×

Habari

Waziri Ajiuzulu kwa Kuvunja Masharti ya Corona

WAZIRI wa Afya wa Uingereza, Matt Hancock   Juni 28, amejiuzulu wadhifa wake  baada ya kuvunja Sheria ya kuweka umbali wa...

READ MORE

NMB Yazidi Kuwa Karibu na Wateja Wao

Benki ya NMB imeendelea kuwa karibu na wateja wake zaidi ya 700 wa mikoa ya Dodoma, Singida na Manyara kupitia...

READ MORE

Wazazi Wampeleka Kibu Yanga

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Mbeya City, Kibu Denis amekiri kuwa kuna uwezekano mkubwa wa yeye kumalizana na Yanga, kutokana na...

READ MORE

Kamati ya Bunge Ya Kudumu Viwanda, Biashara na Mazingira Yaagiza WMA na WRRM Kuboresha Utendaji Kazi

  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imeagiza Wakala wa Vipimo (WMA) na Bodi ya Usimamizi...

READ MORE

Chongolo Awataka Wabunge wa UWT Kusimamia Utolewaji wa Fedha

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewataka wabunge wanaotokana na Jumuiya ya wanawake Tanzania (UWT) kusimamia...

READ MORE

Rais Samia: Mazungumzo ya Bandari Bagamoyo Yanaendelea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema serikali imeanza mazungumzo ya kufufua mradi wa bandari ya...

READ MORE

TAMISEMI Yatangaza Ajira Mpya Kada ya Afya

Ofisi ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)  imetangaza orodha ya majina ya  ajira kwa kada...

READ MORE

Aliyemuua George Floyd Ahukumiwa Miaka 22 Jela

ALIYEKUWA  Polisi Minnesota Marekani Derek Chauvin jana Juni 25, amehukumiwa kifungo cha miaka 22 na nusu jela baada ya kukutwa...

READ MORE

Baraza la Taifa la Uratibu wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Kufanya Uchaguzi Julai

    Katika kuelekea kufanyika uchaguzi Mkuu wa BARAZA la Taifa la Uratibu wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO), unaotarajiwa...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Kurejeshewa Mil. 350

Mahakama Kuu imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...

READ MORE

Baraza la wazee Mkoa wa Dar Wambariki Katibu Wa CCM

BARAZA la Wazee la Mkoa wa Dar es Salaam, limembariki Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mkoa huo, Shaibu...

READ MORE

Ndugai: Hakuna Anayelidai Bunge

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la...

READ MORE

Katibu Mkuu UVCCM Apokelewa Makao Makuu Dodoma

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kenani Kihongosiamewataka Vijana kutumia mitandao ya kijami kwa kupata...

READ MORE

Rais Ataka Kuvunja Ndoa ya Miaka 32

BAADA ya kuondolewa kesi na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Rais zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo amewasilisha kesi...

READ MORE

Rais Samia:Nchi imekumbwa na Wimbi la Tatu la Corona

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema tayari nchi imekumbwa na wimbi la tatu la ugonjwa...

READ MORE

Mgunduzi wa Antivirus Afariki Gerezani

TAARIFA mbaya leo hii iliyochapishwa kwenye tovuti mbalimbali za habari za kimataifa ni kwamba, mgunduzi wa McAfee; ambayo ni antivirus...

READ MORE

Mbivu Na Mbichi Kuelekea Fainali Ya Euro 2020

Baada ya timu 24 kuoneshana uwezo kwenye hatua ya makundi, sasa ni timu 16 tu zitakazoendelea na mashindano ya Euro...

READ MORE

Tanzia :Padri Privatus Karugendo Afariki Dunia

PADRI Privatus Karugendo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Juni 25, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alikokuwa...

READ MORE

Watoto Waelimishwe Umuhimu wa Kulipa Kodi

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa ipo haja kwa watoto wadogo kuanza kuelimishwa juu ya umuhimu...

READ MORE

Semina Kwa Washiriki wa Maonesho Sabasaba Kufanyika Kesho Dar

SEMINA kwa Washiriki wa Maonesho ya 45 ya DITF, 2021 itafanyika kesho Juni 26, 2021 katika Jengo la JWTZ kwenye...

READ MORE

Gari La Mondi Msamiati Uleule

MTI wenye matunda ndiyo hupigwa mawe; ni msamiati ambao umekuwa ukijirudia kwenye maisha ya msanii Diamond au Mondi. Awali Mondi...

READ MORE

Tundu Lissu Arejea

ALIYEKUWA Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu amewasili nchini Kenya akitokea Ubelgiji anapoishi kwa sasa, ambapo anatarajiwa kuzindua...

READ MORE

Wasafirishaji Wamuanguakia Rais Samia Sheria ya Ubebaji Mizigo ya Zambia

WADAU wa usafirishaji katika bandari ya Dar es Salaam ukiwemo Uwakilishi wa Vyama vya usafirishaji na Chama cha Wakala wa...

READ MORE

DPP Awafutia Shtaka la Utakatishaji Fedha Wakurugenzi wa Bevco

Mkurugenzi wa mashtaka nchini (DPP) amewafutia shtaka la utakatishaji fedha  wakurugenzi wa kampuni ya kuagiza vinywaji vikali nchini, Bevco Limited...

READ MORE

RC Makalla: Wakazi Dar Chukueni Tahadhari ya Covid-19

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka wakazi wa mkoa huo kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa...

READ MORE

Helikopta ya Jeshi Kenya Yapata Ajali

WANAJESHI kadhaa wa Jeshi la Ulinzi Kenya (KDF) wanahofiwa kupoteza maisha baada ya helikopta ya kijeshi kupata ajali katika Milima...

READ MORE

Madai ya Aliyejifungua Watoto Kumi Sio ya Kweli

MAMLAKA ya mkoa wa Gauteng inasema kwamba wamefanya uchunguzi wa kina kubaini kwamba hakuna hospitali ya umma au ya kibinafsi...

READ MORE

Chikwende Anahitaji Muda Simba

KOCHA wa viungo wa Simba, Adel Zrane, amemkingia kifua kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mzimbabwe, Perfect Chikwende kwa kuweka wazi...

READ MORE

RC Makalla; Nmb ni Mkombozi wa Maisha ya Wafanyakazi Wastaafu

  WATUMISHI wa umma nchini, hususani walimu, wamekumbushwa umuhimu wa kukopa kwa malengo, sambamba na kuepuka mikopo kandamizi, huku wakielezwa...

READ MORE

Amuua Mkewe kwa Kumtupia Nyoka Cobra

MWANAMKE mmoja ambaye alilipa mahari kubwa ili aolewe, lakini matokeo yake akaambulia kifo kwa mwanaume aliyemuoa Kuna jamaa kwa jina...

READ MORE

Rais Samia Aondoka Nchini Msumbiji – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 23, 2021 amendoka nchini Msumbiji mara baada ya...

READ MORE

Wafanyakazi Watatu wa Letshego Wapandishwa Kisutu

Wafanyakazi watatu wa Taasisi ya fedha ya Letshego maarufu kama Faidika Limited, wamefikishwa katika Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na...

READ MORE

Donge Nono Kutolewa kwa Akatayetoa Taarifa za Wahalifu

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza donge nono la kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mtu...

READ MORE

Raia 14 Wa Kigeni Wahukumiwa Jela Kwa Kuishi Nchini Bila kufuata Sheria

Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imewahukumu raia kumi na wanne kutoka nchini Malawi kulipa faini ya shilingi milioni moja kwa...

READ MORE

Rais Samia Ahudhuria Mkutano Wa SADC Msumbiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali...

READ MORE

Cuba Yazindua Chanjo ya Corona

CUBA imesema kuwa dozi tatu za chanjo yake dhidi ya virusi vya corona kwa jina Abdala imethibitishwa kuwa na ufanisi...

READ MORE

Dickson Ambundo Anahesabu Siku Tu Yanga

ALLY Mohamed ambaye ni meneja wa winga wa Dodoma Jiji FC, Dickson Ambundo, amefunguka kuwa mteja wake huyo atakuwa mchezaji...

READ MORE

Rais Samia Ateua Wakuu wa Wilaya Wawili

RAIS Samia Suluhu, leo Juni 22, 2021 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya wawili kama ifuatavyo ⚫️ Kwa UPDATES zote,...

READ MORE

Simba Yanusa Ubigwa Ikiichapa Mbeya City 4-1

ZIMEBAKI alama tatu ndivyo walivyotoka uwanjani mashabiki wa Simba jana Juni 22. kwenye uwanja wa Mkapa baada ya kuipiga Mbeya...

READ MORE

Serikali Yaipongeza NMB Uzinduzi wa NMB Healthcare Club

  Benki ya NMB, imekuwa ya kwanza nchini kuzindua Klabu za Afya NMB Healthcare Club, mtandao unaowapa wadau wa Sekta...

READ MORE