×

Habari

Shirika la Bima Zanzibar kutanua Huduma zake kupitia Shirika la Posta

  NA MWANDISHI WETU Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) limeingia makubaliano ya kiutendaji na Shirika la Posta nchini (TPC)...

READ MORE

Waandamanaji Afrika Kusini Wapora Chanjo za Covid

Mamlaka ya Usimamizi wa Maduka ya Madawa Afrika Kusini (SACP), imeelezwa kusikitishwa kwake na vitendo vya waandamanaji nchini Afrika Kusini,...

READ MORE

CEOrt Waandaa Kongamano la Fursa ya Kukuza Uchumi

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba akizungumza jijini Dar es Salaam kwenye kongamano la wajumbe wa CEOrt...

READ MORE

Rwanda Yatangaza Siku 10 za ‘Lockdown’

SERIKALI ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya...

READ MORE

Baba Ampa Mimba Mwanae wa Kumzaa, Alishampa Mwingine – Video

WASWAHILI wanasema ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni! Hebu vuta picha kichwani mwako, baba mzazi anafanya mapenzi kwa nguvu na...

READ MORE

Kirusi cha Corona Aina ya Delta Kinatajwa Kuwa ni Hatari

MKURUGENZI wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameonya kwamba ulimwengu uko katika “kipindi hatari” cha janga la...

READ MORE

Papa Francis Aruhusiwa Kutoka Hospitali

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Gemelli, Roma nchini Italia alikokuwa akitibiwa, zikiwa ni...

READ MORE

DPP Kuamua Hatma Hausiboi Aliyeua Familia Dar

JESHi la Polisi Mkoa wa Kinondoni limesema upelelezi kuhusu mauaji ya mama na watoto wake wawili wa kike umekamilika na...

READ MORE

Wateja Sabasaba Walivyovutiwa na simu Za TTCL

  SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata mafanikio makubwa katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 45 ya sabasaba 2021,...

READ MORE

NBC Yashikilia Tuzo ya Taasisi za Fedha

Dar es Salaam. Benki ya NBC nchini Tanzania, imeendelea kuwa kinara kwa mara ya nne mfululizo katika maonyesho ya Kimataifa...

READ MORE

Wanafunzi 11 Geita Wafukuzwa kwa Kubainika na Makosa ya Jinai

Kufuatia matukio matatu ya moto katika Shule ya Sekondari Geita ndani ya siku saba na kusababisha wanafunzi watatu kujeruhiwa, maabara...

READ MORE

Geita Sekondari Yaungua Moto Mara ya Tatu, Yafungwa

SERIKALI imelazimika kuifunga kwa muda wa siku 14 Shule ya Sekondari Geita iliyoko mkoani Geita kutokana na matukio ya kuungua...

READ MORE

Mwanajeshi JWTZ Ajiua Juu ya Kaburi la Mkewe

ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Reginald Ruta amekutwa amekufa huku mwili wake ukiwa juu ya kaburi la...

READ MORE

Mwanajeshi JWTZ Akamatwa Kwa Tuhuma za Mauaji

Jeshi la polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Askari wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) wa chuo Cha mafunzo ya Kijeshi...

READ MORE

Chadema Yamgomea Msajili wa Vyama vya Siasa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitotoa maelezo juu ya malalamiko yaliyopelekwa kwa msajili wa vyama vya siasa na...

READ MORE

Naibu Waziri wa Viwanda Azindua Kinywaji Cha Kiwingu

Dar es Salaam Jumatano 14 Julai 2021: Kampuni ya KILIMANJARO BIOCHEM LIMITED inazindua kinywaji kipya aina ya pombe kali ya...

READ MORE

Ghasia Afrika Kusini: Vifo Vyafikia 72

WATU wapatao 72 wameuawa na zaidi ya watu 800 wamekamatwa katika ghasia hizo zilizoanza kama maandamano alhamisi iliyopita kupinga kwenda...

READ MORE

Joshua Nassari Azindua Duka la Vodacom Wilaya Bunda

  Mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Joshua Nassari  amezindua duka la Vodacom wilayani humo mwishoni mwa wiki ambapo...

READ MORE

Tanzia: Gardiner Afiwa na Mama Yake

MTANGAZAJI maarufu nchini wa Traffic Jamz ya Clouds FM, Gardner G. Habash amefiwa na mama yake mzazi, Mama Habash.  ...

READ MORE

🔴#Live: Rais Samia Ashiriki Kongamano la Kumbukizi ya Hayati Mkapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ashiriki Katika Kongamano la Kumbukizi ya Rais wa Awamu...

READ MORE

Waziri Mkuu Akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Julai 13, 2021 kwa nyakati tofauti amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje...

READ MORE

Waganga wa Jadi Wajenga Madarasa

WAGANGA 87 wa tiba asilia wamefanikiwa kujenga vyumba viwili vya madarasa kwa kutumia fedha zao za uganga, katika Shule ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Atua Morocco Kwa Ziara Ya Kikazi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  Julai 12, 2021 amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi. Katika uwanja wa Mohammed V jijini...

READ MORE

Mtaka: Msiwasikilize Sababu ya Uwaziri, Wanakula Viyoyozi – Video

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Anthon Mtaka amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kumsikiliza yeye katika suala la elimu kwa...

READ MORE

Global Publishers Yapokea Tuzo Sabasaba 2021

Kampuni ya Global Publishers Ltd leo Julai 13, 2021 imepokea Tuzo ya Heshima kwa kudhamini maonesho ya Kimataifa ya Biashara...

READ MORE

Makamu wa Rais Zanzibar Afunga Maonyesho ya Sabasaba – Video

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdullah leo Julai 13, 2021, amefunga rasmi maonyesho ya Sabasaba...

READ MORE

Kampuni ya Mafuta Yazuiwa Kuchukua Pesa Kwenye Benki

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imezuia kwa muda Kampuni ya Alchemist Energy Trading DMCC ya Dubai...

READ MORE

Wagonjwa 50 wa Corona Wafariki kwa Moto

Zaidi ya watu 50 wamekufa baada ya moto kuzuka katika wodi ya wagonjwa wa Corona katika hospitali nchini Iraq. Moto katika...

READ MORE

Zanzibar Yaanza Kutoa Chanjo ya Corona

Wahudumu wa afya visiwani Zanzibar wameanza kupokea dozi ya kwanza ya chanjo ya covid-19. Serikali ya Zanzibar imethibitisha kuwa dozi...

READ MORE

Uporaji, Machafuko Yaendelea Afrika Kusini

Maandamano yenye ghasia yameendelea nchini Afrika Kusini usiku kucha na Jumatatu asubuhi juu ya kufungwa jela kwa rais wa zamani...

READ MORE

Mke wa Rais wa Ghana Kurejesha Mkwanja wa Marupurupu

MKE wa rais wa Ghana anataka kurejesha fedha za marupurupu anayopatiwa tangu rais aingie madarakani mwaka 2017, baada ya wananchi...

READ MORE

Ndege ya Uganda Yaishiwa Mafuta Dar

ABIRIA wanaokwenda Uganda kwa kutumia ndege ya Shirika la Uganda Airlines walichelewa kuondoka jana jioni katika uwanja wa ndege wa...

READ MORE

Amnyonga Mwanaye Kisa Fedha za Corona

Raia mmoja katika Wilaya ya Kalaki nchini Uganda (35), anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumnyonga hadi kufa...

READ MORE

Raia Alieutaka Urais Akamatwa kwa Mauaji ya Rais Haiti

Polisi nchini Haiti wanasema wamemkamata daktari ambaye wanaamini ni mshukiwa mkubwa katika kupanga mauaji ya wiki iliyopita ya Rais Jovenel...

READ MORE

Shinyanga Yakanusha Kuzidiwa na Wagonjwa wa Corona

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati, amekanusha uvumi uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa mkoa huo ume zidiwa...

READ MORE

Amwagiwa Tindikali na Mwanaume Aliyemkataa

KABLA ya mkasa huu mzito, mwanadada Pramodini Roul ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 28, alikuwa mmoja wa mabinti...

READ MORE

Maelfu Wamiminika Kumuona Ng’ombe Mfupi Zaidi Duniani

WATU wamekuwa wakifika kwa wingi katika shamba moja la mifugo huko Bangladesh kumuona kiumbe maarufu ng’ombe mbilikimo kwa jina Rani....

READ MORE

Tabora: Awachinja Watoto na Kuwazika Ndani, Aiba Ng’ombe

Kijana mmoja anatuhumiwa kuua Watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 12 ambao aliwarubuni na kuchukua ng’ombe walizokuwa wakichunga....

READ MORE

Boris Alaani Ubaguzi wa Rangi

WAZIRI Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amelaani ubaguzi wa rangi uliojitokeza katika mitandao ya kijamii dhidi ya wachezaji wa England...

READ MORE

Wizara Zakutana Kujadili Utekelezaji wa Kikokotoo cha Mirahaba Kwa wasanii

  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt .Faustine Ndugulile MB, pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...

READ MORE