×

Habari

Hivi Ndivyo Ilivyokuwa Safari ya Mwisho ya Hayati Magufuli

MWILI wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli, Ijumaa, Machi 26, 2021, umepumzishwa katika...

READ MORE

Rais Kenyatta, Mkewe, Wapata Chanjo ya Corona

Rais Uhuru Kenyatta leo ameongoza maafisa wakuu wa serikali kupokea chanjo ya corona katika Ikulu ya Nairobi.     Baada...

READ MORE

Hayati Magufuli Azikwa Nyumbani Kwake Chato – Video

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Magufuli, leo Ijumaa, Machi 26, 2021, umepumzishwa...

READ MORE

Rais Samia Atoa Maagizo Mchakato wa Mkoa wa Chato – Video

Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza mchakato wa kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa, ambao tayari umeshaanza, uendelee...

READ MORE

CDF Mabeyo: Magufuli Aliniachia Dokezo, Nitakuja Ofisini Kwako

Mkuu wa Majeshi nchini Tanzania (CDF), Venance Mabeyo ameomba kuonana na Rais Samia Suluhu Hassan ofisini kwake akibainisha kuwa kuna...

READ MORE

Kikwete: Waliosema Sikumkata JPM ni Waganga Njaa – Video

RAIS Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amesema kuwa waliomsema kuwa hakukata...

READ MORE

Kikwete: Sina Shaka na Rais Samia, Ataendeleza Kazi ya Magufuli – Video

  RAIS mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema ana imani...

READ MORE

Majaliwa: Mama Magufuli ni Mgonjwa, Yupo Kitandani Miaka Miwili – Video

  WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema mama mzazi wa Hayati Rais Dkt.John Joseph Magufuli...

READ MORE

CDF Mabeyo: Nchi na Mipaka Vipo Salama, Tutamlinda Rais Samia – Video

Mkuu wa Majeshi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo amesema hadi sasa nchi na mipaka yake ni salama na wataendelea kumlinda Rais...

READ MORE

Kikwete: Magufuli Alikuwa Jembe Langu – Video

  Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema alimuamini zaidi Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na ndiyo...

READ MORE

Spika Ndugai Amkaribisha Rais Samia Bungeni – Video

  Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemhakikishia Rais wa sita wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ushirikiano wa chombo...

READ MORE

Mchungaji Msigwa: Nitamkumbuka Magufuli kwa Mambo Haya

Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema atamkumbuka Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Magufuli...

READ MORE

TEC: Tutashirikiana na Rais Samia – Video

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limemuahidi ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza majukumu ya kuliongoza Taifa.    ...

READ MORE

Askofu Nkwande: Bungeni Sio Pa Kuzunguzia Utoaji Mimba, Uzazi wa Mpango

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande amesema bungeni ni mahali patakatifu na si pa kwenda kufanya mzaha...

READ MORE

Diamond, Zuchu Watua Chato Kumzika Magufuli – Video

WANAMUZIKI wanaounda kundi la ‘Tanzania All Stars’ walioimba wimbo wa ‘LALA SALAMA’ wamefika wilayani Chato mkoani Geita kwa ajili ya...

READ MORE

Halima Mdee: Magufuli Ana Mazuri Yake, Tumuamini Samia – Video

MBUNGE wa Viti Maalum (Chadema) Halima Mdee, amefika wilayani Chato mkoani Geita kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Hayati Magufuli.

READ MORE

Mdee, Matiko Wahudhuria Mazishi ya Magufuli Chato – Video

WABUNGE wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee pamoja na swahiba wake, Esther Matiko wamefika...

READ MORE

Uongozi wa NMB Washiriki Ibada ya Mazishi ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli-Chato

Akiwakilisha Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Benki ya NMB, Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna na baadhi ya viongozi...

READ MORE

New Zealand Yaruhusu Mapumziko kwa Wanaopoteza Watoto

Bunge la New Zealand limepitisha Sheria inayowapa Wanawake pamoja na wenza wao Haki ya kupewa mapumziko yenye malipo pale ujauzito...

READ MORE

Urusi: Wasiwasi Waibuka Afya ya Mpinzani wa Rais Putin Gerezani

Lithuania, Latvia na Estonia ambazo ni Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zimeitaka Urusi kuruhusu kutolewa kwa huduma za Afya...

READ MORE

Mke wa Tatu wa Mfalme Zwelithini Achaguliwa Kuwa Kiongozi wa Wazulu

Familia ya Kifalme ya Zulu nchini Afrika Kusini imemteua Mke wa tatu wa Mfalme Goodwill Zwelithini kushikilia nafasi ya Uongozi...

READ MORE

Dar: Jela Miaka 30 kwa Kuiba Simu

Mahakama ya Wilaya ya Temeke imewahukumu Hemed Salum na Musa Musuni kifungo cha miaka 30 jela kutokana na kosa la...

READ MORE

Kauli ya Rais Samia Saa Chache Kabla ya Maziko ya Hayati Magufuli

Leo tunapompumzisha mpendwa wetu Hayati Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye nyumba yake ya milele, kwa niaba yangu binafsi...

READ MORE

Wanne Wakamatwa Wakisherehekea Kifo cha Magufuli

Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukejeli kifo cha Hayati Dkt. John Magufuli kwa kupika...

READ MORE

Waliomburuza Barabarani Mwanamke Wasimamishwa Kazi

Gavana wa kaunti ya Kisumu amewasimamisha kazi maafisa waliopigwa picha wakimburuza barabarani mwanamke mfanyabiashara wa matunda.     Vyombo vya...

READ MORE

Kauli ya Makonda Baada ya Kumuaga JPM

ALIYEKUWA kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameonyesha kuumizwa zaidi na msiba wa aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Wenye Miaka 58 na Zaidi Kupewa Kipaumbele Chanjo ya Corona Kenya

Serikali sasa imesema itawapa kipaumbele wale walio na umri wa miaka 58 na zaidi katika shughuli inayoendelea ya kutoa chanjo...

READ MORE

Ibada ya Kuaga Wanafamilia 5 Waliofia Uwanjani Wakimuaga JPM – Video

MAJONZI na simanzi vimetawala leo Alhamisi, Machi 25, 2021, kwa waombolezaji, ndugu, jamaa na marafiki wakati wa ibada ya kuaga...

READ MORE

Askofu Niwemugizi: Magufuli Aliagiza Nirejeshewe ‘Passport Yangu’

ASKOFU wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli aliagiza arejeshewe...

READ MORE

Live: Miili ya Wanafamilia Watano Waliiofariki Pamoja Yaagwa Kimara Dar

    MAJONZI na simanzi vimetawala leo Alhamisi, Machi 25, 2021, kwa waombolezaji wakati wakitoa heshima za mwisho kwa miili...

READ MORE

Makamu Pili wa Rais Z’bar Aongoza Maelfu Kumuaga JPM Chato

    MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah ameongoza shughuli ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Ufafanuzi Kuhusu Rais Samia Kuitwa Amiri Jeshi au Amirat

SIKU chache baada ya kuibuka utata wa matumizi ya maneno ‘amiri’ na ‘amirat’ kutokana na Tanzania kupata Rais mwanamke kwa...

READ MORE

Ratiba Ya Kuagwa Kwa Hayati Magufuli Chato, Geita, Machi 24 – 26, 2021

Ratiba ya kuagwa kwa Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, aliyekuwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania chato, Geita...

READ MORE

Kauli ya Kocha wa Stars Kuelekea Game ya Equatorial Guinea – Video

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kucheza mchezo dhidi ya Equatorial Guinea, Machi 25, 2021, ambao...

READ MORE

Waziri Mkuu kuongoza Wakazi wa Chato Kuaga Mwili wa JPM – Video

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo Alhamisi, Machi 25, 2021, ataongoza wakazi wa Chato na...

READ MORE

Mfahamu Anna Mwakasege, Rubani Aliyesafirisha Mwili wa JPM Dodoma

Baada ya kukamilika kwa shughuli za kumuaga Hayati Dk. John Pombe Magufuli jijini Dar es Salaam, mwili wake ulisafirishwa kwa...

READ MORE

Maelfu Wajitokeza Kuaga Mwili wa Magufuli Chato – Video

MWILI wa Hayati Magufuli, tayari umewasili salama nyumbani kwake Chato mkoani Geita, ambapo leo Machi 25, wakazi wa mkoa huo...

READ MORE

Mama Azimia Mwili wa Magufuli Ukiingia Chato – Video

MWILI wa Hayati Magufuli, umewasili nyumbani kwake wilayani Chato mkoani Geita, ambapo unatarajiwa kuagwa na maelfu ya wananchi wa wilaya...

READ MORE

Mo Salah Awasili Kenya Kukipiga na Harambee Stars

KIKOSI cha Misri wakiwa na staa wao Mo Salah wamewasili jijini Nairobi Jumanne kwa ajili ya mchezo kati ya Mafarao...

READ MORE

Hatimaye Mwili wa Hayati Magufuli Wawasili Kwao Chato – Video

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli umewasili nyumbani kwake Chato...

READ MORE