruhusu tena vyombo vya habari vya serikali ya Urusi kuonyesha matangazo, kufuatia uamuzi kama huo uliofanywa Jumamosi na kampuni...

READ MORE

Ramli Chonganishi Zinavyomaliza Raia

JESHI la Polisi mkoani Morogoro inawashikilia watu wanane kwa tuhuma za mauaji na kujihusisha kupiga ramli chonganishi ambazo kwa kiwango...

READ MORE