×

Habari

Rais Tshisekedi Awaonya Wakazi wa Goma

RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amesema hali sio nzuri lakini ipo katika udhibiti baada ya kulipuka...

READ MORE

Flaviana Matata Agawa Taulo za Kike Z’bar

  MWANAMITINDO na mfanyabiashara Flaviana Matata Mei 28 alifika visiwani Zanzibar ,  ikiwa ni siku ya hedhi duniani ametumia nafasi...

READ MORE

Chelsea Yaiduwaza Man City Yatwaa Uefa

MATAJIRI wa jiji la London Chelsea ya Uingereza imeshinda ubingwa wa michuano ya Klabu Bingwa Ulaya Uefa, baada ya kuifunga...

READ MORE

Naibu Waziri Katambi, DC Gondwe Washuhudia Uzinduzi wa NMB Jukwaa la Vijana

  Benki ya NMB imeanzisha utaratibu wa kipekee wa kuwasaidia vijana nchini kupitia jukwaa la huduma suluhishi za kibenki utakaowawezesha...

READ MORE

Rais Samia Ateua Ma-RAS Wapya, Amng’oa Erio NSSF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteuwa Makatibu Tawala wa Mikoa na wakuu wa taasisi kama...

READ MORE

Denti Aanguka, Afa Akijibu Swali La Hesabu

Binti mmoja wa miaka nane alianguka na kufariki aliposimama kujibu swali la hesabu katika shule ya msingi ya New View...

READ MORE

Mabeyo Ashiriki Kuagwa Jenerali Shoke Afrika Kusini

MKUU wa Majeshi nchini Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo  amehudhuria sherehe za kuagwa kwa mkuu majeshi wa Afrika ya Kusini,...

READ MORE

Simba Yatakata Lindi, Yazidi Kujikita Kileleni 3-1

COME back ya kibabe unaweza kuiita hivyo, baada ya timu ya Simba kuutoka nyuma kufungwa bao moja kufanikiwa kuibuka na...

READ MORE

Ohoooo! Padri Katoliki Aacha Gumzo

Padri wa Kanisa Katoliki ambaye ni raia wa Italia, Father Adolf Poll ameacha gumzo kubwa nchini Kenya. Padri huyo ameondoka...

READ MORE

Hatimaye Mapendekezo Mkoa wa Chato Yapitishwa

KIKAO maalumu cha ushauri cha Mkoa wa Geita, kimeridhia kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Chato na kupendekeza mkoa huo mpya...

READ MORE

Tanzia: Mke wa Clatous Chama Afariki Dunia

KIUNGO wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Zambia, Clatous Chama (29) amefiwa na mke wake Bi. Mercy...

READ MORE

Mama Aibiwa Mtoto Mapokezi

MTOTO David Mfambo mwenye umri wa siku saba ameibiwa katika hospitali ya wilaya ya Frelimo mkoani Iringa, baada ya Mama...

READ MORE

PROMOSHENI SUPA FRIDAY-SHINDA FRIDGE, TV DECORDER NA SAFARI YA MIKUMI.

Kampuni ya simu TECNO imezindua rasmi promosheni ya SUPA FRIDAY jana katika duka la TECNO Smart Hub lililopo Kariakoo. Uzinduzi...

READ MORE

Yacouba, Mukoko Waondoka Yanga

BAADA ya wachezaji wa Klabu ya Yanga kupewa mapumziko ya siku nne, mastaa wa timu hiyo akiwemo Yacouba Songne na...

READ MORE

Meya Aagiza Mil 3.2 za Kununua Bastola ya Mkurugenzi Zirudishwe

Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Milioni 3.2 zilizotengwa na Halmashauri ya Manispaa hiyo kwa ajili ya kununua...

READ MORE

Askari Afa Maji Akimkimbiza Mtuhumiwa

Askari Polisi, Isaya Kawogo amefariki dunia baada ya kuzama katika Ziwa Victoria wakati akimkimbiza mtuhumiwa wa ujambazi.   Hayo yameelezwa...

READ MORE

Dawa za Kulevya Shinyanga

Masunga Nindwa (36) mkazi wa Lunzewe mkoani Geita na Peter Matiko mkazi wa nyakato mkoani Mwanza wanashikiliwa na jeshi la...

READ MORE

RC Songwe Agawa Miche Ya Michikichi Kwa Wakulima

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Omary mgumba amewagawia wakulima wa wilya ya Mbozi na Momba mkoani Songwe pamoja na...

READ MORE

Abuni Lensi, Hadubini na Darubini Kwa Kutumia Maji

Mbunifu wa vifaa vya maabara anayeatamiwa na Kituo cha VETA cha Uatamizi wa Ubunifu na Ujasiriamali (VETA NICIE), Bellington Lyimo,...

READ MORE

CCM Yalaani Mbunge Catherine Magige Kuvamia Mazishi

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimechukizwa na kulaani kitendo kilichofanywa na baadhi ya viongozi wa umoja wa wanawake wa chama hicho...

READ MORE

Baraza la Madiwani Laukataa Mkoa Mpya wa Chato

Baraza Maalum la Madiwani Halmashauri ya Wilani Geita Mkoa wa Geita wamepinga wilaya mpya ya Busanda pamoja na hifadi ya...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa UN (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 28, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Msaidizi...

READ MORE

Kipindi cha DARASA Chatimiza Mwaka Mmoja – Video

KIPINDI cha Darasa kinachoruka kupitia @255GlobalRadio kimefanya hafla ya baada ya kutimiza mwaka mmoja leo Ijumaa, mei 28, 2021 tangu...

READ MORE

Waziri Ummy Awasimamisha Kazi Watumishi Wanne

WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi wiki...

READ MORE

Waliochanjwa Kenya Kuchanjwa Tena

WIZARA ya Afya ya Kenya imezishauri hospitali kuacha kutoa dozi ya kwanza ya chanjo ya AstraZeneca kwa ajili ya kujikinga...

READ MORE

Historia ya Kagame, Rais Aliyeitoa Rwanda Machinjioni! – Video

PAUL Kagame alizaliwa RWANDA, akakulia ukimbizini, akatembelea kucha, akaonja adha ya kuwa mkimbizi, akaapa kurudi kwao, na kweli akarudi kwa...

READ MORE

Watu Laki 4 Watoroka Mlipuko wa Volkano Congo

UMOJA wa Mataifa umesema kwamba zaidi ya watu 400,000 wametoroka Mji wa Goma nchini DR Congo kutokana na hofu ya...

READ MORE

Mgambo Matatani kwa Tuhuma za Mauwaji

JESHI la Polisi Mkoa wa Kigoma linawashikilia askari wanne wa Jeshi la Akiba la Mgambo, kwa tuhuma za kumpiga na...

READ MORE

Vitu Vipyaa! Kuuzwa kwa Mnada Bei Chee – Video

TAMBAZA AUCTION MART & GENERAL BROKERS LIMITED kwa idhini tuliyopewa tunawatangazia mnada wa hadhara utakaofanyika Jumamosi hii ya Mei 29,...

READ MORE

Fainali Ya Uefa League Wikiendi Hii

Meridianbet haijawahi kukuacha kinyonge. Baada ya Fainali ya Europa League iliyokuwa na Odds bomba. Sasa, unaweza kufurahia Wikiendi yako ukibashiri...

READ MORE

Fursa Kwa Wabunifu Afrika Mashariki

MFUKO wa kusaidia biashara ya ubunifu Afrika Mashariki wa HEVA (EACBF) umetoa fursa kwa wabunifu kuomba mkopo utakaowawezesha kuwavusha baada...

READ MORE

Majaliwa Awasimamisha Kazi Watendaji Wizara ya Fedha

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu, Mkaguzi Msaidizi pamoja na baadhi...

READ MORE

Rashford Ateta na Obama

MSHAMBULIAJI wa Manchester United na England Marcus Rashford, amezungumza na aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama kuhusu jinsi vijana wanaweza...

READ MORE

Babu Tale Atinga Kijiji Wanachotumia Mti Kupata Mawasiliano

   Wananchi wa kijiji cha Matuli wilaya Morogoro Vijijini, jimbo la Morogoro kusini mashariki wameipongeza kampuni ya simu ya simu...

READ MORE

Matapeli Wanaoghushi Nyaraka Kutongozea Wanawake Wanaswa

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia watuhumiwa watatu Dismond Zacharia (33) ambaye ni mwalimu, Feisal Hussein (27) Mpemba, mtaalamu...

READ MORE

RC Makalla Kutoa Usafiri kwa Ombaomba Wanaotaka Kurudi Makwao

Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam imesema ipo tayari kutoa usafiri kwa ombaomba wanaotaka kurudi kwao kwa...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na...

READ MORE

RC Makalla Aagiza Ombaomba Waondolewe Dar – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewaagiza wakuu wa wilaya pamoja na wakurugenzi wa halmashauri za Dar...

READ MORE

Majaliwa: Tutaendelea Kusimamia Bei Nzuri ya Mazao

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia...

READ MORE

Mbowe: Chadema Hatutashiriki Uchaguzi 2025 – Video

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema chama hicho hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao kama...

READ MORE