×

Habari

Wananchi Buchosa Wafanya Ibada Kumuombea Magufuli

WAKATI taifa likiwa katika kipindi Cha maombolezo ya Hayati Dkt. John Magufuli, wananchi wa Jimbo la Buchosa wamekusanyika na kufanya...

READ MORE

Mwili wa Hayati Magufuli Wawasili Zanzibar Kuagwa – Video

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli umewasili visiwani Zanzibar kwa...

READ MORE

Zanzibar: Maelfu Wajitokeza, Kuagwa Kwa Hayati Rais Magufuli -Video

 Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli umewasili katika visiwa vya Zanzibar ambapo hii leo mwili huo...

READ MORE

Waziri Mkuu Awasili Zanzibar Kuagwa Mwili wa Magufuli – Video

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, tayari amewasili visiwani Zanzibar kwa ajili ya kushiriki kwenye zoezi la kuuaga mwili wa...

READ MORE

Rais Assoumani: Kifo cha Magufuli ni Pigo Kubwa kwa Comoro

Rais Azali Assoumani wa Comoro amesema kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli ni pigo kubwa kwa nchi...

READ MORE

Waziri wa Afya wa Ujerumani Kuchunguzwa Kashfa ya Barakoa

Waziri wa afya wa ujerumani Jens Spahn anaingia kwenye msururu wa wanasiasa wanaotajwa kuhusika na sakata la kunufaika na manunuzi...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Viongozi Kumuaga Rais Magufuli – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za Mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa...

READ MORE

Kauli ya Mwisho ya Magufuli kwa Rais Samia- Video

  “Samia usiwe na wasiwasi kuhusu afya yangu, nenda kaangalie miradi tuliyoahidi kuwahudumia wananchi peleka salamu zangu waambie ninawapenda,” amesema...

READ MORE

Mangula: Rais Samia Atakamilisha Kazi Zote Alizoanzisha JPM – Video

Makamu mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula amesema aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alitembea pamoja nchi nzima...

READ MORE

Kundi la Watu Lazua Taharuki Kariakoo – Video

Kikundi cha watu kimezua taharuki katika soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusababisha maduka mengi kufungwa huku wafanyabiashara...

READ MORE

Simanzi! Mama, Watoto 4 Wadaiwa Kufariki Wakiaga Mwili wa JPM

SIMANZI, huzuni na majonzi vimetawala nyumbani kwa familia ya Daudi Mtuwa iliyopoteza watu watano wanaodaiwa kufikwa na umauti katika shughuli...

READ MORE

Rais Mnangagwa: Msaada wa Magufuli Hautasahaulika Zimbabwe

Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amesema leo ni siku kubwa sana kwa Taifa la Tanzania, lakini pia ni siku kubwa...

READ MORE

Rais Samia: Nilipata Ugumu Kutangaza Kifo cha Magufuli – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema alipata wakati mgumu sana kutangaza kifo cha mtangulizi wake John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021...

READ MORE

Rais Tshisekedi: Magufuli Mtetezi wa Kiuchumi Afrika

Rais wa DRC Felix Tshisekedi na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amesema DRC na Umoja wa Afrika kwa pamoja wamesikitishwa...

READ MORE

Rais Samia Awageukia Wanaosema Hatoweza Kuongoza Nchi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa ataiongoza nchi vizuri na wale ambao...

READ MORE

Rais Nyusi Asimulia Atakavyomkumbuka Magufuli – Video

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji amesema Dkt John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania, atakumbukwa kwa jinsi alivyohamasisha upendo na uchapakazi...

READ MORE

Kenyatta: Magufuli Alikuwa Rafiki, Sina Shaka na Samia – Video

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amemweleza Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli...

READ MORE

Majaliwa: Siamini, Nahisi Kama JPM Ananipia Simu – Video

  WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika hali ya masikitiko na majonzi amesema haamini macho...

READ MORE

Mgombea wa Urais Afariki kwa Covid 19

Mgombea wa urais wa Upinzani nchini Congo – Brazaville amefariki dunia kwa ajili ya Covid 19Guy Brice Parfait Kolelas, mmoja...

READ MORE

Alichokifanya Magufuli ‘Kabla ya Kukata Roho’

ALIYEKUWA Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliongoza sala na madaktari pamoja na wahudumu wake hospitalini kabla ya...

READ MORE

Majaliwa: Familia Imetutaka Mwili Ulale Tarehe 26 – Video

  Serikali imetangaza mabadiliko ya utaratibu wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt....

READ MORE

Mambosasa Afunguka Kuhusu Waliojeruhiwa Wakimuaga Magufuli

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema baadhi ya wananchi walioshiriki shughuli ya kumuaga Rais...

READ MORE

Uganda Kuomboleza Siku 14 Kifo cha Magufuli

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema nchi yake inaungana na Watanzania kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Mwili wa Magufuli Wawasili Jamhuri Dodoma Kuagwa – Video

MWILI wa Hayati John Pombe Magufuli umewasili Dodoma ambapo leo Machi 22 unatarajiwa kuagwa na kitaifa jijini humo huku Marais...

READ MORE

Simanzi! Wabunge Wamuaga Rais Magufuli – Video

Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Hayati Rais Dkt. John Magufuli...

READ MORE

Mama Aliyesoma na Hayati JPM AAsimulia Mzito – Video

GLOBAL TV imefika wilayani Chato, mkoani Geita, ambapo ndipo alipozaliwa na kukulia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, kwa...

READ MORE

Magufuli Ameacha Simanzi Kila Kona, Wanafunzi Wamlilia – Video

HAKIKA ni simanzi kubwa imetawala nchini ambapo watu mbalimbali wameendelea kuomboleza na kumzungumzia vile walivyomfahamu Hayati Dkt John Magufuli..  

READ MORE

Swahiba wa Magufuli Chato Afunguka Usiyoyajua – Video

GLOBAL TV imefika wilayani Chato, mkoani Geita, ambapo ndipo alipozaliwa na kukulia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, kwa...

READ MORE

Mtoto wa Afande Sele Afunguka Baba Yake Kumtukana Mungu – Video

KUFUATIA kitendo cha Rapa nguli Bongo, Afande Sele kutoa maneno ya kumjelei Mwenyezi Mungu kufuatia kifo cha Rais Magufuli huku...

READ MORE

Malkia Elizabeth Amlilia Rais Magufuli

Ujumbe kutoka kwa Malkia Elizabeth wa Uingereza pamoja na familia yote ya kifalme imetuma salamu za rambirambi kwa Tanzania.  ...

READ MORE

Afande Sele Amwaga Machozi, Afunguka ‘Kumtukana Mungu’ – Video

BAADA ya Sauti ya Msanii Nguli Nchini, Afande Sele, ikisambaa kwa kasi ikiwa inasikika akimlaumu Mungu kufuatia kifo cha aliyekuwa...

READ MORE

Majonzi, Simanzi Vyatanda Chato

Ni majonzi, simanzi na huzuni ndiyo iliyotawala wilayani Chato mkoani Geita mahali ambapo Hayati Rais wa Jamuhuri ya Muungano anatokea...

READ MORE

Rais Tschisekedi Awasili Kumuaga Rais Magufuli

Rais wa Januhuri ya Kidemokrasi ya Congo Etienne Tschisekedi amewasili Jumapili usiku jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ajili...

READ MORE

Marais 11 Kuaga Mwili wa Rais Magufuli Dodoma – Video

MARAIS 11 kutoka nchi mbalimbali, wanatarajiwa kushiriki katika shughuli ya Kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli,...

READ MORE

RC Kunenge Awashukuru Wakazi wa Dar Kujitokeza Kumuaga JPM – Video

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, -Aboubakar Kunenge amewashukuru Wakazi wa mkoa huo kwa kujitokeza kwa wingi kutoa heshima...

READ MORE

Rais Ramaphosa Awasili Kumuaga Magufuli – Video

Marais pamoja na viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili jijini Dodoma, kuhudhuria shughuli ya Kitaifa ya kuaga mwili wa Dkt John Magufuli...

READ MORE

Kampeni Meneja wa Magufuli Chato Afunguka – Video

GLOBAL TV imefika wilayani Chato, mkoani Geita, ambapo ndipo alipozaliwa na kukulia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, kwa...

READ MORE