×

Habari

Makaburi Mengine 150 Yagundulika Vingunguti

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imeongeza siku tatu kuendelea kuhamisha baadhi ya makaburi ya Vingunguti baada ya kubainika...

READ MORE

🔴#Live: Ukweli Ndoa Ya Dida Kuvunjika, Harmo, Mond, Hapatoshi | Hot Pot…

Karibu kutazama kipindi namba moja cha Udaku ‘HOTPOT’ kinachokuletea habari mbalimbali za mastaa ndani na nje ya Tanzania.   

READ MORE

Mapigano ya Wakulima, Wafungaji Malinyi Yachafua Hali ya Hewa

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro, limesema wafugaji ambao walikimbia makazi yao kutokana na mapigano yaliyoibuka kati yao na wakulima...

READ MORE

Juhudi Zinaendelea Kuokoa Waliofukiwa na Kifusi Mgodini

Vikosi vya uokoaji nchini Sudan vinaendelea na jitihada za kuinasua miili ya wachimbaji wa madini waliofukiwa katika mgodi wa dhahabu...

READ MORE

Askofu Mwanisongole Kuzikwa Leo Songwe

Askofu Mkuu Mstaafu wa Tanzania Assemblies of God (TAG) Dk. Ranwell Mwanisongole aliyefariki dunia usiku wa kuamkia Jumamosi, Desemba 25,...

READ MORE

Sakata la Deni la Taifa “Tukope Tusikope”?

MGONGANO wa mawazo kuhusu nchi kukopa au kutokukopa uliojitokeza kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Sure Boy Amuondoa Mukoko Yanga, Simba Waitaka Nusu Fainali Shirikisho

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Jamaa Aliyemuua Mama Yake Mzazi, Amla Nyama Akishirikiana na Mbwa

MWAKA 2019 huko Madrid, Hispania kijana mwenye umri wa miaka 26 aliyefahamika kwa jina la Alberto Sánchez Gomez alikamatwa na...

READ MORE

Polepole Akanusha Kutaka Kuanzisha Chama Kipya

Mbunge wa Kuteuliwa na Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Humphrey Polepole amekanusha taarifa za kutaka kuhama chama hicho na kuunda...

READ MORE

Uamuzi Mdogo Kesi ya Sabaya Wakwama

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili...

READ MORE

Polepole Awataja ‘Wahuni’ Wote

Mbunge wa kuteuliwa na aliyekuwa katibu mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole amekubali kuwajibika kuhusiana na swala la wahuni serikalini akisema...

READ MORE

Gari la Maiti Lapata Ajali, Bosi wa Harmonize Anusurika

MMOJA wa mameneja wanaomsimamia mwanamuziki Harmonize, Jembe ni Jembe amepata ajali mbaya ya gari wakiwa wanasindikiza mwili wa marehemu Joel...

READ MORE

Gavana BoT: Huwezi Kutumia Fedha za Ndani Kwenye Miradi

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga amesema Mikopo haikopwi kwa ajili ya kula bali kufanya Miradi ambayo...

READ MORE

Majaliwa: Marufuku Kuwapa Biashara Watoto

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema jukumu la kulea watoto na kutafuta mahitaji ni la wazazi lakini wajibu wa kuwasomesha watoto...

READ MORE

92 Wafariki kwa Virusi vya LASSA

WATU 92 raia wa Nigeria wamefariki kuanzia Januari 2021 mpaka sasa kutokana na virusi vya Lassa. Taarifa zinaeleza kua majimbo...

READ MORE

38 Wafariki kwa Kuangukiwa na Kifusi Mgodini

Watu 38 wamepoteza maisha baada ya kuporomokewa na udongo kwenye mgodi wa dhahabu wa Darsay kijiji cha Fuja nchini Sudan....

READ MORE

Muumin, Ally Choki Wamlilia Leyla

WAIMBAJI maarufu wa muziki wa dansi nchini, Muumin Mwinjuma na Ally Choki wameelezea kushtushwa na kifo cha mdau mkubwa wa...

READ MORE

Fahamu! Hifadhi ya Ngorongoro Haimilikiwi na Tanapa, Tazama Maajabu Yake

  Watu wengi hawaelewi kwamba Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro (NCAA) si eneo ambalo lipo chini ya Shirika la Hifadhi za...

READ MORE

Washindi wa Kuza Akiba na Ushinde ya Airtel na Letshego Wajizolea Mkwanja Kiulainiii..

    WATEJA wa Benki ya Letshego na Kampuni ya Mawasilino ya Airtel, wameondoka na mkwanja kiulainiii baada ya kuibuka...

READ MORE

Maajabu ya Ng’ombe Wanaoogelea Kama Binadamu

Hii ni Afrika na Afrika kuna mengi ya kuvutia. Leo nakuangushia makala kuhusu mila ya zamani ya kabila la eneo...

READ MORE

Mwili wa Askofu Mwanisongole Waagwa Dar

Waombolezaji mbalimbali, Jamaa na Marafiki wameshiriki Shughuli ya Kuaga mwili wa aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Asembliers City Christian...

READ MORE

Aliyejenga Kaburi Barabarani Apewa Siku 45 Kuliondoa

BARAZA la Ardhi la Kata ya King’ori wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha, limemtaka mkazi wa kijiji cha King’ori, John Peter...

READ MORE

Prince Dube, Tigere Waikosa Simba

NYOTA watatu wa Azam FC, Prince Dube, Never Tigere na Bruce Kangwa, huenda wakaukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi...

READ MORE

Diwani Mstaafu Mtarawanje Ashinda Kesi ya Rushwa

ALIYEWAHI kuwa Diwani wa Kata ya Kijichi Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, Elias Mtarawanje ameshinda kesi iliyochukua takriban...

READ MORE

Ndege wa Maajabu Kutoka Tanzania, Anayesafiri Dunia Nzima

                        Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa nchini...

READ MORE

Mdogo wa Maradona Afariki Dunia

Mwanasoka na kocha maarufu nchini Argentina ambaye pia ni mdogo wake na aloyekuwa mkongwe wa soka nchini humo na dunia...

READ MORE

Maajabu: Ukweli Wa Mti Uliogoma Kukatika – Video

Mti wa ajabu wa asili uliopo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere ambao umeshindwa kukatika na kubaki katikati ya...

READ MORE

Samia: Miradi Yote Mikubwa Itakamilika kwa Wakati – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)...

READ MORE

Jionee Hapa Makundi ya Ligi ya Mabingwa

LEO Desemba 28, 2021 makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na tayari timu ambazo zimetinga kwenye hatua ya makundi yapo...

READ MORE

Gabo, Mkewe Wamzawadia Mtoto Wao Duka

Msanii mkubwa wa filamu Bongo, @gabozigamba na mkewe @tiffany_store_tz jana walimzawadia mtoto wao duka la nguo za watoto linaloitwa @bill_toto...

READ MORE

Makaburi 200 Yafukuliwa Dar

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam, imeanza kufukua makaburi zaidi ya 200 yaliyopo katika Mtaa wa Butiama, Kata ya...

READ MORE

Rais Doumbouya: Rudini na Kombe la AFCON Ama Fedha Zetu

RAIS wa mpito wa Guinea, Kanali Mamadi Doumbouya wa Guinea amewaambia wachezaji wa timu ya Taifa hilo kuwa wanatakiwa wachague...

READ MORE

Samia: Tutaendelea Kukopa, Ukisubiri Ukusanye Zako Utamaliza Kujenga Lini? – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kuchukua mikopo nafuu kutoka kwa nchi wahisani, ili kukamilisha mradi wa ujenzi wa...

READ MORE

Ndugai: Kuna Siku Nchi Itapigwa Mnada Kutokana Na Madeni

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kulingana na mwenendo wa Deni la Taifa kufikia Trilioni 70, ipo siku...

READ MORE

Fahamu Miji 10 Afrika Yenye Gharama Kubwa Zaidi ya Kuishi

Je! Umewahi kujiuliza itakugharimu shilingi ngapi kuishi katika mji tofauti na  ambao unaishi sasa katika nchi yako? Makala hii inaangazia...

READ MORE

Aweso Awahamisha Vituo vya Kazi Vigogo Sita Mtwara

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amefanya mabadiliko kwa kuwaondoa watumishi sita katika nyadhifa zao kwa sababu mbalimbali za utendaji uliosababisha...

READ MORE

Kiungo Mbrazil: Nipo Tayari Kwa Kazi Simba

HATIMAYE uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa aliyewahi kuwa mchezaji wa  timu hiyo, Gerson Fraga anarejea kikosini hapo kupitia usajili...

READ MORE

Udhamini Mnono, GGML Yaidhamini Geita Gold FC

KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML imeidhamini Klabu ya soka ya Geita Gold Football Club kwa mkataba mnono wa...

READ MORE

Vifo Vya Wanandoa Siku Ya Christmas

  Steven Yamba(44) mfanyabiashara wa nchini Zambia ameripotiwa kumshushia kipigo kikali mke wake wa ndoa Kangwa Mwango(33) na kufariki asubuhi...

READ MORE

Kenya: Baba Aua Mwanaye Kwa Kumsumbua Usingizini

Wapelelezi kutoka Idara ya Makosa ya Jinai (DCI) wamefichua kwamba wamemkamata mzee wa miaka 73, James Tarus, kwa kumuua mwanae....

READ MORE