×

Habari

Mwanafunzi Agongwa na Basi la Al Saedy, Afariki Dunia

MWANAFUNZI Nurdin Ally (6) amefariki dunia baada ya kugongwa na basi kampuni ya Al Saedy lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Morogoro....

READ MORE

Baba wa Askari Aliyejinyonga Mahabusu “Hakuna Picha Inayoonyesha Amejinyonga”

Gaitan Mahembe, ambaye ni baba mzazi wa aliyekuwa Mrakibu Msaidizi wa Polisi anayedaiwa kujinyonga, Greyson Mahembe akiwa mahabusu mkoani Mtwara...

READ MORE

Mauaji Tena Tanga: Mtoto Amuua Mtoto Mwenzake wa Miaka 9

JESHI la polisi mkoani Tanga linamshilikia mtoto wa miaka (9) mkazi wa mji mpya Hale na mwanafunzi wa shule ya...

READ MORE

TANESCO Yatangaza Mgao wa Umeme Siku 10

SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limetangaza rasmi kuanza mgao wa umeme wa siku 10 nchi nzima kuruhusu matengenezi ya mitambo...

READ MORE

Tanzania, Marekani Kushirikiana Kiutalii

Tanzania na Jimbo la Dallas la nchini Marekani zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika nyanja za utalii, michezo, uwekezaji pamoja na kubadilishana...

READ MORE

Mzee Lowassa Alazwa Muhimbili

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Taarifa kutoka...

READ MORE

Mke Acharangwa Mapanga na Mumewe Kisa Simu ya Tsh 24,000

MWANAMKE mmoja aliyefahamika kwa jina la Josephine Boniface (30), Mkazi wa Kijiji cha Lyowa Mkoani Mtwara, amejeruhiwa kwa kukatwa na...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Kesi ya Mbatia

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi,...

READ MORE

Moto Wateketeza Maduka Geita

  Maduka 16 ya Wafanyabiashara wa soko la CCM kakubilo lililopo Wilaya ya Geita Mkoani Geita yameungua kwa moto na...

READ MORE

Breaking: Ajali Yaua Wawili na Kujeruhi 8 Kimara Suka

WATU wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine wanane kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara...

READ MORE

Aliyemtishia Nape Bastola Kizimbani, Mtifuano Wa Kisheria Urio Akitoa Ushahidi | Front Page-Video

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

NMB Yaendelea Kuwa Benki Kinara wa Ufanisi Nchini

BENKI ya NMB jana imetangaza matokeo ya uendeshaji wake ya mwaka 2021 ambapo imeweka rekodi nyingine ya utendaji kwa kupata faida...

READ MORE

Kituo Cha Elimu Ustawi Wa Jamii Chatinga Karume

  Timu ya wataalam wa ustawi wa jamii na saikolojia kutoka kituo cha elimu, ushauri na msaada wa kisaikolojia kilicho...

READ MORE

Majambazi Watatu Wauawa Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limewaua watu watatu wanaodaiwa kuwa majambazi waliokuwa katika mpango wa...

READ MORE

CRDB Yapata Washindi Wa Droo Ya Shinda Na TemboCard Visa Cameroon

  Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Boma Raballa (wa pili kushoto) akimkabidhi mfano wa tiketi...

READ MORE

Kocha Pablo Aomba Radhi Mashabiki wa Simba

KOCHA Mkuu wa Timu #Simba, Franco Pablo Martin amewaomba radhi mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia kichapo cha 1-0...

READ MORE

Dada wa Rais Samia Afunguka Usiyoyajua Kuhusu Mhe. Rais

Siku kama ya leo miaka 62 iliyopita katika visiwa vya Zanzibar alizaliwa mwanamke ambaye leo ni Rais wa Awamu ya...

READ MORE

Samia: Nilisaka Ajira Nikiwa Mdogo, Nikatimuliwa

RAIS Samia Suluhu, ambaye leo anatimiza miaka 62 amesema alianza kusaka ajira akiwa na umri mdogo ambapo awali alikataliwa kutokana...

READ MORE

Nyumba 50 Ndani ya Jengo la Uhuru Heights Kuuzwa

Kampuni ya Cosmos Properties ya jijini Dar es Salaam, ambayo ni mmiliki wa nyumba 50 katika jengo la Uhuru Heights...

READ MORE

Gari Linalopaa Kama Ndege Laweka Rekodi

Gari linalopaa lenye uwezo wa kusafiri kilomita zaidi ya 160 kwa saa kwa na urefu wa zaidi ya mita 2,500...

READ MORE

Dodoma: Kikongwe wa Miaka  80 Ajinyonga

Mkazi wa Njedengwa mkoani Dodoma, Edward Lusito anayekadiriwa kuwa na zaidi ya umri kati ya miaka 80 hadi 90 amekutwa...

READ MORE

Kisa Mke, Mstaafu wa Polisi Ajinyongea Waya wa Pasi

MSTAAFU wa Jeshi la Polisi wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro bwana Omary Msangi amejinyonga hadi kufa bafuni kwake kwa kutumia...

READ MORE

Roketi ya Elon Musk Kugongana na Mwezi

Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na...

READ MORE

Mauaji Yamchefua Rais Samia, Dkt. Mpango Amtumia Salam IGP Sirro

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amesikitishwa na kuumizwa kutokana na matukio ya mauaji yanayotokea nchini, na kuliagiza Jeshi la Polisi...

READ MORE

Amuua Mjamzito na Watoto 2 kwa Deni la Gunia 2 za Mahindi

JESHI la Polisi mkoani Rukwa limemkamata Philipo Vincent (22) kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata mapanga mjamzito na watoto wake...

READ MORE

Mtalii Akanyagwa na Tembo Hadi Kufa

  MTALII  mmoja amekanyagwa hadi kuuawa na Tembo katika mbuga ya wanyama nchini Uganda, baada ya mtalii huyo kutoka kwenye...

READ MORE

Waziri Nape Atembelea TTCL, Atoa Maagizo

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mh. Nape Nnauye amefanya ziara ndani ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL...

READ MORE

Airtel na Benki ya Letshego Wakabidhi Zawadi Washindi wa Weka Akiba Ushinde na Timiza Akiba

    KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo kwa kushirikiana na benki ya Letshego wamekabidhi zawadi kwa...

READ MORE

Mahojiano ya Rais Samia na TBC1, Maisha Yake Tangu Kuzaliwa Hadi Sasa-Video

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Januari 27, amefanyiwa mahojiano maalum na kituo cha runinga cha TBC kwenye kipindi cha Jambo...

READ MORE

SBL Yaweka Wazi Mkakati Mkubwa wa Kuwasaidia Wakulima

      KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL), imesema itaendelea kusaidia kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wakulima wa ndani ikiwa...

READ MORE

Kutoka Uturuki: Paula Kutua Bongo na Mbwa Wake

PAULA Kajala, mtoto wa mwigizaji mkubwa wa Bongo Movies, Kajala Masanja au Frida na prodyuza mkubwa wa Bongo Records, P...

READ MORE

Mwanamke Arekodi Tangazo Juu ya Ghorofa Refu Zaidi Duniani

Picha na video zinazomuonesha mwanamke akirekodi tangazo la Shirika la Ndege la Fly Emirates la Dubai, zimezusha gumzo kubwa kwenye...

READ MORE

Mrembo Atemwa na Mpenzi Wake Baada ya Kumpa Figo yake

MWANADADA Colleen Le aliyempa mpenzi wake figo yake amedai kuwa jamaa huyo alitwaye Christian amempiga chini miezi saba tu kadhaa...

READ MORE

Sita Mbaroni kwa Tuhuma za Mauaji ya Bibi Kizee

JESI la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya bikizee mkazi wa kijiji cha Rigicha wilayani...

READ MORE

Kortini kwa Kuiba Mbwa wa Jamaa Yake na Kumuuza Tsh Mil 2

MWANAUME mmoja kutoka Kaunti ya Nairobi, aliyefahamika kwa jina la Ian Kinuthia ana hadi Februari 7, mwaka huu kujua hatima...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe, Amkata Vipande, Mwili Auwekwa Kwenye Mkoba

BINTI mrembo Esther Wambui, mwenye umri wa miaka 18 aliyepatikana akiwa ameuawa kinyama mtaani Ruiru amezikwa nyumbani kwao katika Kijiji...

READ MORE

Tanzania Yapokea Dozi 800,000 za Chanjo

Waziri wa Afya, Ummy leo Januari 26, 2022 amepokea dozi 800,000 za chanjo ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm kutoka Serikali...

READ MORE

Mama wa Watoto 10: Mume Wangu Anataka Nizae Watoto 22

MAMA mmoja mwenye jumla ya watoto 10 kutoka kaunti ya Kakamega nchini Kenya aliyejitambulisha kwa jina la Gentrix Wekesa ameeleza...

READ MORE

Aua Mke, Watoto Wake Kisha Kuteketeza Nyumba

MWANAMME mmoja mwenye umri wa miaka 45 amemuua mke wake na wanawe watatu kabla ya kuteketeza kwa kuichoma moto nyumba...

READ MORE

Maiti Nyingine Zaopolewa Mto Yala

Sakata la maiti kuopolewa katika Mto Yala nchini Kenya limechukua sura mpya baada ya maiti nyingine mbili kuopolewa hapo jana...

READ MORE