×

Habari

Mwili wa Rais Magufuli Ukiwasili Uwanja wa Uhuru – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kuwaongoza...

READ MORE

Maelfu ya Wajipanga Barabarani Kumuaga Magufuli – Video

MAELFU ya wananchi wa Mkoa Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi kwenye barabara ambayo mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Mwili wa Rais Magufuli Wawasili Uwanja wa Uhuru – Video

MWILI wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli umewasili katika Uwanja wa Uhuru tayari...

READ MORE

Kikwete: Ni Pigo Kubwa, Hotuba ya Samia ina Matumaini

Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete ametoa pole kwa Watanzania kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania...

READ MORE

Ratiba ya Mazishi ya Magufuli Yabadilishwa

Ratiba iliyorekebishwa ya mazishi ya mpendwa wetu Dkt. John Pombe Magufuli! Machi 20,2021- Mwili kupelekwa Uwanja wa Uhuru Dar es...

READ MORE

Aliyekuwa Hakimu Geita Azikwa (Pichaz)

Aliyekuwa Hakimu mstaafu wa Mkoa wa Geita, Elisha Sabuka, amezikwa jana Machi 19, 2021, katika makuburi ya kijijini kwao Mwingilo,...

READ MORE

Majaliwa Akagua Maandalizi ya Kuaga Mwili wa JPM Uwanja wa Uhuru

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam na mikoa jirani leo Machi 20 na kesho...

READ MORE

Picha : Rais Samia Amfariji Mjane wa JPM

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 19,2021  amemtembelea na kumfariji mjane wa aliyekuwa Rais...

READ MORE

Rais Samia: Tuko Imara, Hakuna Litakaloharibika – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu, amewaomba Watanzania kushikamana katika kipindi hiki na kwamba wasiwe na...

READ MORE

FIFA Yamlilia Rais Magufuli

Jumuiya ya soka kimataifa ‘FIFA’ limetuma salama za rambi rambi kwa shirikisho la soka nchini TFF kufuatia kifo cha Rais,...

READ MORE

Mbowe: Tufungue Ukurasa Mpya

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, amewaomba wanachama na wafuasi wote wa chama hicho waliondani ya...

READ MORE

Korea Yakataa Mazungumzo na Marekani

Korea Kaskazini imesema itapuuza pendekezo la Marekani kukaa katika meza ya mazungumzo hadi pale itakapofuta sera yake ya kikatili dhidi...

READ MORE

RC Kunenge Ahimiza Kumuaga Magufuli, Asimamisha Sherehe Zote Siku 21

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge ametoa ratiba na utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa...

READ MORE

Rais Samia: Si Siku Nzuri Kwangu, Wingu Jeusi Limetanda – Video

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Taifa linapita katika wakati mgumu kwani hata...

READ MORE

Magufuli Kuagwa Dar Kesho, Kuzikwa Chato Machi 25 – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa shughuli za mazishi ya aliyekuwa Rais wa...

READ MORE

Stamina Afunguka Rais Magufuli Kupenda Wimbo Wake

Msanii wa HipHop hapa nchini Stamina Shorwebwenzi amesema atamkumbuka Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kila kitu hasa kufanya mambo...

READ MORE

Mama Samia Aapishwa Kuwa Rais wa Tanzania – Video

ALIYEKUWA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi leo Machi 19, 2021...

READ MORE

Mwili wa Magufuli Kuagwa Kitaifa Mikoa Minne – Video

MSEMAJI wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbas amesema ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli imekamilika...

READ MORE

Video: Atakapozikwa Rais Magufuli, Alipachagua Mwenyewe

 ENZI za Uhai wake, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, aliweka bayana kuwa atakapofariki basi azikwe kijijini kwao Chato na...

READ MORE

Mama Samia Kuapishwa Leo, Kuwa Rais wa Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ataapishwa rasmi leo Machi 19, 2021 kuwa Rais...

READ MORE

NMB Yatoa Neno Katika Uzinduzi Kizimba Business Model

Kukwama kwa wajasiliamali katika sekta ya kilimo kushindwa kupata mikopo ya kifedha kutoka taasisi za kibenki imetajwa kuchangiwa na vikwazo...

READ MORE

Odinga Amuomboleza Swahiba Wake Magufuli

Aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya na kiongozi wa upinzani Raila Odinga ametuma risala za rambirambi kwa familia ya rais John...

READ MORE

Prof. Lipumba: Tumebaki Wakiwa

Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais John Magufuli atakumbukwa kwa mengi ikiwemo ujenzi wa miundombinu na jinsi alivyowabana...

READ MORE

RC Chato: Mnachanga Msibani Marehemu Haongei

RC Geita amehitimisha ziara yake Chato kwa kushiriki kwenye kuchimba Msingi wa madarasa 4 na ofisi 2 kwenye ujenzi wa...

READ MORE

Hakimu Mstaafu Geita Afariki Dunia

HAKIMU mstaafu wa Mahakama ya Mkoa wa Geita, Mhe. Elisha Sabuka, amefariki dunia, usiku wa kuamkia Machi 17, 2021 nyumbani...

READ MORE

CCM Yaitisha Kikao cha Dharura Dodoma, Maombolezo Siku 21 – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza siku 21 za maombolezo kwa wanachama wa chama hicho kutokana na kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti...

READ MORE

Kifo cha JPM, Ndugai Awataka Wabunge Wote Warejee Dodoma Mara Moja – Video

KUFUATIA kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, aliyefariki Dunia katika Hospitali ya Mzena...

READ MORE

Mufti wa Tanzania Amlilia Rais Magufuli

  Mufti Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguswa na kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021....

READ MORE

Rais Magufuli ‘Alivyowaaga’ Watanzania Kabla ya Kifo

SAFARI ya mwisho ya maisha ya Rais wa Tanzania John Magufuli aliyefariki dunia jana, imeibua majonzi na mshtuko wa kitaifa...

READ MORE

Kauli ya Mwisho ya JPM Alipohudhuria Ibada St Peter- Video

“Tumsifu Yesu Kristo, Tumsifu Yesu Kristo” Rais wa Tanzania, John Magufuli alianza kusema hivyo alipohudhuria mara ya mwisho misa katika...

READ MORE

Kenyatta Atangaza Siku 7 za Maombolezo Kifo cha Magufuli – Video

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza siku saba za maomboezo nchini Kenya kufuatia Kifo cha Rais Magufuli na...

READ MORE

Inasikitisha! Viongozi Wamlilia Rais Magufuli

VIONGOZI mbalimbali wa kisiasa wametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais John Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021 katika Hospitali...

READ MORE

Historia ya Maisha Rais Magufuli, Kuzaliwa, Shule, Uongozi Mpaka Kifo

Kwa kawaida, katika jamii yoyote ya wanadamu, kuzaliwa kwa mtoto ni suala la shangwe. Hicho ndicho kilichotokea Alhamisi ya Oktoba...

READ MORE

Jumatano Tarehe 17 Ilivyoondoka na Viongozi 3 Mashuhuri Tanzania

  Jumatano ya tarehe 17 mwezi wa Februari na Machi mwaka 2021 hazitasahaulika masikioni mwa Watanzania ambao waliishuhudia Taifa likipoteza...

READ MORE

Tukio la Mwisho Alilofanya Rais Magufuli Kabla ya Kufariki Dunia

Februari 27, mwaka huu, ilikuwa siku ya mwisho kwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kuonekana hadharani ndivyo unavyoweza kusema....

READ MORE

Haya Ndo Maagizo ya Mwisho ya Rais Magufuli – Video

  Rais wa Tanzania John Magufuli amefariki dunia huku akiacha kumbukumbu ya maagizo mawili ya mwisho aliyotoa wakati wa ziara...

READ MORE