×

Habari

Rais Samia Akutana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China...

READ MORE

Spika Ndugai Awaita Mawaziri, Wabunge Dodoma

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka mawaziri, manaibu wao na wabunge wote wawepo bungeni kesho Alhamisi Aprili 22,...

READ MORE

Balozi Mulamula Akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sauzi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akutana na kufanya mazungumzo na Waziri...

READ MORE

Shaka Ssali Astaafu, Kuagwa Rasmi Voice of America

Mtangazaji mkongwe wa Kipindi cha Straight Talk Africa kinachorushwa na Kituo cha Runinga na Redio cha Voice of America cha...

READ MORE

Prof Jay Afunguka Ishu ya Harmonize, Rayvanny – Video

  MKONGWE wa Muziki nchini, Professor Jay, leo Aprili amepiga stori kwenye kipindi cha Bongo 255 cha 255 Global Radio...

READ MORE

Ndugai Awataka Wabunge Kurejea Dodoma-Video

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai, amewataka mawaziri, wabunge wote waliopo nje ya Jiji la...

READ MORE

Akaunti za benki za THRDC Zafunguliwa

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema akaunti za benki za mtandao zilizofungwa kwa takribani miezi minane...

READ MORE

Marekani: Chauvin Akutwa na Hatia ya Kumuua Floyd

Majaji nchini Marekani wamempata na hatia afisa wa polisi wa zamani kufuatia kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd huko Minneapolis...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Ikoimara, Watanzania Endeleeni Kuiamini

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo imara na miradi yote ya kimkakati inaendelea kujengwa, hivyo Watanzania waendelee kuwa na...

READ MORE

Wasanii Kuweka Maudhui Youtube Bila Kulipa Ada ya Leseni TCRA

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amesema Wizara yake, Wizara ya Mawasiliano...

READ MORE

Makonda: Sio Lazima Kuteuliwa

ALIYEKUWA mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kwa sasa sio lazima ateuliwe au apigiwe...

READ MORE

Jeshi Lavunja Serikali ya Chad, Mtoto wa Deby Kuwa Rais wa Mpito

Kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby kilichotangazwa jana Aprili 20, 2021 imeelezwa Jeshi litaongoza Nchi kwa kipindi cha miezi 18,...

READ MORE

Wanaswa na Polisi Wakijifanya Wana Ulemavu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limewakata watu watatu eneo la Himo Wilaya ya Moshi kwa madai ya kujifanya wana...

READ MORE

Breaking: Rais wa Chad Auawa na Waasi Baada ya Kushinda Uchaguzi

Rais wa Chad, Idriss Deby (68) amefariki dunia saa chache baada ya kutangazwa kushinda uchaguzi wa Urais kwa muhula wa...

READ MORE

Kamanda Mambosasa Afafanua Sakata la Kukamatwa Kajala na Paula

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amethibitisha kukamatwa kwa msanii wa filamu, Kajala Masanja...

READ MORE

Dkt. Tulia: Milioni 50 Kila Kijiji Haipo, Rais Samia Hakuahidi

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewataka wabunge kutombebesha Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan mzigo ambao...

READ MORE

Rais Samia Akutana Na Spika Ndugai Ikulu Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe Aprili 20, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na...

READ MORE

Magesa Asimamishwa Kazi

WAZIRI wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema Magesa Boniphace kuanzia leo Aprili 20,...

READ MORE

Helkopta Yafanikiwa Kupaa Sayari ya Mars

Ndege aina ya helkopta yafanikiwa kupaa juu katika sayari ya Mars. Kwa mujibu wa wanasayansi wa Marekani wa shirika la...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya Jioni Hii

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali ambapo amemteua Prof. John...

READ MORE

Urusi Yawatimua Wanadiplomasia 20 wa Czech

Urusi imewaamuru wanadiplomasia 20 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Czech na kuwapa muda wa siku moja kuondoka mara moja nchini...

READ MORE

Mmoja Ashikiliwa Mauaji Mtangazaji ITV/Radio One

JESHI la Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni linamshikilia mtu mmoja kufuatia kifo cha aliyekuwa mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu.  ...

READ MORE

Rais Samia Kulihutubia Bunge Aprili 22

Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Aprili 22, 2021. Spika wa Bunge, Job Ndugai...

READ MORE

Mkuu wa Shirika la Reli Misri Ajiuzulu Baada ya Ajali Kuua Watu 11

Mkuu wa Shirika la Reli la Misri amejiuzulu baada ya kutokea ajali ya tatu ya treni nchini humo katika kipindi...

READ MORE

Kimeumana! Waziri Mkuu Amtumbua Mkurugenzi wa Fedha DART – Video

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Suzana Steven Chaula baada...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Benki ya Dunia

Rais Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia, Mara Warwick.     Katika...

READ MORE

Wanaswa Wakiiba Simu Game ya Simba na Mwadui

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linawashilikilia wanaume watatu kwa tuhuma za wizi wa simu za mkononi wakati wa mechi ya...

READ MORE

Shigongo: Tusiwe na Wasiwasi, Mama Samia Yuko Vizuri – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaasa Watanzania kutokuwa na hofu kwani Rais tuliye naye sasa Mama Samia Suluhu ataendeleza yale...

READ MORE

Mrembo Auawa Baada ya Kumkataa Mpenzi Wake

Ukizitazama picha maridadi za mrembo mwenye miaka 25, Catherine Nyokabi ambaye ameuawa kinyama na mpenzi wake, utatambua kwamba alikuwa mja...

READ MORE

Wanaume Wawili Wapoteza Fahamu Baada ya Kuiba Nguruwe

  Kumetokea tukio la aina aina yake huko Shinyalu, Kaunti ya Kakamega nchini Kenya baada ya wanaume wawili wanaodaiwa kuiba...

READ MORE

Shigongo Amwandikia Barua Ndugai “Mtaala wa Elimu Upitiwe” – Video

Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shigongo amewasilisha kwa njia ya barua hoja binafsi kwa Spika Job Ndugai ili kujadili...

READ MORE

Waziri Mkuu Akasirishwa na Mwenendo Mbovu Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo amefanya ziara katika mradi wa mwendokasi kwa kuanzia na kituo cha Gerezani, Kariakoo na kubaini...

READ MORE

Rais Samia Amwapisha Balozi Mndolwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuapisha aliyekuwa Balozi Mteule Yusuph Mndolwa Tindi kuwa Balozi...

READ MORE

Ndoa Iliyowagusa Wengi, Mume Mlemavu, Wafunguka Historia Yao – Video

GLOBAL TV imefunga safari hadi mkoani Tanga, kwa ajili ya kufanya mahojiano na wanandoa ambao harusi yao ime trend sana...

READ MORE

Rais Samia Aweka Aaanika Atakachokifanya kwa Miaka 5 – Video

RAIS Samia Samia Suluhu amesema uongozi wake wa Awamu ya Sita haukutokana na uchaguzi, bali umetokana na Awamu ya Tano...

READ MORE

Mama Janet Magufuli ni Mgonjwa

Joseph Magufuli ambaye ni mtoto wa aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt....

READ MORE

Benki ya Exim Yajizatiti na ‘Mteja Kwanza’ Huduma Kidigitali

Dar es Salaam: Aprili 18, 2021: Benki ya Exim imesisitiza kuhusu mkakati wake wa kuwekeza na kutanguliza zaidi maslahi ya wateja...

READ MORE

Mtoto Miaka 7 Adaiwa Kubakwa na Babu Yake, Bibi Akiwa Amelazwa

WAKATI Taifa na wanaharakati mbalimbali wakiendeleza mapambano dhidi ya vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto, matukio ya udhalilishaji na...

READ MORE

NMB Yazindua Bima ya simu za Mkononi

BENKI ya NMB kwa kushirikiana Kampuni ya Reliance Insuarance, wamezindua huduma mpya na ya kipekee ya bima, inayolenga kulipia gharama...

READ MORE