×

Habari

Waziri Aweso Amsimamisha Bosi wa Maji

WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso leo Aprili 18, amewasimamisha kazi kupisha uchunguzi, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...

READ MORE

Wabunge Wamtibua Rais Samia – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wabunge kuwa na mijadala inayojikita katika kupitisha bajeti za...

READ MORE

Rc Kunenge: Barabara Makongo Ikamilike Kabla ya Octoba

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge, leo Aprili 18, amefanya ziara ya kukagua miradi minne ya maendeleo...

READ MORE

Vijana 854 Waliogoma Jeshini Watimuliwa

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, ameeleza kusikitishwa kwake na vijana 854 wa Jeshi la Kujenga Taifa...

READ MORE

MI CASA X YouNotUs Ndani ya “CHUCKS”

  KUNDI mahiri la muziki kutoka nchini Afrika Kusini, Mi Casa kwa kushirikiana na Kundi la YouNotUs kutoka Berlin nchini...

READ MORE

Global Yagawa Nailoni Kwa Wauzaji wa Magazeti Dar

MAOFISA usambazaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd ambao ni wachapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Championi, Amani, Risasi na Ijumaa...

READ MORE

Takukuru Yamwachia Kakoko kwa Dhamana

Mkurugenzi wa Takukuru, Brigedia Jenerali, John Mbungo amesema, imemwachia kwa dhamana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Bandari, Deusdedit Kakoko, baada ya kumaliza...

READ MORE

Wasomaji wa Championi Warudishiwa Marambili Fedha Waliyonunulia Gazeti

IKIWA sasa ni msimu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo waislam wako katika mfungo, timu ya masoko ya Kampuni ya...

READ MORE

Cuba Kutokuwa na Kiongozi Anayeitwa Castro

Baada ya miaka 62, Taifa la Cuba litaamka Jumatatu bila kuwa na Kiongozi wa Nchi anayeitwa Castro. Raúl Castro anatarajiwa...

READ MORE

Mdee Acharuka: Serikali Ilipe Deni

Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, ameitaka Serikali kulipa deni inalodaiwa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii ili Wastaafu walipwe...

READ MORE

Wanawake Washauriwa Kutoshika Ujauzito

SERIKALI ya Brazil imetoa wito wanawake nchini humo kuacha kupata ujauzito angalau hadi baada ya kushuka kwa viwango vya maambukizo...

READ MORE

Watu Nane Wakamatwa kwa Kutofunga Mwezi Mtukufu

  WATU nane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria  kwa madai ya kukataa kufunga...

READ MORE

Othman: Nitashirikiana na Rais Mwinyi Masheikh wa Uamsho Watendewe Haki

MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema yupo tayari kushirikiana na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi...

READ MORE

Umoja wa Mataifa Wamkumbuka Magufuli kwa Aiyoifanyia Tanzania

Baadhi ya viongozi katika kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa (UN) uliofanyika jana Ijumaa Aprili...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya, Majina Haya Hapa

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wasaidizi wake kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo wa uchumi, siasa, sheria na...

READ MORE

Mkurugenzi Aanguka Baada ya Chanjo ya AstraZeneca Kusitishwa

KIONGOZI wa juu wa Shirika la Dawa nchini Denmark ameanguka na kupoteza fahamu wakati Serikali ikitangaza kusitisha kuwapa wananchi wake...

READ MORE

Wakamatwa kwa Kula Wakati wa Mfungo wa Ramadhani

WATU wanane wamekamatwa na polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini mwa Nigeria Kano kwa madai ya kukataa kufunga Mwezi...

READ MORE

Kampuni Lesotho Yaruhusiwa Kuuza Bidhaa za Bangi Ulaya

Kampuni yenye makao yake nchini Lesotho imeruhusiwa kukuuza mazao ya bangi kwa ajili ya matumizi ya dawa kwa Muungano wa...

READ MORE

Mrundi Apewa Tuzo kwa Kutengeneza Pombe Bora ya Mwaka

Raia wa Burundi aamejipatia medali ya dhahabu baada ya kushinda tuzo la mtu aliyetengezeza pombe bora na tamu zaidi ya...

READ MORE

Dkt. Abbasi: Ilikuwa Miaka Mitano ya Kutokulala Kuisemea Serikali

Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, leo amekabidhi kijiti hicho kwa Ndugu Grayson Msigwa aliyeteuliwa hivi karibuni na...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 16, 2021 amekutana na Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Dkt. Hosea Ashinda Urais wa TLS

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dk. Edward Hosea ametangazwa mshindi wa kiti cha...

READ MORE

Majaliwa Asisitiza: Dodoma ni Makao Makuu – Video

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewatoa hofu Watanzania waliofikiri mkakati wa Dodoma kuwa Makao...

READ MORE

Serikali Yaagiza Televisheni Kufungwa Mahospitalini

Serikali imewaagiza Waganga Wakuu wote nchini kuweka Televisheni na vipeperushi katika vituo vya kutolea huduma za afya hususani majengo yanayowahuduma...

READ MORE

Ruto Ajitetea Kupata Chanjo ya Sputnik-V Badala ya AstraZeneca

Naibu Rais wa Kenya, William Ruto, ametetea uamuzi wake wa kutumia chanjo ya Sputnik-V badala ya AstraZeneca kama serikali yao...

READ MORE

Dkt. Abbas Akabidhi Ofisi kwa Msigwa – Video

Aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi leo Aprili 16, 2021 amekabidhi ofisi ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari...

READ MORE

Tabasamu: Hamtaki Kuajiri Walimu, Futeni Mtaala wa Ualimu

Mbunge wa Jimbo la Sengerema (CCM), Hamis Hussein Tabasamu, amesema licha ya uwepo wa upungufu wa walimu na waliosomea kuwepo...

READ MORE

Watumishi 90,000 Kupandishwa Madaraja

Serikali inatarajia kupandisha madaraja watumishi wa Umma 90,000 nchi nzima lengo likiwa ni kutimiza takwa la kisheria linalotaka watumishi waliokidhi...

READ MORE

Hawa Ndio Watu 30 tu Watakaomzika Prince Philip

  WATU 30 pekee ndiyo watakaoshiriki mazishi ya aliyekuwa mume wa malkia Elizabeth II wa Uingereza, Mwanamfalme Philip.    ...

READ MORE

Lugangila Alia na Ofisi ya Waziri Mkuu “Tuambieni Mtafanya Nini?”

MBUNGE wa Viti Maalumu (CCM) kupitia Kundi la Asasi za Kiraia nchini (NGOs) Mhe. Neema Lugangira ameiomba Serikali iikaribishe Sekta...

READ MORE

Marekani Yaiahidi Neema Tanzania

MAREKANI imeahidi kushirikiana na Tanzania kukuza mitaji na kuvutia uwekezaji kutoka nchini humo ili kuchochea zaidi uchumi na huduma za...

READ MORE

Upanuzi Anglo Gold Ashanti Kuimarisha Mahusiano Uchimbaji Nchini

Kwa kuzingatia mpango wa kuongeza mchango endelevu katika uchumi wa jamii inayozunguka mgodi, Kampuni ya Anglogold Ashanti imeingia ubia na...

READ MORE

Mwanafunzi Form IV Afariki kwa Kupigwa na Radi

Mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari Kabugalo iliyopo Bukoba mkoani Kagera Gisera Oswardi (18) amefariki dunia kwa...

READ MORE

Fahamau Alichokifanya Mkaguzi Mkuu wa Migodi GGML

  Geita Gold Mining Limited (GGML) imepokea ruhusa ya mpango wa uchimbaji madini wa mwaka 2021 unaohusisha uchimbaji wa wazi...

READ MORE

Gwajima Aliamsha: Nape Umenidukua, Tunahitaji Ajenda ya Taifa – Video

Mbunge wa Kawe (CCM), Josephat Gwajima ametaka Tanzania kuweka tafsiri ya maendeleo ambayo kila rais atakayeingia madarakani atatakiwa kuitekeleza jambo...

READ MORE

Nape Acharuka: Mwacheni Mama Aandike Kitabu Chake Mwenyewe – Video

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha...

READ MORE

Mawaziri Waweka Mambo Sawa Maagizo ya Rais Samia Kuhusu Online TV

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wamefanya kikao...

READ MORE

Visima Hivi Kupunguza Shida ya Maji Buchosa

KAZI ya uchimbaji wa visima inaendelea katika Vijiji vya Jimbo la Buchosa ili kutimiza ahadi ya Mbunge wa Jimbo hilo,...

READ MORE

Utafiti Kwa Wateja Kujua Wanachokipenda, Fungua Hapa

Our company is conducting a customer survey for the purpose of understanding our customers needs and improve our service to...

READ MORE