×

Habari

Shigongo, Wananchi Waibua Madudu Bandari ya Kanyara – Video

WANANCHI wa Kijiji cha Kanyara, Halmashauri ya Buchosa wametoa malalamiko yao kwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo,...

READ MORE

Tigo Yakabidhi Zawadi za Simu, Luninga kwa Washindi Jaza Tukujaze

Endelea kujaza muda wa maongezi na tukujaze tena. Ni Bonus za Dakika! Bonus za MB’s! Bonus za SMS! Na Zaidi...

READ MORE

Mazishi Familia Moja Waliokufa Kwa Moto Yaacha Simanzi

SIMANZI na vilio vilitanda Jumanne katika mazishi ya familia moja ya Sigfrid Kimbi (44) iliyoteketea kwa ajali ya moto huko...

READ MORE

Shigongo Akomaa na Elimu Buchosa, Atua Sukuma na Bodaboda – Video

  MBUNGE wa Buchosa, Mheshimiwa Eric Shigongo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buchosa wamelazimika kupanda pikipiki kutembelea shule mpya ya...

READ MORE

GSM Yaendelea Kugawa Zawadi za Sikukuu Kwa Wateja Wake

MADUKA ya GSM imeendelea kugawa zawadi za sikukuu kwa wateja wake katika promosheni ya Shinda Ungarishe Nyumba yako iliyokuwa ikiendeshwa...

READ MORE

Mazito Usiyoyakjua Kuhusu Bilionea Urusi Kufa Ghafla Bongo

MAMBO mazito yanazungumzwa juu ya kifo cha ghafla cha Bilionea Igor Sosin (53), raia wa Urusi aliyekutwa amekufa hotelini visiwani...

READ MORE

Hali ni Shwari Ziwa Victoria, Hakuna Mauaji Wala Unyang’anyi

WANANCHI waishio Visiwa vilivyomo ndani ya Ziwa Victoria mkoani Mwanza wamempongeza Kamanda wa Polisi mkoani humo Murilo Jumanne kwa kuimalisha...

READ MORE

Daktari Atumia Hospitali ya Serikali kwa Manufaa Binafsi

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, ameagiza daktari aliyejimilikisha Hospitali ya Amana kwa...

READ MORE

Tayari New Zealand, Australia Washerehekea Mwaka Mpya

WAKATI barani Afrika ikiwa bado ni mchana (wakati wa kuandika habari hii), nchini New Zealand na Australia ambako ni mashariki...

READ MORE

Askofu Mkude Ang’atuka Jimbo la Morogoro

BABA Mtakatifu Francisko, ameridhia ombi lililowasilishwa kwake na Askofu wa Jimbo Katoliki la Morogoro nchini Tanzania, Telesphor Mkude la kung’atuka...

READ MORE

Muuaji Hatari Nchini Marekani Afariki Dunia

SAMUEL LITTLE, mtu aliyetajwa na shirika la upelelezi  la Marekani (FBI) kama muuaji mkubwa wa kuvizia katika historia ya Marekani, ...

READ MORE

Aliyejifanya Ofisa TAKUKURU Anaswa, Afikishwa Kortini

Mfanyabiashara, Edson Beanga Mkazi wa Dar es Salaam amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo...

READ MORE

Magufuli Awasilisha Fomu za Maadili

RAIS  John  Magufuli leo tarehe 31 Desemba, 2020, amewasilisha fomu zake za maadili katika ofisi ya makao makuu ya Sekratarieti...

READ MORE

Kesi ya Rugemalira, Seth Yapigwa Kalenda Tena

KESI inayowakabili mfanyabiashara, James Rugemarila, na mmiliki mwenza wa zamani wa Kampuni ya IPTL, Habinder Seth na mwanasheria wa IPTL,...

READ MORE

Tanzia: Mwanamuziki Mao Santiago Afariki Dunia

NGULI wa muziki wa dansi aliyewahi kuwa mwanamuziki wa kundi la Chuchu Sound, Mao Santiago, amefariki dunia nchini Jamhuri ya...

READ MORE

Kalemani Awapa REA na TANESCO Miezi 3 Kuunganishia Wateja Umeme

WAZIRI wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijjini...

READ MORE

Polisi Yatoa Onyo Watakaochoma Matairi Mwaka Mpya

JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku uchomaji wa matairi ambayo yamekuwa yakiharibu miundombinu mingi kama vile barabara ambazo zimejengwa kwa...

READ MORE

Watoto 2 Familia Moja Wafariki kwa Moto, Wazazi Watokomea!

WATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia katika kijiji cha Nyarugisu wilayani Kasulu mkoani Kigoma, baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi...

READ MORE

Dkt. Ndugulile Awapa Siku 30 Wanazodaiwa na TTCL

WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amezipa siku 30 taasisi za umma zinazodaiwa na Shirika la...

READ MORE

Global Habari Dec 30 – Waziri Wa Mambo Ya Nje China Kufanya Ziara Nchini

 Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Palamagamba Kabudi, ametangaza kuwepo kwa ziara itakayofanywa na Waziri...

READ MORE

Wanafunzi Vyuo Vikuu Walihimizwa Kujiunga na Academy ya TEHAMA ya Huawei

  Wito umetolewa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuchukua nafasi za kujiandikisha bure kwenye Akademi za TEHAMA za Huawei...

READ MORE

Rais Mwinyi Ateua Ma DC, Wapo Hapa

RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amefanya uteuzi wa wakuu wa wilaya (DC) kumi visiwani humo. Uteuzi huo ameufanya jana Jumatatu...

READ MORE

TECNO Kuwazawadia Tv nchi 55 Wateja wa CAMON 16 na SPARK 5PRO

TECNO inaendelea kuwapa furaha wateja wake, hii ni baada ya kukabidhi zawadi kwa Bwana Ramadhani Salim, aliyejishindia mashine ya kufulia,...

READ MORE

Egla Mamoto; Kada wa CCM Azikwa Dodoma

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Egla Mamoto, amezikwa jana Jumanne, Desemba 29, 2020 katika Kijiji cha Mpwayungu, wilaya ya...

READ MORE

Kirusi Kipya cha Corona Chasambaa, Chatua Marekani

AINA mpya ya kirusi cha corona kinachoaminka kusambaa kwa kasi, imeripotiwa kwa mara ya kwanza nchini Marekani na Amerika ya...

READ MORE

Zifahamu Sifa na Ubora wa Simu za TECNO Kwa Mwaka Huu wa 2020

Mwaka 2020 karibia unafikia ukingoni, bila shaka mwaka huu umekuwa ni mwaka wa changamoto nyingi kwa duniani nzima, lakini pamoja...

READ MORE

Wahariri Na Waandishi Wavutiwa Na Makumbusho Ya Olduvai Gorge, Ngorongoro

Wahariri wa vyombo vya habari na waandishi waandamizi wametembelea hifadhi wa Ngorongoro Crater baada ya ya kushiriki semina ya siku...

READ MORE

Majaliwa Amwakilisha Rais JPM Mazishi ya Askofu Banzi – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mazishi ya Baba Askofu...

READ MORE

Kwa Heri Mngereza, Mlezi wa Sanaa Tanzania

Viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa, wameungana na waombolezaji wengine kuanga...

READ MORE

Jamaa Wa Kusambaza Picha Chafu Za ‘Ngono’ Kwa WhatsApp Anaswa

Mfanyabiashara, Faraji Omary (26) Mkazi wa Mbagala Jijini Dar es Salaam amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na...

READ MORE

Askari Aliyeokoa Mtoto Hakuwa Eneo Lake la Kazi

ASKARI wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Koplo Denis Minja, ambaye mwezi Mei alimwokoa mtoto mchanga akiwa hai ndani ya...

READ MORE

Mamia wamuaga Mngereza Dar

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa amesema Taifa limepata pigo kwa kuondokewa na Mtendaji wake mchapakazi, Katibu...

READ MORE

Exclusive: Rose Muhando Aanika Mazito, Ahofia Usalama Wake – Video

MUIMBAJI mkongwe wa nyimbo za Injili, rose Muhando amefunguka na kuanika mambo mazito aliyoyapitia kuhusu maisha yake huku akidai kuwa...

READ MORE

Wabunge Republican Wafungua Kesi Dhidi ya Makamu Rais

WAKIWA na lengo la kupindua matokeo ya uchaguzi wa Marekani, mbunge wa baraza la wawakilishi, Louie Gohmert, na wenzake wa...

READ MORE

Watuhumiwa 683 Tabora Wakutwa na Silaha, Pembe za Ndovu, Sare za Jeshi

JESHI la Polisi limefanikiwa kuwakamata jumla ya watuhumiwa 683 wa makosa mbalimbali mkoani Tabora katika oparesheni iliyochukua wiki tatu katika...

READ MORE

Dk. Gwajima Aridhishwa Uzalishaji Dawa Kiwanda cha Keko

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, ameridhishwa na uzalishaji wa dawa katika kiwanda...

READ MORE

Rais JPM Atua Mwanza, Atoa Maagizo – Video

RAIS  John Magufuli amewataka Watanzania kuzitumia mvua zinazoendelea kunyesha kwa kulima mazao ya biashara ili kuziuzia nchi zinazokabiliwa na janga...

READ MORE

Trump Asaini Mswada Mzito Kabla ya Kuondoka Madarakani

RAIS  wa Marekani, Donald Trump, hatimaye ameusaini muswada wa sheria wa dola bilioni 900 unaokusudia kutoa misaada kwa watu walioathiriwa...

READ MORE

Waitara Atoa Wiki Mbili Ofisi ya Mkoa wa Geita Kufanya Ukaguzi Mradi Dampo la Taka Ngumu

  Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mwita Waitara ametoa wiki mbili kwa Ofisi ya...

READ MORE

Hawa Nd’o Watu 10 Matajiri Zaidi Kuwahi Kuishi Duniani

MWANZILISHI wa kampuni la  Amazon, Jeff Bezos, ndiye mtu tajiri zaidi duniani kwa sasa, kulingana na orodha ya jarida la...

READ MORE