×

Habari

Itel Yamtangaza Diamond Kuwa Balozi Wake

Kampuni ya itel inayojishughulisha na  uzalishaji na usambazaji wa simu na vifaa vingine vya kielectroniki imemtangaza rasmi Nassib Abdual ‘Diamond...

READ MORE

Rais Samia Amewataka Wanaowaza 2025 Wasahau – Video

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika mabadiliko ya wizara aliyoyafanya aliangalia sifa za...

READ MORE

Mkalimani Afunguka “Niliongea Mengi, Mmeliona Lile Tu”

Mkalimani Matungwa Mutatina aliyezua gumzo mitandaoni siku ya kumuaga Hayati Dkt John Pombe Magufuli Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, amesema...

READ MORE

Dkt. Mpango Amwagiza Mwigulu ‘Mapato Tril. 2 kwa Mwezi’ – Video

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amewaagiza Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Muungano na...

READ MORE

Ndugai: Uwaziri ni Cheo cha Muda , Bungeni ni Nyumbani – Video

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametoa somo kwa mawaziri na manaibu akiwataka kutekeleza vyema majukumu yao na kutosahau...

READ MORE

Chadema Yasusa Uchaguzi Muhambwe, Kigoma

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kutoshiriki uchaguzi mdogo katika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, kwa madai hautakuwa huru...

READ MORE

Live: Rais Samia Anawaapisha Mawaziri Aliyowateua Jana Ikulu Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo April 01, amewaapisha mawaziri, baada ya jana Machi 31,...

READ MORE

Madagascar yakubali kupata chanjo ya corona

SERIKALI ya Madagascar imeamua kubadili mtazamo wake juu ya kukabiliana na virusi vya corona na kujumuika na jitihada za kimataifa...

READ MORE

Serikali Yasema Itapitia Utaratibu wa Malipo ya Mikopo ya Elimu

Serikali imesema ipo katika mpango wa kupitia utaratibu wa malipo kwa wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu ili wapunguziwe...

READ MORE

Ndugai Ashauri Wizara ya Fedha Kuchukua Deni la Msd

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Job Ndugai amesema suala la kukosekana kwa dawa mahospitalini ni la...

READ MORE

Bulaya Atoa Angalizo Mafunzo JKT, Serikali Yajibu – Video

MBUNGE wa viti maalum, Ester Bulaya ameishauri Serikali ya Tanzania kutoa mafunzo ya kutumia silaha kwa vijana wachache wanaoshiriki mafunzo...

READ MORE

Wakenya Waandamana Kisa Masharti ya Covid19

Baadhi ya Wananchi wa #Kenya wameandamana kupinga hatua zinazochukuliwa kudhibiti maambukizi ya #COVID19 wakibeba mabango yenye jumbe mbalimbali huku wengine...

READ MORE

Jela Miaka 30 kwa Kukutwa na Bangi Gramu 566.9

Mahakama ya Wilaya ya Babati imewahukumu Alex Laurent (27) na Humphley Charles (25) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada...

READ MORE

Video: Siri Yafichuka, Siku 34 Za Dkt Bashiru Ikulu | Front Page

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Kiwanja Kikubwa Chenye Nyumba Kinauzwa Dar

Kiwanja chenye ukubwa wa Square Meter 3,872 na nyumba ya kuishi kinuzwa. Kipo Mtoni Kijichi, Mtaa wa Tukuyu, Nyumba namba...

READ MORE

Itel Kutumia Msanii Mkubwa Afrika Kuzindua Simu Mpya

  Taarifa za chinichini kutoka Kampuni ya simu za mkononi ya itel zinaeleza kuwa mwezi Aprili kampuni hiyo itazindua rasmi...

READ MORE

Simiyu: Adakwa Akisafirisha Kobe 400 Kwenye Mabegi

Jeshi la polisi mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja (jina linahifadhiwa) miaka 35 Mkurya mkazi wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara...

READ MORE

Rais Samia Amng’oa Bashiru Ukatibu Mkuu Kiongozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi wa Tanzania nchini Japan, Hussein Yahaya Kattanga...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Afanya Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri – Video

KUFUATIA Uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Dkt. Mpango Aapishwa Kuwa Makamu wa Rais – Video

Makamu wa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Philip Isdor Mpango ameapishwa kuwa Makamu wa Rais mbele...

READ MORE

Watano Wahukumiwa Kunyongwa Njombe

WASHTAKIWA watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji namba 84 ya mwaka 2014 ya Alice Mtokoma (56), mkazi wa kijiji...

READ MORE

Video: Mwili wa Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu, Waagwa Dar Leo

 MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu, umeagwa leo Machi 31, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na...

READ MORE

Breaking: Shamimu na Mumewe Wahukumiwa Kifungo cha Maisha -Video

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, Dar es Salaam leo Machi 31, 2021 imewahukumu kifungo...

READ MORE

Mambo Kumi Usiyoyajua Kuhusu DK Mpango

DK Philip Isidor Mpango (63) ambaye alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano jana akateuliwa...

READ MORE

Mume Ampiga Risasi ya Tumbo Mke Wake – Video

JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka ( 61) mkazi wa wilaya ya Hai...

READ MORE

Mchina Akamatwa kwa Kuwacharaza Bakora Watanzania

JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia raia wa China Xiao Yong (33) kwa tuhuma za kuwashambulia kwa kuwacharaza viboko madereva...

READ MORE

Magufuli Kukumbukwa kwa Kuinua Elimu

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli  ametajwa kuwa mzalendo na shujaa aliyepania kulisaidia Taifa la Tanzania kwenda mbele...

READ MORE

Dkt. Mpango Azungumza na Watumishi Wizara ya Fedha

MAKAMU wa Rais Mteule, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, amekutana na Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango na kuwasisitiza...

READ MORE

Shigongo: Magufuli Alijitoa Sadaka Maisha, Uhai Wake – Video

  MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo, ameeleza maazimio yake kama mbunge na mwananchi wa Taifa hili katika kuenzi utendaji wa...

READ MORE

Basi la Machame Laua 6 kwa Ajali, 19 Wajeruhiwa

Watu 6 wamefariki dunia huku wengine 19 wakijeruhiwa baada ya basi la Machame Investment walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Arusha...

READ MORE

Baba Ajinyonga Baada ya Kuwaua Mke, Mtoto

JESHI la Polisi mkoani Kagera linaendelea kuchunguza tukio la vifo vya watu watatu lililotokea Machi 26, 2021, saa 9:00 usiku...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi 4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi 4.     Kwanza, Mhe....

READ MORE

Dkt. Mpango Kuapa Kesho Dodoma

Makamu wa Rais mteule Dkt. Philip Isdor Mpango kuapishwa kesho March 31, 2021 kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

READ MORE

Bunge Lamthibitisha Mpango Kuwa Makamu wa Rais – Video

ALIYEKUWA Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amethibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Makamu...

READ MORE

Wasifu wa Makamu wa Rais Mteule Dkt. Mpango

o Dk Philip Mpango ni Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la...

READ MORE

Kauli ya Dkt. Mpango Baada ya Kupendekezwa Kuwa Makamu wa Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempendekeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip...

READ MORE

Viongozi Wakuu wa CCM Wakutana Dodoma

               

READ MORE

Breaking: Rais Samia Ampendekeza Dkt. Mpango Kuwa Makamu wa Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempendekeza Dkt. Phillip Mpango...

READ MORE

CAF Yatajwa Ujio Kocha Mpya Mfaransa wa Yanga

MEFAHAMIKA kuwa Yanga imefikia maamuzi ya kumleta kocha raia wa Ufaransa, Sebastian Migne kwa ajili ya michuano ya Caf ambayo...

READ MORE