×

Habari

Akamatwa na Laini 74 za Simu, Zimesajiliwa kwa Jina Moja

Mkazi mmoja wa Mlandizi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani anashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kukutwa na laini 74...

READ MORE

Rombo: Wakenya 26 Wahukumiwa Jela kwa Kuingia Nchini Kinyemela

Mahakama ya Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro imewahukumu kifungo cha mwaka mmoja jela ama kulipa faini ya shilingi laki tano...

READ MORE

Waziri Mpango Awasilisha Mapendekezo ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango, Kiwango na Ukomo wa Bajeti...

READ MORE

Mdogo wa Wema Adaiwa Kunaswa na Madawa, Aunt Amwaga Machozi (Picha + Video)

WAFANYABIASHARA wanne wa Dar es Salaam, wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kukutwa...

READ MORE

Brazil: Watu 2,286 Wafariki kwa Covid19 ndani ya Saa 24

Siku ya Jumatano watu 2286 wameripotiwa kufariki dunia kutokana na Ugonjwa wa Corona nchini #Brazil kwa mujibu wa takwimu za...

READ MORE

Mnada wa Bajaji Kutikisa Dar Jumamosi Hii – Video

KAMPUNI ya SEPCO DEBT COLLECTION AND AUCTIONEERING COMPANY LIMITED inawatangazia mnada wa hadhara. Kwa idhini tuliyopewa na kampuni ya SUNBEAM...

READ MORE

Serikali Kumfanyia Majaribio Mtoto Charles

MTOTO Charles Mathias Mbena (6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza...

READ MORE

Shule Iliyoburuza Mkia Miaka Mitatu Yafanya Maajabu

Shule ya Sekondari Kome iliyoko Halmasahauri ya Buchosa Wilayani Sengerema mkoa wa Mwanza iliyoshika nafasi ya mwisho kwa miaka mitatu...

READ MORE

Katambi: Ukiajiriwa Huwezi Kufikia Ndoto za Kuwa Tajiri

NAIBU Waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye ulemavu, Patrobas Katambi ametoa wito...

READ MORE

Naibu Waziri Katambi Alivyotembelea Global Group – Video

  NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana, Mhe. Patrobas Katambi, jana...

READ MORE

Mlinzi, Mkewe Wauawa Kikatili, Miili Yaokotwa Ndani ya Viroba – Video

MLINZI wa nyumba ya aliyekuwa Jaji wa mahakama ya Rufani Tanzania, marehemu Jaji Bethuell Milla, Samson Ndavi na mkewe Christina...

READ MORE

Tanzia: Rais Mstaafu Somalia Afariki Dunia

Rais mstaafu wa Somalia, Ali Mahdi Muhammad amefariki dunia Jumatano Machi 10 katika Hospitali ya Nairobi, Kenya alipokuwa anapatiwa matibabu...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Ivory Coast Afariki Dunia

Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Hamed Bakayoko, amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani, mamlaka imesema.     Bakayoko, aliyekuwa...

READ MORE

TANZIA: Kanali Fabian Massawe Afariki Dunia

Kanali Fabian Ignas Massawe amefariki leo, Jumatano Machi 10, 2021. Kanali Massawe aliwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambapo...

READ MORE

Waganga wa Shinyanga Wauwa Fisi 11 Geita

  Halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, imeendesha operesheni kupitia waganga wa jadi kutoka Shinyanga na kufanikiwa kuwaua fisi...

READ MORE

Walimu Wapigwa Marufuku Kuweka Rehani ATM Zao

OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), imewataka walimu kujiepusha kuweka rehani kadi zao za benki(ATM), wanapokopa...

READ MORE

Mkurugenzi Apata Ajali

  MKURUGENZI wa Taasisi ya Doris Foundation, Doris Mollel, amepata ajali leo maeneo ya Mtumba Dodoma alipokuwa akitoka kwenye kikao...

READ MORE

Messi, Ronaldo Mtegoni UEFA

LIGI ya Mabingwa Ulaya, hatua ya 16 bora inatarajiwa kuendelea leo Jumanne na kesho Jumatano huku mastaa wa soka, Lionel...

READ MORE

Muonekano wa Barabara ya Morrocco-Mwenge Dar

Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge KM 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji...

READ MORE

Mvuvi Aliyekula Samaki wa Tsh Bil 6 Bila Kujua, Ajuta!

SHIRIKA  la habari la @cnbc limeripoti kuwa mvuvi mmoja katika kijiji cha Warri, jimbo la Niger Delta nchini Nigeria amevua...

READ MORE

Mnyika Akanusha Taarifa Zinazozusha Kifo cha Mrema

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi,...

READ MORE

Katambi Awaponda Chadema “Huwezi Kujenga Ofisi, Utaweza Nchi?” – Video

NAIBU Waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na wenye ulemavu, Patrobas Katambi, leo Machi...

READ MORE

Bashe: Mahindi ya Tanzania ni Salama kwa Afya

NAIBU Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema mahindi yanayotoka Tanzania yanakidhi vigezo vya kiafya kinyume na taarifa zinazosambaa kutoka Kenya....

READ MORE

Mwanafunzi TIA na Wenzake Wadaiwa Kunaswa na Kilo 31 za Heroin

JESHI  la Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na dawa za kulevya (ADU), limewakama watu wanne akiwemo mwanafunzi wa Chuo...

READ MORE

Polisi Waeleza Mgonjwa Aliyemchoma Kisu Muuguzi

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Muslimu, amesema kuwa Polisi bado wanaendelea na uchunguzi wa tukio la mgonjwa Piche...

READ MORE

Nandy: Achomoa Madai Ya Kunasa Mimba!

MSANII wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kuwa watu wengi wana hofu nayo kwamba huenda ni mjazito lakini ukweli...

READ MORE

Aliyemkata Panga Mwalimu Mwenzake Kisa Penzi la Mwanafunzi Kortini

MWALIMU wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Karoti katika Kaunti Ndogo ya Mwea, Mashariki nchini Kenya, Timothy Musembi (34)...

READ MORE

Breaking: Msafara Wa Makamu Wa Pili Wa Rais Zanzibar Wapata Ajali

Mtu mmoja amefariki dunia baada ya gari lililokuwa limewabeba waandishi wa habari katika msafara wa makamu wa pili wa rais...

READ MORE

Waziri Ummy Kufungua Dirisha Maalum, Kusaidia Wanawake

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Ummy Mwalimu amewaahidi Wanawake kuwasaidia kuanzisha dirisha maalumu...

READ MORE

‘Liverpool Muuzeni Salah Muiokoe Timu’

KLABU ya Liverpool imetakiwa kumuuza Mohamed Salah ili kupata fedha za kutengeneza kikosi chao upya kama ambavyo walifanya kwa Philippe...

READ MORE

Rayvanny Avunja Ukimya, Aweka Wazi Kuhusu WCB – Video

MWANAMUZIKI Rayvanny usiku wa kuamkia leo Machi 10, amezindua ofisi ya studio yake iliyopo Mbezi Rainbow jijini Dar.

READ MORE

Halotel Yaunga Mkono Juhudi za Wanawake

Katika mwendelezo wakuadhimisha siku ya wanawake Duniani, kampuni ya Halotel Tanzania imeendelea kuunga mkono juhudi za wanawake wapambanaji katika majukumu...

READ MORE

Breaking: Mwenyekiti Msolla Avunja Ukimya, Kocha Yanga Kufukuzwa

MWENYEKITI wa Yanga, Mshindo Msolla, amevunja ukimya na kuita waandishi wa habari kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusu Yanga, ikiwemo mashabiki kumtaka...

READ MORE

Wajawazito Watafuta Wanaume Bandia

  KINA mama wajawazito wilayani Kilindi mkoani Tanga wamewalalamikia wanaume wanaowapa ujauzito kukwepa kwenda kliniki kupima afya zao kama kanuni...

READ MORE

Wizara ya Afya Yawasisitiza Mitishamba Kupambana na Changamoto za Upumuaji

  Wakati Watanzania wengi wakipambana na maradhi mbalimbali yanayosababisha changamoto za upumuaji, ikiwemo nimonia na Corona, wizara ya afya imeendelea...

READ MORE

Daktari Atimuliwa kwa Kumfanyia Upasuaji Mgonjwa ‘Guest’

  MADIWANI wa halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wamewafukuza kazi daktari na muuguzi wa hospitali ya wilaya hiyo...

READ MORE

Mbaroni kwa Kukutwa na Lita 73 za Gongo

Wafanyabiashara wawili wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya Kinondoni kwa tuhuma za kukutwa na pombe ya kienyeji aina ya gongo yenye...

READ MORE

Ishu ya Paula.. Msamaha Kwa Kajala Wamponza

  Licha ya msanii wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ kumuomba msamaha mwigizaji Kajala Masanja kutokana na tuhuma za kusambaza...

READ MORE

Wananchi Waonywa Kuchukua Mchanga Kaburi la Maalim Seif

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Salama Mbarouk Khatib ametoa onyo kwa watu wanaochukua mchanga wa kaburi la Marehemu Maalim...

READ MORE

Majaliwa Akabidhi Vifaa Vya Mil. 357 Kwa Wajasiriamali

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 357 kwa vikundi vitano vya...

READ MORE