×

Habari

Byabato Awaomba Radhi Watanzania

  Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato, amewaomba radhi Watanzanbia kufuatia tatizo la upatikanaji wa huduma ya LUKU lililojitokeza kwa...

READ MORE

Rais Samia Awaapisha Wakuu wa Mikoa, Taasisi -(Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha wakuu wa mikoa na wakuu wa taasisi leo Mei...

READ MORE

Kigogo wa Tehama Tanesco Yamkuta

WAZIRI wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amemsimamisha kazi kwa siku kumi Meneja wa Tehama na huduma za biashara wa Shirika...

READ MORE

Makamu wa Rais Akemea Viongozi Walevi na Wazinzi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema ili kiongozi awe mzuri ni lazima awe...

READ MORE

Ndugai: Kuna Ma-RC Wanajifanya Marais, TAKUKURU Mnaonea Watu

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Job Ndugai amesema wapo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ambao wamekuwa...

READ MORE

Rais Samia Awabadilisha Kafulila na Mongella – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amembadilisha John Mongella kutoka kuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu...

READ MORE

Watu 27 Wafariki kwa Kimbunga Tauktae

WATU wapatao 27 wamekufa kutokana na kimbunga kikali kilichoikumba sehemu ya magharibi ya India huku  watu wengine 100 hawajulikani walipo...

READ MORE

Bill Gates Aondoka Microsoft Huku Akituhumiwa Kuchepuka

KAMPUNI ya Microsoft ilikuwa inamchunguza mwanzilishi mwenza wake, bilionea Bill Gates juu ya madai ya madai ya kuwa na uhusiano...

READ MORE

Mnyika: Bawacha Haijaundwa Kupeleka Wabunge wa Viti Maalum

Katibu mkuu wa Chadema, John Mnyika amelitaka Baraza la Wanawake la chama hicho (Bawacha) kudai katiba mpya na tume huru...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Kimataifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Mei 18, 2021 ameshiriki mkutano wa kujadili namna ya kuokoa...

READ MORE

Hatimaye Babu Tale Afungukia Kuoa

MBUNBGE wa Jimbo la Morogoro Kusini ambaye pia ni Meneja wa msanii Daimond Platinum, Babu Tale ameibuka na kukanusha kuoa...

READ MORE

Kesi ya Gugai Na Mwenzake Yakwama, Ni Baada ya Wakili Kuteuliwa kuwa Jaji

Kesi ya utakatishaji fedha na kumiliki mali zilizozidi kipato inayomkabili aliyekuwa mhasibu mkuu wa Takukuru, Godfrey Gugai na wenzake wawili...

READ MORE

Tanzania Mbioni Kuanza Kutumia Mtandao wa 5G

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabir Kuwe amesema kuwa Tanzania inaelekea kutumia huduma ya 5G.  ...

READ MORE

Rais Samia: Kuna Mambo Yanashangaza – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kufanyika zoezi la usajili laini za simu...

READ MORE

IGP Sirro: Hali ya Usalama ni Shwari, Makusanyo Yamepungua

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro amesema hali ya usalama nchini ni shwari, na hakuna matukio ya kutisha....

READ MORE

Simba: Tutapindua Meza Kwa Mkapa

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba, Didier Gomes amesema kuwa bado ana imani kubwa kuwa kikosi chake kinaweza kupindua meza,...

READ MORE

Taharuki! Familia Yakuta Jeneza Mlangoni

Familia katika kijiji cha Ebunyang’anyi kata ya Bunyala, Kakamega nchini Kenya imepatwa na mshtuko baada ya kuamka na kupata jeneza...

READ MORE

Serikali Kutunga Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Faustine Ndugulile amesema kuwa Wizara yake iko mbioni kupeleka Bungeni muswada utakaowezesha...

READ MORE

Rais Samia: Sheria ya PF3 Itazamwe Upya, Watu Wanakufa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitaka jeshi la polisi kuangalia upya kipengele cha PF.3 kwa...

READ MORE

Rais Samia: Makosa Sio Kitega Uchumi cha Polisi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitaka jeshi la polisi kujielekeza zaidi kutoa elimu badala ya...

READ MORE

Haya Ndio mambo 19 Yaliyopendekezwa na Kamati ya Corona -Video

Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa corona (Covid-19) nchini imekamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Mabadiliko Polisi: Mambosasa Apelekwa Dodoma, Wambura Dar

SACP Lazaro Mambosasa ametakiwa kuhama kutoka kuwa Mkuu wa Polisi kanda Maalum Dar, na kwenda kuwa Mkuu wa Oparesheni UPEL...

READ MORE

Mafunzo ya Ujasiriamali Buchosa Yazidi Kuwapa Nguvu Mpya Wananchi

ZAIDI ya wakazi 200 kutoka kata ya Kalebezo wamehudhuria mafunzo ya ujasiriamali yanayotolewa bure na Mbunge wa Jimbo la Buchosa,...

READ MORE

BOLT: SULUHISHO JIPYA LA UKOSEFU WA AJIRA 

KAZI yoyote, iwe ni ajira rasmi au kujihusisha na shughuli za uzalishaji kama vile kilimo na ujasiriamali ni msingi muhimu...

READ MORE

NMB Miliki Chombo Yatinga Kanda ya Ziwa!

Benki ya NMB imezindua huduma ya Mikopo ya pikipiki za miguu miwili na miguu mitatu kwa wakazi wa Kanda ya...

READ MORE

Kiboko Avunja Watu Miguu, Wananchi Wamgawana Nyama – Video

Hali ya Taharuki imewakumba wananchi wa Vijiji vya Embaseni na Maji ya chai wilayani Arumeru Mkoani Hapa ,kufuatia mnyama aina...

READ MORE

Mahakama ya Zimbabwe Yabatilisha Uamuzi wa Rais Mnangagwa

Mahakama Kuu nchini Zimbabwe, jana ilitangaza kuwa, uamuzi wa Rais Emmerson Mnangagwa kumuongezea muda Jaji Mkuu wa nchi hiyo ni...

READ MORE

Breaking: Idris na Wenzake Waachiwa Huru

MSANII wa Vichekesho, Idris Sultani na mwenzake wameachiwa huru baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuleta shahidi zaidi ya mara...

READ MORE

Sakata la Manabii Kufufua Wafu, Naibu Spika Awaka – Video

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, amewataka wabunge kujitahidi kuacha kutoa mijadala inayohusu...

READ MORE

Serikali Yamjibu Anayetaka Manabii Waanze Kufufua – Video

Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi imesema kuwa ipo tayari kukutana na manabii wanaodai kuweza kufufua wafu ili iweze...

READ MORE

🔴#LIVE: Rais Samia Awaapisha Majaji Wapya

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu, leo Jumatatu, katika Ukumbi wa...

READ MORE

Waziri Mwambe Atoa Siku 14 Kwa Wawekezaji Kupeleka Kero Zao

Waziri wa Uwekezaji Mhe.Geofrey Mwambe ametoa siku 14 kwa wawekezaji nchini ambao shughuli zao za uwekezaji zimesimama au zimekwamishwa kwa...

READ MORE

Kamati ya Corona Yapendekeza Chanjo Itumike kwa Hiari – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya...

READ MORE

Rais Samia Kupokea Taarifa ya Tathmini ya Ugonjwa wa Covid- 19

KAMATI Maalum iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Mei, 2021 itawasilisha...

READ MORE

IGP Sirro Amvalisha Cheo cha Ukamishna, Salum Hamduni

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amemtaka kamishna Salum Hamdun kutimiza wajibu wake kwa mujibu wa kiapo...

READ MORE

Familia Yataka Kujua Alipo Ndugu Yao Aliyepotea kwa Siku 48

FAMILIA ya kijana Dennis Richard Katambwa (31) mkazi wa Bushushu wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga imeiomba Serikali kuingilia kati ili...

READ MORE

Rais Samia Awasili Dsm Akitokea Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

READ MORE

Zitto Apongeza Ushindi wa CCM Muhambwe

KIONGOZI wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameipongeza CCM kwa ushindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe.  ...

READ MORE

Queen Sendiga Atoa Kauli Walimvunjia Kioo cha Gari

MKUU wa Mkoa wa Iringa mteule Queen Sendiga, amesema kuwa yeye hawezi kuyabeba mambo yaliyotokea wakati wa kampeni na kuwa...

READ MORE