×

Habari

Rais Samia Ateua Mabalozi Wa Marekani, Uturuki na Italia

Rais Samia Suluhu Hassan leo Agosti 17, 2021 amemteua Balozi Mteule Lt Gen Hassan Yakub Mohammed kuwa balozi wa Tanzania...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia SADC “Hatupaswi Kuridhika” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amehutubiwa Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali...

READ MORE

Rais Awateua Prof. Elisante Na Jaji Mstaafu Mohamed Chande

Rais Samia Suluhu amemteua Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi Pia, amemteua Prof. Elisante...

READ MORE

Idris na Wenzake Waachiwa Huru

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru msanii wa Bongo Movies na...

READ MORE

Historia ya Basil Mramba, Uwaziri Mpaka Kufungwa Gerezani

MWANASIASA mkongwe aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali za uongozi ikiwemo kuwa Waziri wa Fedha katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Basil...

READ MORE

Breaking: Serikali Yaagiza Askofu Gwajima Akamatwe

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Doroth Gwajima ameliagiza Jeshi la Polisi na Taasisi ya...

READ MORE

Hichilema: King’ang’anizi Aliyeshindwa Mara Tano Urais Zambia

Hakainde Hichilema mwenye umri wa miaka 59 sasa, ndiye rais mpya wa Zambia aliyetangazwa na tume ya uchaguzi nchini humo,...

READ MORE

Rais Biden Atuma Kikosi Kazi Afghan

Rais wa Marekani, Joe Biden amesema ameidhinisha vikosi zaidi vya Wanajeshi wa Marekani viende katika Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul,...

READ MORE

Rais Biden Agoma Kubeba Msalaba wa Afghan

Rais wa Marekani, Joe Biden ametetea uamuzi wake wa kuondoa majeshi yake nchini Afghanistan licha ya nchi hiyo kutekwa na...

READ MORE

Breaking: RC Msataafu Mwakipesile Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwenye serikali ya awamu ya nne, John Mwakipesile amefariki dunia usiku wa kuamkia...

READ MORE

Breaking: Waziri wa Zamani, Basil Mramba Afariki Dunia

    ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Fedha wa Tanzania na Mbunge wa Rombo, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo Jumanne,...

READ MORE

Live: Rais Samia Suluhu Akishiriki Mkutano Wa 41 Wa SADC

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anashiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na...

READ MORE

Rais Samia Ampongeza Hichilema kwa Kushinda Urais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais mteule wa Zambia, Hakainde Hichilema akisema; “Kwa niaba...

READ MORE

Dk. Mollel: Tutamshugulikia Mch. Gwajima – Video

  Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Mhe. Dkt. Godwin Mollel amemtaka Mbunge wa Kawe na Askofu wa...

READ MORE

Wabunge Kuanza Kufanyiwa ‘Massage’ Bungeni

  WABUNGE nchini Kenya wanatazamiwa kuanza kupata huduma za ukandaji ‘Massage’ katika majengo ya bunge iwapo ripoti iliyowasilishwa na kamati...

READ MORE

Ole Sabaya Aomba Kuachiwa Huru – Video

Mshtakiwa namba moja katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema...

READ MORE

Mwalimu na Mwenzake Mbaroni Wakituhumiwa Kumuua Mtoto

JESHI la Polisi Mkoa wa Singida linawashikilia Mwalimu Regina Laurent, (28) wa Shule ya Msingi Mang’onyi na Mathias Marmo (30)...

READ MORE

Mwili wa Msanii Aliyeuawa Wagoma Kuingia Kwenye Jeneza la Bei Rahisi

Kumetokea na hali ya kushangaza katika makafani ya Hospitali ya Rufaa ya Bungoma nchini Kenya baada ya mwili wa Mwanamuziki...

READ MORE

Rais Samia Atua Malawi – Video

  Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi kushiriki Mkutano wa...

READ MORE

Rais Samia Aelekea Malawi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan hii leo Agosti 16, 2021 ameondoka Nchini kuelekea Nchini...

READ MORE

Mwili wa Dk Massawe Waagwa Muhimbili – (Pichaz+Video)

MWILI wa aliyekuwa daktari bingwa wa magonjwa ya watoto, Dk. Augustine Massawe umewasili katika viunga vya Chuo Kikuu cha Afya...

READ MORE

Azam FC Yafunga Usajili na Majembe Haya ya Kazi

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba kwa sasa umefunga majalada yote yanayohusu usajili kwa ajili ya nyota wapya watakaotumika...

READ MORE

Taliban Waipindua Serikali ya Afghanistan

KUPINDUA serikali iliyopo madarakani siyo jambo jepesi na mara nyingi majaribio ya aina hii, huwa yanakwama na pale yanapofanikiwa, huwa...

READ MORE

NMB Marathon 2021 Yazinduliwa, Mapato Kutibu wagonjwa Fistula CCBRT

Benki ya NMB, imesaini makubaliano ya ushirikiano na Hospitali ya CCBRT, yanayolenga kukusanya kiasi cha Sh. Bilioni 1 za matibabu...

READ MORE

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa Azindua Darasa la Tehama Kwenye Shule Jokate Mwegelo

    Vodacom Tanzania kupitia taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation imetoa kompyuta 15 kwa shule hiyo ikiwa na lengo la...

READ MORE

Waziri Biteko Atoa Maelekezo Kiwanda cha Gesi Mbeya

WAZIRI wa Madini, Doto Biteko ameiagiza Kampuni ya kuzalisha Gesi Asilia ya Kabon Daioksaidi ya Tol Gases Limited iliyopo wilaya...

READ MORE

Rais Samia Kuelekea Malawi

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 16, 2021 anatarajiwa kuondoka jijini Dodoma kuelekea Malawi kwa ajili ya kushiriki mkutano wa...

READ MORE

Gwajima: Nipo Tayari Kuachia Ubunge, Sio Kuchanja

ASKOFU Mkuu wa kanisa la Ufufuo na Uzima lenye Mako Makuu yake, Ubungo Maji jijini dar es Salaam ambaye pia...

READ MORE

Mtendaji wa Kijiji Asimamishwa kwa Kukusanya Michango ya Zahanati Kinguvu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mtendaji wa...

READ MORE

Rais wa Afghanistan Akimbia Nchi, Wanamgambo wa Taliban Waingia Ikulu

RAIS wa Afghanistan, Ashraf Ghani ameikimbia nchi yake jana Jumapili, Agosti 15, 2021 jioni baada ya wanamgambo wa Taliban kuuzingira...

READ MORE

Radi Yajeruhi Wanafunzi 16 Geita – Video

Wanafunzi 16 wa shule ya Sekondari Rwezela iliyopo Kata ya Nzera mkoani Geita, wamenusurika kifo baada ya kujeruhiwa kwa kupigwa...

READ MORE

Rais Lungu Apigwa Chini Zambia, Upinzani Washinda

Mgombea wa chama cha upinzani UPND cha nchini Zambia, Hakainde Hichilema ameibuka mshindi wa urais kwa kupata kura milioni 2,810,757...

READ MORE

SADC Yaamua Rasmi Matumizi ya Lugha ya Kiswahili

Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC limepitisha rasmi bajeti kwa ajili ya kuhakikisha Kiswahili kinatumika...

READ MORE

Yanga Walivyokwea Pipa Kueleka Morocco -Video

 KIKOSI cha Yanga leo kimekwea pipa kueleka Morocco ambapo kituo cha kwanza itakuwa ni Dubai kisha wataunganisha safari kuelekea...

READ MORE

CRDB Marathon 2021 Yafanikiwa Kukusanya Nusu Bilioni Kusaidia Afya

Mbio za hisani za kimataifa zilizoandaliwa na Benki ya CRDB “CRDB Bank International Marathon” kwa mwaka 2021 zimefanikiwa kuandika rekodi...

READ MORE

Watanzania 207,391 Wapatiwa Chanjo ya Uviko-19

SERIKALI kupitia Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto imesema mpaka kufikia jana Agosti 14, jumla ya...

READ MORE

Nandy Afunguka “Sijaachana na Billnass” -Video

 Sexy lady kunako Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amefunguka ishu ya kuachana na mpenzi wake msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Waziri Ummy Amsimamisha Kazi Afisa Mtendaji wa Kijiji – Video

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mtendaji wa...

READ MORE

Justin Bieber Amshukuru Wizkid kwa Kumpa Kolabo

  Staa wa muziki Ulimwenguni @justinbieber amemshukuru @wizkidayo kwa kumpa nafasi ya kushirikiana nae kwenye wimbo wake wa #Essence Remix...

READ MORE

Madai Ya Diamond na Harmo Kutumia Dozi Kutanua Mwili

WASANII wengi, hasa wa Bongo Fleva wanaoshinda ‘gym’ kwa ajili ya kutafuta mbavu nene (six packs), wanadaiwa kutumia dozi maalum...

READ MORE