×

Habari

RC Makalla Aagiza Malipo Ya Fidia Mto Ng’ombe Yafanyike Jumatatu

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla Mei 26, 2021 ameelekeza ulipaji wa fidia ya wananchi Mto Ng’ombe...

READ MORE

IGP Sirro: Kinondoni Inaongoza kwa Uhalifu – Video

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amesema Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni unaongoza kwa Uhalifu hapa Nchini. Ametaja...

READ MORE

Pwani: Ajinyonga Kufuatia Tuhuma za Kuiba Tsh. 5,000

WATU wawili Pwani wamekufa katika matukio mkoani Pwani likiwemo la mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 14 aliyepoteza maisha...

READ MORE

Morogoro: Mbaroni kwa Kufukua Maiti na Kunyofoa Viungo

Watu watatu wanashikiliwa na Polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kufukua mwili wa Rehema Michel, aliyezikwa Jumapili na kutoa viungo...

READ MORE

Yanga: Tutapambana Mpaka Tone la Mwisho

BAADA ya timu yao kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Kombe la FA, Kocha wa Makipa wa Yanga,...

READ MORE

Zuma Akanusha Mashtaka Yote 18 ya Ufisadi

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekana mashtaka yote 18 ya ufisadi anayokabiliwa nayo katika mahakama ya Pietermaritzburg...

READ MORE

Tanzania, Kenya Wajadili Vikwazo Visivyo vya Kiforodha

TIMU ya wataalamu kutoka Tanzania imekutana na timu ya wataalamu kutoka Kenya Jijini Arusha kujadili njia za kuondoa vikwazo visivyo...

READ MORE

Warundi Wauza Alkasusu Kortini Kisutu

RAIA 29 wa Burundi wanaodaiwa kuuza kahawa aina ya alkasusu na kahawa ya kawaida, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Ridhiwani: Mzee Kikwete Yupo Salama

Mbunge wa Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekanusha taarifa za sintofahamu zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii zikimhusishia baba yake mzazi na...

READ MORE

Mwanamke Aamua ‘Kuolewa na Roho Mtakatifu’

Mwanamke mmoja kutoka kaunti ya Pokot Magharibi nchini Kenya amemtema mumewe kwa madai kwamba aliagizwa na Mungu kufunga ndoa na...

READ MORE

Mwanamke Aolewa na Wanaume Saba

Mwanamke mmoja ambaye ni Mganga wa Kienyeji nchini Nigeria ameweza kuolewa na wanaume saba tofauti, amesema wanaume wake hawawezi kumsaliti...

READ MORE

Supermoon: Mwezi Mkubwa Mwekundu Utaonekana Wapi?

MAPEMA tarehe 26 mwezi Mei utakuwa katika wakati maalum. Kupatwa kwa mwezi mwaka 2021 kunafanyika huku mwezi ukitarajiwa kuwa mkubwa...

READ MORE

Kwa Mara ya Kwanza Dkt. Bashiru Atema Nyongo Bungeni

DAKTARI Bashiru Ally, Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, jana tarehe 25 Mei 2021, amesimama bungeni kwa mara ya kwanza na...

READ MORE

Carol Ndosi: Tulitamani Rais Mwanamke, Sasa Tunasubiri Kuona – Video

MDAU wa Masuala ya Maendeleo na Usawa wa Kijinsia, Carol Ndosi amesaema ni hatua kubwa kwa Tanzania kama Taifa kuwa...

READ MORE

Kesi ya Zuma Kuanza Kusikilizwa Leo

KESI ya ufisadi dhidi ya Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma inatarajiwa kuanza leo, baada ya kuahirishwa mara...

READ MORE

Vodacom Yajiandaa na Siku ya Mazingira Duniani

  Katika kuelekea maandalizi ya siku ya kimataifa ya mazingira duniani, Mkurugenzi wa Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia...

READ MORE

Mbunge Ataka Kupanda Juu ya Meza Bungeni

MBUNGE wa Viti Maalum (CCM),  Jacqueline Msongozi ameomba kupanda juu ya meza akiwa kwenye ukumbi wa Bunge ili kuieleza dunia kuwa...

READ MORE

Wafanyakazi Wakata Keki Maadhimisho Siku ya UBA Afrika 2021

Mwenyekiti UBA Group na Mwanzilishi wa Taasisi ya Tony Elumelu Foundation, Tony Elumelu aliwaongoza viongozi wengine wa kimataifa wa Afrika...

READ MORE

Mtandao Wa Elimu Tanzania Kuadhimisha Juma La Elimu Wilayani Rorya

  MTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET) umetangaza kufanya maadhimisho ya Juma la Elimu (Global Action Week for Education-GAWE) kwa mwaka 2021...

READ MORE

Mikopo ya NMB Masta Boda Yatua Rasmi Kanda ya Kaskazini

  Kutokana na changamoto ya madereva boda boda na pikipiki aina ya miguu mitatu kutomiliki vyombo vyao vya kazi, Benki...

READ MORE

Majambazi Wanaswa Dar, Kamanda Wambura Atoa Kauli – Video

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Camilius Wambura, amesema jeshi hilo limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa kadhaa wa matukio...

READ MORE

Kaseke Aibeba Yanga, Yatinga Nusu Fainali ASFC

TIMU ya Yanga imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la shirikisho (ASFC) baada ya leo kuilaza...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Mwana wa Kifalme Ikulu Dar

Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 25, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia...

READ MORE

Mhudumu wa Mochwari: Watu Wanataka Maji ya Maiti – Video

MHUDUMU wa chumba cha kuhifadhia maiti ‘Mochwari’ Francis Mtebezi Kutoka Hosptali ya Rufaa ya Mount Meru Mkoani Arusha amezungumza na...

READ MORE

Wakulima 4, Mfanyabiashara Wadakwa na Meno ya Tembo

Mfanyabiashara Caft Kileo na Wakulima Wanne, Godfrey Samuel, Richard Andrea, Moses Paul na Benjamin Richard wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Video: Mfanyakazi Wa Mochwari Afunguka – “Watu Wanataka Maji Ya Maiti”

MFANYAKAZI wa nyumba ya Kuhifadhia Marehemu Katika Hosptali Ya Mount Meru iliyopo Mkoani Arusha ameleza changamoto aliyoipitia wakati wa wimbi...

READ MORE

Mwili wa Mugabe Kufukuliwa

Kiongozi wa kitamaduni nchini Zimbabwe ameaamuru kwamba mabaki ya rais wa zamani wa nchi hiyo Robert Mugabe yafukuliwe na kuzikwa...

READ MORE

Bunge la Uganda Lapata Spika Mpya

JACOB Oulanyah, Mbunge wa Kaunti ya Omoro Kaskazini mwa Uganda, ameteuliwa kuwa Spika wa Bunge la 11. Alishinda uchaguzi kwa...

READ MORE

Bodi ya Mikopo Kufuta Tozo kwa Wanufaika

SERIKALI imesema kuwa kuanzia Julai mosi mwaka huu Bodi ya Mikopo (HESLB), itafuta tozo ya asilimia 6 ya kulinda thamani...

READ MORE

Mali: Rais, Waziri Mkuu Washikiliwa na Jeshi

Maafisa wa kijeshi wa Mali waliokasirishwa na mabadiliko ya baraza la mawaziri wanamshikilia Rais na Waziri Mkuu katika kambi ya...

READ MORE

Waziri Ummy: Walimu Wanaojitolea Kuna Barua Feki

Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema yapo malalamiko kuwa baadhi ya Walimu wanaojitolea wanawasilisha barua feki zinazosema wanafanya hivyo wakati...

READ MORE

Wafukua Kaburi na Kuondoka na Viungo vya Marehemu

Watu wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina la Rehema Michel aliyefariki kwa ajali ya gari, tarehe 23/05/2021, na...

READ MORE

Goma Yakabiliwa na Uhaba wa Chakula Baada ya Volkano

UHABA mkubwa wa vyakula umeanza kushuhudiwa katika mji wa Goma, Jamuhuri ya kidemokarsi ya Congo wakati ambapo idadi kubwa ya...

READ MORE

NMB Yaendesha Semina ya Walimu Kuwapa Elimu ya Fedha

  Walimu wametakiwa kujiendeleza kwa kukopa mikopo nafuu, yenye tija na kuwawezesha kutatua  changamoto zinazowakabili ili kuweza kunufaika na kufurahia...

READ MORE

Mganga Aliyejigamba Anazuia Sumu Afariki kwa Kunywa Sumu

Mganga wa kienyeji aliyefahamika kwa jina la Robert Masumbuko (47) mkazi wa Kibirizi Kigoma aliyefariki kwa kunywa sumu wakati akijaribu...

READ MORE

Operesheni Komesha Uhalifu Kutikisa Nchi Nzima

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza Operesheni Maalumu lengo ni kukomesha uhalifu ambao umeanza kurejea taratibu baada ya...

READ MORE

RC Makalla Akutana na Wazee wa CCM Mkoa wa Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo May 24 ameanza rasrmi majukumu yake kwa kukutana na...

READ MORE

RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila amewaomba wakuu wa idara na watendaji wa Serikali mkoani humo kumuazima busara akidai...

READ MORE

Fred Vunjabei Ateuliwa Mwenyekiti Kamati ya Fedha UVCCM Taifa

Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa Mwenyekiti...

READ MORE

Chongolo Akutana na Mzee Msekwa

KATIBU Mkuu Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kuzungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mzee Pius Msekwa katika Ofisi Ndogo...

READ MORE