NDEGE ya Boeing ililazimika kudondosha mabaki ya injini yake katika eneo la makazi mjini Denver, Marekani, baada ya injini...
READ MOREKAMPUNI ya kubashiri matokeo ya Meridian Bet imepanua wigo katika kusaidia jamii na jana imesaidia kufanikisha mafunzo ya lishe...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amepiga marufuku kufanyika kwa shughuli za mazishi kwa kutumia magari ya matangazo ya...
READ MOREWAJUMBE wa Bunge la juu la Ufaransa (Seneti) limeipongeza Tanzania kwa kuwa kinara wa masuala ya utulivu,amani,ulinzi na usalama katika...
READ MORESHIRIKA la ndege la United Airlines la Marekani limesema linasitisha safari za ndege zake 24 aina ya Boeing 777 baada...
READ MOREWATU sita wa kundi la Oath Keepers nchini Marekani wamefunguliwa mashtaka kwa kupanga uvamizi kwenye jengo la Bunge la nchi...
READ MOREWAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, amekabidhi magari mawili kwa ajili ya matumizi ya Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi yatakayowezesha askari...
READ MOREMKUU wa wilaya ya Ulanga Mhe. Ngollo Malenya amepokea ujumbe kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania TADB uliongozwa na...
READ MOREMAOFISA 27 wa Ikulu ya Sudan Kusini wamethibitika kuambukizwa #CoronaVirus ambapo wamelazimika kuwekwa karantini. Msemaji wa Ikulu, Ateny Wek...
READ MOREMahakma nchini Urusi imetoa uamuzi wa kesi ya pili iliyokuwa ikimkabili kiongozi wa upinzani Alexei Navalny. Navalny, alipatikana na...
READ MOREWANAFUNZI 180 katika shule ya sekondari ya wasichana Sangiti iliopo kata ya Kirima Kibosho wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamenusurika...
READ MOREMKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema shirika lake halijapokea taarifa kutoka #Tanzania kuhusu...
READ MOREALIYEWAHI kuwa Gavana Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu,...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge, jana Februari 21, amesema kuwa stendi kuu ya mabasi ya mikoani...
READ MOREBenki ya NMB imetoa vifaa mbalimbali katika sekta ya elimu na Afya kwenye Wilaya za Mpwapwa mkoani Dodoma, Manyoni na...
READ MOREMarubani wawili wamefariki kutokana na ajali ya ndege ya kijeshi katika jimbo la Alabama huko Marekani. Jeshi la Anga...
READ MORERais John Magufuli amesema Serikali haijazuia matumizi ya barakoa na amewataka wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya COVID19 kama wanavyoshauri wataalamu...
READ MORENAIBU waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde amemsimamisha kazi mkuu wa shule ya sekondari ya Naliendele Halidi Mchanga...
READ MORERais Dk John Magufuli amewataka watanzania kutokuwa na hofu na ugonjwa wa corona na badala yake wanatakiwa kumtanguliza Mungu mbele...
READ MOREMAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema ifikapo Julai mosi, laini zote zitakazotolewa zitakuwa na neno la siri ambalo mteja atatakiwa...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli, amewataka watanzania kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Korona kama zinaelekezwa na...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 21, 2021 ameshiriki katika Ibada ya Dominika...
READ MOREWakati wimbi jipya la maambukizi ya virusi vya Corona yakizidi kuwa tishio duniani kote, utafiti wa Kisayansi umeendelea kuonesha kwamba...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze amefunguka kuwa licha ya kupata matokeo ya sare katika mechi mbili mfululizo lakini...
READ MOREWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea na maombi ya...
READ MOREJeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Fredius Philibart Kibengo mkazi wa Omurushaka wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua mama...
READ MOREALIYEKUWA kuwa mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata, ameandika kuwa alidhani yeye ni jasiri, baada ya kumpoteza mume wake Dkt.Servacius...
READ MOREUONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa mshambuliaji wao Mrundi, Fiston Abdoul Razack leo atakuwepo...
READ MORE Wakazi wa vitongoji vya Muheza na Mitamba vilivyopo Mtaa wa Lumumba Kata ya Pangani Kibaha mkoani Pwani wametoa wameelezea...
READ MORESerikali imeweka wazi chanzo cha kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, na kusema kuwa amefariki kutokana...
READ MOREMUME wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM, Vicky Kamata, Dk. Servacius Likwelile amefariki dunia leo,...
READ MOREMahakama ya Mwanzo ya Buguruni imemhukumu kifungo cha nje cha miezi minne mkazi wa Tabata Segerea, Baraka Athuman (33)...
READ MOREWANAFUNZI wa shule ya wasichana ya Moi nchini Kenya, watalazimika kubaki nyumbani kwa muda usiojulikana baada ya shule hiyo kufungwa...
READ MOREGLOBAL Publishers tumekuandalia makala ya maisha na enzi ya Hayati Maalim Seif Sharif toka alipozaliwa, maisha ya kisiasa mpaka alipokutwa...
READ MOREBenki ya NMB imekabidhi mabati 200 na vifaa vingine vya ujenzi kwa ajili ya ukarabati wa vyumba vya madarasa...
READ MORETAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kagera imewafikisha mahakamani watumishi wanne wa kampuni ya uchimbaji madini ya...
READ MOREShirika la Marekani la Utafiti wa Anga (NASA) limefanikiwa kukifikisha chombo chake katika Sayari ya Mirihi (Mars) na kimefanikiwa kutuma...
READ MOREProf. Vincent Kihiyo, Makamu Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) aliyefariki dunia Februari 18 atazikwa kesho, Februari...
READ MORERais wa Tanzania, John Magufuli amesema baada ya kufanya mazungumzo na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim...
READ MOREIKIWA ni wiki moja baada ya kuzinduliwa kwa Chemshabongo na Gazeti la Ijumaa ambap msomaji wa gazeti hilo hujibu maswali...
READ MORE